Mama Gwajima Hongera sana. Nimekupenda sana kwa hili Mungu akubariki sana mama
@upendondelwa75103 жыл бұрын
Yan mama gwajima nimekupenda nimekupenda nimekupenda tenaaaaaaa😂😂😂😂,Dada Flora Mungu akupe nguvu
@rossemaryeliya61133 жыл бұрын
Mi pia nimempenda Sana ameongea point
@isabelaadeleke97333 жыл бұрын
Dada flora Mungu akupe uhai mrefu,waziri Gwajima mungu aendelee kukubariki na busara zaidi kwa uongozi wako,Mungu awabariki wote i'm so impressed
@zuwenagadaph42173 жыл бұрын
Mungu akubariki sana flora wangu nakuombea kila siku kwa juhudi zako
@kiri58073 жыл бұрын
Shemsa mashaallah yuko very smart , inteligent anaonekana atafanya vizuri school Mungu amjaaliye . Kweli wanaohusika na wanawake na watoto hawashuhulikii familia wapo ofisini tu wanakula pesa za bure . Na hao wanaomsrma Flora wafumbe midomo yao .
@esabelfadhili84323 жыл бұрын
The way she hug shamsha ooooh too emotional...watoto wamelelewa vizuri wanaakili na heshima watoto wa kanda ya ziwa🙌🙌
@listerlujiso60093 жыл бұрын
Da frola Mungu akutie nguvu sana usife moyo maana Bwana Yesu yu pamoja nawe pia hongera sana kwa kazi yako amen
@lovvy8543 жыл бұрын
Hongera Sana mama Dorothy Gwajima Mungu akuhifadhi
@fariarizaq75283 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah waziri mungu akubariki sana inshaallah 😍😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@erizabethdeus16243 жыл бұрын
Najivunia kua na wazili wa aina yako mama hongera tunaiyona kazi yako kiukwari unanibaliki mama mungu akuweke akulinde sikuzote .
@listerlujiso60093 жыл бұрын
Wazir wa afya hongera sana mamy umeongea vema sana kama mzazi kama wazir Mungu akubariki sana
@cnm29763 жыл бұрын
MUNGU Awabariki sana Mwalimu wa Eden, Flora Nitetee na Waziri wa Afya. 👏🏽👏🏽👏🏽
@rahmaramadhan97733 жыл бұрын
Umeongea vizuri Sana WAZIRI WETU hongera Sana FLORA MUNGU AKUBARIKI SANA MUNGU AKUZIDISHIE KHER KUBWA MNOOO 🤲🤲🤲🤲🤲
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Asante waziri pendwa Deroth Gwajima,umeonesha moyo wa upendo na huruma na ushirikiano,mungu akusaidie umuri afya njema uzidi kutetea na kujenga taifa letu na watoto ni taifa la kesho na wazee wetu wamalize umuri wao katika afya na maisha bora ,tunakushukuru kwa kuguswa na hili jambo muhimu katika wizara yako,tumeona uwajibikaji na kazi yako nzuri kwa muda mfupi,mungu akusaidi pia dada flora atazidi kupata nguvu kwa kuja kumpa ushirikiano ni mfano mzuri kwa viongozi wengine wawe kama wewe👏👏👏👏👏👏
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
Kila palipo na uzito na wepesi upo kila jambo Allah ulileta na maana yake 🙏🙏🙏usikate tamaa kwa rehma za mungu
@abdulbagayan6143 жыл бұрын
Naaam Kabisa
@gradnessshitindishitindi48813 жыл бұрын
We waziri unaakili Sana nmependa Sana ulivomtetea flora wangu
@arnesyaurio63463 жыл бұрын
Asante Dada Flora Mungu azidi kukulinda, unafanya kazi kubwa sana, I love so much ❤ God bless you 🙏🏼
@عباسعباس-ش9ه4ت3 жыл бұрын
Mungu awajaalie wote jamani
@keifatuke993 жыл бұрын
I love Dorothy 💘Gwajima
@makitahuduma21683 жыл бұрын
Mungu aendelee kumlinda na kumtia nguvu shamsa. Mungu atamuinua kutoka alipo mpaka viwango vya juu. By now yuko mikononi salama, chini ya mkurugenzi wa Eden schools, Madam Mbabazi, ni mzazi na mlezi mcha Mungu. Atamlea vizuri coz natambua malezi yake kwangu na mdogo wangu na classmate wangu. Eden secondary from 2008. PEACE, LOVE and UNITY
@elizabwakila25483 жыл бұрын
Mungu akubariki mwalimu! Wachache wenye Moyo huo.
@phyillicenyambura55433 жыл бұрын
Kweli kabsa
@florandomba68223 жыл бұрын
Asante mama Kwa maneno mazuri kwa flora ,,,, Mungu aendelee kukuongoza vema,,,
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
Mungu amsimamiye na kumfanyia wepesi shamsa kwa safari ya elimu ,Allah akubariki mwalimu uliyeomba kumsaidia shamsa,na pia akubariki mama mweshimiwa gwajima
@esthermtambalike1273 жыл бұрын
Nimekuelewa waziri, Hongera da Frola kwa kazi nzuri za jamii
@manasadunia34583 жыл бұрын
Nimeona mama Gwajima unavyolia kwa uchungu 😭😭
@afraalramadhani91593 жыл бұрын
Maneo ya waziri kweli ...na flora umipata changa moto nyingi lakini mwaka huu, mlango yanafuguka ..
@fatemaligalawa19183 жыл бұрын
Nikweri imefunguka kwawote DaFrola ,mmilikiwashule na Shamsa kutembelewa na waziri 🤲🤲💕💕
@kinungarashidi30413 жыл бұрын
Hongera sana da frola mwenyezimungu akujaalie ujasili na afya njema
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Mashallah mashallah mama ngwajima mungu akubariki na akuzidishie ulendo akutolee maradhi na akungalue ww na kizazi chako.
@nasrahassan73463 жыл бұрын
Mashaallah mtt mzuri ongera waziri wa Afya
@leahwamono32773 жыл бұрын
Pongezi kubwa sana kutoka kwangu kuelekea kwa mama Dorothy mungu akulinde jamani ubarikiwe Zaidi.,
@suzanmutende4683 жыл бұрын
Safi sana Mama Dorothy Mh. Waziri Wa Afya.Mungu Akubariki na Da Frola na Mkurugenzi Wa hiyo shule.
@christinachriss92313 жыл бұрын
Hii ndio dini Safi kuwasaidia yatima na wajane,Mungu awabariki wote waliowapokea hawa watoto
@coolwaveac76593 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Waziri wetu
@saudahassan66673 жыл бұрын
Waziri wetu mama yetu asante sana kwa kaz nzur ila mamaang kuna mtoto maximum TV waziri wetu msaidie jicho Lake limevimba mno ukiangalia mamaake kafark
@peragiaisdor63153 жыл бұрын
Yani yule mtoto 😭😭😭
@fatemaligalawa19183 жыл бұрын
Ndiomana tunasemaga Kaka Zahir awenaushilikiano na Da Frola ila Zahir mmmmh kidogoingesaidia 🤲🤲
@mariamgodfrey533 жыл бұрын
Kweli kabisa
@naimamzee273 жыл бұрын
Mashallah hongera Dada kwa kazi nzuri
@aby211113 жыл бұрын
Shamsa is another level ❤❤Shame on her dad,shame on her mammon uncle who is a money monger.😠 Allah bless Flora and the school owner. Angeles on earth. ❤❤
@merinajuma69483 жыл бұрын
Daaaah inauma 😓 kiukwl hongra mama etu na dada angu flo kipnz Cha wengi ❤️
@مباركا-ر3ف3 жыл бұрын
MashaAllah Gwajima kwa kuguswa kwamtoto Shamsa
@fetty_nihurumie32923 жыл бұрын
Pongezi kwako dada flora go go go NEVER give up Nihurumie Foundation Pemba tupo nyuma yako hongera sana pamoja in shaa Allah
@esabelfadhili84323 жыл бұрын
Safiii sana Doctor Gwajima,wanawake hoyeeeeeee
@sarahtaste28763 жыл бұрын
Mama Gwajima jmn Mungu akubariki
@shamirahkantengwa92453 жыл бұрын
Mbabazi ni JINA LA Uganda 🇺🇬 linalomanisha HURUMA ,ASANTE SANA MAMA MUNGU AKUBARIK SANA
@anacretsindabaha93953 жыл бұрын
Kinyarwanda and kirundi pia
@judithmayunga71343 жыл бұрын
Kinyambo pia
@vivianbampikya44843 жыл бұрын
Wanyankore
@evalyn68593 жыл бұрын
Congratulations mwalimu
@abdulbagayan6143 жыл бұрын
Mashallah shemsa unakili yani nakupenda saana unaupendo
@kamikazisalma52093 жыл бұрын
Shukran da Flora iyote nijuhudizako mamy Allah akulipe kilala Kheri mamy 🙏
@roudhamahmoud7633 жыл бұрын
Asante waziristan kwa upendo na huruma
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama ngwajima mama mwenye shule na flora kwa kweli mungu atawabariki sana.
@tamaraseff.97073 жыл бұрын
I love how u pple are doing.may God bless u all.
@nzali50903 жыл бұрын
Waziri Leo umefanya la maana ila Kwa chanjo ya corona hapana
@nasrahassan73463 жыл бұрын
Ongera da frola kwa kazi zuri una moyo wa upendo kwa jamii nakupenda sana pia napenda kukufatilia kazi yako mungu atakubariki asante pia wazirii dah watt walitaka kunitoa nachoz wa llah poleni watt wazuri mungu atawarda
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
Mungu awabariki watoto hawa wote
@eliusdesidery42593 жыл бұрын
Congratulated mom👏
@jenipherkavusha16613 жыл бұрын
Hongera sana da Frola kwa kazi nzuri
@abaskhatoon94253 жыл бұрын
MA SHA ALLAH.MANENO MAZIRI MPAKA MACHOZI YAMENITOKA WALAHI.MM KMA MAMA BIBI MZAZI.HONGERA SANA WAZIRI.HUU NDIO UBINADAMU.ALHAMNDULILAH.
@mwana45993 жыл бұрын
Mh.Wazir Gwjima is visionary and intelligent . Practical.
@piuskusekwa31283 жыл бұрын
Muda mwingine wazir unanifurahisha mda mwingine bac tuuuu
@shalomizrael6673 жыл бұрын
MAMA YUKO SAFI SANA. TATIZO LIMELETWA NA ISSUE YA CORONA NA CHANJO . LAKINI MAMA NI MZURI SANA. MUNGU AMBARIKI
@mozasaid38693 жыл бұрын
Inshaallah Allah atawalipa wote mliochangia Shamsa , Wallahi machozi yamenitoka! Allah atawalipa
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Hongera sana flora juhudi zako ndio zimefanya mpaka serekalia imeingilia kati maana bila ww na watangazaji wa tv nyengine viomgozi hawawezi kuona vitu hivi.
@jazilaali65343 жыл бұрын
Maashaallah upo vizur
@ericalexandre21662 жыл бұрын
Mwanzo mzuri na taratibu ndo mwendo hata wengine walianza ivi na wamefika pia kwa System hii ujambazi unapungua kwa asilimia kubwa. Namuomba Mungu anisaidie iko siku nije kua Msaada kwenye hizi huduma
@nissamwapoladi73453 жыл бұрын
Huyu wairi mstaarabu sana yupo vizuri.Dada flora Mungu na aidi kukuinua umebarikiwa unacho kitu ambacho wengi hawana
@raynawilliam47193 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mama
@agathachikanenda9743 жыл бұрын
Hakika kila Jambo hupangwa na mungu,mwenyez mungu azidi kuwapa maisha marefuuuuu, dada frola una upendo wa agape. Wakat mwingine chozi huwa linanitoka.
@malilotv3 жыл бұрын
Mashallah waziri msaidie huyo flora na hiyo shule mungu atakulipa inshallah
@mauaselemani21333 жыл бұрын
Tunampenda sanaDr Frola Mtetezi wa wanyonge walio kata tamaa wote Dr frola anawainua na kuwatia faraja wengi uwezo hatuna Lakini hata shilingi mia nikiwa nayo walahi nitatuma
@andrewmalamsha30423 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa safi sana ubarikiwe
@marcellyimo2833 жыл бұрын
Mungu akubariki dada Frora
@estakapufi75823 жыл бұрын
Mungu anaweza kukupitisha ktk mapito magumu lakini anakuwa anamakusi na wewe kisha anakuvua kama samaki na kukuweka sehemu nzuli mungu awabaliki wote mlioguswa na matatizo ya hawa watoto.
@kabintmpase15443 жыл бұрын
MashaAllah mama kaz kaz
@mahbibabdulkarim86323 жыл бұрын
Shamsa anakupenda sana da frora yaani huyu mtt yuko smart sanaaaaaaaa
@hadijambaruku99603 жыл бұрын
Congratulations mum
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Muheshimiwa hizi taasisi zina saidia sana sana tunaomba mzishike mkono,wanapo kwama muwadaidie,na muwape nafasi wajitokeze kusaidia jamii,kazi hii sikila mtu ana moyo wa kufanya nikazi ngumu ngumu sana,zinachangamoto,ikiwa serikari itawasaidia ninaimani watoto wa mitaani hatakuwepo,ubakaji utapungua na wazee walio telekezwa wataishi kwa amani,tunaomba muwape hata maeneo ya kukidhi ukubwa wa tatizo maana ni haba na mahitaji ni makubwa sana,pia muwalinde,nao wanahitaji elimu na ushirikiano wenu,kazi zao ni ngumu sana,tunakushukuru sana sana maana umewatia moyo na kuwaelimisha pia
@asiashabani40743 жыл бұрын
Mama gwajima ugekuwa rais wa Tz ingependeza sana
@princess42173 жыл бұрын
🙏🏼🙏🙏mungu mwema ashukuriwe milele na milele
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
Allah Allah akusimamiye dada flora-nitetee2 kwa Kujali jamii mungu akusimamiye kila hatua
@rubinarajabali97203 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubarikini wote kwa kazi nzuri mnayofanya kwa watoto wetu Ameen
@listerlujiso60093 жыл бұрын
Inauma sana ukiwatazama hawa watoto eehh!Yesu tusaidie sana juu ya vizazi vyetu amen
@levinamboya16393 жыл бұрын
Ama kweli mama Gwaji girl nimekuelewa sanaaaa, yaani umenifurahisha balaaa, hao ustawi wa jamii Wala hawahitaji elimu ya chuo kikuu kuweza kushughulikia hayo matatizo
@raziahamisi84603 жыл бұрын
Mashallah shamsa
@roseshayo77133 жыл бұрын
Congrats❤ da floraaaa,,,,,,be blessed mummy
@robegodana74593 жыл бұрын
Ni kweli waziri mungu akulinde
@AliMohamed-kd1uc3 жыл бұрын
Watoto wanaliza, aiseeee Mungu awalinde wasome hadi wawe wasomi
@fsaad51163 жыл бұрын
MashaaAllah tabaraka Allah
@nsiaelieza95683 жыл бұрын
Waziri ufanye kweli Flora amejitolea miaka mingi isiwe siasa tu.
@mariamgodfrey533 жыл бұрын
Kweli kabisa
@fatimahants15263 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa waziri kuonyesha ushirikiano walezi wa shamsa flora pamoja na mukurungezi wa shule aliyeguswa na shamsa
@zubedalema34073 жыл бұрын
Homgera waziri hongera mama mbabazi hongera flora
@listerlujiso60093 жыл бұрын
Hakika Mungu Ni Mwema Kila Wakati Jaman Mungu Awasaidie Wakue Kimo Na Akili Amen
@marimabdlah81683 жыл бұрын
Kila penye uzito na wepesi upo,Jambo lolote la kheir lazima liwe na misukosuko,usivunjike moyo dada Flora
@gradnessshitindishitindi48813 жыл бұрын
Hongera da flora shamsa hataki kwenda na waziri anasema anabaki na mumy
@maggiekavai3 жыл бұрын
Wow 😍aki this girl......mungu awasaidie hawa watoto🙇♀️🙏
@vestinedusabe42853 жыл бұрын
Yaani siangaliagi channel nyingine kabula sijaingia hapa Da Flora nakupenda nami msaada wangu hapa ni like comment na shere maana ndoo uwezo wangu lakini siku nikibalikiwa first of all kwako da Flora
@keifatuke993 жыл бұрын
MashallaAllah
@gracetesha90233 жыл бұрын
Barbas nakupendaje! Mungu akukumbuke kwa kila jambo,Yaan da Florah hii shule ni nzuri saana,yaani ninapoiona kwenye Utube nafurahi
@harimakidesu36803 жыл бұрын
Piga makofi tafadhali leo speech yako ipo vizur sana
@emmakulatamulongomulongo75563 жыл бұрын
Mama gwajima unahekima sana ubarikiwe
@zuenajohn83253 жыл бұрын
Nampenda huyu mtoto Shamsa
@zakiarashed1443 жыл бұрын
Mungu akubariki dada frola
@laymashabani8323 жыл бұрын
Mungu awabaliki awa watoto Jamani dah
@lailajeremia12593 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua Anti Furola
@africangirllifestyle76863 жыл бұрын
Nimelia mungu akubariki mama mbabazi
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Hongereni wa mama
@jazilaali65343 жыл бұрын
Dada flora kwa wakati mugum ulio pitia sasa faraja imekuja mungu akubariki akupe afya njema