Wema Sepetu, TID na wengine walivyoingia Polisi kutii wito wa Makonda

  Рет қаралды 513,795

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Jana February 2 2017 mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda alikutana na Waandishi wa habari na kutaja orodha ya Wanaofanya biashara ya dawa za kulevya na wanaotuhumiwa kutumia dawa za kulevya, leo baadhi yao wameonekana wakiingia kwenye kituo kikuu cha polisi kati Dar es salaam.

Пікірлер: 240
@minzamabula3551
@minzamabula3551 7 жыл бұрын
asante sana kaka Millard kwa habari nafurahia unavo jituma nakuweza kutifikishia habari ss masjabiki zako mungu akubariki
@mimifulani948
@mimifulani948 7 жыл бұрын
wema ungekuwa unajistir kama hivo unajionaje umependeza😍 sio sir
@AliAli-mj9tj
@AliAli-mj9tj 7 жыл бұрын
SOFY OMARY hujambo sofy
@azahally9216
@azahally9216 7 жыл бұрын
SOFY OMARY upo sahihi love
@eddystev7622
@eddystev7622 7 жыл бұрын
SOFY OMARY yah kwel yaani na tabia ya kupigwa madenda ovyoo angeacha
@azahally9216
@azahally9216 7 жыл бұрын
SOFY OMARY safi sana
@shariffaliabubakar8889
@shariffaliabubakar8889 7 жыл бұрын
SOFY OMARY a.a
@ghidafodi9516
@ghidafodi9516 7 жыл бұрын
pole wema wangu yataisha tu kipenzi. Mungu akusaidie mama
@MiaTheLathini
@MiaTheLathini 7 жыл бұрын
damn SEPETU IS a star Yaan camera zmeacha watu/celebs Wengne woteee.. zmemfaata na kumtangulia this lady ako na nyota ya 130
@zuhuraakida5932
@zuhuraakida5932 7 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi mammy🙏🙏🙏
@likaldokalenga7443
@likaldokalenga7443 7 жыл бұрын
Asante Makonda....... Mungu wa woteee.......
@NormanEric
@NormanEric 7 жыл бұрын
daah.!!! Waandishi mmetisha sana..
@octaviapantaleo9505
@octaviapantaleo9505 7 жыл бұрын
wema nakupenda ulivo mumy usijal
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 7 жыл бұрын
Naona tangazo Lina KERA Watu Millard ayo Ongeza matangazo yawe mawili kaka 😂😂😂😂😂😂😂 Watu wanajitoa Ufaham jaman. Hivi tangazo Likirushwa Watu wanazani Ni pesa ya kununulia mbege👌
@luckymushi2491
@luckymushi2491 7 жыл бұрын
ilasiyo ishu kumtangazia Dada wawatu anamadawa kwakweli siyo poa
@josemutta7233
@josemutta7233 7 жыл бұрын
Dada analalamika kuzaliwa Siku moja na ccm hahahahaha
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
oooh my God diomond u made the right choice
@man4mjuni999
@man4mjuni999 7 жыл бұрын
Asante kwa update mtu wangu wa nguvu nakukubali sana tuwekee mambo
@naghalatiabdull8448
@naghalatiabdull8448 7 жыл бұрын
Nakupongeza makonda kwa kazinzuri unayoifanya mungu akuweke
@sifacycy_bby8827
@sifacycy_bby8827 7 жыл бұрын
Masha Allah #wema umependz
@peterhassan8904
@peterhassan8904 7 жыл бұрын
MAKONDA NILIKUA SIKUELEWAGI LKN HAPA BIG UP USIFE MOYO
@janoorgossain9653
@janoorgossain9653 7 жыл бұрын
uko vizuri Ayo big up...
@amadsabimbona2553
@amadsabimbona2553 7 жыл бұрын
aibu wewe hauna akili
@mazolamohamed6138
@mazolamohamed6138 7 жыл бұрын
ila kweli maana kuna wasanii wengine wana pesa ila vitega uchumi vyao havijulikani
@kokubanza8538
@kokubanza8538 7 жыл бұрын
Pole Sana kipenzi wangu mungu akupe wepesi katika matatizo yalio kukuta
@nadiaibrahim4617
@nadiaibrahim4617 7 жыл бұрын
Duuuh mtihani
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 7 жыл бұрын
Tafadhali weka matangazo yanayoendana na Mada yaani hili tangazo linaniboa sana kwenye mada kama hii ya madawa ya kulevya :-!
@patrickkazinja4435
@patrickkazinja4435 7 жыл бұрын
hili tangazo litanifanya niache kuangalia videos zako bana,linaboa.
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
patrick kazinja umeona linaboooo Hilo tangazo sema nn wamekuwa pesa hao ndomaana wanalitangaza
@mhandogadson6833
@mhandogadson6833 7 жыл бұрын
kaka siboreke
@mazolamohamed6138
@mazolamohamed6138 7 жыл бұрын
+mara م linaboa kichizi yaani duh cjui kwa nn halitoi
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
mazola mohamed mwenywe hapo kaona amewini kichizi
@MiaTheLathini
@MiaTheLathini 7 жыл бұрын
POLE KAMA MNAKERWA NA HILO TANGAZO lakini YEYE KALIPWA NA HAO DANUBE KWA HILO TANGAZO MAANA ANAWAPA promo
@anjelandonde3217
@anjelandonde3217 7 жыл бұрын
tumuelewe tuu madangazo ndo yanamfanya milad ayo aendeelee kuturushia habari. keep it up bro
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 7 жыл бұрын
hakuna binadamu hatam moja asiyekosea so wema usijali kupotea njia ndio kujua njia yote nimapito
@harunahasani9991
@harunahasani9991 7 жыл бұрын
ayo unatxha mbaba big up kwako
@xkingx8041
@xkingx8041 7 жыл бұрын
waandishi wa Habari jamani! mki muona wema, wote macho juu juu eishh. Bila wema hamna kazi.
@jannerysharongaza9469
@jannerysharongaza9469 7 жыл бұрын
mungu akushindie wema
@nemesdaudi1576
@nemesdaudi1576 7 жыл бұрын
Acha waisome namba ,waliwapigia compain .... pumbafuuu ..uku MAGU UKU MAKONDA .. mpira kati
@jessicandabey421
@jessicandabey421 7 жыл бұрын
watu hawana ajira kweli..... hivi uwe na kazi then ukae unashangaa watu polisi?
@chomoezekiel964
@chomoezekiel964 7 жыл бұрын
ndo ajira yao hiyo
@aminaqasim2145
@aminaqasim2145 6 жыл бұрын
Polee
@mashallah7198
@mashallah7198 7 жыл бұрын
daaàah waandishi mme tishaaa
@aggreymsemwa5167
@aggreymsemwa5167 7 жыл бұрын
wapate kibano mpaka waropoke wap wanapata hilo dona
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 7 жыл бұрын
patric kazinja umenchekesha, 😂😂😂😂😂 yaan me mwenyew silipendiiii ilo tangazo
@gulackdreams9026
@gulackdreams9026 7 жыл бұрын
Jaman
@bultuabasalam5997
@bultuabasalam5997 7 жыл бұрын
wema ugekuwa kila cku unavaa hivo had raha pole najanga
@kanisakatolikinabiblia5220
@kanisakatolikinabiblia5220 7 жыл бұрын
Umezaliwa siku mbaya, looh
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 7 жыл бұрын
WATAJE WAPI WANANUNULIA MADAWA nyambafu mwaka huu nchi ITANYOOKA TU
@adinanisaid3167
@adinanisaid3167 7 жыл бұрын
millard toa tangazo bana lina kera sana
@salmasaid7254
@salmasaid7254 7 жыл бұрын
hatari wema pole dadat
@elishajoshua4892
@elishajoshua4892 7 жыл бұрын
Kazaliwa siku moja na CCM 😂😂😂😂😁
@bakariali4026
@bakariali4026 7 жыл бұрын
sijui 2020 mutaipigia kampeni ccm au vp ,,,maana munaisoma namba ,,,,,mhh nahisi wasanii wengi wataitosa maana siskii wasanii kumsifu jm ,,ila wasafi vp wao hawachunguzwi au wao ndo ivyo ,,maana zigo ilifungiwa ,,,chura kapuni pia ila kokoro hata basata hawaiulizi ,,,
@sarafina6656
@sarafina6656 7 жыл бұрын
aisee ata wema
@catherinemsoffe8787
@catherinemsoffe8787 7 жыл бұрын
wema ana nyota Kali sana, anapendwa balaa.
@tibubandar413
@tibubandar413 7 жыл бұрын
my God hata wema
@mgenisana7610
@mgenisana7610 7 жыл бұрын
Nyie mlokusanyika hapo nyote hamna kz ingekuwa munakazi msingeli kuwa wahindi hapo
@kgxckitengejvcv2356
@kgxckitengejvcv2356 7 жыл бұрын
masikini wema ana bahati mbaya mbona wengine hawafwatiliwi hivyo.
@yahyaalesry8918
@yahyaalesry8918 7 жыл бұрын
na bado
@mcisunga3822
@mcisunga3822 7 жыл бұрын
jamni lakini si kuna kupimwa basi apime wa Tanzania wote
@anntecklar1749
@anntecklar1749 7 жыл бұрын
aibu wema aibu
@mercyfaith4730
@mercyfaith4730 7 жыл бұрын
Hadi na hisi kulia
@ahmedalshammari9372
@ahmedalshammari9372 7 жыл бұрын
ucjali wema uclie mungu upo nawe
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
aibu aibu tiba kweli imefika. yaani mdogo mdogo mnajipeleka wenyewe aisee..
@benjaminmwaijande5715
@benjaminmwaijande5715 7 жыл бұрын
wanajipeleka? si wameitwa na mh. mkuu wa mkoa
@benjaminmwaijande5715
@benjaminmwaijande5715 7 жыл бұрын
wanajipeleka? si wameitwa na mh. mkuu wa mkoa
@benjaminmwaijande5715
@benjaminmwaijande5715 7 жыл бұрын
wanajipeleka? si wameitwa na mh. mkuu wa mkoa
@benjaminmwaijande5715
@benjaminmwaijande5715 7 жыл бұрын
wanajipeleka? wameitwa na mh. mkuu WA mkoa
@wahidamohamed9965
@wahidamohamed9965 7 жыл бұрын
daaaa ila wangeitwa kwanza sio kudhalilishana
@munashabanimunashabani9976
@munashabanimunashabani9976 7 жыл бұрын
mtasikia na diamond yumo ngoja mtasikia tuu
@bonifacekatefu355
@bonifacekatefu355 7 жыл бұрын
taratbu makonda,hii nchi ya kwetu sote tuishi kwa amani bb,
@florencesringo2218
@florencesringo2218 7 жыл бұрын
pole ila kama kwel acha
@neemahussein4957
@neemahussein4957 7 жыл бұрын
dash amakweli wema ni zaid ya star
@jorgesarahchannel3082
@jorgesarahchannel3082 7 жыл бұрын
duuh hao ma cameraman hahaha wepesiiiii kupga pichaa
@sarahgakii5903
@sarahgakii5903 7 жыл бұрын
wema mamako aliona mbali, kwa Ile clip iliosambaa instagram alisema hutafika mbali...ebu ona sasa hii aibu ! marafiki wako wote wanausishwa na hili sakata la madawa,ukianza kutumia haya madawa huwezi kuwa na maendeleo,sasa ndo nimepata jibu kwanini biashara zako zinakufa
@berylfaith4001
@berylfaith4001 7 жыл бұрын
Sarah Gakii pia nawe mind your own business...leave her alone
@bonitatembonitate257
@bonitatembonitate257 7 жыл бұрын
Sarah Gakii unatokwa povu utadhan una ushahid
@clt9914
@clt9914 7 жыл бұрын
Sarah uko sahihi. Hawa wanaosema mind your business, watueleze kama walamba unga wana dunia yao. As long as we are together, your business should not be a menace to others' life.
@annaupendo4768
@annaupendo4768 7 жыл бұрын
Kumbe Wema anaheshimika hivi? I wish to see Wema jamani yukoje huo 🤔🤔🤔
@johnyty498
@johnyty498 7 жыл бұрын
afadhali mm nauza unga
@niclasandrew8627
@niclasandrew8627 7 жыл бұрын
Braza hil tangazo lako linakera ss
@khalila.matingas2448
@khalila.matingas2448 7 жыл бұрын
jamani Wema ni binaadamu, na kwenye kuitwa hajaitwa peke yake, na si kashtakiwa ni kuhojiwa baada ya mahojiano ndiyo watajua nani ashtakiwe na sheria itafata mkondo, na ndipo hukumu itatolewa
@devothaantony5079
@devothaantony5079 7 жыл бұрын
Asingekuepo wema jee maana waandish wanakanyagana mbona kina TID wamepta kwa raha
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
kulia At a kene move kupo kwaiyo hakuna jipya sheria ifuatwe
@kingsolomon0
@kingsolomon0 4 жыл бұрын
Tz kuna ufala sana
@lilianmwinamila9506
@lilianmwinamila9506 7 жыл бұрын
She was crying 😔
@shuleyetutv2090
@shuleyetutv2090 7 жыл бұрын
hizo watermark kila pembe na katikati? not professional!!!! ukiweka moja haionekani?
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 7 жыл бұрын
Sioni kama kuna tatizo kuitwa police kwani police nisehem ya kawaida sana ilatu kama utakua namakosa nilazima ujenge hoph. vilevile namsaport sana Po Makonda kwa hatua aliofanya kwani vijana wenzetu wanaaangamia coz of drugs . Naili ufanikiwe kumjua muuzaji bas nilazima umfaham mtumiaji.
@Raheema-pp7st
@Raheema-pp7st 7 жыл бұрын
hamjistir mpak muitwe police 😏😏
@bigmasasiisack4418
@bigmasasiisack4418 7 жыл бұрын
watanyooka tu mwaka huu TENA nampongeza mskonda hawa ndio wanapaswa kuongea ni wapi wanapata hayo ma drug
@wardamutanu1200
@wardamutanu1200 7 жыл бұрын
Big Masasi Isack we nawe
@bigmasasiisack4418
@bigmasasiisack4418 7 жыл бұрын
+Warda Mutanu watanyooka tu TENA kama hao wasanii wanajisikia kama wanaundugu na mungu sasa kwa makonda watanyooka
@ramadhanjuma7271
@ramadhanjuma7271 7 жыл бұрын
hilo tangazo linaboa kinoma millard
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
wow who.will invite me tanzania to visit too
@ashiraali3954
@ashiraali3954 7 жыл бұрын
yaani duu wenyewe bira hata shida makonda weee
@ednada9033
@ednada9033 7 жыл бұрын
wema pia maunga
@monicamabula7420
@monicamabula7420 7 жыл бұрын
ili tangazo lina niboa sana
@idrisauwesu6854
@idrisauwesu6854 7 жыл бұрын
tangazo lako linaboa millad litoe tutaacha kuangalia video zako
@martinanjiku2250
@martinanjiku2250 7 жыл бұрын
tunaomba tangazo ulifupishe Millard ayo
@sakinakapera9605
@sakinakapera9605 7 жыл бұрын
kim kardashian wa bongo
@keishakassimkeishakk1832
@keishakassimkeishakk1832 7 жыл бұрын
Sakina Kapera umepatia
@Beauty-zc9nq
@Beauty-zc9nq 7 жыл бұрын
tenaaaaa anajionaaaa km ndie original kumbeeeee hana loloteeee atampata wapi kim!
@mpzyup5254
@mpzyup5254 7 жыл бұрын
Aisha Said
@ريهامالسريري-ل1ص
@ريهامالسريري-ل1ص 7 жыл бұрын
jmn wema nimekupendaje na mavaz yako
@faiikish1700
@faiikish1700 7 жыл бұрын
sijaelewa kitu hapa mm ni nny hinaendelea
@ozilozil5929
@ozilozil5929 7 жыл бұрын
wabongo wambea kuliko wahindi
@barakashamte6078
@barakashamte6078 7 жыл бұрын
sema ili tangazo linazingua, tuna skip mpaka kero, lieke mwisho
@philipkomba5525
@philipkomba5525 7 жыл бұрын
huyo polisi anae msindikiza nae ana shughuli nzito
@bwamipeterafrican629
@bwamipeterafrican629 7 жыл бұрын
MTU WANGUVU hapana wazembe.
@castohchricy8306
@castohchricy8306 7 жыл бұрын
kweli serikali ya sasa co ya kuunda tume wenyewe wanajipereka
@thebenzclassic1905
@thebenzclassic1905 7 жыл бұрын
wengine ao!!!!
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
jamani waandishi wahabari nimecheka mpaka bs. wanavyokimbizana mmmmh. sasa wema kulia ndo kujitetea. kama unatabia hiyo mmmmh umetisha dada. madaws ya kulevya si bora utafune ugoro ws masai au ule tumbaku kabisa uteme mate pembeni kuliku kufedheheka hivi mmmmh msanii maarufu tz wanakutegemea duuuh.
@ladyzee7491
@ladyzee7491 7 жыл бұрын
sijaelewa kabisa😩😦
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Mkonda utazoa na wasio kuwa na hatia
@edgerchikondochikondo4990
@edgerchikondochikondo4990 7 жыл бұрын
awe makin umeona
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Edger Chikondo Chikondo /Kazi yake zuri lakin haitaki halaka- uchunguzi kwaza lakin yeye akimhis mtu twende akiambiwa fulan naye yy twende
@edgerchikondochikondo4990
@edgerchikondochikondo4990 7 жыл бұрын
Mama tuishi- mama tuondoke yuko vzr sana ila anakurupka
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Edger Chikondo Chikondo Na sisi tujiangalie tunaye comment asije akachagua majina tukahisiwa
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Edger Chikondo Chikondo Wee muache tu usalama wake cjui mungu tu asaidie/ Ni kweli atakomboa wengi lakin---------
@winieramadan9857
@winieramadan9857 7 жыл бұрын
kassim mwamambeya ooh sikua nimeelewa hahaa
@richardpaul6709
@richardpaul6709 7 жыл бұрын
Wasitoke kabisa..
@demitiliusylwena4476
@demitiliusylwena4476 7 жыл бұрын
Unazingua millad yan title nyingne content nyngine unakera broo
@hidayajuma6787
@hidayajuma6787 7 жыл бұрын
Millard matangazo yanaboaaa
@ummyissa4622
@ummyissa4622 7 жыл бұрын
ha0 waandishi w0te jmn😀😀🙌🙌😂😂mashaalah wema kajistiri mungu akutangulie iwe kheri maskini uclie m0m 😣😣😢😢😢😢😢
@halimaabubakari1766
@halimaabubakari1766 7 жыл бұрын
Jamani chidi benzi madawa yame muharibu
@miraabdullah57
@miraabdullah57 7 жыл бұрын
Halima Abubakari ndo wangeulizwa chid na ray c ninani anae wauzia madawa, yaani kutokana na ulinzi aliopatiwa chid ili apone lkn ikawa nisikio la kufa halisikii...sasa je waliokuwa wanamuuguza ili apone kwanini wasimfatilie na anae muuzia unga? mpaka akarudia unga tena na tena??hata Ray c wambane aseme,sisi wananchi tunawapa pole wakiugua,ila wanapoupatia unga jibu hakuna,bora wakamatwe watumiaji wote watajane na wanaowauzia😢
@halimaabubakari1766
@halimaabubakari1766 7 жыл бұрын
Duu inasigitisha sana
@cleofasgawasike7696
@cleofasgawasike7696 7 жыл бұрын
Millard tangazo la danube toa bwana
@dr.effesokaguo2195
@dr.effesokaguo2195 7 жыл бұрын
cleofas gawasike unataka akose hela ya kuendesha kampuni hiyo ndio faida yake tunaangalia bure Acha TANGAZO naye apate pesa bhana anajituma sanna
@rahmamteri5592
@rahmamteri5592 7 жыл бұрын
cleofas gawasike hahahaha
@husseinabdallah7672
@husseinabdallah7672 7 жыл бұрын
hahahahahhahah waandishi wa habari wana vituka sana aaaaahhhhahhahha
@saumusalimuhassan3041
@saumusalimuhassan3041 7 жыл бұрын
Tangazo ni refu mno, MB zinaisha haraka
@mariamgeluwa6228
@mariamgeluwa6228 7 жыл бұрын
nilikufangilia,,! ila kwa kher
@harounali1626
@harounali1626 7 жыл бұрын
Millard Ayo umefata taratibu za matangazo ya biashara za Danube home? Haionekani ni ziara inaonekana ni tangazo, kwa kuwa unatuwekea katika kila vidio unayo tuwekea hivi sasa. Angalia usije ukatumbuliwa kijana wangu.
@estermushabi5653
@estermushabi5653 7 жыл бұрын
movie- nyuma ya pazia la wauza ngada tuone nani atauliza mkoa kufanya vbaya matokeo kdato cha nne.
@enockmbode8627
@enockmbode8627 7 жыл бұрын
Hahahaha waandish wa habar jmn ni wambea yan wanavyokmbizana kwny ngaz wapo tayar kuumia,hahahaha
@suzanjohn1431
@suzanjohn1431 7 жыл бұрын
itakua fundixho kwa wengn
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 56 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 13 МЛН
Mossad's Deadliest Mission: The Hunt for al-Wazir | Real Crime
48:45