JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@HafidhHafidh9612 күн бұрын
Wema funga ndowa yakihalali yakisilam kisha inshinai pinga tomba sana kwa molawako futa sheri ya diniyako nina imani utapatamtoto kwa uwezo wa Allah ukipata usiche kuni tafuta 😊😊
@rosengiloi938112 күн бұрын
Kila mara mnamuuliza habari za mtt,muacheni Mwenyezi Mungu atatenda kwa wakati wake.
@RosemaryMasunga12 күн бұрын
Wema Mungu anajua hata kabla Mungu azidi kukutia moyo,Kuna ndugu yangu alifikisha miaka arobaini lakini alikuja akapata mtoto usiwe na shaka Mungu anajua alichokupangia
@tegemeosafi50156 күн бұрын
Mungu nakuomba umubariki dada Wema mtoto nakuomba Baba🙏🏾🙏🏾
@linetamadimakanga94235 күн бұрын
Mungu amesikia kilio chako,utabarikiwa na Mwenyezi Mungu
@richeljamesmosses968512 күн бұрын
Wema ww ni mzuri sana nivyema uokoke mtumikie mungu katika roho na kweli n mengine yote utapewa na mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤
@GenevieveVincent-zc9vy12 күн бұрын
Pole mdogo wangu Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma usikate tamaa
@AlenKimatuka-p1d12 күн бұрын
Hongera sana umeongea vizuri
@MaryMbise-e3g4 күн бұрын
Mungu ajibu maombi yako ucjali akuna lisilowezekana kwa mungu
@juliethkatabwa530612 күн бұрын
Mimi ninampenda Sana Wema.
@twiseghekisilu884512 күн бұрын
Utàsema Wema ñdo wakwanza kukosa mtoto!!relax Wema wangu!yote majaliwa ya Mwenyezi Mungu
@AsiaOmar-mr7bk12 күн бұрын
Hn mtoto lkn ana hela inatosha mtoto atapata kwa uwezo wa allah*
@rashmaissac48012 күн бұрын
Akijaaliwa kuolewa atajaaliwa mtoto inshaa Allah
@zuweinaalhabsya877312 күн бұрын
Allah ampe mume wa halal na apate mtoto In Sha Allah. Saa ingine Allah anataka ampe mtoto wa halal
@mbwanangare323311 күн бұрын
Minaumia wemausisemehivyo mungu hujui amekupangia bado mapema wema. Nakupendasana iposiku utakuja kymshika mtotowako
Masikini kataftia mtoto nje ya ndoa miaka mingi na mungu kamnyima bora ata angeolewaga tu huenda angebahatika sasa apo ata akilalamika sana tutamuonea huruma apate mtoto vipi na hajaolewa manake ukiachana na uislam ata ukristu haujaruhusu Zinaa sasa anadai vipi mtoto naktumia nguvu nyingi hali hana mme aaa unaboo cjui tuksaidiaje dada😢
@Salma-nl3je12 күн бұрын
Kwani wote wanaozaa wameolewa?
@hanifa915312 күн бұрын
@Salma-nl3je kwaivyo ivo ndo sawa!?
@wanguimuiyuro66573 күн бұрын
God have mercy,do your miracle
@BariatuAbutwaha12 күн бұрын
Asante wema umeongea maneno mazuri yameniingia akilini imani ndiyo kila kitu
@TatuMkeso12 күн бұрын
Usimalize maneno,mungu mkali
@Borahills6 күн бұрын
Dont give up! Janet jackson alizaa at 50. Sara alizaa at 76 yrs...yamungu nimengi.i love ❤️ wema
@JosiaswemaMumberevagheni11 күн бұрын
Umenipa moyo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nassorali103411 күн бұрын
Nakupenda sana ujue
@mercymumbeblessed4 күн бұрын
She has a good heart,utapata mtoto trust me
@SarahKathomi11 күн бұрын
Pole sana wema
@ShadrackAnalo11 күн бұрын
Wens mungu atakusaidia
@anakikare722612 күн бұрын
Mungu atakusaidia ,,usikate tamaa
@asifiwetito706512 күн бұрын
Nakupenda Sana wema 😍🥰 napenda pia majibu yako 😘😘
@sabrinaibrahim112712 күн бұрын
Hakoseagi napendaga kumsikiliza❤❤
@anangisyemapunda768611 күн бұрын
Please niunganisheni na Wema sepetu, niunganisheni please 🙏🙏 Kwa iman moja atapata watoto
@mwanahawanyambi944012 күн бұрын
Allah akujaalie uzazi akuondolee hiyo dhana ya kutokupata InshaAllah .
@MagrethIsaya-q6c4 күн бұрын
Pokea mtoto kwa jina la yesu
@GetrudeKifaru12 күн бұрын
Mungu atakupa mtoto usikate tamaa umri ni namba tuu mwache Mungu afanye kazi yake Kuna watu tumezaa na umri mkubwa tuu na watoto wetu wapi vizuri kabisaa
Wema kweli hunaimani kbs jmn mbona unakatatamaamapema sana! Cjapend kauli hiyo kwasababu wapo watuu miaka 50 wanapata mtt embu imani yako iinuwe
@enjobw568212 күн бұрын
Kwa nini wema hapati ubalozi kama Hamisa?????🤔🤔🤔🤔
@JamilaWillos11 күн бұрын
Wema binadam kma Bado unapumua ahupaswi kukata tamaha ni dhambi.nabihi wa mungu alipata mtoto akiwa na Miaka mia mmoja hitakuwa wew ndio kwanza 35.siovizuti
@paulabelleghe45112 күн бұрын
hivo vipapy vinakazi yakumassage,bora uchukue hata watoto waliofiwa na mama zao hospital utunze
@esthernjoki10797 күн бұрын
Namini Unaweza Pata Mtoto Kabisa Nimekua Naiyo Shida Sana Ila Sorry mamaa🙏🙌
@KostaJoseph12 күн бұрын
MSIWE MNAULIZA SWALI KAMA HILO HADHARAN, MTOTO NI MAJALIWA
@TTt-vi2ks12 күн бұрын
Mwambie wema akue anaomba mugrupe ya kanguka ya mutumishi wa mungu anatokea Burundi anitwa ndikumana atapata mu toto
@alirajab92112 күн бұрын
holywood imeshaungua
@NeemaNzigilwa12 күн бұрын
Hutakiwi kukata tamaa dada MUNGU uwa anampa mtu kwa wakati anao taka yeye bado unamda
@Tatty-u8p12 күн бұрын
Mmh dada umekomaa sura. Mwili hadi sauti shikamoo uzee
@HGvv-bh1ig12 күн бұрын
Uzee Kila mtu atauptia ni kawaida
@Yassinseleman12 күн бұрын
😂🎉😂😂😂
@gracejoseph337212 күн бұрын
Kila siku inapopita kila binadamu either anakuwa au anazeeka. Hongera wewe unayerudi nyuma badala ha kwenda mbele!
@MagrethMhina11 күн бұрын
Ile mimba ulikua unajirusha jamani ipo wp tena? Ooh YESU AKUPE WATOTOOOO USIKATE TAMAA SARA ALIPATA MTOTO KTK MIAKA 90
@khamisswalehe12 күн бұрын
kumbe uyu dada anajisauti baya jaman
@maureenlilykiwia151512 күн бұрын
Yuko Dodoma kwenye mambo ya chama anaulizwa mambo ya kupata mtoto. Mngewauliza hata mambo ya chama chao usikute hata hawajui wameenda kufanya nini Dodoma
@nurdinmfamau349312 күн бұрын
Si Tuishi Tunavyotaka. Tuishi Kwa Mujibu Wa Taratibu Za MOLA
@sharifaali416312 күн бұрын
Urigo iyo mwaka nimichache daa sure yaonesha iyo
@lifeonearth9412 күн бұрын
Usikate tamaa Wema, sema itakuwa gharama kidogo, ila kupitia mwili wako inaonekana haiwezekani
@NeemaMasala-o7c12 күн бұрын
Kivipi haiwezekani
@lifeonearth9412 күн бұрын
@NeemaMasala-o7c Haiwezikani kwa yeye kupata mimba, ila kama yai lake linatoka kila mwezi uwezekano upo, asingoje mpaka yaishe
@HabibuHoseni-sv8hd11 күн бұрын
Olewa alafu uone kama ujapata mtoto
@GladnessIsaya12 күн бұрын
Manunu amedogilava😂
@PhilipoMwasha12 күн бұрын
Maswali Gani juu ya mtoto waandisheni acheni yanamuumiza huyo Binti,kwani Hanna maswali mengine nyinyi waandishi uchwara hovyoo,mukaulize maswali ya msingi kwani mbona vijijini Kuna habari nyingi
@matolasalumu262512 күн бұрын
Una staili kuwa mkuu wa mkowa wema,ipo siku ,
@kassimukipingu791712 күн бұрын
Wema acha bangi sauti imekua ya kiteja
@DochiDochi-f9z12 күн бұрын
Wakati unazitoa ulikuwa hujui yatakayotokea
@ElizabethKidogomaa11 күн бұрын
Ulikuwepo
@dayana5513story12 күн бұрын
Usikate tamaa wema mimi niko tiali kua surrogacy wako pls
@HijaLuhumba12 күн бұрын
Tusiwe tuna uliza maswali magum
@ShekiyaoHussein-ki4ty12 күн бұрын
Hivi wewe ni mwislamu mbona huweleweki
@Excellent33812 күн бұрын
Wema toka nje ya tanzania njoo Ulaya unapandikiza na unazaaa... Vuka nje ya mipaka.
@BarbaraPatience-qt9cc12 күн бұрын
True
@jacksongeorge396412 күн бұрын
Hiyo hela anayo sasa? Wakatai hela ya gari alichangiwa
@Yassinseleman12 күн бұрын
kumbe analingaga kutoa sauti ya kitoto anasauti kubwa mbaya
@PrincessMaryam-c1r12 күн бұрын
Anaongea kwa hasira apo
@khamisswalehe12 күн бұрын
@@PrincessMaryam-c1ramna lolote sasa iyo ndio sauti yake
@richeljamesmosses968512 күн бұрын
Acha uswahili sasa sauti inakuhusu nini ww angalia point
@Ibrahimkitela12 күн бұрын
Sauti yako hiyo imekataaa
@BarbaraPatience-qt9cc12 күн бұрын
😂😂😂😂
@khamisswalehe12 күн бұрын
me pia nashangaa sauti ya leo yakoroma sana
@JaphetPhinias12 күн бұрын
WEMA NAKUSHAULI NENDA KWA MWAMPOSA KAWE MTOTO UTAPATA WATU WANAFUNGYLIWA UZAZI KILA KUKICHA. HAKUNA KINACHOSHINDIKANA KWA MUNGU
@BarbaraPatience-qt9cc12 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@mokitaa875012 күн бұрын
ACHA UPUUZI UNAMUONA HUYU JAMAA WAKO NI MUNGU MTU
@Deboramartin-z2m12 күн бұрын
@@mokitaa8750 tulia nawewe katoa ushaul mimi nilikua sizai miaka kumi nimeenda kuombewa mwez wa kumi saiv nina mimba ya miez 3
@mokitaa875012 күн бұрын
@@AminaNzoka-i8q wewe kweli MUISLAM au munafiq
@mokitaa875012 күн бұрын
@AminaNzoka-i8q unaitambua nafasi ya dini Yako MPAKA unashabikia ushauri WA wema aende uko kwenye shirki