WEUSI - HII HAPA

  Рет қаралды 80,197

WEUSI

WEUSI

Күн бұрын

Пікірлер: 395
@WEUSI
@WEUSI 7 ай бұрын
BACK LIKE WE NEVER LEFT!! ⚔⚔
@francesconzundah8759
@francesconzundah8759 7 ай бұрын
🔥🔥🔥
@imanimbegu5853
@imanimbegu5853 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤jcb ​@@francesconzundah8759
@allykimario9498
@allykimario9498 7 ай бұрын
Nikki wa pili amepitajeee hapo...gonga like kama unaamini DC ametishaa sanaaaaa
@patrickprotas9184
@patrickprotas9184 7 ай бұрын
Kama una wakubali weusi gonga like
@mussamaulid006
@mussamaulid006 4 ай бұрын
G umeipita Kaka....
@octorviankalala5196
@octorviankalala5196 7 ай бұрын
Joh my G hahahaha Verse zake unabidi uwe na sikio fulan hv kuelewa anachokisema Si shamba la kahawa mtakula makofi (coffee) If you kno kno 💯
@Mutahjr98_2
@Mutahjr98_2 7 ай бұрын
Waliommiss nikki akirap react 👊😎
@rubenladislaus7249
@rubenladislaus7249 7 ай бұрын
I love the bars You made it this is what we have been missing!! It's a real fantasy! Love it ! Everyone did.......
@aploscoder4358
@aploscoder4358 7 ай бұрын
Poaaaa sanaaa
@ebenezernasr7306
@ebenezernasr7306 7 ай бұрын
Joh zungu la flow 🔥🔥
@pancrasshirima
@pancrasshirima 7 ай бұрын
Nyie mnachelewa kutoa nyimbo mpaka mnasahaulika
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 ай бұрын
mim mwenyewe nipo upande wa g wara wara alvyo force ngoma ikatoka
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 7 ай бұрын
Watoto wa A-TOWN tuonane ktk like,dumisha kzkzn
@bonifacedovick6195
@bonifacedovick6195 7 ай бұрын
joh makini🔥🔥🔥🔥
@rulimbiyesaid5907
@rulimbiyesaid5907 7 ай бұрын
Joh makini ...... underrated rapper ila z the best kwenye hii era
@Tanganyika-w5p
@Tanganyika-w5p 7 ай бұрын
Never Underated.. Mkubwa sana
@EmmanuelOG-rz4mb
@EmmanuelOG-rz4mb 7 ай бұрын
There was a time Weusi were the top top Rap group. They brought the Migos swag to East Africa big up my Gs
@chrispinally2420
@chrispinally2420 7 ай бұрын
kama una wakubali weusi gonga like 👍 tukisonga 👍🇹🇿
@JamesAgostino-vt9fy
@JamesAgostino-vt9fy 7 ай бұрын
Loard eyes natamanigi apewe verse ya kwanza ivii au siku asimamie chorus anavikitukitu ivii amazing joh hajawh niangusha
@DanielChaula
@DanielChaula 7 ай бұрын
Lunya Mila inamhusu hiii😂😂😂😂
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 7 ай бұрын
Tuliotoka kwenye page ya G warawara like hiihapa hii👇🏾
@theempire4058
@theempire4058 7 ай бұрын
Kama unaamini wimbo ukiwa mkali kama huu hutamani usiishe gonga like za kutosha
@VeenHans
@VeenHans 7 ай бұрын
Hawa ndo weusi nnaowajua🙌🏾🔥🔥
@brymotarihno6814
@brymotarihno6814 7 ай бұрын
hutoi ngoma mzee
@VeenHans
@VeenHans 7 ай бұрын
@@brymotarihno6814 ntatoa blood.:
@mubatwalibu4108
@mubatwalibu4108 7 ай бұрын
yaaaap hii hapa mmetuheshimisha mashabiki maana tulikua hatuna lakusema WEUSI kaliii
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 ай бұрын
okay okay okay okay hii hapa hii ngoma unaweza skliza sku nzima bila kuichoka
@Champion97th
@Champion97th 7 ай бұрын
Muiteni Young Lunya amsikie Joh Makini😂😂😂...Mwenye nyumba karudi😂
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 7 ай бұрын
Humu tu. Humu tu kubabababaaake ndio goma Kali wazeee hii hapa aiwez fikia humu tu so achieni humu tu humu tu kubabababaaake
@pulltheskymusicgroup4475
@pulltheskymusicgroup4475 7 ай бұрын
I'm happy Weusi are back!
@mageniGrandson
@mageniGrandson 7 ай бұрын
wametishaaaaaaaaaaa!!!! naombeni like
@nathan96tv
@nathan96tv 7 ай бұрын
Okay okay hii hapa hii🔥🔥🔥
@vinitatarmo3086
@vinitatarmo3086 7 ай бұрын
Nakubali mnooo
@ElinajaMlaty-qg4sj
@ElinajaMlaty-qg4sj 7 ай бұрын
Kaa kijanja Kuna watu na msukule😂😂😂lody
@Loismo
@Loismo 7 ай бұрын
2024. Anhaaa,ndio huu mwaka umeanza,kama imechelewa waseee,#Weusi #MotoZilie
@Marawitijr
@Marawitijr 7 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Marawitijr
@Marawitijr 7 ай бұрын
Ok
@bagwellyeezy8078
@bagwellyeezy8078 7 ай бұрын
Hii hapa ni 🔥🔥🔥🔥
@achilessteven6221
@achilessteven6221 7 ай бұрын
Mm ndo nakua mtu wa kwanza kusikiliza dude
@hildasutton
@hildasutton 7 ай бұрын
hii hapa hii... chafu sana
@Bumutz-po2df
@Bumutz-po2df 7 ай бұрын
Unyama ni mwingi weusi no 1 kundi hipoph tz🔥🔥🔥🔥
@tevaclasssic
@tevaclasssic 7 ай бұрын
Nomaa sana 🔥🔥
@qserick7799
@qserick7799 7 ай бұрын
Weusi Gang,what a Bang💪👊👊
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 7 ай бұрын
Hii hapa hii! 🙌🙌🙌 Mna makusudi nyie! Midude Kama hii mnakaa nayo ndani! why? Acheni Hizo! Tupeni burudani Hizo maana siku hizi zimekua chache Sana!
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 ай бұрын
knaile nyngine nilskia kionjo nikal knomaa
@AdamsUwimana-vf7xt
@AdamsUwimana-vf7xt 7 ай бұрын
Nikii mbishii💥💥💥
@willinjowritter206
@willinjowritter206 7 ай бұрын
Hii hapa Kali,jamani wamerudi tena🔥
@zigglestroman8287
@zigglestroman8287 7 ай бұрын
Hii hapa ❤
@hassanihussein2731
@hassanihussein2731 7 ай бұрын
Mheshimiwa kawafunika mnoooooooooooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏
@cbegram6161
@cbegram6161 7 ай бұрын
Huyo jamaa wa kwanza ni🔥🔥
@Chida
@Chida 7 ай бұрын
Kimeumanaaaaaaaaa #Weusi ni noooma sana
@Vokezzo
@Vokezzo 7 ай бұрын
Nomaaaa sana AAA 💥💥💥💥💥
@mecksanchale9396
@mecksanchale9396 7 ай бұрын
ILA KIUKWEL GNAKO NI LEVEL NYINGNE WAZEE, HUYU JAMAAA BHANA ANA TISHA SANA KWENYE MZIK🙌
@chidi_don
@chidi_don 7 ай бұрын
Unyama ni mwingi sana yani sio poa kabisa hi ngoma kali sana mmetisha sana weusi 🔥🙌🙌✈️💯
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 7 ай бұрын
Nomaa saana,bongeee la ngooma❤
@Richiemagessa
@Richiemagessa 7 ай бұрын
Ok ok!! Namimi nime isikiliza ok!🔥🔥🔥
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 7 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥ngoma kali sana ipeni promo
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 7 ай бұрын
Hatariiii
@michaeljanuarykibera6418
@michaeljanuarykibera6418 7 ай бұрын
G.Nako mtu wa kolasiiii namkubaliiii sanaa
@SteveTegemea-fj6de
@SteveTegemea-fj6de 7 ай бұрын
Mwamba Ni mwambaa.....
@directorballo9598
@directorballo9598 7 ай бұрын
Aya umefungua bucha unachinja na goat... ha aha aha aha aha nammchincha na mdgo wako
@fredymustapha9720
@fredymustapha9720 7 ай бұрын
weusi nawakubali sana ety hii nibiashara ninae ipenda 😁😁👍
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 7 ай бұрын
hili nalo ni pumbuuuuuuuu
@painkiller_Tz
@painkiller_Tz 7 ай бұрын
Awa ndio weusi naowajua mm sasa 🔥🔥🔥🙌🙌
@thosmaenterprises9968
@thosmaenterprises9968 7 ай бұрын
uwiiiiiiiiiii wamerudi tena mnamaa, muheshimiwa bado unagaragaza tu🤘🦾💪
@Tanganyika-w5p
@Tanganyika-w5p 7 ай бұрын
WEUSIII ni untouchable. Wakija kila mtu anatulia.. Safari hii Joh na nikki wamekili
@StanzaMata
@StanzaMata 7 ай бұрын
Love from Rwanda 🇷🇼 ❤
@martinasenga7496
@martinasenga7496 7 ай бұрын
Tunaitaji ngoma kila week hip hop ndio mafundisho
@Kenifamily-Music
@Kenifamily-Music 7 ай бұрын
Hawa tuwaite WEUPE na si WEUSI tena mana wamerudi wametakata vibaya ❤❤
@BLBTHEGREAT
@BLBTHEGREAT 7 ай бұрын
UDUDYUUUUU MWINGIIII
@babag7138
@babag7138 7 ай бұрын
Hatarii sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️😛
@jumanneyassini
@jumanneyassini 7 ай бұрын
🔥 🔥 🔥 #HUMU TU INATOKA LINI.. 😮😮😮😮
@richardjuma4940
@richardjuma4940 7 ай бұрын
Hawaifanyagi hivyo, hii sio kawaida.! HIPHOP is back.🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾
@Don_Will.i.am07
@Don_Will.i.am07 7 ай бұрын
Mazeee hii chuma ifike 1m in 4 days aseee nyimbo kali hiv inakuaje ad sahv inae izo views Bhana ..... Mianzini wakilisha
@mwandustar
@mwandustar 7 ай бұрын
Nunua robots labda ili kufikia iyo 1m for 4 days😂
@abbasmtwale1548
@abbasmtwale1548 7 ай бұрын
Kali sanaaaaa
@mofazcompany6835
@mofazcompany6835 7 ай бұрын
noma sana ngoma kali kinoma
@AbellyMwembe
@AbellyMwembe 7 ай бұрын
Dudee kaliiii kinoumaaa🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@K_Doo_K_Pesa
@K_Doo_K_Pesa 7 ай бұрын
#mwambanimwamba tu ila weusiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥
@InnocentPeter-o6z
@InnocentPeter-o6z 7 ай бұрын
Weusiiiii hatuna kwere eeh
@eltonmuhulo3837
@eltonmuhulo3837 7 ай бұрын
Weusi 🔥🔥🔥🔥🔥🙌
@KingMsafi-wt3zh
@KingMsafi-wt3zh 7 ай бұрын
Tuliwamisi sana wazee wa gere, niki joh nakin mmeua san
@moamed1238
@moamed1238 7 ай бұрын
HIT SONG IN TRENDING 🎉🎉
@godblessmwacha5201
@godblessmwacha5201 7 ай бұрын
Iyo verse namba moja Ndio verse MOJA 😄🙏
@VideoDirector-lj6bx
@VideoDirector-lj6bx 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bGe0ommIn910oKssi=q_teY9t1xxPaRZ0I
@JeronimoSimon65
@JeronimoSimon65 7 ай бұрын
Joh anasema kafungua bucha anachinja ma GOAT 😀😀😀
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 7 ай бұрын
Apa sawa hili ndio kundi nililo kuwa nalijua 2015 best hiphop group from East Africa ❤❤❤
@fidyfactual320
@fidyfactual320 7 ай бұрын
Wakadinali is the best hiphop group in Eastern Africa no discussion bruh🔥🔥🔥
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 7 ай бұрын
@@fidyfactual320 😂😂
@theoriginals3240
@theoriginals3240 7 ай бұрын
Matrix hip hop WEUSI NEVER DIE
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch 7 ай бұрын
Nzur❤hii hapa
@SamwelLaizer-mg5ww
@SamwelLaizer-mg5ww 7 ай бұрын
King ezzziii kaz ju ya kazi
@stewartkilewo4433
@stewartkilewo4433 7 ай бұрын
Ngoma kali hii hapa
@MtajiriCartel-g3x
@MtajiriCartel-g3x 7 ай бұрын
The real hip hop is back.
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 7 ай бұрын
Mzee shayo kafata nini😂
@eneswaggy1835
@eneswaggy1835 7 ай бұрын
Wata kuwekea vichwa, usipo tumia kichwa, ✔️
@supacklaizer7662
@supacklaizer7662 7 ай бұрын
Uuuuuuwiiiiiii...., hiii ndipo WEUSIIIIII bonge la dude aiseee
@arafathswaleh
@arafathswaleh 7 ай бұрын
Hawa washenzi wana hatari,hawa ndio weusi ambao niliwamiss siku zote wamenikumbuka mbali sana,toka chuga kizazi OG
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 7 ай бұрын
Kwenye verse kali naenda na joh makini
@mdedsm5522
@mdedsm5522 7 ай бұрын
Hii hapa hii ni 🔥
@fundisimunacomputertunduma438
@fundisimunacomputertunduma438 7 ай бұрын
mamaaaee nyundo nyundo 🏃🏃‍♂🏃‍♀🏃‍♂🏃👟
@mageniGrandson
@mageniGrandson 7 ай бұрын
G kaua mbaya saaaaaanaaaaaaa yaaani fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KikovicDoSantos
@KikovicDoSantos 7 ай бұрын
Bigidi booooommm
@mrsinia3064
@mrsinia3064 7 ай бұрын
Sawa tumeipokea 👍
@nebojoseph5126
@nebojoseph5126 7 ай бұрын
Ngomaa tamu sana hiii kazi safii
@peternelsonP.N.M
@peternelsonP.N.M 7 ай бұрын
Malii safi ❤
@ericsimon5377
@ericsimon5377 7 ай бұрын
ni noma kinoma wazeeeeee wa kazi kali
@afrikalee9717
@afrikalee9717 7 ай бұрын
Nimefungua Butcher nachinja maGOAT Meeeeeee😂
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 7 ай бұрын
Duh ! Lidubwana likubwaaa
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 ай бұрын
weusiii on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DadyBoy-l2e
@DadyBoy-l2e 5 ай бұрын
MMetisha wanangu wapizani kimya hawana jambo Tupa kule
@georgemollel3969
@georgemollel3969 7 ай бұрын
Timu hip hop tujuane A.K.A wagumu👊👊
WEUSI - RONALDO (Official Audio)
4:06
WEUSI
Рет қаралды 79 М.
WEUSI - Interlude Nyeusi
4:05
WEUSI
Рет қаралды 481 М.
Flex
6:53
Release - Topic
Рет қаралды 8 М.
Weusi - Humu Tu (Official Lyric Video)
3:52
WEUSI
Рет қаралды 125 М.
Mapanch Bmb ft Rapcha - Mulla (Official Music Video)
3:00
Mapanch Bmb
Рет қаралды 27 М.
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 206 М.
Weusi - Booty Hummer (Official Audio)
3:26
WEUSI
Рет қаралды 18 М.
Roma Feat Chid Benz - Nasikia Harufu   ( Official Video)
3:44
VIVAROMA
Рет қаралды 1,8 МЛН
Weusi - Booty hammer (visualizer)
3:23
WEUSI
Рет қаралды 20 М.
Weusi - Humu Tu (Official Audio)
3:52
WEUSI
Рет қаралды 73 М.