WENGI WANAKUFUATA KWASABABU UNA CHA KUWAPA LAKINI UKIKOSA MARAFIKI WATAKUKIMBIA

  Рет қаралды 96,004

Pastor Daniel Mgogo

Pastor Daniel Mgogo

Күн бұрын

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZbin : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

Пікірлер: 81
@CHILL50440
@CHILL50440 5 ай бұрын
Kweri muchungazi watu wasiku hizi niwa user, they cannot love you without profit
@MelinaBalema
@MelinaBalema Ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeen xaaaaaaànà mtumishi rungu nzuri sana zinatufaa kizazi Roho Mtakatifu azidi kutumia ili tupone katika nafsi zetu
@dieudonnehabamungu5710
@dieudonnehabamungu5710 4 ай бұрын
Asante sana Mchungaji...ulipokuwa DRC Bukavu, nili sikitika maana nilikuwa inje ya muji. Ila mwezi july , nikifanyikiwa safari dar es alam, nitakuwa na furaha mingi niki shiriki kwenye kanisa lako ( naomba adress Baba Mchungaji) Mungu aendelee kuzidisha baraka zake kwako 🙏
@marieheiss6560
@marieheiss6560 14 күн бұрын
Ndio pastor Daniel Mgogo waambie kabisa 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@MariamMasanja-v6e
@MariamMasanja-v6e Ай бұрын
Amina ,aminaaaaaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Alan-g2t
@Alan-g2t 4 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu, unatuponya kwakweli.
@AliciaJonas-gu8ho
@AliciaJonas-gu8ho 4 ай бұрын
Wakwanza nimimi baba, stamsahau MUNGu ktk maisha yangu😂😂😂 aliko nitoa nina ushuhuda milele!!!!!!!🎉🎉
@josephinendinda9065
@josephinendinda9065 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤❤
@PatrickWagoroOjijo
@PatrickWagoroOjijo 4 ай бұрын
Your preaching has really touched me God bless you 🙏 🙌
@dncn2873
@dncn2873 4 ай бұрын
You should visit us in Deliverance church kahawa west we need blessing like this , thank you for your great teachings.
@CANAANTZ_TV
@CANAANTZ_TV 4 ай бұрын
Haleluyaaa Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1.=Maombi ya kuvunja madhababu za kichawi 2=Maombi ya kuzima mashambulizi ya kuzimu 3=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii
@NdayikezaAlice-f9i
@NdayikezaAlice-f9i 24 күн бұрын
Mgu akujaziye mafuta kweli
@PeterShisaina
@PeterShisaina 4 ай бұрын
hujakosea mchugaji hiyo. ni ukweli kabisa ❤❤
@robertnguli5963
@robertnguli5963 4 ай бұрын
Mtumishi hapo sawa hiyo line hiko sawa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa Wanataka miujiza ya utajiri😢😢
@ALOYCEJUSTINI
@ALOYCEJUSTINI 2 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumish
@CatharineNasipwondi-lk2hl
@CatharineNasipwondi-lk2hl 2 ай бұрын
amen nice pricheng amen wonderful man for pricheng 🇰🇪🇰🇪🇰🇪I like this 💪💪💪
@elenawairima4973
@elenawairima4973 Ай бұрын
Happy to see Mary Atieno
@janemuthoni723
@janemuthoni723 4 ай бұрын
Dadangu mkubwa ukiona ako upande wako saa zote ujue kuna kitu anataka na kwanza yeye uja na umbea 😂😂😂😂asengenye kwanza
@MariamMasanja-v6e
@MariamMasanja-v6e Ай бұрын
Amina mchungaji
@FaresterGaspary
@FaresterGaspary 2 ай бұрын
Nakupenda bure pastor Mungu akutunze sana unaponya walio tayari kupona
@JoyceMkini
@JoyceMkini 3 ай бұрын
Barikiwa mtumiahi ni ukweli kabisa unaongea wamepigwa upofu hawaelewi hata ukiwaeleza wanakiona hujui kitu ngoja tu waliwe😊
@timothychemorna7279
@timothychemorna7279 3 күн бұрын
Amen pastor
@aliaaliamint8545
@aliaaliamint8545 3 ай бұрын
Amen Amen nkweli, wengi wanaenda church kwa mahitJi binafsi yakfaulu tuu basi Mungu anakumbukwa wakti wa shida
@losakani9971
@losakani9971 4 ай бұрын
Toboa mchungaji 😂😂😂😂😂 nikweli hawasemi welevi waokoke
@rizikiwakibale8760
@rizikiwakibale8760 4 ай бұрын
Amen, hii mahubiri ni mifupa kweli, watoto wa Mungu hawapashwe kunywa maziwa tu, inaomba wa komale, Mungu akubariki Postor
@JosephKitobo-cg2nm
@JosephKitobo-cg2nm 4 ай бұрын
Aksante mwalimu kamili, allah azidishe nehema yake ju yako. Yani umetu bariki kabisa
@SUIIIZ.1
@SUIIIZ.1 6 күн бұрын
Ameni 🙏
@inumbuboyinumbuboy2580
@inumbuboyinumbuboy2580 4 ай бұрын
Jana kidogo tu nipige simu kwa nabii mmoja anitabili ndugu yangu mmoja alikufa kimiyeyusho sana.
@samkimani5426
@samkimani5426 4 ай бұрын
Amina. Asante mchungaji kwa mafundisho ya bibilia
@Alan-g2t
@Alan-g2t 4 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu, unatuponya kwakweli.
@MAGRETHMALOLE
@MAGRETHMALOLE 3 ай бұрын
Bwana akubariki mtumishi kwa mahubiri yako niyakweli na yanafundisha
@rizikiwakibale8760
@rizikiwakibale8760 4 ай бұрын
Amen
@GuelordMaombi
@GuelordMaombi 3 ай бұрын
Asante mchungaji ume tujenga kabisa
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 5 ай бұрын
Amina Baba mchungaji, ubarikiwe sana kwa neno.
@johnsonmulwa7450
@johnsonmulwa7450 4 ай бұрын
Amina mchunganji,,,Mungu akubarikiwa sana🙏🙏🙏
@josephboki
@josephboki 3 ай бұрын
Pastor umenibariki mungu akubariki sana
@daudimvanda
@daudimvanda 4 ай бұрын
ni kweli baba kabisa mungu akubariki baba yetu
@jameskaboyi5644
@jameskaboyi5644 4 ай бұрын
Amene mutumushi wa Mungu ubarikiwe sana
@innocentgabo8317
@innocentgabo8317 4 ай бұрын
hujakosea mchungaji hiyo ni kweli
@losakani9971
@losakani9971 4 ай бұрын
Nikweli kabisa mungu akubariki xana
@robertnguli5963
@robertnguli5963 4 ай бұрын
Mtumishi hapo sawa hiyo line hiko sawa
@annakilua6717
@annakilua6717 4 ай бұрын
Nikwer kabs tumishi wa mungu
@sergebaleke695
@sergebaleke695 4 ай бұрын
Kiyato kinakaa upande 😅😅
@ErickMahese-wm4yp
@ErickMahese-wm4yp 3 ай бұрын
Amen❤❤❤
@happiness_713
@happiness_713 4 ай бұрын
So powerful, thank you pastor from Kenya
@BlessedWachira
@BlessedWachira 4 ай бұрын
where is your church ,,,,your word has really touched me
@WycliffeMugone
@WycliffeMugone 4 ай бұрын
Good bless you pastor for good teaching
@EdwardKisota
@EdwardKisota 3 ай бұрын
Nazdravlje..... Be blessed
@lisokimecholobi9451
@lisokimecholobi9451 4 ай бұрын
Amina mchungaji nimebarkiwa
@LuthFuraha-rt2ps
@LuthFuraha-rt2ps 4 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@simiyugeorge-wj1pt
@simiyugeorge-wj1pt 4 ай бұрын
Asante kwa ujumbe huo
@josephHermani
@josephHermani 4 ай бұрын
Ubarikiwe San mtumishi wa mungo kazia happy.
@josephHermani
@josephHermani 4 ай бұрын
Ponya watu 🤱 😊😊
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
Amiina sanaa. Asante mungu.
@pstgraceneema5857
@pstgraceneema5857 5 ай бұрын
Amen...This is the Man.... thats the Lords delight is in him.
@DorcasNaiaka
@DorcasNaiaka 3 ай бұрын
Barikiwa mchungaji
@alexmusyoka2261
@alexmusyoka2261 4 ай бұрын
Asnte kwa.ushauri
@kikokoshabani1684
@kikokoshabani1684 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana🎉🎉🎉🎉🎉
@rwa877
@rwa877 4 ай бұрын
Amen; Mtumishi.
@janekaranja6091
@janekaranja6091 4 ай бұрын
Nmejifunza mengi
@ArletteKasongo-ci5ni
@ArletteKasongo-ci5ni 4 ай бұрын
Trop profond, Amen pasta
@MarcelNahishakiye
@MarcelNahishakiye 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@rizikiwakibale8760
@rizikiwakibale8760 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana,
@ElishaMwenga-ti7of
@ElishaMwenga-ti7of 4 ай бұрын
Amina baba
@PolineKhasiala
@PolineKhasiala 4 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@MemoryChiluka-j2n
@MemoryChiluka-j2n 4 ай бұрын
Amina
@losakani9971
@losakani9971 4 ай бұрын
I received 😂😂😂😂😂😂
@getrinimweyeli2095
@getrinimweyeli2095 5 ай бұрын
❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🤣🤣🤣🤣🤣
@MdutaSomha-u6z
@MdutaSomha-u6z 4 ай бұрын
😂😂😂
@GraceNdakuya
@GraceNdakuya 3 ай бұрын
Emeeeeeeeeeeeeen
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 3 ай бұрын
Amen
@tumaomeraChristopher
@tumaomeraChristopher 4 ай бұрын
Nice message
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
Ameeen
@DenGospels
@DenGospels 4 ай бұрын
Amen
@jentrixwafula
@jentrixwafula 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@jackmunkondya3915
@jackmunkondya3915 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 4 ай бұрын
Duu mgogo nondo zamaana
@RamiaHussein-ez3nv
@RamiaHussein-ez3nv 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@RamiaHussein-ez3nv
@RamiaHussein-ez3nv 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@julienneaboki4105
@julienneaboki4105 4 ай бұрын
Asante muchungaji kwa neno
MJUE ADUI YAKO KWA AJILI YA USALAMA WA FAMILIA YAKO"PASTOR MGOGO
1:05:02
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 99 М.
ОТОМСТИЛ МАМЕ ЗА ЧИПСЫ🤯#shorts
00:44
INNA SERG
Рет қаралды 4,7 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 70 МЛН
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,4 МЛН
Mch Daniel Mgogo - Madhara ya Dhambi Evening Glory 11th July 2018
1:01:46
Africha Entertainment
Рет қаралды 21 М.
KILA PALIPO NA WANANDOA KUNA MMOJA MZIMA NA MMOJA NI KICHAA “PASTOR MGOGO
41:53
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 6 МЛН
ОТОМСТИЛ МАМЕ ЗА ЧИПСЫ🤯#shorts
00:44
INNA SERG
Рет қаралды 4,7 МЛН