Рет қаралды 273,012
Jeshi la polisi Dodoma limewakamata watu wawili wanaofanya matukio ya wizi wa fedha kwa njia ya mitandao ambapo pia wamekuwa wakitumia usafiri wa pikipiki kusafiri katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuiba bidhaa za dukani na fedha.