Gigy ndio real Celebrity wa Tanzania, mambo yake yanafurahisha sana, yanasikitisha, tunakupenda sana Gigy!
@sacholasandras16392 жыл бұрын
Jamani hizi mambo anapitia gigi ma single mom ndo tunajua gigi love I'm proud of you Mom love ❤️❣️💋❤️💙💙
@irakozegracia1832 жыл бұрын
Aki wengine hapo akilia wanaona ni drama but si wengine ni juu si wasani lakini tunapitia magumu mno
@nancyg86642 жыл бұрын
Mi namuelewa huyu dada anachopitia,sema anamasiara mengi kama apo kalia af badae et yo yo am a gangster 🤣🤣🤣nmecheka
@joyceryoba84662 жыл бұрын
Yaani gigy umeongea ukweli mtupu ...najiona mm kabisa Ila mungu ni wa wote siku yatakua poa tu
@zawadimussa25142 жыл бұрын
Kwwl
@mwantumuabduli63722 жыл бұрын
kwa apa namuelewa sana
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila giggy🤣🤣🤣🤣drama hizi kweli from 0-100 ndani ya sekunde🤣🤣🤣 Pole bibie,maisha ndo yalivyo,Mungu ni wa wote,usiache kuomba
@fannynduwimana40282 жыл бұрын
Gigy nakupenda sana ningekuwa mwanaume ningekuowa kabsa afu sherehe kubwa ila mungu yupo sun utaolewa Nina Imani nakupenda sana 🧡🧡💯💫❤🇧🇮👌
@angelbb52172 жыл бұрын
I love her so much she got the confidence and she’s good mother 🥺
@nyamizishaban88152 жыл бұрын
Mwenyez Mungu awape nguvu single mama wote!!! U deserve better
@nurubakari41782 жыл бұрын
Amin ishallah
@hadiadaoman19812 жыл бұрын
Aamina maana sio sili single mama balaa maana kama me toka nimeachwa na mtoto ana 40 mpaka leo ana miaka sita juz anacheza na wenzie shule anawaambia wenzake me sina baba baba anipenda sijawahi kumwona imeniuma sana na bata me sijui baba ake alipo na hajawah kumtafuta yaana nawaza kwa nn mtoto kawaza vile 😢 💔
@stamelistameli84612 жыл бұрын
Amiina
@zawadimussa25142 жыл бұрын
Thenk
@zawadimussa25142 жыл бұрын
@@hadiadaoman1981 pole pole tuko weng
@lizzybethmlaki45312 жыл бұрын
maskini Gigy ,Mwanao ndo mkombozi wako ,Mungu akutie nguvu
@sarahbraison4172 жыл бұрын
Gigy🙌🙌🙌🙌🙌,wanakuonaga kichaa but wew ni mwanamke mwenye akili nyingi sana na hunaga kona kona
@felicity31592 жыл бұрын
This lady is full of wisdom and she is comic at the same time.
@givenjackson54492 жыл бұрын
Only single mothers ndo tunamuelewa Gigy 😭😭😭
@saumujuma65612 жыл бұрын
kabisa
@rosemarry20202 жыл бұрын
Kabisa inauma sana😭😭😭
@aminasuliman29232 жыл бұрын
Nimefurah kama anasemwa baba mtoto wangu good good mama ukwel unamueka mtu hulu❤️❤️❤️❤️😍
@aishahamisi82742 жыл бұрын
I love you giggy. Mm pia ni single mother wa watoto 3najuwa unachokipitia. Take heart Mungu yko pamoja nawe
@dottohamisi98442 жыл бұрын
gigy watu wanamchukulia kama chizi lakini gigy anajielewa sana mm napenda sana pambana mpenzi 😘
@ChristinaJordan-q8d Жыл бұрын
Umefanya nilie mpaka cku yangu imeharibika maisha yako ndo ninayo pitia 😢nakukubali sana ila Mungu anajua unayo pitia ipo cku utafutwa machozi amini mm nimeona ktk maisha yangu,❤
@IshaeryMwampyate2 ай бұрын
Pole san 😭😭
@cookiecookie47982 жыл бұрын
wallahi the only person who understand the pain and struggle of raising a child is only a single mother...understand her pain coz am on that ..much love gigi from Saudi Arabia be strong for your Baby God will see you through
@mwanatumually73122 жыл бұрын
Maisha ya giggy ndio yangu kabsaaaa....mungu hakimu wa kila jambo..tuleee tu watoto Allah kareem
@saraemmanuel25832 жыл бұрын
Kabisa
@shamsaommy4542 жыл бұрын
Tuwe wengi jmni tusisemane
@zuhuraakida59322 жыл бұрын
Hii interview inanikumbusha machungu yangu 😔😔📌 kama nilie kwa sautiiiii💔 but staki kukufuru nasema hivi Alhamdulilah för everything , Nakushukuru Allah hukuniacha peke yangu😔 and now Iam proud mom twins wangu wanafikisha 16 yrs old, ila haikuwa rahisi.... Hasbu Allah waneemal wakeeyl 🙏 Mungu azidi kukupa nguvu mama mayra I FEEL YOU DEEP DOWN😭😭😭😭😭
@tinamahega98482 жыл бұрын
Pole sana mpenzi,Mungu aendelee kuwa mfariji wako
@zuhuraakida59322 жыл бұрын
@@tinamahega9848 Ameeyn 🙏 Ameeyn 🙏 Ameeyn 🙏♥️
@zuhuraakida59322 жыл бұрын
@Solomo Kaijage Mungu ni mwema dear🙏♥️
@annethsongwe60632 жыл бұрын
Ni mapito tumshukuru Mungu kwa yote, wanaume wako hivyo
@nadanasser10202 жыл бұрын
Gigi nampenda saaana anaongea ukweli saaana anachekesha anahuzunisha piya analiza nakupenda saaana my Gigi mungu akufanyie wepesi katika kila Jambo lako dada go girl go Gigi
@nasrasalim4482 жыл бұрын
Napitia changamoto kama yako gig naumia lkn sijakata tamaa napambana kama ww nakupenda mno
@kassimali22732 жыл бұрын
@@nasrasalim448 unapitia changamoto gani ndugu weka baadhi ya changamoto usaidiwe usikae na changamoto rohoni itakuumiza
@dainessmnaku8002 жыл бұрын
Hata mm nampenda sana
@princesskagema64522 жыл бұрын
Kabisaa ndungu
@lightmsuyya17142 жыл бұрын
unauwakika gani kuwa ana ongea ukweli gig ni m2 wa drama sana alafu mo nae ana matatizo ukweli wa mambo Yao wana ujua mwenyewe siwezi jua kuna kudanganya midia machoz yasiwe kitambilisho cha kuficha machafu yao wapo wamama wana pitia changamoto lkin kwa gigi siwezi mtetea yeye wala mzazi mwenzake
@nipautago85742 жыл бұрын
Vile nakupenda mdogo wangu! pambana!
@scolarshija32152 жыл бұрын
Nakupenda mpaka naumwa.mwaaaaaaaaa
@angonzamujunangoma87752 жыл бұрын
Nakupenda sana gigi wangu,pambani dada yangu.Mungu yupo nawe
@skynerabdulkadir60982 жыл бұрын
My hero mother....nakupenda sana Giggy...hivyo ndivyo wanawake tunatakiwa kuwa,sio kujiliza liza kwa mibaba isiyojua wajibu wao...💪💪💪💪💪
@jacquelinejeremiah34632 жыл бұрын
Kbsaa
@lightnessyoungman11592 жыл бұрын
Yaan gigy ni unpredictablee😂😂😂😂😂 tunalia badae tunachekaa gigy haeleweki yaan aseeeh....Be strong mama
@joywanjiru34192 жыл бұрын
Much love to her❤❤
@bjzee19812 жыл бұрын
Gigy nampenda bureeee. A young lady anae jiamini naku ishi according to her dreams
@gaudenciamallya97792 жыл бұрын
Gugy, ninachokupendea wewe ni mkweli. Gigy endelea kumlea mtoto wako kwa maadili mazuri. Mayra ni wa KWAKOOOO! Hongera kwa kulea.
@harmonymattondo40422 жыл бұрын
These single mothers knows how to love...WAkikupenda usichukulie Poa bro....I have been there i have done It....One love❤❤❤ for All single mothers popote mlipo
@upendominja55182 жыл бұрын
Giggy knows what she is doing. I respect her hustle.
@zaipazzi94902 жыл бұрын
Nikimsikia Gyg nafurahi sana ata nikiwa na mawazo yanapungua. i feel happy 💃🥰😄
@mwilongokivega31692 жыл бұрын
Wa mama tunateseka Sana big up gigy pambana na mwanao Mungu atakusaidia Inshallah 🤲
@naomisenga18312 жыл бұрын
Maskini gigy🥺❤️God bless you mama
@valentinegodson35222 жыл бұрын
Ntakupenda Sana jaman Gigy love you forever 💖💖💕
@tinakivunge67552 жыл бұрын
Yaani nakupenda mpaka sielewi wewe dada naomba namba yako tuwasiliane kwa heri ti
@valleryawuor54732 жыл бұрын
This two still love each other buh I guess the bbydady is just TOXIC,she's a strong woman though
@mariamudotto51242 жыл бұрын
Ma single mothers mnaojiamini hapa mjini mpoo💪💪
@maloomaalmnsj51112 жыл бұрын
Tupoooo
@pendondossy41812 жыл бұрын
🦶🦶
@blandinamyinga94892 жыл бұрын
tumejaaaaaaaaaaaa
@edyteemba19182 жыл бұрын
@@blandinamyinga9489 mwambie ackie kwani iko nn single mother kujianii ebu msituwazee!!
@uwinezajohara83622 жыл бұрын
Tupooo
@ashantyjojo52982 жыл бұрын
Gigi gigi gigi umejua kunikosha sanaa mungu akutunze upate kumlea mtoto wako
@hotkitchenapple832 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo ya "Mungu utanisaidia" keep on trusting God Gigy money
@darajalakidatukilomgi23622 жыл бұрын
Ukatili wa kupiga Wanawake umezidi Tanzania, inahitajika Elimu kubwa kwa vijana na wanaume kuhusu ukatili kwa Wanawake, Mama Samia na Serikali simamieni hili jambo Wanawake wanakufa wanaumia wanapata vilema, wanaharibu saikologi za Wanawake na watoto wanaoshuhudia ukatili, tunaomba mliokoe Taifa
@marthabahati81662 жыл бұрын
Gigi I love you keep be strong minampenda Gigi na vituko vyake ivy ivy
@trizahwanjiru49782 жыл бұрын
Nampenda gigy ewow i truly understand her fully hold on nd fight for your child , babydady wengi nimaumbwa tu
@charlesmugisha65292 жыл бұрын
Uwa nampenda Sana uyu gigy uko vizuri ukiingia ata bongo move utauza Sana.
@sarahhappy44652 жыл бұрын
uzuri wa gigy husema ukweli yani hajui kudanganya kabisa. nice job gigy Mwenyezi Mungu atakukumbuka siku moja
@yasminoluoch1692 жыл бұрын
The best interview ever ya gig..sasa huyu ndo mannish anauliza maswali mazuri sana....yaloenda shule ila gigi🤣🤣🤣 nakupendaga
@janethsemboni98742 жыл бұрын
b
@heriethkusigwa39962 жыл бұрын
Wangapi mmeirudia hii Interview??Gigy jitahidi kumaliza maumivu mwenyew achana na huyo mbona mtt atakuwa ty....umia Moyoni polepole afu ng'ara hadharani akwambia .Nilipita huko lkn niliamini kilichondani yangu Mpk Leo hiko good ✌yr Woman Of perfection go gal ❣💋💋
@lucydamas1282 жыл бұрын
Mm nimekutaman umewezaji na mimi muanga kama gigy
@mburaragodfrey36292 жыл бұрын
Sorry dear Gigy.from Uganda. Strong mum.many mum are suffering like u. More love dear
@kaboyiimmaculate41292 жыл бұрын
Nimeumia sana from rwanda these stupid men who aren't caring their children are bogase
@mohamedelzobery71942 жыл бұрын
Nakupenda gigi jaman madini safi na zidisha tena na tena mpende mwanao God amekubless katoto mashallah 🥰
@msumbaalihappytokenyan57142 жыл бұрын
You are a strong woman gigy,,, Nakupenda bure sweetie.. One day God will hear your 😢
@Lucky-hm3qh2 жыл бұрын
Ila Giggy mzuri bhana🥰♥️
@tinachaulo65512 жыл бұрын
Huyu ndiyo angekuwa na diamond,,siyo zuchu
@mummymaduhu53072 жыл бұрын
Kweli eti
@mwabakabwe97332 жыл бұрын
Strong woman..am actually going through yur situation n I pray I get strong like ye 👆much love from Zambia 🇿🇲❤️
@judithakoth61792 жыл бұрын
I love this gal wallai 🤣🤣🤣🤣she is just a gangstar from crying to laughing waaah #gigymoney
@florarose16262 жыл бұрын
😅😂😂😂
@rhodambishila30662 жыл бұрын
Kabisa😂
@swalehesaad26922 жыл бұрын
Huyu ndio muandishi sasa wangekuwa wale ungesikia kati ya mondi,kiba na konde unampenda nani yaani waandishi wengine wapo kiuchawa chawa chawa chawaaaaaa.
@karamanazareno15562 жыл бұрын
😁😁wanakwaza
@reizaaroyonza3572 жыл бұрын
Her sense of humor is beautiful though. But she needs a therapist. She has dad issues. I pray she gets healed.
@natashaoraph62552 жыл бұрын
She always real ...she don't pretend😊
@mwanaishamande88802 жыл бұрын
Nakuelewa sana gigy usijali mama pambania mwanao hiyo ndio furaha yako
@irankundaanitha5852 жыл бұрын
İla Watu wanamuona gigy mpumbavu Sisi ambao tumelea watt bila baba zao na matusi juu tunatukanwa ndo tunajuwa Ayo maumivu😢😢
@lucydamas1282 жыл бұрын
hawajui sema wanatuona kuwa sisi wajinga mama ni bora anapambana kwa kila kitu jmn wanaume mbnhvy
@mwajumalubunga15342 жыл бұрын
poleni sana ma singles mothers wote 😢😢
@jeanneandfrancislifestyle15182 жыл бұрын
Sorry too all single Mother’s 🥲
@irakozegracia1832 жыл бұрын
Aki mimi kuna wakati nakaa niko peke yangu nalia siku nzima guy's musiombe inauma watu wanabeba maumivu mkubwa ndani ya myoyo yao
@nancyg86642 жыл бұрын
@@irakozegracia183 polen jmn
@sabinaonline65752 жыл бұрын
Ooh my Gigy i can feel you!! Love you Gigy you are very strong mamy Mungu atakusaidia na ataendelea kukusaidia
@athanasyohana87202 жыл бұрын
Am very sorry for you.huyu ni mwehu
@sabinaonline65752 жыл бұрын
@@athanasyohana8720 nani mwehu basi hata wewe mwehu ila mmezidiana mwenzako wehu wake wa faida
@binamubinamu11512 жыл бұрын
My gigy pole sana Allah akutangulie
@Jennifer_kim942 жыл бұрын
I just love this lady Gigy. You are a good mom and a strong lady. Much love and respect from +254 🇰🇪
@rehemavictor4812 жыл бұрын
Gigy uko vizuri mengine kila mtu Ana mapungufu yake
@rehemacabdalla17852 жыл бұрын
Love ❤ you giggy you are an example of a strong woman that is why he is jealous of you stay strong mama xx
@amazing_grace53922 жыл бұрын
I just love Gigy❤❤
@lilianwillfred2382 жыл бұрын
Gigy nakupenda adi naumwa wanao kuelewa ni wachache japo wanakuona malaya chizi ujielew bt keep it up
@Raya-u3g11 ай бұрын
Kama mm ndo ningekuwa Gigy ningekuwa nshakufa Anapitia mengi sana Nampenda sana she need to be strong
@DanielOnsareTv2 жыл бұрын
WoW... I love the way she is protecting her daughter ❤️❤️
@scolasticakabisama43242 жыл бұрын
Ua a woman and a half Nina kityu Cha kujifunza kwako gigy mungu akupe nguvu sana du najiona kwenye maisha yako
@cecilianyalusi95972 жыл бұрын
Inafulahisha pia inaliza nimeumia nimecheka love you so much Gigi nampenda Sana
@RENAHKUSH Жыл бұрын
Napenda anavyo mlinda mtoto wake haya maisha nnaoishi stamani mwangu ayaishi hio kauli anaipenda sana na anasema ukweli🙏
@ashurarashid27422 жыл бұрын
Love u mama marya Mungu msema ukweli😘😘😘😘😘😘
@JoyceAlly-rq1zy Жыл бұрын
💕 nakupenda Bure Gigi......unaongeaga point sana myGigi🥰😘
@blandinamyinga94892 жыл бұрын
gigy my beiiiibyyyyyyyyyyy♥️♥️♥️♥️♥️I love this girl for being so real.
@ChancelineCatherine-bj6jd5 ай бұрын
😂😂😂Yani GiGY hiii kweli kbx Yani 😢😢😢😢😢😢 I love you so much
@lightinesssarakiky73672 жыл бұрын
Ayo jmn utuletea uyu dad jmn we love this girl 😭😭😭
@neemasalema15462 жыл бұрын
Ninakupenda sana Gigy mdogo wangu huwa unaongea ukweli na ninakuamini kwa kila unaloongea sijawahi kuona ubaya wako hata kama upo ni ubinadamu ambao upo kwa kila mtu
@bettyngala85182 жыл бұрын
Gigy is the real OG
@ayshersaadallah18862 жыл бұрын
excatly
@gracerichard81452 жыл бұрын
Ilove so much mam mayra uishi miaka mingi ule matunda ya mwanao
@florenceedo94022 жыл бұрын
I love this Girl to the Maximum 😩💗💗💗💗
@minnie_rock247 Жыл бұрын
Gigii nakupendaga ile mbaya mtoto wewe unajua kunifurahisha mwanangu♥️♥️🙏
@chikusangalala77592 жыл бұрын
Gigi nampenda sana ana akili nyingi huyo mzazi mwenzie anatafuta kiki kupitia gigi bira gigi hadanikiwi gigi ananyota kali
@goodluckmsoka36602 жыл бұрын
Gigi ana akili sana ana uwezo mkubwa sana wakufikiri
@fatumakidoa40062 жыл бұрын
love you ❤️❤️ gigy you are very strong lady
@princesskagema64522 жыл бұрын
Yaan wamuacha apambane na mwanae mm wananikelaa watu wanaomuuz ivi seriously mtu akugusue mwanao umwangalie tuuh mfyuuu
@fannynduwimana40282 жыл бұрын
Japo wanakuita chizi unaakili nyingi sana ww ni mma muzuli unajuwa kulinda mwanawo nakupenda sana 🥰🥰🇧🇮🇧🇮👌
@saumumashemo42832 жыл бұрын
Aki nakupenda sana uyu dada🥰🥰🥰
@RichardNiyonkomezi7 ай бұрын
GiGY mani nagupenda dada yangu lm from burundi 🇧🇮 Sasa now niko Morocco 🇲🇦 ♥️ watsan gigy
@salimawalliam87292 жыл бұрын
I just like her drama 💕💕💕💕
@wellbrand34152 жыл бұрын
nimeipenda sana hii interview... Gigy up......
@tuliadamson34222 жыл бұрын
Cjui n kwann but cjawah Acha kumpenda gigy
@nouraydamkubwa17702 жыл бұрын
Nakupenda Sana ggi 💖❤️mungu atakusaidiya
@anethjoseph3552 жыл бұрын
Gigy nenda Kwa therapist my dear una trauma pole sana
@athanasyohana87202 жыл бұрын
Umeongea point sana
@neemawilliam84152 жыл бұрын
Trauma ni nn jmn
@nancyg86642 жыл бұрын
@@neemawilliam8415ni kama maumivu hivi
@stressfreezone15222 жыл бұрын
@@neemawilliam8415 maumivu ya ndani hivyo.
@stoner_47152 жыл бұрын
Be strong,Kiki wangu💘
@roselynealima36182 жыл бұрын
Much love baby gal tunakumiss huku Kenya
@lisahhans2952 жыл бұрын
Gigy nakupenda bure njoo basi Arusha?
@felisianamassawe92392 жыл бұрын
I like her charming girl and free woman she don't care anything her confidence is full♥️♥️♥️👌
@zou74702 жыл бұрын
Yani gygy we ni majinuni kwakwel kwenye huzuni unaleta ucomedy 😅😅but Mungu akusimamie uweze kulea mtoto wako kwenye madili mema 👏👏
@allthingdranabeauty2 жыл бұрын
Nampenda Gig anajielewa ila yuko kam anasumbuliwa na trauma ya maisha ya utoto anatakiwa kuonana na psychologist mshauli mirad
@mumyhendry29192 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭yaan nmejikuta nacheka huku nalia kaah,Gigy nakupenda bure kipenzi
@Ashura-y9e3 ай бұрын
Nampenda sana gigy jmn😘😘
@eveline72932 жыл бұрын
Love u gigy♥️
@hawashayo55262 жыл бұрын
Nakuelewa gigy ♥️♥️
@joealone63772 жыл бұрын
Baby usiwage unalia kwenye interview unatuliza jaman😭😭😭
@MariamSaidy8 ай бұрын
Gig money love ❤️ siyo kwamba nakupenda kimapenzino nafurahi na maneno unayoongea dada kaza kamba siyo wanawake wengine Rika Lao watoto wao ni kwenye mtandao Hawa somi wanakaliya vitu vya ovyo big ap cc ilove cc
@neemasalema15462 жыл бұрын
Gigy Mungu yupo upande wako omba sana hawezi kukuacha
@ibrahimmnyema76522 жыл бұрын
Can have tissueeeee, kitambaaa , itachoraaa🤣🤣🤣🤣love mo gig
@lynshish23552 жыл бұрын
Much love from Kenya
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Tunaoangalia na kumpenda gigg gonga like yako hapa 👍