kwa ubishi tulio kuwa nao watanzanzania ..... itakuwa kazi watu kuamini hili..... ila sisi waelewa ngoja tuendelee kupiga pesa kupitia crypto.... Asante mkuu .
@christophertz2 жыл бұрын
Kapige pesa aiseee 😂😂😂😂😂😂
@elishaobadia88292 жыл бұрын
@@christophertz tunapiga kitambo mzee
@hirdagidioni81622 ай бұрын
Hapo vip mbona mwenendo wake ni kama ilivotokea kwenye great economic crises
@samwelkavwanga44915 ай бұрын
Vitu vya kusadikika
@pmnyabaturi448411 ай бұрын
Tumeshatangulia
@Shebby_inc2 жыл бұрын
Mstuambie ivyo sisi😂😂😂😂
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Kwa Tanzania ni vigumu kumuelewesha mtu akakuelewa ila kuna nchi duniani huu mfumo wanautumia muhimu ni kupata elimu ya kutosha
@youngpaincompany1440 Жыл бұрын
Oya mnamjua kinoma
@samsonsamwel2273 Жыл бұрын
Bulla jpy
@youngpaincompany1440 Жыл бұрын
@@samsonsamwel2273 Sam icon 😂😂😂
@ZyidSeleman Жыл бұрын
Kiama kinakarbia kinoma ilivobashiriwa mfumo wa kutumia namba huoo twenden tu wenye kutaka paradiso rudi kwa mola ila utasota
@alphamenson3784 Жыл бұрын
Bitcoin is like other ponzi schemes, acha tusubiri time itaongea
@ramiahassani56032 жыл бұрын
kwa hayo maelezo huo ni mfumo hatari sana kwasababu, kama mmiliki hajulikani, it means ikitokea shida yeyote hakuna utakae kwenda kumdai kama ilivyo mtu kwenda kupeleka madai au malalamiko kwenye bank husika, pili imetangazwa ni ngumu kuhakiwa, hapo jua vilikuwepo vingi vilikua ni ngumu kuhakiwa na sashivi vinakiwa kiulaini tu!, hio itakuwa ni mbinu ya kuwapukutisha matajiri watakao ishobokea mifumo hio.