MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE BAADA YA KUINGIA NA UNIFORM ZA SHULE NA MADAFTARI KUWAONESHA

  Рет қаралды 242,559

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

"Asilimia 50 ya presha ambayo watu wanayo sasa hivi ni suala la elimu na suala hili sio kwenye elimu yenyewe, leo nimekuja na mfano wa daftari ambazo shule zinasomea, shule binafsi wanasomea daftari la sh 200 ambapo kwa mwanafunzi madaftari 11 itakuwa 2200 lakini shule ya Serikali inasomea counter book, counterbook 11 ni sawa na sh 55,000 ambayo ni sawa na gunia la mahindi au mpunga sasa inawezekanaje matajiri wakasomea daftari la Sh 200, maskini wakasomea daftari la sh 5500 na mnasema watu wana stress ni kweli watu hawana raha na shule, nina mfano wa uniform hapa, shule za binafsi ni rangi hizi, uniform za shule za Serikali ni rangi nyeupe ni vipi mzazi ataweza kufua kila siku, Wazazi wanashinda wananunua sabuni na kufua tunaongeza umaskini badala kuongeza elimu"-Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2021/22.

Пікірлер: 505
@adamumbise9755
@adamumbise9755 3 жыл бұрын
Mm sichoki kbsa jmn kuangalia hii clip... naombeni like
@HashimuHashboy-bo2wl
@HashimuHashboy-bo2wl 8 ай бұрын
Hata mm sijawahi kuchoka ntaangalia maisha yangu yote yaliobaki
@peterkalii5939
@peterkalii5939 3 жыл бұрын
I like your contributions Mheshimiwa Peter Kalii Kenya
@sospeterkansapa1748
@sospeterkansapa1748 3 жыл бұрын
Hakika Kishimba is a Natural Genius. Nakushukuru Mheshimiwa Spika kwa Kukazia Tafsiri ya Kazi.
@ediusgabriely615
@ediusgabriely615 3 жыл бұрын
Mheshimiwa kishimba ishi daimaa sana nakukubali sana, unaongea uharisia wa mambo, Mungu akubariki sana🤝👊💪
@Sangaadam
@Sangaadam 3 жыл бұрын
Mzee Kishimba huwa una kwenda right to the point...... Ubaya kila kitu tunacopy toka kwa wazungu Kuna haja ya kubadilika na kua na module zetu kulingana na mfumo wa maisha yetu.... Kweli nimekubari "Great minds discuss ideas"
@happynesskibona2679
@happynesskibona2679 3 жыл бұрын
Wapi bw mbona hata wazungu wenyewe Hawavai sare za shule Africa tubadilike jamani
@yosephnguyaine2810
@yosephnguyaine2810 3 жыл бұрын
Hawa ndiyo Wabunge wanaohitajika katika jamii ya Kitanzania. Hongera sana Kishimba.
@issahsaid7759
@issahsaid7759 3 жыл бұрын
Umesema uharisia wa maisha ya Mtz, hongera tajiri yangu w Zamani
@raimajimoto1122
@raimajimoto1122 3 жыл бұрын
Uyu mzee namuelewa sanaaaaa
@aminamano775
@aminamano775 3 жыл бұрын
Very intelligent person. Mungu akupe maisha marefu.facts of life
@emmanuelromanus2757
@emmanuelromanus2757 3 жыл бұрын
Mzee uko vizuri...umeongea more than points. Big up mzee.
@josephmwashambwa357
@josephmwashambwa357 3 жыл бұрын
Hongera sana kishimba kwa upeo mkubwa wa mambo.
@maimunakassim2840
@maimunakassim2840 3 жыл бұрын
Mzee wetu huyu ametugawia sana madaftari na kalam shule za msingi igoma mhandu na nyakato mwanza enzi hizo.mungu akulipe shujaa wa elim
@davidlukaja4524
@davidlukaja4524 9 ай бұрын
Mai
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 3 жыл бұрын
Akili ya waliolishwa vichwa vya samaki Sato wa ziwa Victoria 😁 Safi sana Mb Kishimba Profesa
@andreamsemwa7872
@andreamsemwa7872 3 жыл бұрын
Hongera mh. Kishimba mungu akupe nguvu unaongea point very nice
@alvinbernad6549
@alvinbernad6549 3 жыл бұрын
Mzee yupo vizur sana anafikiri mbali sana!
@Jackson-Novat
@Jackson-Novat 3 жыл бұрын
Mzee wangu umeongea vizuri sana. Mungu akubariki sana.
@josephkaitira4735
@josephkaitira4735 3 жыл бұрын
Wow! Mh. Kishimba uko vzr, unazungumza vtu vyenye uhalisia, lakn kw bahati mbaya tunaokuelewa n wale tulio upande wa makali, wao walio upande wa mpindi ndo Kwanza hawajali lolote Wala chochote, maana ELIMU y sehem kubwa Dunia ipo under control y colonial master, hvy implementation inakuw pasua kichwa!
@sariellameck9134
@sariellameck9134 3 жыл бұрын
Safi sana mbungee. Nice comment MH spker
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Wakulima wanayo sikukuu yao na maonesho yao. Hongera Spika kuwa na Mh kama Prof Kishimba.
@bensonjr4879
@bensonjr4879 3 жыл бұрын
Viongozi wanaotoka kanda ya ziwa so Genius
@gipsonmwankobela2825
@gipsonmwankobela2825 2 жыл бұрын
natural creative mind. hongera kishimba
@ahmedabry3508
@ahmedabry3508 3 жыл бұрын
Huyu mzee anaongea vitu muhimu Sana lkn tatizo kufatwa huo ushauri wake... Elimu ya Tanzania hamna kitu kabisa Yan.. Elimu mbovu Sana... From Muscat/Oman 🇴🇲
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 3 жыл бұрын
Kwani biology chemistry, physic nk tunayosoma Tanzania ina utofauti na.aehemu nyingine.duniani? Acheni ujinga elomu ndio hiyo hiyo hakuna tofuti
@tonyspencer1928
@tonyspencer1928 3 жыл бұрын
Kuna huyu mzee kishimba na polepole nawaelewa Sana 😊😊💪💪💪🦾
@adeltusbashara9720
@adeltusbashara9720 3 жыл бұрын
Kishimba uko juu sana aisee!
@ligobertwile6590
@ligobertwile6590 3 жыл бұрын
Daah, Mzee kishimba uko vizuri! Asante kwa mawazo yako kwani tukiyafanyia kazi yatatufikisha mbali!!
@kiddyadams
@kiddyadams 3 жыл бұрын
Tatizo Uko mbele ya muda ila iko siku watakuelewa tuu siku moja. keep pushing J4
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 жыл бұрын
Mbunge wa wanyonge hongera Sana kishimba
@isackmabanza1039
@isackmabanza1039 3 жыл бұрын
Wanyonge gan ww????
@classicscoresmartine9098
@classicscoresmartine9098 3 жыл бұрын
Mzee chukua mirinda nyeusi popote ntakuja kulipaa👍👍👍
@japhetheliakimu4678
@japhetheliakimu4678 3 жыл бұрын
Sawa kbs pro...kishimba
@nginirasaire5876
@nginirasaire5876 3 жыл бұрын
This man is very creative
@dieudonnejohnson5200
@dieudonnejohnson5200 2 жыл бұрын
Huyu Mzee ni kichwa saaana tena sana yaan!!👌💪💪💪
@officialsteeve2384
@officialsteeve2384 3 жыл бұрын
Mh.Kishimba mungu akulinde mbunge wangu na aendelee kukupa maarifa zaidi uweze kututoa apa tulipo mana mawazo yako n yenye nguvu sana kwa ustawi na maendeleo ya taifa letu🙏🙏🙏
@hezronkihaga6675
@hezronkihaga6675 3 жыл бұрын
Unliwaa,😁😁😁
@getaride-tanzaniacarpoolin7508
@getaride-tanzaniacarpoolin7508 3 жыл бұрын
Very powerful, anaongelea elimu inayohusu dual vacation education and training/duale Ausbildung
@priscamedadi1108
@priscamedadi1108 3 жыл бұрын
Uongozi ni hekima sio elimu hakika mungu azidi kukubaliki. Mzee wangu. Ulicho eleza nikweli kabisa
@ryobabinagwa1281
@ryobabinagwa1281 3 жыл бұрын
Mzee wetu anaongea point sana
@DamasAugustino
@DamasAugustino Ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa kishimba,hakika unatoa elimu bora
@johnmaina6081
@johnmaina6081 3 жыл бұрын
Mheshimiwa kishimba kachimba.... Big up Sana kwake
@patriciacosmas5944
@patriciacosmas5944 3 жыл бұрын
Darasa la Saba tuko vizuri Sana tatizo hatujaa vaa tu Yale majoho yao.mnaona point zetu .👍👍👍
@geeva99
@geeva99 3 жыл бұрын
Sometimes yale majoho ni mkosi, ni sawa nukuambiwa wewe ni spiderman alafu unapewa na vazi la spiderman na verification card kumbe hamna kitu sio spider man ilikuwa halloween party tu
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
You what, probably, oh may God, okay, ooh Yes , ok I do haaaaaaaaa
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 3 жыл бұрын
Uyu mh kishimba he's unstoppable man namuelewa sana. Anafaa kuwa wazir. Ana points nzur coz anakaa na wananchi yaan anakuwa anayajua matatzo na asili yake🔥💪💪
@ALLYIMZEE
@ALLYIMZEE 3 жыл бұрын
Positive Ideas Mr. MP
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 жыл бұрын
Safi Sana we mbunge mm nafua mashati ya wanangu kilasiku
@pius_kiraka
@pius_kiraka 3 жыл бұрын
Hongera sana, Mhe. Kishimba, kwa kujaribu kudokeza namna elimu yetu inavyotakiwa kuwa. Elimu inayoakisi mazingira yetu. Lakini "wasomi" wanaotakiwa kuleta mabadiliko ya aina hiyo hawatakuelewa. Wataishia kucheka tu, halafu hoja yako itapotezwa. Tuisuke upya elimu yetu. Tuchanganye mawazo ya "wasomi" na sisi wananchi wa kawaida ili kupata mitaala ya elimu inayowafaa watoto wa wananchi wa kawaida wa nchi hii. Tumezama kwenye biashara ya English Medium, taifa linateketea.
@agnessndakidemi2775
@agnessndakidemi2775 3 жыл бұрын
big up kishimba, uko vizur
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Mzee kishimba huwa anafanya research kwanza ndo anaongea huwa hakurupuki tuu afu naona amezungukwa na watoto wakali safi sanaaa
@alvinbernad6549
@alvinbernad6549 3 жыл бұрын
Umeonaeee
@amanimartin5527
@amanimartin5527 3 жыл бұрын
Hahaha hujaacha kuwaona watoto wakali
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Hahahaha
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Bunge la asahiv limejaa pc kali kishenzi awam ijayo najitupia namimi potelea mbali
@Abdulsattar-gb1no
@Abdulsattar-gb1no Жыл бұрын
You are my teacher thank you professor
@tumainimnzava320
@tumainimnzava320 3 жыл бұрын
Mbunge hodari sana kwa hoja nzuri tu kila wakati tunashukuru
@georgiamasangu6025
@georgiamasangu6025 3 жыл бұрын
Safi sana mbunge akili kubwa sana sana👏
@tynnahpaul8639
@tynnahpaul8639 3 жыл бұрын
Thanksssss kwa kukumbuka daraja la chin
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
Aaah baba angu mwenyewe muheshimiwa profesa yaani huwa napenda nikikusikiliza hoja zako nisiwe na shuhuli yoyote yakunichanganya kwakweli MUNGU akubariki sana zikifanyiwa kazi hoja zako tutafika mbali nshaallah
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 3 жыл бұрын
Mashaallah, an apt speech is big up
@daharanirashidi4655
@daharanirashidi4655 3 жыл бұрын
Mzee kishimba watachelewa kukuelewa Kwa sababu wabunge wengi ni wa mjinin maisha ya kijijin awayajui nakpongeza sana
@deusmgema8612
@deusmgema8612 3 жыл бұрын
Safiiii sanaaaa mh kishimba unatoa darasa bungeni kwa lugha inyoeleweka sana wabunge unganeni na kishimba kuishauri serikali vijijini kuna hali ngumu sana ya maisha . wanakahama hongereni kumchagua MTU huyu ana akiri nyingi sana
@abuukilanga2249
@abuukilanga2249 3 жыл бұрын
Nice one mr ndugaai
@ousmanjuma3396
@ousmanjuma3396 3 жыл бұрын
My president prof.kishimba
@MussaHugugu-n1z
@MussaHugugu-n1z Ай бұрын
Big up sana ni zaid ya point
@kangaelias7782
@kangaelias7782 Жыл бұрын
Da!😂😂😂😂😂😂😂😂, Nakukubali Sana mheshimiwa kishimba
@saidsalum6101
@saidsalum6101 3 жыл бұрын
Safi sana mbunge kishimba na spika wabunge alafu hizi sherehe naona nisikukuu zawafanyakazi waselikalini tu sisi wengine zinakuwa kama hazituhusu vile
@cecykaitanus7873
@cecykaitanus7873 Жыл бұрын
Very clever man. A true leader
@hammagosej72
@hammagosej72 3 жыл бұрын
Positive thinker ...... Naaaam nimependa hii
@sagalaboe676
@sagalaboe676 3 жыл бұрын
Big up sanaa Mzee shoutout to U
@frankkaijage9726
@frankkaijage9726 3 жыл бұрын
Napenda sana.kumsikia Kishimba 👏👏👏
@zawadikassim7621
@zawadikassim7621 3 жыл бұрын
Great thinker Mr Kishimba.
@danieltenson4175
@danieltenson4175 3 жыл бұрын
Katika Tanzania huyu ndo mbunge wangu ingawa hayupo kwenye jimbo langu! Mzee ana akili nyingi sanaaaa! Mama Mtazame sana huyu dingi apewe uwaziri wa elimu, ndalichako awe naibu waziri wake! Yaani yuko na maakili mingi sanaaaaaaa
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates 3 жыл бұрын
Hakika kwakweli🙏🙏🙌
@miriamsaidi1047
@miriamsaidi1047 3 жыл бұрын
Dah mzee yupo sawa sana
@agusmileofficial2845
@agusmileofficial2845 3 жыл бұрын
Uyuu mbungee ninomaa sanaa anaoja nzuriii kuliko
@alexjackson6608
@alexjackson6608 3 жыл бұрын
Well done!!!!!!!
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 3 жыл бұрын
Kumbe spika pia uko vizuri hivyo! Mungu awajalie kusimamia ukweli na uhalisi wa mambo kwa taifa wakati wote.
@ayubuhamisi7314
@ayubuhamisi7314 2 жыл бұрын
da aiyisee nilikuwa nakukubali sana mheshimiwa ndugai
@kitambiluwingo8659
@kitambiluwingo8659 2 жыл бұрын
Point sana kwa mbuge ,kishimba
@rukiajumaa574
@rukiajumaa574 3 жыл бұрын
Kwa sasa wanaona unachekesha,,,,lakn wanasubiri ufe ndo waelewe maneno yako baba.....lkn for me i appreciate you Mbunge wang
@issazakaria863
@issazakaria863 3 жыл бұрын
Akili kubwa sana
@iddyrashid1009
@iddyrashid1009 3 жыл бұрын
Nampongeza sana mbunge kishimba kwa kuona umuhimu wa elimu kwa watu wa hali za kawaida, ni kweli elimu yetu ya tanzania inavipengele ambavyo ni vigumu, tunamuomba mh waziri wakae chini kuliangalia hili swala kwa kina
@honmaka6200
@honmaka6200 2 жыл бұрын
Job ukiwaga kwenye usawa wako you are too genius and visionary man but shida yako ilikuwaga tu hasira ila hapo uliongea sana point ukiimarisha hoja ya Kishimba the genius Mp
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 3 жыл бұрын
Huyu Mzee yupo kwenye field ya Maisha kwa miaka mingi sana,na practically ameiva Sana,ndio maana haamini katika kukaa Sana darasani,ni kweli tunapoteza muda,mfano unataka kuwa billionea,utasoma Hadi lini,wenzetu miaka 25 kama hujatajirika basi tena wewe unakufa masikini Tu,lbd uanze kutumia ndumba uue watu.
@mssakihama6415
@mssakihama6415 3 жыл бұрын
Spika ndugai Leo nimekuelewa Sana mtani.na hongera Sana bro kishimba.
@issahsaid7759
@issahsaid7759 3 жыл бұрын
Asante sana kw mchango mzuri
@brayancharz5378
@brayancharz5378 3 жыл бұрын
Uyu mzee oja zake ziko poa Sana,tatizo wanampuuza,elimu ya bongo magumashi sana
@dr.amos..ngailomd
@dr.amos..ngailomd 2 жыл бұрын
Very intelligent person
@franshyera8970
@franshyera8970 3 жыл бұрын
Kishimba uko vizuri sanaaaaaaa. God bless U
@christopherkazumba1952
@christopherkazumba1952 3 жыл бұрын
Uko vizuri
@christopherkazumba1952
@christopherkazumba1952 3 жыл бұрын
Safi
@pattymars2200
@pattymars2200 3 жыл бұрын
Uko sahihi mzee....
@remawetumi8916
@remawetumi8916 3 жыл бұрын
Profound thinker
@ayubumligi6663
@ayubumligi6663 3 жыл бұрын
Genius sana huyu jamaa
@josephnealahas2548
@josephnealahas2548 3 жыл бұрын
Hakika wewe unawakilisha wananchi,big up kishimba.
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 3 жыл бұрын
anasoma vehicle mechanic, anajua definition ya mechanic,anajua network's rulls zote,anajua mahesabu yote ya mechanic, anasomeshwa hadi what's the meaning of car,, kwa mda wa miaka 4 ili apate degrees na kapata GPA ya kwanza ,,lkn kutia na kutoa tyres hajui, hawezi , aliefeli shule hajui definition ya chochote ila ukimpa miaka 2 tu garages anakufungulia engine na anairudisha ,,, thus why i say dunia inabadilika tena very fasta kuna gari zinakuja zitakua zinajiendesha zenyewe lkn hadi kesho ukienda driving school wanakuambia ni only Manuel car ndo wanasomesha ,yani kama skuli inatoa elimu Basi kwa sasa elim za shule zishapitwa na wakati ,,, UKITAKA SAII UFANIKIWE 1, SOMA DINI HADI UFIKE CONCLUSION YA KUA IPI DINI SAHIHI 2,SOMA INTERNATIONAL LANGUAGE 3,JIAMINI HUNA AMBACHO HUWEZI 4,INGIA MTANI UJIFUNZE KILA UNACHOKITAKA KWA VITENDO, COS UKIELEWA VITENDO VYA KAZI FLANI UHAKIKA THEORIES UNAWEZA UKAANDIKA MWENYEO,,,,, 4,ACHA USHAMBA WA KUJIPA UZALENDO WA NCHI ,JIAMBIE DUNIA NZIMA NCHI YAKO ,NENDA UNAPOTAK DUNIANI KMA HUKO UNAISI UTAPATA RIZIKI,, I LOVE U ALL, AM #HAPPY TO BE #MUSLIM
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 3 жыл бұрын
Mzee kishimba bhana,sijui kwa nn hawakupi hata unaibu Waziri
@TAMBIMEGELI
@TAMBIMEGELI 8 ай бұрын
Kishimba big up
@astkasunga8995
@astkasunga8995 2 жыл бұрын
Nampenda bure Mhe. Kishimba
@edwardkanchori2665
@edwardkanchori2665 3 жыл бұрын
Infact prf kishimba en speaker
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Jamaaa anaakili sana
@kanirnb
@kanirnb 2 жыл бұрын
Aliemuona yemi alade nyuma ya kishimba kama mm apige like😁😁
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 3 жыл бұрын
Mzee umejuwa kufanya kilichokupeleka humo ,uko vizuri Sana
@jasonnjagi5200
@jasonnjagi5200 3 жыл бұрын
Mzee unajua sana
@majutoomary4037
@majutoomary4037 3 жыл бұрын
Dah huyu mzee namkubali sana🤣🤣
@simonhaule8976
@simonhaule8976 3 жыл бұрын
Nic mp
@monicakalinga8258
@monicakalinga8258 3 жыл бұрын
Huuyu baba nmempenda bure ni bonge la genius
@abdulsinga2464
@abdulsinga2464 3 жыл бұрын
Duuu bg up mh point
@shamirakasim8648
@shamirakasim8648 3 жыл бұрын
Safi mzeee umeongea uhalisia wa maisha yetu
@ameenaabdood2974
@ameenaabdood2974 3 жыл бұрын
Safi sana baba umejua kututetea
@thomaskaungo11
@thomaskaungo11 3 жыл бұрын
Hongera kishjmba wetu
@casperegreen3034
@casperegreen3034 3 жыл бұрын
Dahhhh akili kubwa sana
@omaryregga5315
@omaryregga5315 3 жыл бұрын
Nakubar dingi
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 3 жыл бұрын
Huyu mbunge anaufahamu wa juu Sanaa hakuna mbunge mwenye ufahamu kama huyu anakumbuka alikotoka
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 211 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
Tundu Lissu Vs Mwana Sheria Mkuu Bungeni
7:05
SIMU. Tv
Рет қаралды 1,1 МЛН
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 41 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН