Mheshimiwa waziri vipi kitabu changu kilichodhulumiwa kufundishwa kwenye shule za sekondari cha Saa ya Ukombozi ambazo sasa ni mwaka unacho mezani kwako?
@agripinas.michael64195 күн бұрын
Hivyo vitabu mlete sasa hii ni February
@ChancellorFelix-vm5yp5 күн бұрын
Somo la biashara na somo la kodi inatakiwa liingzwe kwenye huo mtaara watu wajue ishu ya Kodi Toka wakiwa wadogo sio mtu anavokua mtu mzma anaona jambo jipya na hii sera tunaona anapewa maua kikwete na Samia tu inamaana Magufuli hakufanya chochote kwenye hio sera au ndio uchawa unaendelea kutafuna taifa letu
@isaliisu34084 күн бұрын
Hii sera ni ya kikwete samiya labda utekelezaji ndiyo ni katika wakati wake magufuli hayumo kwenye huu mpngo