nataman huwe rais we baba in sha allah allah anipokere dua rangu huwa nikikuona we namkumbuka mzarendo wetu magufuri nataman huwe rais wa nch unafanya kaz nzuri na mzarendo allah hakuongoze na hakusimamie katka mwenzi mtukufu wa Ramandan ameen?
@iddizuberi2120 Жыл бұрын
Ipo cku utakuwa kiongozi wa Taifa
@vincentauxerbius7554 Жыл бұрын
Huyu mzee achukue tu hii nchi mm naona ana kitu ndani yake ambacho mungu amekiweka tukimpata huyu nchi hii inakwenda kubadilika👏👏😁😁
@ziadaissa9607 Жыл бұрын
Hongera wazir mkuu na serikali yetu tukufu
@alizaharan1471 Жыл бұрын
Safi sana wana ruwangwa Tuitunze hospital yetu kwakweli Mungu atusimame kwakweli tuilinde na tuitunze HOPSITAL YETU MAANA UKISHA IBIWA VIFAA NDIO TUMESHA POTEZA MUELEKEO TUTAKWENDA KUTIBIWA KWENGINE
@stephanominja8927 Жыл бұрын
Uko pekeee sana mh!!! Mungu akutunze🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Kwa nini wanaiba? Jiulize ?
@abdulhamis9825 Жыл бұрын
Ni Hvo Tu Hatuna Mamlaka Ndani Ya CHAMA lkn Ww Ndio Rais Pekee Uliyebaki Ndani Ya Chama Chetu
@brunoinnocent8474 Жыл бұрын
NAKUKUBALI SANA KAKA
@renatusmathias1162 Жыл бұрын
Mwandishi, EMD haiwezi kujengwa kwa mil.30, Serikali ilitoa fedha mil. 300 katika utekelezaji wa miradi ya Majengo ya huduma za dharura (EMD) nchini, Na hizo fedha ni nje ya bajeti ya usimikaji wa mifumo ya hewa tiba.n.k. Lakin pia mwandishi kwa taarifa serikali imetoa vifaa vyenye thaman ya zaidi ya bil. 18 ktk kukamilisha huduma za dharura kwenye hiyo miradi.
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Kwanini upigaji umekuwa mkubwa sana tangu Magu aondokee?