Cook with Wema Sepetu S03E04 Shilole

  Рет қаралды 105,193

Wema Sepetu

Wema Sepetu

Күн бұрын

Пікірлер: 261
@diva_20162
@diva_20162 8 ай бұрын
Wanyamwezi hatuna shoo mbovu alafu tunajiamini sana❤❤❤
@paulinemuseshi5949
@paulinemuseshi5949 3 жыл бұрын
Kweli wema atakuja vunja record inshallah
@mishikitendo4441
@mishikitendo4441 3 жыл бұрын
Inshaallah
@momobakari1225
@momobakari1225 3 жыл бұрын
I pray for her, in shaa ALLAH
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 3 жыл бұрын
This Tanzania village 😂😂😂😂🙌sema nawapenda Sana 😘💞
@sheeque
@sheeque 3 жыл бұрын
Btw congrats to shilole..her English is really good now..and people used to laugh at her..hii Maisha ni kujiamini....and wema keep trusting in God ..God will bless you with kids when the time is right.
@pesamingi275
@pesamingi275 3 жыл бұрын
Wema you’ll be a good mum I believe in miracles ❤️ Shishi 😂😂😂 nakupenda jinsi ulivyo mummy
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 3 жыл бұрын
You will get a bundle of joy"triplets"in Jesus name ❤️❤️🙏
@elizabethpeter5251
@elizabethpeter5251 3 жыл бұрын
i like that
@janethedward5381
@janethedward5381 2 жыл бұрын
Shishi ivi unaakili nzuree kweli kumwambia mwenzako atazaa na mtu wa Ali ya chini
@hamidahamis4537
@hamidahamis4537 3 жыл бұрын
Wema usikate Tama wakati wa Mungu niwakati sahihi. Wakati ukifika Mungu atakupa Inshaallah
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 3 жыл бұрын
Wema sema Allahummaa Aaaamiiin sio In sha Allaah hiyo ni duwa unaombewa na shishi kwenye duwa usiseme in sha Allaah sema Allahummaa Aaaamiiin
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 3 жыл бұрын
Kweli zulfa wwngi wwngi hawafahafu
@tausifautini407
@tausifautini407 3 жыл бұрын
🤲🤲🤲
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Yaani wema ungeweka full interview ya mapishi hapahapa wallah ungepata viewers wengi Sana huko unakokusema sijawahi kuingia wala kuwaza tuwekee hapahapa wema love u Tanzania sweetheart siwahi kukusahau ktk maombi yangu kuhusu wewe kupata mume bora wa maisha nakupata mtoto naamini mwenyezi Mungu ni mwingi Wa rehema muujiza mkubwa unakuja mbele yako watoto wawili mapacha ila tu ukiolewa nakupenda wema
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
Kwel kbs angeweka apa apa mana kule hatuingiyi
@saidanur31
@saidanur31 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka..... wema naomba utuskize
@zuhurayasini4717
@zuhurayasini4717 3 жыл бұрын
Kule kuna faida sio uku wapendwa kule anaingiza ma milion
@amzish26576
@amzish26576 3 жыл бұрын
very nice words from shilolee imetoka moyoni mwake InshaAllah utazaa wema
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 жыл бұрын
Shishi: This is a tea 😍 Wema: Ni coffee 😎 Shishi: Coffeee 😂😂😂 love you both 💞💞💞
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@edithalagwen8465
@edithalagwen8465 3 жыл бұрын
Ni hatar
@henryopwaka1906
@henryopwaka1906 3 жыл бұрын
Napenda sauti ya Wema. Funzo zuri umempa Wema.
@aisharevelian6933
@aisharevelian6933 3 жыл бұрын
Shilolee kanivunjaa mbavuu😂😂😂😂😂😂😂😂...
@blasidajulius2240
@blasidajulius2240 3 жыл бұрын
Wema wngu utazaa tu muda bado haujafika nina iman hyo kbsa♥️🙏
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 3 жыл бұрын
Wemaa one day God wil hear your prayers
@ramonalusweti7358
@ramonalusweti7358 3 жыл бұрын
Nkiona shilole naanza kucheka tu 😂😂.. Kiingereza cha kubahatisha lkn confidence iko juu.. Alafu ana mawaidha mazuri 😘
@khadjamhozya
@khadjamhozya 9 ай бұрын
Haonag aibu shishi anajiamini
@leanahbusanga8272
@leanahbusanga8272 3 жыл бұрын
Wema kama wema 🥰🥰🥰shishi wangu 🥰🥰
@faymunywoki
@faymunywoki 3 жыл бұрын
I believe God is never late wema He will wipe ur tears very soon big siz receive love from Kenya role model and remember if Hannah gave birth u will also have do it maa 😍😍😍😍 lots of love from meet🤩🤩🤩💋
@mariemuharabu6292
@mariemuharabu6292 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 ungelijuwa kama Wema atakuja kuweka history to this Tanzania village🔥🔥🔥🔥😂😂😂
@mwanaidikisega5533
@mwanaidikisega5533 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
😄😄😄😄
@elinorahmwadime1454
@elinorahmwadime1454 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@lydiafaty8493
@lydiafaty8493 3 жыл бұрын
😂😂
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 3 жыл бұрын
Hahahahaha
@victoriashiko7172
@victoriashiko7172 3 жыл бұрын
🙏🏽 one day wema will become mama ☝🏽🪐🌏✊🏿
@juddymuema7469
@juddymuema7469 3 жыл бұрын
Amazing show. Always looking lovely wema❤️❤️❤️
@estercosta8545
@estercosta8545 3 жыл бұрын
Ila Shishi jamani nimecheka hayo mahubiri mimi😂😂😂😂
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
This Tanzania village 🤩🤩🤩🤩
@tibaijukaolevarez6257
@tibaijukaolevarez6257 3 жыл бұрын
Hihi
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Mungu fanya miunjiza kwa wema sepetu nampenda jamani
@kissamwaikole-qj1mn
@kissamwaikole-qj1mn Жыл бұрын
Ooohh Yes Shilole Asante kwa neno la kinabii kwa Wema
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏿😊... Mungu anasababu na Malengo..Yeye ndiye ajuwaye Maisha yetu..
@zurfapahenge8802
@zurfapahenge8802 3 жыл бұрын
Wema &shishi 😘😘😘😘😍😍 mungu awabariki love you guys always
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 3 жыл бұрын
Daah alhamdhulillah nmewahii 🥰🥰🥰🥰love you my siz wemaaa💕💕💕💞
@bidiiyako6803
@bidiiyako6803 3 жыл бұрын
Wema kipenzi 💕💕💕💕💕love you baby.... Hongera Sana keep it up gal 💞 💞. Go go go Gal😍🙏🙏🙏
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 3 жыл бұрын
Salàm alekum nishaallah wema mungu akupe watoto mapacha
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Inshallah wema utapata tu mtoto kwa uwezo wamwenyezimungu 🙏🙏kikubwa duu
@newyouthafricatv5860
@newyouthafricatv5860 3 жыл бұрын
Sepetu naku kubali sana Na usijali maneno ya watu mungu iko Na mupango wake utazala mungu iko upande wako Na kuna Siri ambayo aujuwi tu nengekuwa Na namba Yako nige kwelekeza
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 3 жыл бұрын
Huyu Shilole ni mrembo sana na ni mfunny. Lakini nilichopenda sana ni maneno yake kwa Wema. Indeed, Wema will get kids in God's perfect timing 🤲🤲🙏🙏 Namwombea sana
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 3 жыл бұрын
Wangereza wawili wamekutana MashaAllaah 😂😂😂
@soniaingabire3134
@soniaingabire3134 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@restitutamasao9695
@restitutamasao9695 3 жыл бұрын
Wema mungu atakusaidia utapata mtoto 🙏
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Amin yarab utapata na kila mwenye kilio cha kua na mtoto Allah hashindwi jambo 😢😢😢
@siriyangu4724
@siriyangu4724 3 жыл бұрын
Mwanamke anaye juwa kupika utamjuwa tu angali shishi navyo changamkia jiko nikweli kunayo wacyo juwa ata kupika chai wema subra ni mzingi wa imani pia zidi kwenye ibada ususani swala za ucku mwili mungu anarehema cku moja itatokea
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Wema hapo pa kumwita Shishi pamenoga sana tena sana,nawapenda sana👍👍👍🙏🙏❤❤❤
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 3 жыл бұрын
😍🤣🤣jiko la wema leo limevamiwa na shilole,ila limedamshi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@happyomary3812
@happyomary3812 3 жыл бұрын
Hahahaahahahahaahahahahahahaahahaha aaaah k**anina wallah.. shilole mshnz kwel.. nimecheka kwanguv kinowmaa TANZANIA VILLAGE 😍😍😍😍😍❤❤❤💣
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Cook With Wema imenoga Leo,Wema Na Shishi ❤❤❤.
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 3 жыл бұрын
Mwanahalima zamasiku habibty?
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
@@ukhtyzainab7254 Alhamdulillah Nashukuru Allah, Sijui Wewe Dadangu.
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 3 жыл бұрын
@@mwanahalimamwachili9679 Alhamdulillah namie mzima
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
@@ukhtyzainab7254 Ndio Kher Dadangu.
@renildevenerand9473
@renildevenerand9473 3 жыл бұрын
Nimekuja kusikiliza kinge hapa.😀😃
@tecklamwakyambo7444
@tecklamwakyambo7444 3 жыл бұрын
Haaaaa Tanzania vilage
@JanethThomas-y7w
@JanethThomas-y7w 11 ай бұрын
Mungu atafany n atatendaa amini tu sster ang❤
@Emmy22655
@Emmy22655 3 жыл бұрын
May God bless u Wema don't worry Mungu atakubariki uyu mwaka lazima Mungu akubariki
@olivertsumake3212
@olivertsumake3212 3 жыл бұрын
Nakupenda shishi u always make me happy na kizungu yako
@mwahijahassani7965
@mwahijahassani7965 2 жыл бұрын
Amiin itikia maombi weweeeeh jah bless wema
@ilumbogaula1538
@ilumbogaula1538 3 жыл бұрын
I wish angeweka full episode KZbin pia jamaniiiii
@mercynelima4241
@mercynelima4241 3 жыл бұрын
Shilole pia unajitutumua kwa kiingereza 😂😂😂😂😂nakupenda bureeee
@bintiali4582
@bintiali4582 3 жыл бұрын
Wow!wow!wow!leo jiko limepata wapishi boomba😂 ,nawapenda sana nyote. daa shilole penda mno wewe
@rahelmasawe5365
@rahelmasawe5365 3 жыл бұрын
Yaan kila nkimwangalia shilole nacheka I love her
@rachelpatrick3749
@rachelpatrick3749 3 жыл бұрын
Shilole kawa prophetess😂😂🙏🙏
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 2 жыл бұрын
shishi na Wema leo kingelezaa mpaka anamuliz madamu wetu umemaliza
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 3 жыл бұрын
Waaah Tanzania village shilole yani ww 🤣🤣🤣🤣🤣
@shafiibenga5350
@shafiibenga5350 2 жыл бұрын
Naku penda sana wema ikosku mwenyez mngu ata kujaliya tu utapata mtoto naku ombeya kwamwenyez mngu
@fatmaramadhan762
@fatmaramadhan762 3 жыл бұрын
Wow leo tupo na shishi babe
@mayombibulugu8337
@mayombibulugu8337 3 жыл бұрын
Nenda ukale keki kwa Mwamposa chapu tu mama utapata mtoto... 😂 😂 😂
@galary8688
@galary8688 3 жыл бұрын
Aamin inshaallah atazaa watoto matwins🙏🙏
@mwanaidyibrahimu8861
@mwanaidyibrahimu8861 3 жыл бұрын
Amiiin
@shamilayussuf1596
@shamilayussuf1596 3 жыл бұрын
Shilole good job u hv really improve
@MegaAlexison
@MegaAlexison 3 жыл бұрын
Hii tanzania village shilole bwana, hivi anaongea kingereza kizuri
@dianaprojest320
@dianaprojest320 3 жыл бұрын
Shishi nakupenda you're too simple
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 жыл бұрын
Huyu shishi wallah daaah nakupendaga hivo hivo
@arafahmwinyi6292
@arafahmwinyi6292 3 жыл бұрын
Da wema🥰🥰🥰
@سلمىبوروندي-و7ذ
@سلمىبوروندي-و7ذ 3 жыл бұрын
Wewe usikate tama kuwusu mtoto muombe mungu nauwamini utapata usijali mungu yuko
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Mwanangu wema kipindi chako kizuri,lakini mbona kifupi,kitamu sana.Ongeza muda ombi.
@rehemambito7989
@rehemambito7989 3 жыл бұрын
Wema ni hiyo sauti 😚
@bitsofme2989
@bitsofme2989 3 жыл бұрын
Wema dear Allah ataturuzuku watoto na sisi inshallah I keep on loosing babies cos of pregnancy highblood pressure
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Pole
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Pole
@lucynjenga4245
@lucynjenga4245 3 жыл бұрын
Wema enda Kwa pastors kakenda UG he will prayer for and believe me utapata mtoto. Hapo in sure bet
@estherkamanzichania1871
@estherkamanzichania1871 3 жыл бұрын
Wow shishi kinge😂❤️❤️wema
@dayanakassanga944
@dayanakassanga944 3 жыл бұрын
Nakupenda sana wema
@lenoxbuhanza4926
@lenoxbuhanza4926 3 жыл бұрын
Ifikie wakati shishi aache upuuzi wakuongea English isiyo na mashiko sio lazima wakati mwingine
@nasibujuniorbd5698
@nasibujuniorbd5698 3 жыл бұрын
Hivi huyo ndo wema sepetu ao😃😃😃
@yahayyahay6773
@yahayyahay6773 3 жыл бұрын
Hahaha jamani niyeye
@suzansimon5296
@suzansimon5296 3 жыл бұрын
Hapo namuombea wema apakate mtoto nae jmn😥
@christamazara1266
@christamazara1266 3 жыл бұрын
Wakat wa Mungu n wakat sahihi!Wema atapata mtoto.
@beatricelichoti1650
@beatricelichoti1650 3 жыл бұрын
Twataka u cook na diamond
@claudinenkurunziza2137
@claudinenkurunziza2137 3 жыл бұрын
Leo nimeamkia jamani 😂🤓😬
@odiliahk8004
@odiliahk8004 3 жыл бұрын
I really 💕💕 love you wema... You are my feverate
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 3 жыл бұрын
Yani shishiii😅😅😅💞💞
@emmysudi6768
@emmysudi6768 3 жыл бұрын
Inaitwa Chopping board 😂😂kenya🙌
@jumainenzeyimana8001
@jumainenzeyimana8001 Жыл бұрын
Napenda wallah
@ricamatondo9605
@ricamatondo9605 3 жыл бұрын
From Congo 🇨🇩 ❤️❤️
@ibrahimadia2290
@ibrahimadia2290 3 жыл бұрын
Wema Abraham Isaac sepetu the Queen cookers
@رحمهتنزانيا
@رحمهتنزانيا 3 жыл бұрын
Nger ya shishi lazima ucheke maana mimi mwenyew sijui nger 😂😂😂
@sarajastiny6520
@sarajastiny6520 3 жыл бұрын
Harafu mnapika mnao juwana tu roho mbaya tu mpaka mtu awe maarufu ndiyo mnaitana wenyewe khaaaaalolooooooooo
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 3 жыл бұрын
siku mungu atakapo kupa utaza wengi waku fatana fatana halaka halaka utashanga wema funguwa kwenye sim yako play store uandike jina kanguka itakusai diya binginebyo achana nabyo na utapata jibu
@kissakazomby6663
@kissakazomby6663 3 жыл бұрын
Shilole na baba levo wapewe tuzo ya uchekeshaji jmn wajengewe na sanamu
@richardcpink1643
@richardcpink1643 3 жыл бұрын
Shilole Ngelii Hiyo 🤗🤗🤗🤗🤗🤑💰🏆
@jeshigidawejr457
@jeshigidawejr457 2 жыл бұрын
Nampendaga shishii xanaa
@seifomar2322
@seifomar2322 3 жыл бұрын
Wema njoo uzae na mm nikupatie mapacha inshaallah
@busybusiness2759
@busybusiness2759 3 жыл бұрын
Nonsense! Kwani uliskia eti ni mume wa kuzaa amekosa? Yuko siku ataamua na mungu Tampa minva na mune wake was baraka
@mikidadinyawale3420
@mikidadinyawale3420 3 жыл бұрын
Njoo twende sehemu uyo MTU kiboko
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 жыл бұрын
Mtoto_anatoka_kwa_Allah_ndugu_kikubwa_ni_subira
@justinjoshua1059
@justinjoshua1059 3 жыл бұрын
Woooooooow shishi baby😘😘😘wema lini diamond???
@luggyqayn2410
@luggyqayn2410 3 жыл бұрын
Tanzania village 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WEMA MUNGU ATAKUPA na Tanzania nzima itafanya sherehe
@agnesmwangombe6999
@agnesmwangombe6999 3 жыл бұрын
Wema your so loving
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 3 жыл бұрын
Ni mm Amina kutoa Kenya
@Babyzay178
@Babyzay178 3 жыл бұрын
From Tanzania 🇹🇿😀❤️
@rahabumatulu2634
@rahabumatulu2634 3 жыл бұрын
Kingeredha thatha
@claudinenkurunziza2137
@claudinenkurunziza2137 3 жыл бұрын
Wa mwanza
@wlkmwlkm2174
@wlkmwlkm2174 3 жыл бұрын
Shishi unanimariza kabisa na yes yes
@maryanomar119
@maryanomar119 3 жыл бұрын
Kwaza nawapenda sana alafu upishi hamukumaliza mbona
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 3 жыл бұрын
Prophetess Shilole🔥🔥🔥
@ummuhaniali7634
@ummuhaniali7634 3 жыл бұрын
Waiting is over 😂😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣
@nadegeuw.5703
@nadegeuw.5703 3 жыл бұрын
Zari eeee usiongezi kula chakula cha Chilole asiji akatumwa na Wema akisha wakutoe ndani!!!
@annitabobo5438
@annitabobo5438 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
Cook with Wema Sepetu S03E05 Baba Levo
8:14
Wema Sepetu
Рет қаралды 244 М.
Cook with Wema Sepetu - S06E12 Phina
8:09
Wema Sepetu
Рет қаралды 17 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Cook with Wema Sepetu S03E07 Ommy Dimpoz
8:15
Wema Sepetu
Рет қаралды 66 М.
Cook with Wema Sepetu - S05E02 Mabantu
8:18
Wema Sepetu
Рет қаралды 25 М.
HIKI NDICHO CHANZO CHA KIFO CHA MTANGAZAJI WAWA SAFI FM DIDA SHAIBU;
3:33
Cook with Wema Sepetu - S07E03 Niffer
8:04
Wema Sepetu
Рет қаралды 78 М.
Cook with Wema Sepetu - S07E08 Zamaradi Mketema
8:01
Wema Sepetu
Рет қаралды 25 М.
Cook with Wema Sepetu - S06E09 Tuerny
8:11
Wema Sepetu
Рет қаралды 15 М.
Cook with Wema Sepetu S04E06 JB
8:11
Wema Sepetu
Рет қаралды 80 М.
Глаза уже не те 🤣🤣
0:58
RofloRezka
Рет қаралды 6 МЛН
“Don’t stop the chances.”
0:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Проба 585 | ЖАҢА ҚАЗАҚША КИНО 2025
1:31:59
Inter Production
Рет қаралды 505 М.
СЧИТАЕМ ОВЕЧЕК ПЕРЕД СНОМ 🐑🐑😴
0:55
КиноХост
Рет қаралды 1,7 МЛН