Рет қаралды 530
SIMU. Tv
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini kutenga maeneo kwa ajili ya mafunzo maalumu ya kilimo ili kuhakikisha kunakuwa na kilimo chenye tija.