"WAZIRI MASAUNI MFIKISHIE HIZI SALAMU WAZIRI MWENZIO" - MNYIKA MSIBANI KWA ALLY KIBAO

  Рет қаралды 48,766

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 56
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 7 күн бұрын
Mungu waangamize wote wanaowaua watu wasio na hatia na walaaniwe na vizazi vyao
@madsonmmbwanga3037
@madsonmmbwanga3037 6 күн бұрын
Chadema ombeni msaada wa jopo la kisheria kutoka marekani mtampata muuaji na mtekaji bila hivyo sahau sio kwa huyu mama. Mnavuka mipaka Hadi kuwaua waislamu wenzio hii ni Hatari Sana
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 6 күн бұрын
Kiukweli mi sioni wanachofanya hao viobgoz wa chadema kila CK kuongea na vyombo vya habari Tu ivi hakuna njia mbadala
@dianaleo6067
@dianaleo6067 7 күн бұрын
Wapite tuu tena bila kupingwa hata sijali tena sababu sita piga kura TENA! Huyu mzee mnamuua kinyama jamani age yake teyari imeshaemda jamani😢mbona hamna utu!!! Nyie mliofanya hivi mmejilaani na kizazi chenu chote! Na damu ya mtu huwa inanena. Balaa, mikosi na laana ziwatafune mlipo!
@MwatijaFikoti
@MwatijaFikoti 7 күн бұрын
Inauma sana jamani
@KittoTereva
@KittoTereva 6 күн бұрын
Wengine mtaandika maneno ya kejeli, kwakuwa nafsi zetu zimejaa huu uhuni, Mungu awaozeshe matumbo. Amen
@BenoBeno-c4l
@BenoBeno-c4l 7 күн бұрын
Inna lillah wa inna ilaih radjighun..
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 7 күн бұрын
Samia kama hajamfukuza Masauni na mkuu wa police basi atakua anahusika. Haiwezekani Waziri wa mambo ya ndani aliyekua ana pinga hakuna utekaji na leo anashuhudia mtu aliyeuliwa kinyama. Tena alitekwa mbele ya kadamnasi. TULIA au Bettina alikana kabisa bungeni kuhusu utekaji. Leo anapita barabarani bila aibu?
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 7 күн бұрын
Bakari, umenena kwa busara sana
@Sheba4651
@Sheba4651 7 күн бұрын
Wanaonesha jinsi uchaguzi mkuu utakavyokua. Kule Zanzibar kuna mama mmoja aliwahi kusema hawatoi nchi kwa vikaratasi ( Kura) na Tanganyika yule jamaa juzi tu kasema wanakua maporini, Nape na ushindi wa njia yoyote ile, yule mwengine anasema ccm hahijitaji majaaliwa ya Mungu, hawana shida na Mungu kwenye harakati zao. ### Msishindane nao.
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e 7 күн бұрын
Umenena kwa hisia San kaka mungu akubaliki sana
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 7 күн бұрын
Mwamba kama mwamba umetisha
@Annslaa
@Annslaa 7 күн бұрын
Hogera sna kak Kwa hekima yako
@rithaurassa
@rithaurassa 7 күн бұрын
Hii nchi kungekuwa na viongoz wenye hekima na busara kama hawa viongoz nchi ingefika mbali san.
@SinarahaNtaraha
@SinarahaNtaraha 7 күн бұрын
Unahekima sana kaka yangu
@amosmachibya1800
@amosmachibya1800 7 күн бұрын
Maneno ya hekima na busara yakazidi kuwa kinywani mwako kaka.
@ewhite2806
@ewhite2806 6 күн бұрын
Ni huzuni kubwa kwa taifa
@GloryFrank-n6k
@GloryFrank-n6k 7 күн бұрын
Ee mungu ingilia kat wa2 wote wanaohusika mungu wap pigo kama waliomfany baba wawa2 ee mungu wa mbingun sikia kuliko cha watanzania
@Anton-t5c2w
@Anton-t5c2w 7 күн бұрын
Emanuel tafadhari Acha upumbavu usituongezee maumivu Acha viongoz waseme
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 7 күн бұрын
Polen sana.
@Karungi4B
@Karungi4B 7 күн бұрын
Poleni sana lakini kuanzia Leo mm nimarufuku kupiga kura wala mke wangu au wazazi wangu,kwan nimeona mnaleta utani na maisha ya watu.na nikimkuta mtu yoyote analete matangazo ya chama chochote katika nyumba yangu utanitambua
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 7 күн бұрын
Wewe kama mimi kalafu mtu aje aniletee kesi sijui zakupiga kura atarudi kwao
@user-fo5my5pe3b
@user-fo5my5pe3b 7 күн бұрын
Nakuunga mkono sipigagi kura mm kujianika bila faida
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 7 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤#pamoja
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 7 күн бұрын
Mi mwenyewe sipigagi tok nilimpigiaga kikwete tuuuu sijawahi tenaaa
@EdwineAlphonce
@EdwineAlphonce 4 күн бұрын
M4C
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 7 күн бұрын
Nimefurahi kukuona mnyika umenono nimegunduwa sauti yako tuu god bless u
@yussufsuleiman8836
@yussufsuleiman8836 7 күн бұрын
hawa hawana akili yani sehemu ya msiba wao wanaanza kugombana na kusema watu na ukizingatia wao kwa wao wana tabia ya kutekana
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 4 күн бұрын
Kama taila
@Anton-t5c2w
@Anton-t5c2w 7 күн бұрын
Uvumilivu kwetu umeisha
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 7 күн бұрын
Tatizo nyie vidomo domo vinawaponza badilikeni kuna maisha baada ya siasa
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 7 күн бұрын
Dah MTIHANI
@StephenRioba
@StephenRioba 7 күн бұрын
Muhache kugombanisha wananchi na serekali.Nyie wenyewe Mna migororo ya ndani kwa ndani msuluishe mambo yenu msiwaue wenzenu halafu mnasingizia serikali
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 7 күн бұрын
Kwahiyo Hawa wana bunduki za kuteka watu mchana na kuwaua Ili usaidie upelelezi au unaropoka tu
@smgburri
@smgburri 7 күн бұрын
Acha kutetea ujinga angekuw ndg yako ungeongea huo utumbo
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 7 күн бұрын
@@smgburri nahis ana masilahi na watekaji labda migogoro ya chama na mauaji ya mchana NDANI ya gari vina mahusiano Gani ndg Yang
@CyrusjosephKitala-t6k
@CyrusjosephKitala-t6k 7 күн бұрын
Akili kisoda nyie ndo mnaokwamisha hii nchi ujinga mwingi
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 7 күн бұрын
ww acha. ujinga unaongea utumbo kama upochoon kwakua sio ndugu yako ndiomana unapata ujasir wakulopoka unavojiskia
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 7 күн бұрын
Inaskitsha sana wana chadema kutumia msiba huu kama sehem ya kuisemea serikali wakati sio maeneo sahii wanafamilia wanalia nyinyi tena mnawaongezea machungu. Ivi taalifa ikitoka walio muuwa ni wana chadema itakuwaje? Naona mnaongea bila kuacha maneno ya akiba.
@aliyussuf8068
@aliyussuf8068 7 күн бұрын
sadakta maneno yko mawazo yetu ymeendana sana
@GraceMhoja-bu3ce
@GraceMhoja-bu3ce 7 күн бұрын
MUNGU Ipe faraja familia yake
@kammunisi2296
@kammunisi2296 7 күн бұрын
kwan basi halina ccv camera
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 7 күн бұрын
CCTV camera siku ya tukio zilikuwa hazifnyi kazi 😂😂😂
@zacharianjanga
@zacharianjanga 7 күн бұрын
poleni sana ila chadema nina wasi na ninyi hamuaminiki
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 4 күн бұрын
Siku yakifika kwako wewe utaongea nini acha ujinga kushakucha
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 7 күн бұрын
Mbweha na wenzake wanajua walipo. Achen drama. Police wanalinda watu, achen kuwa chafua.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 7 күн бұрын
Kichaa anachekesha kama sio ndugu yako
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e 7 күн бұрын
Siku akitekwaa nduguyo akil itakukaa saw
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 7 күн бұрын
Siku akitekwa mama yako ndio utafunguka akili
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 6 күн бұрын
@@AhmedAli-gh1lm nani atamteka pimbi ww. Mnadanganywa na hyo Mbweha wenu
@binseif2216
@binseif2216 7 күн бұрын
Kwani Mwenyekiti wa chadema hatoshi kuongea hapo??mpka hawa wengine viongozi wengine waongee nawenyewe???
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 7 күн бұрын
Huyu nae mchaga?
@walterngowi5835
@walterngowi5835 6 күн бұрын
Wee vp babu klm na Tanga unatofautishaje mbaguz wee mbwa wee 😎😎
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 190 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
🔴#LIVE:GOODMORNING YA WASAFI  FM 2024 - 17/09/2024
Wasafi Media
Рет қаралды 284
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН