Song la hatari sna sema video dance choreography ime miss hpo karibia na mwisho jamaa wame dance vizuri kama muziki wenyewe 👌🏾🔥🔥
@noahb20095 ай бұрын
Unajua Kwann wamewekwa mwisho? Sababu ilikuwa beat tupu hamna maneno. Na context ya hiyo video ni maneno (lyrics) utatoa maana ya lyrics video. So subiri official video utaviona.
@sevenmdendu5 ай бұрын
@noahb2009 Okay hapo i have got the picture man, my vote is 8/10 🔥🔥🤜🏾🤛🏾
@JofreyKimaro-x1t5 ай бұрын
Kwisha sanaa.mugger la hapa
@adamsengo18693 ай бұрын
Joh na macho ya bwana wameuwa
@Thearifs2545 ай бұрын
weusi ft wakadinali from kenya
@Lugusikidy5 ай бұрын
Karii sana ii karibuni na kwanguu mchiztv
@JoramMollel-h8i5 ай бұрын
Nooooma sana kaskazini bendera juuuuuuu Viamba ya R chuuuuga
@erikmayeku7003Ай бұрын
Kubababake got me laughing I heard this first while shopping yesterday in the evening ,I was almost rolling on the floor of the hypermarket.
@husseinkaoneka58345 ай бұрын
SHAYO IN IDEAS, humu tu
@Tanganyika-w5p5 ай бұрын
Nice Track from Weusi...
@totojinga27955 ай бұрын
Nikki amenikosea sana.....
@AliSaidKuwewa5 ай бұрын
Umu umu tunaskuma gurudumu iko sawa.jeshi inasound ki uko flani
@soccercity81905 ай бұрын
KAMISS MUHESHIMIWA HUMU KUBABAKE
@alfredjoseph55925 ай бұрын
Lord eyes🏆
@abzuckyree93462 ай бұрын
Kilimanjaro Nyumbani...
@dkensmopainvevo36835 ай бұрын
Lord eyes mtu mbya saana
@GoodluckModest-l3yАй бұрын
Mmetsha balaa
@mozeekamana5 ай бұрын
Ubunifu 🙌🙌
@OmarSamganga2 ай бұрын
HUMU 2 HUMU 2
@KisagaJohn5 ай бұрын
Tunahalib lakn hatuhalibikiw ...hahaahàha nimefulah sana hapo ...weusi si ndo chama tawalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤
@Mswahili-122 ай бұрын
"Itifaki imezingatiwa niite Kinana,,,,"
@christopherngonyani81484 ай бұрын
Umetishaaaa sanaaaa ❤️❤️❤️❤️
@GoodluckModest-l3yАй бұрын
H noma sana
@dinyoabeli90285 ай бұрын
Unyamaaa 🎉🎉🎉
@saidkikuji99585 ай бұрын
Weusi familia kabisaaaaa
@MjoliOfficial4 ай бұрын
Hamjambo vijana wa Mungu, embu mnipe maana ya neno humu tu 🤔
@KhamisLahman5 ай бұрын
Weusiiii ngong like
@joshuakinabo68615 ай бұрын
Bonge la ngomaa
@AmeryAgape3 ай бұрын
GOMA KALI SANAAAAAAAAAAAA
@ChingaKenboy-fz8yr5 ай бұрын
Ngoma kali sana🎉🎉big up weusi
@LeoAsenga-pt9dr5 ай бұрын
Mzeee shàyoo na kipotoshi wanatka ligi na tuga ❤
@worldtrending81225 ай бұрын
Gonga like zako apo kama we ni mjanja unaeheshim washamba