Nakuomba uje Transmara Lolgorian Narok County ,wamejenga msikiti mkubwa sana unaozidi wa Kisii, Migori ,Kericho, kwa lengo la kuwasilimisha Jamii ya wamasai wote.
@johnsonmachukamakori6410 Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha hacha upendeleo,hata Transmara kuna watu wa Mungu wanaokusubiri wewe.
@ismaelleloon2930 Жыл бұрын
Ukweli kwanza uku waislamu wamedanganya wengi sana .
@rsfdzxzx2274 Жыл бұрын
Wewe unaweza kabisa
@miltonchemalan946 Жыл бұрын
I love the way you challenge true bible
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Mashekhe wanahekma sana
@Amirak254 Жыл бұрын
ndugu NDACHA katika lile swala la corona ,kanisani viongozi ndio walikua wanasihi wafuasi wadungwe hiyo shindano.Kwanza wanadanganya,wasifuatwe.
@Davistoto1949 Жыл бұрын
Neema iwe juu yenu in Jesus name
@blues4life633 Жыл бұрын
Galatians 1:8-9
@reubenmulatya1184 Жыл бұрын
Mwalimu pastor mteule Francis Ndacha, tafadhali tuma Barua Embu Dallas uwanyamazishe waislamu makafiri wasilolijua Dini ya kweli mbele za Mungu baba Na yesu Kristo Bwana wetu 🙏
@mussakilo4916 Жыл бұрын
Soma yuda 1 4 utajua nani kafiri
@reubenmulatya1184 Жыл бұрын
@@mussakilo4916 Mohammadi Sio mtume Wa mungu ndugu yangu . Kasilimisha shetani,majini,kaoa mtoto Na mafundisho ya Ajabu kama kuoga Kwa mchanga,kunywa mkojo wa ngamia Na kuongelesha Nyoka. Pia kumzamisha nzi Kwa kunywaji au chakula Kwa nadai kuwa ety kuna Dawa kwenye mabawa yake
@ICON633 Жыл бұрын
Please be confirming to us how many Muslims have received christ so that we can celebrate together
@rashidgona1808 Жыл бұрын
Katika uisilam Kuna maneno ya muhamad ya kuhusu murtad so itakuwa ngumu ndacha kutangaza waisilam wanaobatizwa ila vnye siku zaenda wenyewe Huwa wanajishuhidia
@rosemutinda3076 Жыл бұрын
#VIRUS, Many they do but it's not Fair to bring them openly due to their safety, but if idividual who wants to come out openly it's okay.
@michaeldoroleo4864 Жыл бұрын
ni kosa kubwa sana kuwatangaza hadharani,😂😂na hii huwazubaisha kudhani hakuna anayeachana na uislam😂.
@mjombawallace4966 Жыл бұрын
Exactly we need to know but if they are identified Muslims will kill them
@rashidgona1808 Жыл бұрын
Mmmmmh waisilam mmezidi yaan dakika 10 mchangisho taar kwan hamwez tangaza dini ya Allah bila kuchangisha, nyinyi mnafanya biashara ama mnamtangaza Allah jaman
@patrickndungu1429 Жыл бұрын
Kazi mzuri ndacha,lakini kosoa paul kuhuzu manabii, ju anasema hakuna nabii wa siku hizi eti nabii wa mwisho alikuwa yohana
@christalgrandberry9283 Жыл бұрын
Upinzani wa nini? Wacheni kumudhiki yesu nyie wapotevu yesu ndie njia ya kweli anawanyeshea mvua waovu na wenye haki bila yesu ni bure❤❤
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
www anae leta mvua ni mungu ww acha kufuru
@MariaWambugha-nh1wh Жыл бұрын
Waisilamu hawana lolote uwango tu kama baba yao shetani😮😮😮😮😮😮😮
@rosemutinda3076 Жыл бұрын
Yaani waislamu walikuja dakika 10 kuomba sadaka jameni🤔 kwanza anaanza na noti kumbwa 1k ,hata waislamu wamejua Hoja Yao ilikuwa pesa 😁sasa wamejam Kwa vile imekosekana
@DevothaLupenza-jd1nt Жыл бұрын
Naipenda imani yangu na ninaiamin pia ee mwenyez mungu nisaidie nisije kengeuka yani kwenye maish yangu bora waniue lakin sio kuslim katik jin la YᗴՏᑌ
@junicnamuwenge6957 Жыл бұрын
Waisramu sataka ajbata ntiye maana
@rashidgona1808 Жыл бұрын
Aibuuuuuuu walimu kiisilam dakika 10 mchangisho yaan hata wafuasi wenu wamegundua mpango wenu acheni kiaibisha dini
@michaelmwaura8851 Жыл бұрын
Kwan mwalimu ndacha ulonlikoni
@Amirak254 Жыл бұрын
happy
@mjombawallace4966 Жыл бұрын
Ndacha wewe nimukali kweli nimekubali Ati Yohana Hana elimu pia Muhammad Hana elimu ukweli 😅😅😅😅😅😅😅 Umewaweza
@BarakadadaGerome-kz9mo7 ай бұрын
Nawuza kol ani niruga awo nkitabu?
@ludeelectronics Жыл бұрын
Mbona wamekimbia jamani wanaogopa nini
@dicksonkoech9528 Жыл бұрын
Hawajajipanga vilivyo
@rosemutinda3076 Жыл бұрын
Wameona hakuna sadaka wakaona aibu 🤣🤣 Hata Waislamu wamejua Hao ni Pesa walikuwa wamekujia 😁😁 Imagine dakika kumi wameanza kuomba sadaka
@lizzykerubo860 Жыл бұрын
Mwalimu ndacha huyo mwekiti mfunze bibilia ju anatuaibisha na iyo box amenyoa Leviticus 19:27 msinyoe denge jamen kama yeye ni mwana matengenezo
@everlynewanyama11 күн бұрын
Kwani huyu mwalimu wa kiislamu dakika kumi anataka kulipisha watu elfu kumi jamani alafu unapata muislamu anasema wakristo n pesa imewaeka kule. Hivi nkiuuliza nn amefunza watu😂😂😂😂
@blues4life633 Жыл бұрын
Kati ya Paulo na ndacha tumfate nani!?
@mjombawallace4966 Жыл бұрын
Acha mchanganyiko
@ikhavi Жыл бұрын
Hivi ndacha unasakidisha Koran kama neno la Mungu unapokitumia kutoa mafunzo??
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Biblia ni GIZA ya DUNIA.
@naftalioletipia5812 Жыл бұрын
Ole wako
@DevothaLupenza-jd1nt Жыл бұрын
pole yako
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Giza tena sana tu
@barackamosi4116 Жыл бұрын
Wewe kweli huna akili Giza ni hicho kitabu Cha koloani
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
@@barackamosi4116 Giza lake lpo wap chenye Giza ni Bible ndomana Kuna ibada ya jmos na j2 kina gza sana tu
@gatekanene5753 Жыл бұрын
Aki nimeceka gisi uyo shehe alivyo badilika na kushikwa na aibu 😂😂😂😂😂🙌 walimu wa waislamu munatiya aibu kila mkutano nyinyi nikuitisha pesa tu na hii ucumi ngumu ya Kenya Kwan nyinyi hamuoni maan yake nyinyi shida yenu ni pesa tu na sii kuokowa watu wa Mungu 😆 😂😂😂😂 aki wamejuwa kuwaibisha
@johnngige5794 Жыл бұрын
Hawa walimu wa kiislamu ni vioja tu. Yani wamekuja dakika kumi tu na wanaanza kuitisha pesa ya sadaka ati 10k, kwani ni biashara. Wakaona waislamu wamekataa kutoa pesa wakakula moto kwelikweli na kusema hata kesho hawatakuja Tena. Hadira ya nini kaw hufuma za mungu!!!! Waache njaa na wakuje debate kesho
@MariaWambugha-nh1wh Жыл бұрын
Wameogopea
@denismutethia2613 Жыл бұрын
following
@gatekanene5753 Жыл бұрын
Walimu wa ki Islam ☪️ wamezoweya kuitisha pesa na waislamu wameligunduwa hilo ndo manaa walika kimyia kama hawasikiyi 🤣🤣🤣🤣 walimu waliona hawapati hata 100 mbovu wakashikwa na hasira eti mkutano hauna heshima why? Nawakati ilikuwa vizuri tu waislamu walimu wenu wamefilisika wameshikwa naa aibu kubwa wamepigwa na kitu kizito kicwani 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌