WAZIRI SILAA AWANASA MATAPELI WA VIWANJA TOANGOMA | BIBI ATAKA KUIBIWA KIWANJA BILA KUJUA |WAKAMATWA

  Рет қаралды 17,301

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

SILAA ANASA MATAPELI WA VIWANJA
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa pamoja na NSSF waliweka mtego wa kuwanasa matapeli wanaowauzia wananchi viwanja katika eneo la Tuangoma Manispaa ya Temeke kwa njia ya udanganyifu ambalo ni eneo ka mradi wa nyumba za NSSF.
Silaa amefanya maamuzi hayo leo mara baada ya kupokea taarifa kuhusu baadhi ya watu kuuzia wananchi maeneo hayo.

Пікірлер: 36
@laylayl5166
@laylayl5166 4 ай бұрын
Yaani Mimi nakuombea dua kwa mwenyezi mungu akulinde waziri wetu silaa mafisadi washindwe
@salumally663
@salumally663 4 ай бұрын
Safi sana dr Jerry SILAA..yaan huyo tapeli ana kikundi chake na alishawahi kutaka kunitapeli ila alishindwa ..Na hawa maskani pale Toangoma bar...Wanasifika kwa kutumia ushirikina sana na wanashirkiana na watendaji wa serekali wa mtaa...hongera..
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
Bibi hata Haelewi yaani😅😅😅..Jery Na Makonda Wako Vzr
@afraeliazaelayo
@afraeliazaelayo 4 ай бұрын
Asante Mungu Wetu.Walinde na Kuwabariki watendaji/wasimamia haki Tanzania.
@kimandafukitefu2999
@kimandafukitefu2999 4 ай бұрын
Kati ya waziri ambaye anaifanya kazi yake ipasavyo ni huyu jamaa
@EsterEdward-eo6ds
@EsterEdward-eo6ds 4 ай бұрын
Kweli kabisa ni waziri wa kipekee MUNGU AKULINDE WEWE NA WOTE WENYE KUSIMAMIA HAKI NA UKWELI DAIMA
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 ай бұрын
Wallah huu mtihani. Huu ufisadi utaixha lini 😢
@SudiMgonza
@SudiMgonza 4 ай бұрын
Safi sana waziri kaka yangu alitakiwa kupigwa huko ila nilimsaidia kwa kuwa najua sheria
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 ай бұрын
Na kisemvule na vikindu wachunguzww. Hadi CHANIKA WANAOUZA MAJUMBA YA KITAPERI
@adamummy4363
@adamummy4363 4 ай бұрын
Bibi wa watu kashakwama dahh njaa hizi 😂😂😂😂😂😂
@lukasmaro4280
@lukasmaro4280 4 ай бұрын
Mama Samia 🎉🎉 W Slaa💐💐 Makondaa💫 mwingine nkumbusheni
@NeemaAmani-v4z
@NeemaAmani-v4z 4 ай бұрын
Jamani mbona kama namuona jirani yangu 😢😢 kumbe tapeli
@MegaAbby1010
@MegaAbby1010 4 ай бұрын
Jerry Slaa endelea na kazi. Usiwasikilize wanaokurdisha nyuma eti huwezi kutatua migogoro yote.
@BaltazariSatu
@BaltazariSatu 4 ай бұрын
Duu kazi ipo
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 4 ай бұрын
Raisi samia tunaomba huyu waziri abaki hapo hapo usimuhamishe 🙏
@AmaniMrema-i3i
@AmaniMrema-i3i 4 ай бұрын
Njoo kigambon mh. Silaa, kata ya kisarawe
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 4 ай бұрын
Mimi Sina namba ya Samia, ila ningeweza, kumwambia amuache slaa kwanza kwenye hiii wizara miaka 10
@EsterEdward-eo6ds
@EsterEdward-eo6ds 4 ай бұрын
Kweli kabisa MUNGU akulinde wewe na familia yako
@MarthaBura-or8fe
@MarthaBura-or8fe 4 ай бұрын
Dahaaa waziri unahitaji kupongenzi nyingi njoo kinyamwezi pungu jamani
@AmaniMrema-i3i
@AmaniMrema-i3i 4 ай бұрын
Mh.. naomba usogee kisarwe (2) kigamboni,,kuna utapeli Mkubwa wa viwanja hasa yupo mweketi wa mtaa naye ni jipu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 ай бұрын
Tobaa 😰
@EsterEdward-eo6ds
@EsterEdward-eo6ds 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@SabinaKassera-cq9lb
@SabinaKassera-cq9lb 4 ай бұрын
Watu pia wmeacha vwnja viao kuwa pori mnooo
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 4 ай бұрын
Mi mwenyewe kidogo manusura dege nitapeliwe muuzaji alishirikiana na watendaji walighaghania niwape pesa kwa karatasi za copy nilipolazimisha lazima wanipe original ndio niwape pesa wakakasirika. Muuzaji alisema ana haraka ya kuondoka anakaa kibaha nikamwambia siwezi kutoa pesa kiholela wakati ht kujuana hatujuani. Wote ni matapeli
@robertphilip385
@robertphilip385 4 ай бұрын
Duuuu hi inchi inamatapeli wewengi!!!
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 4 ай бұрын
Nimegundua kuna watanzania wengi wanakulupuka bila kufanya uchunguz ndio maana wanatapeliwa
@ImeldaIsdory
@ImeldaIsdory 4 ай бұрын
Naomba watu wasiwe wanajenga kuta juu ya Mawe au Pin za Wizara. Tunashindwa kutambua mipaka yetu. Wengine tunakuwa hatutaki kuunganisha kuta zetu na majirani! Inaleta utata.
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 4 ай бұрын
Kwingine umeboronga ila. Kwa slaa na makonda, na kwenye maji uko sawa
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 4 ай бұрын
Ichi kibibi nacho kijizi jamani
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
Duh
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 4 ай бұрын
Huyo bibi mpaka wino wa dole gumba anayo anajifanya hajauza anamuogopa waziri😂😂😂
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 4 ай бұрын
Huyo Anavyoonekana Hayuko Sawa.
@mmichaeleletricet4554
@mmichaeleletricet4554 4 ай бұрын
Yupo sawa kabisaa nikatapeli kanajifanyaa yaani achana na tapeli bana
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 4 ай бұрын
@@mmichaeleletricet4554 jamani kumbe utapeli hauna kijana wala mzee 🤣 🤣 🤣 sasa waziri awe makini sana ama atapewa haki mtu mwingine akadhulumiwe mwingine!
@mmichaeleletricet4554
@mmichaeleletricet4554 4 ай бұрын
Yaaani hakuna kuna wazeee
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 ай бұрын
Lukuvi aibu yako
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
Bomoabomoa kwa waliovamia maeneo Toangoma, NSSF yatoa msimamo
6:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,7 М.
SASSA | "Fraud" uncovered in SRD grant
21:28
SABC News
Рет қаралды 35 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН