Nikuulize waziri,1.nini KAZI ya vyuo vya walimu? 2.baada ya mwalimu kufanya mitihani kilichomthibitisha kuwa mwalimu ni nini? 3.hamna Imani na vyuo,wakufunzi na Baraza la mitihani? 4.unahakika ipi kufaulu mtihani huo ndo kipimo Cha ualimu Bora?,5.mheshimiwa naona unajisahau vp hapo ulipo ulifundishwa na walimu wa aina Gani?Nakushauri waziri 1. mitihani ianzie serikalini Kwa mawaziri na watumishi wengine,pia wabunge nao wafanyishwe mitihani,peleka pia mitihani mahakamani nao wakafanye
@hermanhhaaly9685 Жыл бұрын
Hivi professor unaweza kuongea utumbo wa kiasi hicho,vyuo vinafanya kazi gani,sema huna nafasi za ajira,vijana Ni wengi mtaani,serikali imeshindwa kuwaajiri.Usitafute sababu za kuendelea kuwaweka vijana mtaani.Umeproove wewe niprofessor wa hovyo hunatofauti Ni Mungai aliyevuruga mitaala ya elimu
@SYLMASVISIONFORSCIENCE Жыл бұрын
Hili liko sawa kabisa maana Kuna changamoto Sana katika kupta walimu Bora
@BabuelTarimoTRIMO3 ай бұрын
Mathayo
@ntegrity277 Жыл бұрын
Hili swala mwalimu kufanya mtihani ni ujinga! Walimu wengi hawajui kufanya mitihani ila wanajua kufundisha
@gloriamwita33116 ай бұрын
Nakuunga mkono
@ERICKRUGAMBILWA10 ай бұрын
Nyie kuja kuwa wabunge mnafanya mitihan gani kama sikupig tuuu uongo kwa maskini na mwsho tunapata Bora wabunge na c wabunge bora
@GloriousSawe3 ай бұрын
Nukuu maneno ya wazir anapenda fair distribution of education resources.Mtu amekaa nyumbani miaka 10 ametestiwa mitihani yote mpaka amemaliza degree .Ndani ya miaka 10 mtu huyo anahaswa na maisha leo unasema umpe mtihani umtest akifeli unaona ni mjinga.Hapo bado tatizo lipo
@GloriousSawe3 ай бұрын
Atleaast mngeangalia GPA Namaanisha mngeajir kwa kuzongatia kigezo cha GPA.Kwa sasa kuwapa mitihani mnataka mjitoe kwa kuwa ni wengi.Swala la mitihani lilitakiwa kuwepo kuanzia siku za nyuma kwa nin mlete sasa hivi wakati kuna mlundikano wa watu mtaani
@fgm753 Жыл бұрын
Shida siyo walimu bali shida kubwa ni mfumo mzima wa elimu.
@marcominja8850 Жыл бұрын
Imekaa vizuri hiyo, lazima wafanye interview.
@haroubmbarouk78588 ай бұрын
Ww ulie comment hivyo unahusika na hiyo fani au unacoment tu
@EsterKindoli6 ай бұрын
Hajielew uyo achana nae😂@@haroubmbarouk7858
@LusajoKabuka3 күн бұрын
Mwe jamani watoto ndo basi Tena we bosi hiyo hapana mtu amekaa miaka kumi mmm
@onesmoakwilini7197 Жыл бұрын
Good kama umefuzu mafunzo unawasiwasi gani na mtihani
@SaimonMsole Жыл бұрын
Duuuuh nchi ya Moto hii kipindi nasoma tuliuza kila kitu nyumban wazazi wakiamini nitakuja kuwakomboa leo hii naonà aibu ata kukaa nao karibu
@EsterKindoli6 ай бұрын
Jaman 😢
@mohammedshaaban9509 Жыл бұрын
Kwenye medical field haya ni mambo ya kawaida tushazoea na hatuoni shida juu ya hilo Nadhan hapa sasa elimu yetu inazidi kuwa matured
@SalmaRashidi-wx8ro Жыл бұрын
Nchi hii inamaana Haina imani na vyuo vilivyopo? Je vyuo hivyo viliidhinishwa na Nani? Je wakufunzi waliopo hawaaminiki? Tanzania inaelekea wapi? Tafakari Sana waziri
@JohnMayanga-w8v4 ай бұрын
Wewe ni waziri wa kwanza kwa hili ondoni ni bovu halileti tija
@HassanHamad-rf9tq8 ай бұрын
Wewee waziri unapaswa kufanya mtihani iliy upewee hivyo nafasi ya uwaziri
@gloriamwita33116 ай бұрын
Inamaana ukikosa mwaka mwingine unafanya mtihan tena had utakapo faulu au ukifel imeisha hvyo
@JohnStephen-f5i4 ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho ni ovyo kabisa maana kauli zako haziko sawa hivi unaposema ualimu ni kazi walimu wanatafuta baada ya kukosa kazi zingine? Mbona hutendi haki na hii ni dharau kwa walimu. Waziri hapo rudi ukafanye utafiti mtaharibu kabisa eti walioko kazini hawatahusika na hapo unatafuta ubora wa mwalimu kivipi sasa Tanzania kwa mfumo huu mnaharibu elimu
@BabuelTarimoTRIMO3 ай бұрын
Wew ulisoma wapi? Unauhakika hao walimu waliokufundisha walifanyiwa usahili ? Acha mambo yenu huko kama hamna ajira achen kuchanganya watu
@GeorgeMwita-ul6ny10 ай бұрын
Lini hakivitatendeka?nimefanya mitihani ya taifa kama ifuatavyo,1,darasa la nne2,darasa la saba 3.kidato cha 2,4.kidato cha 4,5.Form 6,.6.Chuo,sasa na Nimefaulu vyote hyo tena ili nipate ajira naambiwa nifanye mtihani????,Duuh kaz tunayo walimu ??,Waliopo kazini wao wanaandaliwa mitihani ama maana na wao ni walimu kama ss tuliopo mtaani??,Serikali fikirieni upya swala hili kama n hvo haina maana tena kuwepo vyuo vya walimu,maana huko ndo naamini tunapofanya mitihani,,,Walimu wenzangu tunaosota mtaani kazi tunayo,,Duuuh ni shidaa!!!
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Ina maana vyuo na wakufunzi waliowaandaa hawa waalimu, hamuwaamini. Nchi ngumu xn hii
@ahmedhamis11 ай бұрын
Vyuo haviaminiwi na serikali.tufanye iviii tusome Kila mtu kivyake then tukitaka ajira mtupe huo mtihani
@amekombo6424 Жыл бұрын
Ebu achin ujing nyiny boreshen elim n sio kuibomoa
@JohnMayanga-w8v4 ай бұрын
Ondoni hili waziri wewe utakuwa ni w
@SalmaRashidi-wx8ro Жыл бұрын
Je serikali itawapeleka wapi walimu waliomtaani? Tukumbuke toka mwaka 2015 hakukuwa na ajira suala Hilo lingeandaliwa kuanza na wale wanaoingia vyuoni mwaka huu vinginevyo tutaandaa utegemezi mkubwa kwa Taifa
@darkenkaal8656 Жыл бұрын
Hii inchi imeanza Kuwa ya kiwaki sana asa hvi vyuo vya kazi gani?
@mahmudiSegumba-oh8uk Жыл бұрын
Ngoma nzito mmeshaishindwa badala ya kusema mmeshindwa mnatafuta sababu wajinga kweli ninyi
@KibonaZele11 ай бұрын
Je,mtihan wa taifa wa walimu una maana gani??
@haroubmbarouk78588 ай бұрын
Je hiyo mitihani itatolewa kulingana na mitaala ya mwanafunzi?
@haroubmbarouk78588 ай бұрын
Bs pasieepo na haja na kwenda kusomea ualimu chuoni