Kalynda, Scatec, kwanini Watanzania bado wanatapeliwa ? Je! Biashara ya Cryptocurrency ni utapeli?

  Рет қаралды 29,099

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Kwanini Watanzania wanaendelea kutapeliwa na makampuni ya mtandaoni yakiwemo Kalynda na Scatec ambayo yametokomea na mamilioni ya watu? Fuatilia mahojiano haya

Пікірлер: 196
@ibrahimjuma8766
@ibrahimjuma8766 Жыл бұрын
Aisee polen sana kwa yaliyowakuta , ushauri wangu save more than what you spend utanishukuru one day or wekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji ama mifugo, stop these non sense onliine marketing and blablablaa mi nilishapigwaga kama ngoma miaka hiyo nafaham vyema maumivu yake niliumia sana so now nasave and spend and enjoying every moment of my life am loving a happy life now, polen ndigu zangu🙉🙉
@saidsenga8607
@saidsenga8607 Жыл бұрын
Mwamba upo vizur kudadavua mambo mbaka kichwa kianauma, ni mwendo wa ku-pause, kutafakar ,ku-rewind na ku-play mbaka video imeisha
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 Жыл бұрын
Jamaa anavyoongea unataman kuendelea kumsikiliza
@mwandustar
@mwandustar Жыл бұрын
Elimu kubwa na nzuri sana. Asante Sky kwa kumualika mtu huyu🙏🏿
@ramonawatoto
@ramonawatoto Жыл бұрын
Tatizo ni watu wenyewe hawataki kujielimisha juu ya multilevel marketing. Hii ni biashara ambayo one of the greatest Boss in the world ni network marketing but una umuhimu, ulazima, na sababu za msingi kufahamu ni namna gani biashara ya network marketing ina operate. 1. Kampuni ina bidhaa au huduma? Kama hamna ni utapeli. 2. Bidhaa zake unaweza kupurchase (kuafford) hizo bidhaa kama siyo mwanachama? If not ndiyo yale ya QNET 3. Je, ni lazima uunge watu ndipo uingize pesa? If yes that's a scam 4. Wamiliki wa campuni wanafahamika? Ifo not that a scam 5. Mamalaka za nchi husika zimeidhinisha shughuli za hoyo campuni kwa vielelezo au ni kwa usajili tu?
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Ndugu yangu Kuna nyingine inaitwa alliance group inapiga watu kinoma Yani kijjn vjana wametoa laki Saba kinglio yanii n huruma
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@matridamwalyoyo1735 mi nadhani wacha wapigwe ili next time watie akili coz kutwa wanaambiwa ila hawataki kuskia
@bongorecaps3558
@bongorecaps3558 Жыл бұрын
@@matridamwalyoyo1735 hiyo laki saba angekuja nikamfundisha Zeppelin au forex angeish kibos sana
@danieltungira3837
@danieltungira3837 Жыл бұрын
​@@bongorecaps3558 natamani sana kujifunza hiz mbil mkuu vp nasaidwaje mim
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Жыл бұрын
@@bongorecaps3558 naomba nifundishe miye
@ibrakanan
@ibrakanan Жыл бұрын
this is the best media in the country,,keep pushing skyy 🚀
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Huyu sasa nmemuelewa angalau ahsante Bro Sky kwa kumleta maana wale walokujaga wawili nilitoka empt kabisa
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 Жыл бұрын
Sababu ya watu kupigwa na hizi biashara ni kutaka kutoa kidogo na kupata kikubwa sana within short time
@tondolombwilo8058
@tondolombwilo8058 Жыл бұрын
E-commerce website ni jambo la kuwa makini Sana...ila ujinga hauendani na degree ulizonazo..tatizo pesa na Elimu pesa inanguvu sana....Kwa hiyo inatakiwa tuwe tunaelimishana Sana katika hili la online business
@bongorecaps3558
@bongorecaps3558 Жыл бұрын
Yan mtu unatapeliwa mpaka mil 10 si bora badala ya elf kumi kwa siku niwe namtumia demu wangu elf kumi kutwa mara tatu *Good Morning bby (muamala wa wa elf 10 ndwi) *Umepata lunch mpenzi? (Elf 10 nyingine) * Usiku mwema bby (msimbaz huo)
@mbembelatv
@mbembelatv Жыл бұрын
Content potential kama hii inatakiwa mwalimu Apunguze viingereza ili tuelewe vzr sisi darasa la 3 B
@lukizatv
@lukizatv Жыл бұрын
Nafurahia sana mahojiano yako Fredrick. Hua unatuletea watu wenye uelewa wa mambo . huangalii umaarufu pekee kama media zingine . Hongera kwa kutoa elimu
@babaloisethan7010
@babaloisethan7010 Жыл бұрын
Yap huyu jamaa ni Smart Sana,Hakuna siku ANAWEZA kukuletea kitu Cha kipuuzi,Ana jicho la mbali sanaa..THANKX BRO... Na hata wafanyakazi wenzake wako super sanaaaa💪💪💪💪
@moviezoone
@moviezoone Жыл бұрын
Very genious bruh
@robbywilson224
@robbywilson224 Жыл бұрын
SnS Bonge la kipindi…lakini jaribuni kuwambia waongee kiswahili ili watu waelewe…ndio kuongea kingeleza Tz watu wanaona ni kitu cha maana !!ushamba tu~ukiongea vitu vyenye Maana watu wanajua una uelewa kiasi gani"Hata km ukiongea kiswahili"kuna nch zingine ukienda kingeleza hawakijui na hawakitaki…Love from Hong Kong
@Laughters_club
@Laughters_club Жыл бұрын
Antony is one of the greatest guy here in Tz. Asante sana kwa kumleta kaka huyu jamaa anajua sana!!🙌🙌🙌 anajua anachokiongea kwasababu ana uzoefu wa kutosha sana i know him very well
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
Anaakili snaaa
@akbarston5344
@akbarston5344 Жыл бұрын
Nipe namba yake kaka
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 7 ай бұрын
Huyu aliingiza watu Bitcoin akawablock wotee wewe utakuwa humjui vizuri. Aliingiza watu Bitcoin alivyopiga hela akaenda Fx. Yeye na Kaput wake wa Marekani
@benben5002
@benben5002 Жыл бұрын
Sky nadhani itakuwa vizuri ukitengeneza kipindi kufundisha watu kuhusu multi level marketing (MLM) Businesses Scams
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Yaani kila nikijqribu kujifanya niielewe hiyo Kalynda kichwa kinauma na ucngiz unanipitia hapohapo 🤔🤔🤔🤔
@africanvoicetv9617
@africanvoicetv9617 Жыл бұрын
Bado hujaelewa
@msalikemedia
@msalikemedia Жыл бұрын
Hahaha Baraka Kusa
@maryamtan682
@maryamtan682 Жыл бұрын
Ww uko km mimi yaani
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Wengine tuko vijijini tuelimishe KALYNDA ni kitu gani?
@furahamwangosi3896
@furahamwangosi3896 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Very intellectual jamaaa
@furahakimaro3932
@furahakimaro3932 Жыл бұрын
it's all about supply and demand hayo ndo maneno yamsingi sana katika conversation yote big sana bro
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 Жыл бұрын
sky huyo jamaaa apunguzee kingerezaaaa
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Jamaa uko poa sana,very smart, honestly,
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Жыл бұрын
Africa kwa ujumla ni bara ambalo tumejaa watu mabwege sana ,na ndio maana hawa jamaa wanatupiga kila siku na tutapigwa mpaka mwisho wa dunia...biashara ya mtandaoni ya masuala ya pesa,kwa ujumla ni utapeli asante sky kwa kumleta huyu kaka amejaa madini
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Жыл бұрын
Hujui unachokiongea ndomaan unasema hvyo na utabaki kuwa bwege saana, kama hujui uliza, Forex na crypto currency cyo utapeli
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Жыл бұрын
@@jizzotheking9238 asante kaka mjuaaji Ingia uone kama hajalia mpaka makamasi yakutoke...hata ss tulikuwa kama ww...
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Жыл бұрын
@@vincentmushi1247 forex utapoteza kwa tamaa zako, hakuna utapeli ndani ya forex na crypto currency tatzo la watanzania niwavivu kujifunza vitu, trading ni risk ila inahtaj knowladge ya hali ya juu
@piusundisputed
@piusundisputed Жыл бұрын
Nice content, bravoo sky worker
@kombab1112
@kombab1112 9 ай бұрын
Yaani nilikuwa about kuweka hela co. Inaitwa NOVOPUS ila nadhani kipindi nimekielewa, asante.
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 Жыл бұрын
Aaaaanh kaka huyu genius 🤗🤗
@MwonekanoTv
@MwonekanoTv 11 ай бұрын
Good interview
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 7 ай бұрын
Jichanganye😂😂😂😂
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Жыл бұрын
Mi sitaki kujua cz sijawahi bet,sijui online business .
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 Жыл бұрын
Shida Watanzania wanapenda shortcuts. Kazi yoyote lazima uvuje jasho.
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni expert anajua anachokiongea.
@saidsalim851
@saidsalim851 Жыл бұрын
Poleni Sana wasomi majuhalaa maana hakunaga wasomi wahivyo
@saidmkashari6002
@saidmkashari6002 Жыл бұрын
Ila jamani tuacheni Cha Bure Siku zote
@jumamofu9573
@jumamofu9573 Жыл бұрын
Hizi Biashara hata sizielew hata unieleze masaa Mia nitaishia kupiga mihayo tu hao jamaa wangekuja kunishawishi wangepata shida na hivi kichwa changu kigumu ndo kabisaa
@jojomwamba5669
@jojomwamba5669 Жыл бұрын
😄 🤣 😂
@shijamasemba5175
@shijamasemba5175 Жыл бұрын
na kilichowapoza wengi ni hii kalyinda kutangazwa itv kila siku
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Жыл бұрын
Wala,kilichowaponza ni slope,sio kutangazwa itv, kalynda ni ponzi scheme hata itangazwe TBC
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Жыл бұрын
Ila kazi nzuri nimejifunza kitu kwenye kidhungu tu umeniacha
@Estherbongo
@Estherbongo Жыл бұрын
Sina hamu niliweka milion tano na nilikop,,
@lio28183
@lio28183 Жыл бұрын
Tunajua unajua kiingereza hata sisi tunakijua, ila kwa faida ya wengi uwe unazungumza kiswahili!! Jamii lengwa hapa ni wanaozungunza lugha ya kiswahili, acha misifa.
@stejasatv7349
@stejasatv7349 Жыл бұрын
Zipo nyingi sana Kuna zircon, network pesa nyingi sana
@deborajohn7285
@deborajohn7285 Жыл бұрын
Ndio maana mm sitakagi kabisa kumwamin mtu ,eti anishauri biashara mtandaoni , jibu namwabia ukipata faida ww inatosha ,na ile global ishafikia wapi maana na wale walikuwa wanashauri watu sana
@paskaliernest370
@paskaliernest370 Жыл бұрын
Nakubali mentor👊👊
@Josh_1194
@Josh_1194 Жыл бұрын
Sky ukiweza tafuta issue ya Quardiga uwasanue watu , hizi issue za online zinawaliza weng hata nchi za wenzetu
@The7101987
@The7101987 Жыл бұрын
Jamani Me naomba tu kipande kidogo cha video hapo anaposema we ukiona unapigwa mara ya kwanza, yapili, ya3 ujue we ni mjinga. Maana kuna Mtu kapigwa toka DECI hadi Kalynda namwambia anasema yeye ni risk taker, so ukiona we mwoga ni mjinga huwezi kutoboa. Nikamwambia ndio upigwe zaidi ya mara 3?
@kingnass4552
@kingnass4552 Жыл бұрын
Kwenye suala la trading ni linahitaji elimu kubwa sana pesa ipo na risk ipo kubwa pia
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Big yes
@palmer2351
@palmer2351 Жыл бұрын
Bwana sky mpe kipindi uyu mshkaji atupe elimu yupo wide sana
@bokimmwamba2322
@bokimmwamba2322 Жыл бұрын
Tuwaachie hawahawa 😂😂😂😂 yaani ni ngumu kueleweka balaa evolution sikuelewa kibiti Sasa hii kitu mbn 🔥🔥🔥🔥
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Sasa walisajiliwaje kwani waliowasajili hawajaona hayo
@Amoss24update
@Amoss24update Жыл бұрын
Kalynda 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@johreuben3520
@johreuben3520 Жыл бұрын
Nice speech 💪
@jasmin7527
@jasmin7527 Жыл бұрын
Yan me Kuna jamaa yng kujarbu kunishawish sana akanipa namba ya cjui ndo kiongoz nimemuulza maswal kabla ya mm kufaidika nyinyi mnafaidika vp majibu hayaelewek me nikamwambia mwana oya hao kaa nao kwa makini hao jau after one month kibuyu,,,,,acha nitrade zng MTFE mm
@philipocharles9239
@philipocharles9239 Жыл бұрын
Oyaa hivi kule trust wallet zile fursa ushazicheck Kuna mnyama aitwa AFP nafanya staking vip anafaa? Maana anamfumo wa liqudity provide Mara pig pen time lock za piggy bank vip anafaa???
@SafiaOmar
@SafiaOmar Жыл бұрын
Vipi hio MTFE sio hao hao matapeli? Maana nayo ni maarufu sana Kwa sasa
@frezixsabk8078
@frezixsabk8078 Жыл бұрын
Ananichanganya tu na si elewi kabisa, na siwezi ingia kwenye izi mambo.
@salehaliy7198
@salehaliy7198 Жыл бұрын
Tumia smartphone ufilisike ili akili iingie kichwani,ikija kampuni nyengine msisite kwenda kujiunga
@msambyaonlinetv3934
@msambyaonlinetv3934 Жыл бұрын
Bwanaaa nawewe Ndio wale wale Mfunze Mkeo nawewe
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
Hahaha acha makasiriko ulisha pigwa nini na wewe
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Жыл бұрын
Riba na Kamari mwisho wake kilio na kusaga meno.....Hamna tofauti na hayo!
@gadsonobeid6278
@gadsonobeid6278 Жыл бұрын
Traders wengi ni waongo , ndio maana biashara inaonekana ya kitapeli
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Жыл бұрын
Uwongo wa watu haufanyi biashara iwe ya kuitapeli,ni vile wabongo tu wanapenda slope kweny kila kitu ndomana wanapigwa kila siku
@EricksenJr99tzchannel
@EricksenJr99tzchannel Жыл бұрын
Kweli kabisa
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 Жыл бұрын
Ww jamaa uko Tanzania na unajua kiswahili Kwanini unachanganya sana lugha au kiseahili chetu hakina maneno ya kutosha mpaka ukakope maneno kwenye lugha ya kingereza
@egbertcarter3665
@egbertcarter3665 Жыл бұрын
Skywalker ametuliaaa sana, kichwa kinaumaaa 😅
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
😅😅😅
@gadsonobeid6278
@gadsonobeid6278 Жыл бұрын
Bro jibu swali kama unavyoulizwa, usijibu unachokijua tu.
@biozim3316
@biozim3316 Жыл бұрын
Crowd 1
@lucasonlinetv2644
@lucasonlinetv2644 Жыл бұрын
Nimekuelewa kaka
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Well spoken
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 10 ай бұрын
Yaan kaka uyu mtu anachoeleza hakiendan na kichwa cha habari
@mohamedsalum8933
@mohamedsalum8933 Жыл бұрын
Ss unapochanganya lugha namna Hii ni wangapi watakuelewa? Isitoshe waathirika wengi nimeona ni kina mama hasa wasiokuwa na elimu ya kuweza kuelewa. Jaribuni kujirekebisha hpo. Binafsi SnS mmenikera Wala cwez kuckiliza.
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Jamaaaa akilii mingii ❤
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Watanzania wengi si wasom wala wasio wasomi wanapenda pesa za bure unakuta jitu lipo ofcin alaf linakwambia likupe pesa ulifugie mbuz sijui kuku lenyewe liwe ninapata faida😀😀😀
@japhetkavishe2347
@japhetkavishe2347 Жыл бұрын
Kwaiyo wasiwe wanatupa pesa tuwazalishie?
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 7 ай бұрын
Huyu jamaaa alichotufanyiaa hatutamsahau maisha Bitcoin na Bitchain😂😂😂😂😂😂😂. Huyu Tonny na Beka da!!!
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Duh
@kingnass4552
@kingnass4552 Жыл бұрын
Sababu kubwa ni elimu na ufahamu juu ya masuala ya biashara ya mtandao na hawaelewi nini biashara za mtandao,,, kikubwa kila kitu ama kila mtu zinaweza kumfikia taarifa kama hizi pakiwa na mahojiano ya mara kwa mara
@wisperfect5320
@wisperfect5320 Жыл бұрын
Sema umaskini hapo elimu hayupo😂
@businesstanzania
@businesstanzania Жыл бұрын
Nimeangalia Hii Video Kwasababu Ya Sky Tu Rakini Huyo Jamaa Sijamuelewa Hata Moja Katika Alioongea.
@jeremiahsanare6336
@jeremiahsanare6336 Жыл бұрын
Kuna baadhi ya mambo inatakiwa kuongelewa hapa makampuni yamekua meng Hasa za kubeti pesa inayokusanywa na makampuni ni nyingi mno uwezo wa kushinda ni asilimia ndogo sana kwhyo inabidi labda kama mtu kabet el5 mtu akikosa na hajafanikiwa kushinda kampuni inagawa kiasi hicho mtu aliecheza betting mana tunapigwa sana kwenye kubeti mfano nimebet elf5 alafu nimekosa ushindi kampuni inachukua 3000 na kunirudisha 2000 nijaribu bahati nyngne
@KindnessForTheSoul
@KindnessForTheSoul Жыл бұрын
How to contact this person
@Cheromalltv
@Cheromalltv Жыл бұрын
Mm kuna Dada anaitwa Given kapotea na 10M zangu na haikuwa as kalynda au scatec ni mtu ambae nimefany nae bshara mda mrefu nimempa mzigo wa Tv katokomea nao nashindwa nmueke kundi la Tapeli au kitu gan maan nilimuamin sana
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Pamoja na kwamba umeeleza mambo mengi ya msingi, lakini suala la kampuni kusajiliwa kuwa inafanya hiki halafu ikafanya kinyume na kile walichoombea usajili kisheria ni sawa? Hapo bado suala la utapeli litabaki pale pale na inafaa washughulikiwe kwa kutenda kinyume na mikataba ya kusajiliwa kwao!
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 Жыл бұрын
Ukiwa mjinga lazima utapigwa helaa 😎😎😎
@shaibhasan9233
@shaibhasan9233 Жыл бұрын
Kalinda 😭😭
@salumnuhu9066
@salumnuhu9066 Жыл бұрын
Bado mnatapeliwa Tu mpaka Leo du tena wasomi ? Hii ni tamaa ya mafanikio yaharaka matokeo yake nikupigwa
@hillarymunishi1920
@hillarymunishi1920 Жыл бұрын
Sky anasema yeye anafanya staking tu kwenye crypto currency. Je unapofanya staking utakiwi kuanalyse market ? pili . Je price ya iyo coin aliofanya staking ikishuka je ? hapo naona hajui ku trade bado . a good trader can hold an asset for even two to four weeks . mbaya ni Day trading because it looks like gambling . Kama anaweza kustake for a month why cant he hold a currency for a month ?
@selemankahabiemmanuel8807
@selemankahabiemmanuel8807 Жыл бұрын
Rudi darassaniii kiongz Bado San ww
@selemankahabiemmanuel8807
@selemankahabiemmanuel8807 Жыл бұрын
Trading ni kipati kidogo San kweny crypto currency
@cosmaheptas8089
@cosmaheptas8089 Жыл бұрын
Kwann serkali isiingilie kat wakat serikal ndio imewashawish ITV kila siku asubuh inawatangaza huyo samia kila siku anatuambia tuwekeze kwenye makampunny kama hayo tuache kutumia bando la bule hizi campanny nizaserkali ndio maana
@mirajiabdallah1339
@mirajiabdallah1339 Жыл бұрын
appreciate sky
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 10 ай бұрын
natamani nkutane na uyu jamaa nipingane nae kwa hoja
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Жыл бұрын
Watanzania wengi hasa vijana wavivu kufanya kaz wanataka mtelemko hakuna pesa za rahisi kama hvyo
@victorburchard584
@victorburchard584 Жыл бұрын
Sure
@pilihamis9657
@pilihamis9657 Жыл бұрын
Kabsa
@paulyusuph7572
@paulyusuph7572 Жыл бұрын
Kalyinda kalynda kalyinda🤣🤣🤣🤣🤣
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Жыл бұрын
Waendelee kulima kuuza mikaa kubeba mizigo kuendesha maguta bodaboda mama lishe wauza maduka tax drivers wauza karanga! Wafanyakaz wa ndani! Then pesa wapeleke kwenye makampuni zikaliwe MAANA HAWASIKII HATA UWAAMBIE NINI! HATA WAKIELEMISHWA WANAKUONA KAMA MNOKO HUWATAKII MEMA!
@festuswillium8614
@festuswillium8614 Жыл бұрын
umenena veeema saan asew👈
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Жыл бұрын
@@festuswillium8614 Kuna bint nilimwambia usishawishike! Mpaka kaja kuliwa million moja akili ndo imemkaa Sawa! Kutaka utajr kwa muda mfupi sjui magar yaani wanadanganywa saana!
@festuswillium8614
@festuswillium8614 Жыл бұрын
Aloo yaan watanzanii niseme tu waafrika kiujumla tunapeenda saan mseleleko pia ndo kitu megundua apa
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Жыл бұрын
@@festuswillium8614 sana
@fredymagesa4463
@fredymagesa4463 Жыл бұрын
upo vzr lakini kingereza kingi
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 Жыл бұрын
Mr kuku
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Huaga nazichukulia hizi biashara za forex na crypto currency ni kamari km kamari nyengine tu kula uliwe
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Жыл бұрын
Kuna jamaa alikua ananishawishi mi sikumwelewa kabisaa.
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Kwa sababu wtz asilimia kubwa ni akili ndogo na wagumu kuelewa
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 Жыл бұрын
Zambia ipo nyingine Ina taperi inaitwa frv nayo nahis soon watu watalia
@victorburchard584
@victorburchard584 Жыл бұрын
Haha
@rojakichwa202
@rojakichwa202 Жыл бұрын
Watupe chetu hatukufanya kwa makosa watu Wana Kila kitu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Ni ujinga na tamaa ya pesa za bure na ulinzi wetu katika pesa auko vizuri watu wanachukua pesa za watu na nothing happened sio iyo kampuni nyingi nk wanafanya ujinga tu frm big company mpk ndogo
@mullahmasudy2622
@mullahmasudy2622 Жыл бұрын
Na ITV nao kwahiyo hawajielewi au??? Maana wengi waliaminishwa na hicho kituo Cha ITV
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Minashkr nliwasanua mapema san biashara zakuingiza watu ni utapeli mtupu
@paschalnyololo8882
@paschalnyololo8882 Жыл бұрын
Sahivi tupo kwenye ulimwengu wa Decentralized application na siyo centralized application invest in training guys ‼️
@victorburchard584
@victorburchard584 Жыл бұрын
Sure kaka
@paschalnyololo8882
@paschalnyololo8882 Жыл бұрын
@@victorburchard584 sure
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Ata kwenye decentralized app unaweza pigwa pia na rug pull. Kuna scam kwenye kila kitu, just DYOR before huja invest kokote kule
@philipocharles9239
@philipocharles9239 Жыл бұрын
Afadhari nipigwe kwenye decentralize kuliko centralize maana kule nafanya kwa vitendo napoteza huku najifunza ulimwengu mpya unakoelekea sio huu upuuzi,oya Wana msitishwe hata darasana kuna waliofeli form two wakarudia ndo wenye mafanikio,kikubwa ni kujua unachokifanya,ila kitu kiitwacho kampuni sidanganyiki ng'oo!!
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
@@philipocharles9239 kwa kifupi hakuna pakwakuamini asilimia mia, kokote uwe na taadhali, mfano USDT inaweza loose its peg, pesa zako zikapotea, na izi unstablecoins zinaweza panda baada ata ya miaka 10 uko, hauwez jua mzee.
@dulliy654cyptrocurrency3
@dulliy654cyptrocurrency3 Жыл бұрын
Trizy nakuelewa kijana
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 Жыл бұрын
Fred umezingua sana niliwahi kucomment kuhusu UHALALI WA KALYNDA KABLA HATA HAIJATAPELI WATU ss hii video leo yakaz kani?? Unafki tu
@opportunities2767
@opportunities2767 Жыл бұрын
👀
@mariej6962
@mariej6962 Жыл бұрын
Utashangaa kuona even baada ya Kalynda kuna watu watakiwa kwenye makampuni yajayo
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 Жыл бұрын
Nyumbu bado ni wengi mno
@erickkimbe561
@erickkimbe561 Жыл бұрын
Vp kuhusu Q net
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Ilisha zungumziwa ni wizi tu na yenyewe
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Жыл бұрын
Kitonga ndio kinawaponza wabongo,kujifunza vitu hawataki,kazi kuparamia tu 😂
@francismwacha253
@francismwacha253 Жыл бұрын
Mimekuelewa sana mwamba..
@mariej6962
@mariej6962 Жыл бұрын
Huyu mtaalam ni asset ya taifa.
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Жыл бұрын
Boss sns huyu umemtoa wapi???Ana idea ila anamasifa ya kujisifia yeye mwenyewe wakati wewe unatizamia sisi wanajamii tuelewe
@Damarry-FX
@Damarry-FX Жыл бұрын
Comments: bushcraft ya crypto currency ni utapeli mkubwa. Maana mimi ni.epigwa sana na his biashara kabla sijaingia mazima kwenye forex trading. Kwa sasa ninapiga noti tu.
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Mmmhh mimi ata forex naogopa aiseee full presh jamani🤣
@Damarry-FX
@Damarry-FX Жыл бұрын
@@stellamsokwa6785 ndio hivyo ni bora huko kuliko ambako watu wanalizwa Kila kukicha. Mimi nineshazoea Maisha ya forex trading Basi.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 45 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 51 МЛН
TEKNOLOJIA YA BLOCKCHAIN NA SARAFU MTANDAO (CRYPTOCURRENCIES)
34:39
FIMAB FinTech Ltd
Рет қаралды 8 М.
Bromista Cha-Cha | D Billions en Español #shorts #db
0:35
D Billions Español
Рет қаралды 12 МЛН
小天使怎么跑到电视里面了?#short #angel #clown
0:37
Super Beauty team
Рет қаралды 6 МЛН
Кошкокрад и дядя #юмор #рекомендации #приколы
0:11