Wema Sepetu alivyofunika na TUZO YA SZIFF YA 'MSANII BORA WA KIKE'

  Рет қаралды 137,899

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 117
@mwasitihatibu9691
@mwasitihatibu9691 6 жыл бұрын
Hongera sana wema kazabuti, Idris ha ha haaa duuh mmetisha ww na hamisa mlivyoumia wema kuipata iyokitu, jamani amepigiwa kula uyo nawananchi acheni wivu
@maryamkhamis9493
@maryamkhamis9493 6 жыл бұрын
Congratulation mamy👍😍❤ Hamisa anajifanya yupo busy na sim kumbe kiroho ninamuuma🤣🤣
@rugurujohn8905
@rugurujohn8905 6 жыл бұрын
Great great job ma gal i knew u will get this. Much love
@angelsteven219
@angelsteven219 6 жыл бұрын
waooo wema wangu love u nimefurahi sana na we Idris ndo nini acha chuki
@moarusha5474
@moarusha5474 6 жыл бұрын
hongeraa sana mamaaaa,lakn uacheee kujishushaa hadhii kea picha zakoo za uchiii aaiiseee chaluanguu
@tanzaniaoomi6946
@tanzaniaoomi6946 6 жыл бұрын
Woow sweetheart madam hongera
@elizabethrichard6715
@elizabethrichard6715 5 жыл бұрын
Kwakweli mti wenye matunda ndo unaopigwa. Laiti wema ungerudi nyuma kwa kuonewa , kwakurushiwa vitu ambayo wkt mwingine unajikuta mnyonge. Hivyo basi Kwa mm ninae amini kua mungu ndo kila kitu , Kiukweli nilikua nakuombea sana . So endelea mbele usirudi nyuma. Na hata hivyo naamin wengine wamejiuliza maswal kwnn imekua ivi lkn Hawatapata jibu cz Mashabiki wako wengine tunamjua Mungu na tunakuombea Mungu wa mbinguni azidi kukubariki mno.
@zuramarakia8467
@zuramarakia8467 2 жыл бұрын
Nakupenda sana wema sepeto 🧡💖🥰♥️💋👍
@dianafyondi3265
@dianafyondi3265 6 жыл бұрын
hadi wanaume wanaona Wivu uwiiiii Idris hana hamu. wanyoshe wemaaaaaaaaaaaaa
@dianafyondi3265
@dianafyondi3265 6 жыл бұрын
Winnie Msaki Umeona ni shida
@ndayisabanadia1920
@ndayisabanadia1920 4 жыл бұрын
Na Amarica utashinda wema insha Allah
@celinemakokha6915
@celinemakokha6915 6 жыл бұрын
Kizazi sana, ilove you MY Wema sepetu
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 6 жыл бұрын
nimefurahi kuona hivyo hongera SNA wemaaa!
@wainyjams9125
@wainyjams9125 6 жыл бұрын
toka 2006 unawakimbiza mamae
@lusajochanya7458
@lusajochanya7458 6 жыл бұрын
hongera wema piga kazi tu wenye majungu wasiwe kikwazo kwenye safari yako ya mafanikio. hawana cha kufanya ndio maana wanaumizwa na mafanikio yako.
@afrarugakingira5862
@afrarugakingira5862 6 жыл бұрын
Asha Ally....umenifurahishaaa.....
@niceferionawanjiru6338
@niceferionawanjiru6338 6 жыл бұрын
hamisa simu imefanya nn😅😅😅wema always cool gul love you😙
@ngemabohero2853
@ngemabohero2853 6 жыл бұрын
hongera wema. kipenz cha watu m mwaaaaaaaaaa.
@ranveerdeepika4551
@ranveerdeepika4551 6 жыл бұрын
Congratulations dear
@jairatuhappy634
@jairatuhappy634 5 жыл бұрын
Mashaallah dada wema
@emmyneggar6036
@emmyneggar6036 4 жыл бұрын
Wema Sepetu nakupenda ❤️❤️❤️❤️
@mnyrast6219
@mnyrast6219 6 жыл бұрын
apchaaa wakumbatianeee wanyonyaneee hadii kumaa na mapupuuu wew chukuwaa tunzooo zakoo uwondoke
@azizasariko46
@azizasariko46 6 жыл бұрын
Love u sepetu
@chanasamasigalla2022
@chanasamasigalla2022 6 жыл бұрын
Idriss video hiyo imekudhalilisha na chuki zako za wazi 👌👌👌👌
@johariathumani1386
@johariathumani1386 5 жыл бұрын
I love you preetika rao welcome Tanzania
@theresiabenedictor7258
@theresiabenedictor7258 6 жыл бұрын
love u wema bt jitahidi kujiheshimu..
@afrarugakingira5862
@afrarugakingira5862 6 жыл бұрын
Asha Ally....umenifurahishaas
@yasintaswahasni4747
@yasintaswahasni4747 6 жыл бұрын
Ongera sana my love wema
@ashaally6993
@ashaally6993 6 жыл бұрын
Hongera zako Wema kipenzi cha watu na wewe Idris acha chuki kama mlikuwa wapenzi ikaisha unashindwa jizuia mpaka camera imekuchukua duh! Hasara yako..
@mnyrast6219
@mnyrast6219 6 жыл бұрын
Asha Ally nakwambiyaa hajielewi yule idrisaa
@fbhj443
@fbhj443 6 жыл бұрын
Asha Ally ukiona hivyo aliachwa akiwa anampenda
@ashaally6993
@ashaally6993 6 жыл бұрын
Fb Hj 😂😂😂 umeona ee
@peterngassalah6454
@peterngassalah6454 6 жыл бұрын
Daaaah machawa kibao aiseeh
@sophiahassanhassan3089
@sophiahassanhassan3089 6 жыл бұрын
kama mmemuona mobeto kajifanya haoni ila kaona
@muniradaudi440
@muniradaudi440 3 жыл бұрын
Hahaha wanakuhangaishaa
@muniradaudi440
@muniradaudi440 3 жыл бұрын
Anajibabaaisha🤣
@mamyabdalah885
@mamyabdalah885 6 жыл бұрын
Hongera my wema
@baenikashushu5212
@baenikashushu5212 6 жыл бұрын
Hongera wema watashindana lkn hawatishinda
@elizabethmyula982
@elizabethmyula982 6 жыл бұрын
Umetisha mama lake penda cna wema, Idris acha ujinga.
@briannyasibora1284
@briannyasibora1284 6 жыл бұрын
hongera Wemaa
@mnyrast6219
@mnyrast6219 6 жыл бұрын
kihamisaa kinajidaii kuchatii moyo unaumaaa anaumiaaa masikin hamisa
@efransiakayeye8987
@efransiakayeye8987 4 жыл бұрын
Nimefurah kumuona preetika rao
@mariamnshimirimana7956
@mariamnshimirimana7956 6 жыл бұрын
Nakupendaga we mama bure tuuu
@bahatirajabu2779
@bahatirajabu2779 6 жыл бұрын
hongera sana wema wangu wenye wivu wajinyonge 😂😂😂
@muniradaudi440
@muniradaudi440 3 жыл бұрын
Kina idris.sultani Naona anagomba hapo🤣
@halimamaggy8551
@halimamaggy8551 6 жыл бұрын
wema..wema..so.nc
@jacquelinemwaya8115
@jacquelinemwaya8115 6 жыл бұрын
Mrs chibu mtarajiwa
@muhinasundi1206
@muhinasundi1206 6 жыл бұрын
Mazingira wazee
@hadijashabani2686
@hadijashabani2686 6 жыл бұрын
😢😍😍😍😍😍Allah kareem
@raziajolie7774
@raziajolie7774 6 жыл бұрын
Wema unatisha mwanamke mzuri sana
@jaquelinemuriuki4228
@jaquelinemuriuki4228 5 жыл бұрын
Yaani hupongezi mungu waona watu,,,,waaaah
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 6 жыл бұрын
nisaidien uyu pretika ntampataje nampenda Sana jmn aliiya natak nimuowe mm kila nikimuangalia kwa luninga sishibi Leo kaja bongo nimemkosa tena ebu nipeni ushauli ntampataje jmn
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 6 жыл бұрын
shizo be classic mfuate india
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 6 жыл бұрын
nikifika nafikia wap labda Mariam
@sunshinekamnina6312
@sunshinekamnina6312 6 жыл бұрын
Macho kuvimba wataisoma😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@irenemaruri595
@irenemaruri595 6 жыл бұрын
Idris wivu itakuua
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 жыл бұрын
Hongera Wema
@naahmreee400
@naahmreee400 5 жыл бұрын
hamisa mama nini shida
@dianafyondi3265
@dianafyondi3265 6 жыл бұрын
Naona Idris ameshindwa kujizuia Naona Kwa mbali Kama hakubaliani kuwa wema ndio mshindi Mmh nimeshindwa kumuelewa
@afrarugakingira5862
@afrarugakingira5862 6 жыл бұрын
Wema watu wanakuachaga lakin bado una effect kwao...ni wazi wanakupendraaaa
@thauratali3656
@thauratali3656 6 жыл бұрын
Hilo group lilokwenda😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kapesly
@kapesly 6 жыл бұрын
wem wema wema....czani
@Superman--un9xz
@Superman--un9xz 6 жыл бұрын
hongera sana wema
@thauratali3656
@thauratali3656 6 жыл бұрын
Du riyama kakosa tunzo jamani
@roseruben7579
@roseruben7579 6 жыл бұрын
Thaurat Ali jamani
@naifathassan2607
@naifathassan2607 6 жыл бұрын
Thaurat Ali yani wamemuonea tu riyama anastahili wallah
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Ni Tuzo sio Tunzo
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 жыл бұрын
Thaurat Ali tuzo hiyo ilimfaa riyama
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 6 жыл бұрын
African Happy Adventure hahahah, unakosoa kumbe wewe ndio unakosea😂😂😂
@christinaelisha4439
@christinaelisha4439 6 жыл бұрын
naona kuna mtu anakung'uta mikono sjui nikwann jaman hehheeeeeeee baby wema.walitaka usichukuwe tuzo lakini hawakujuwa wema wamungu umekuzunguka
@herminachrispas888
@herminachrispas888 4 жыл бұрын
Mobeto Bize na simu😂
@Rafikiboniface
@Rafikiboniface 6 жыл бұрын
Mumemupa Tuzo ya kuonyesho ushi Wa Tanzania acheni ubabaishaji iyo njo Africa
@saidaramadhan9478
@saidaramadhan9478 6 жыл бұрын
duuuh wabongo group lote hilooo ili fahaa aende wemaa tuuu .......................
@rheanmutimanwa7488
@rheanmutimanwa7488 6 жыл бұрын
😍😍😍
@halimamima7475
@halimamima7475 6 жыл бұрын
jmn aliya cjaaamin kma kafika Tanzania kwa kweli nnafuraha Sana Sana tutaipataje Namba yke
@queenregina7511
@queenregina7511 6 жыл бұрын
😀😀😁😁😁😁hamisa kimia mbona
@peterjohn8745
@peterjohn8745 5 жыл бұрын
huyo c Aliya jaman
@happyclasic748
@happyclasic748 5 жыл бұрын
Hamisa tazama mbele
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 6 жыл бұрын
kwani idris vp???? ckuelewi,
@azizaabeid123
@azizaabeid123 6 жыл бұрын
Jamani basi kundi zima hata muliharibu picha aisee..
@teddymeela2791
@teddymeela2791 6 жыл бұрын
We idris ulitakaje acha roho ya kwa nn #kataa kuwa kaa#
@briannyasibora1284
@briannyasibora1284 6 жыл бұрын
idrisa acha chuki live
@wainyjams9125
@wainyjams9125 6 жыл бұрын
mbona amisa kma angaliii hahahah
@aisaid1046
@aisaid1046 6 жыл бұрын
Wainy Jams wivu ha ha ha
@mnyrast6219
@mnyrast6219 6 жыл бұрын
Wainy Jams anaaibu
@esperansahkafuka9891
@esperansahkafuka9891 6 жыл бұрын
Wainy Jams Wivu tu Hana lolote
@muniradaudi440
@muniradaudi440 3 жыл бұрын
Rabdaa wivuu umempanda
@idayakey6886
@idayakey6886 6 жыл бұрын
idirisa ww unakuga unakuwaga shoga chuki zanini tena 👖 dume mzima auna aibu
@azizaabeid123
@azizaabeid123 6 жыл бұрын
Idaya Key hukumuelewa idrisa alimaanisha MBNA waende team kundi zimaaa sikuwa ana chuki idrisa
@DalrinMbonde
@DalrinMbonde 5 ай бұрын
Hizi ndo tuzo bora siku Izi utoporo tu
@marymasanyiwa3529
@marymasanyiwa3529 5 жыл бұрын
Mwaka huu ameikosa jamani
@mkamimatha2692
@mkamimatha2692 6 жыл бұрын
misa anawivu mkubwa bola Hata wema aliangalia Na kutoa sapoti ya kutabasamu
@mwanaherimohamedy6978
@mwanaherimohamedy6978 6 жыл бұрын
Mkami Matha ,kumbe umeona heee nilijua peke yangu
@mariamumar1557
@mariamumar1557 6 жыл бұрын
Mikono hiyo vip wivu tu
@shakiedaqueen993
@shakiedaqueen993 6 жыл бұрын
kama namuona Idris vile anavyoongea
@naahmreee400
@naahmreee400 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@fbhj443
@fbhj443 6 жыл бұрын
mmmh wema ulitaka kumgonga muhindi wawatu natuzo yako
@faridboatengnaonekwa
@faridboatengnaonekwa 6 жыл бұрын
Ivi kwani lazima mpande Jukwaani nyote ...PUMBAVU ZENU wacheni mshindi apokee tunzo thn mtampongeza ...TUACHE TABIA
@hellenacredopyeson9575
@hellenacredopyeson9575 6 жыл бұрын
dada wema kipenz cha watu acha kabiss
@veronicabura8196
@veronicabura8196 6 жыл бұрын
nyimbo za injli
@sunshine14692
@sunshine14692 6 жыл бұрын
Lol Tanzanian’s be serious how do you just get up on that stage like that...
@janethedward7967
@janethedward7967 5 жыл бұрын
wewe wema jamani mbona hapa unamatako wakati ulikata utumbo au ndo mabambia
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 жыл бұрын
Hyo tuzo alitakiwa apewe riyama ally 😣😣😣
@zainabuismail2451
@zainabuismail2451 6 жыл бұрын
We ndojaji..??? ungeenda kuzimpa ww bac
@janetmoraa8332
@janetmoraa8332 6 жыл бұрын
RIYAMA????????????
@tynercolin6317
@tynercolin6317 6 жыл бұрын
Idris acha umbeaaa
@irenemaruri595
@irenemaruri595 5 жыл бұрын
Idriss your very jealous ...
@carenasharif7115
@carenasharif7115 6 жыл бұрын
Idrisa acha chuki ww mwanaume
@briannyasibora1284
@briannyasibora1284 6 жыл бұрын
Carena Sharif hata mimi nimeona alivyofanya idrisa
@naifathassan2607
@naifathassan2607 6 жыл бұрын
Carena Sharif no idriss katoa km ishara watu wamenda wengi sn juu hapo mwenye wivu ni hamisa maana toka tuzo ya movie ya wema yupo busy na cm km haoni😄😄😄😄
@mwanaherimohamedy6978
@mwanaherimohamedy6978 6 жыл бұрын
Naomi kumbe na wewe umemuona ndomana anakonda kwa roho mbaya mwili una mashimo kama fenesi simpendi huyu dada
@naifathassan2607
@naifathassan2607 6 жыл бұрын
Mwanaheri Mohamedy 😂😂😂😂😂nimeona idriss hana tatizo
@zainabuismail2451
@zainabuismail2451 6 жыл бұрын
😂😂😂😂 kinawivu kama nn...Hongera madam sepenga endelea kuwakimbiza mamaee
@husseinhassan8218
@husseinhassan8218 6 жыл бұрын
Wema wewe umekufuru kumbe we mjinga mungu ndio hua anaongoza mtu not your directer watch your mouth please
@shakiedaqueen993
@shakiedaqueen993 6 жыл бұрын
kama namuona Idris vile anavyoongea
BIG ANNOUNCEMENT | THE WAJESUS FAMILY
47:21
THE WAJESUS FAMILY
Рет қаралды 51 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Wema Sepetu "IN MY SHOES" S02EP01 Mapokezi ya Diamond
19:37
Wema Sepetu
Рет қаралды 244 М.
Kontawa Ashinda Tuzo ya Msanii Bora Chipukizi 2022  | Tuzo za TMA
5:34
Umkhulu wathi ngimqaphele uShembe
15:35
My Nati
Рет қаралды 283 М.
MADAM ATAKA KUVUA NGUO KISA SURPRISE BAND
5:12
BongoStarSearch
Рет қаралды 492 М.
Diamond Platnumz akiri imemchukua muda mrefu kumsahau Wema Sepetu
27:54
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН