This video shows the opinions of Tanzania's People to the Kenya's people. Don't forget to Subscribe
Пікірлер: 428
@tideone972 жыл бұрын
Please Kindly Support this Channel to Grow by Consider Subscribing and turn on Notification 🙏💪
@dennisny64392 жыл бұрын
Are you Kenyan or Tanzanian M-Profit?
@FrankChalula-hz6dn9 ай бұрын
Don't ask, give out your opinion about the topic
@henrypatache74494 ай бұрын
we cant hear what they are saying.. the topic is in english but the content is in swahili
@henrypatache74494 ай бұрын
.... and no subtitles
@marc84852 жыл бұрын
Tanzanians are very humble and their kiswahili is rich napenda watu wakenya na watanzania kutoka hapa Uganda 🇺🇬❤ 🇹🇿🇰🇪
@robbyamani66012 жыл бұрын
Like you marc,,,,,, from Tanzania 🇹🇿
@mzalendodynamite59842 жыл бұрын
We trully love you Tanzanians, it's only that you don't know this, but we're ONE!!!!!!, you're not just our neighbours but indeed we're brothers and sisters of that big Family, Long live EAF, Long live TZ ling live 254, from Diaspora with Love💪💪💪💪💪
@tideone972 жыл бұрын
💪💪🇹🇿🇰🇪
@mzalendodynamite59842 жыл бұрын
Keep ya good job on going bro!!!, trully support you🤜🤜
@husseinloyy19122 жыл бұрын
Realy
@sashoright82132 жыл бұрын
Naimani ipo siku itakua nchi moja Kama marekani Yan Kama Magu angekuwpo angeziongoza is nchi ulaya wangesubili🤦😂😂😂
@CappyGerald2 жыл бұрын
Sasa unazungumza na WaTanzania kwa kizung? 😁
@panafrican.nation9 ай бұрын
Shukran za dhati Watanzania 🇹🇿 kwa maoni yenu mazuri juu ya taifa letu la Kenya 🇰🇪. Naomba nasi Wakenya tuzidini kujifunza Kiswahili ili tuimarishe uhusiano huu. Tukifanya hivyo tutakuwa na soko kubwa ambalo litadhibisha uekezaji wa ndani nasi tupunguze bidhaa/huduma za nje, na kupa lugha hii ya Kiswahili ushawishi barani Afrika.
@lenakisuza65742 жыл бұрын
I'm a Kenyan na nawapenda sana wa Tz....how they speak Swahili wow ...🇰🇪🇹🇿
@YoungSingerRadio2 жыл бұрын
Tanzanians are Great people...well brought up from their roots
@tideone972 жыл бұрын
💪💪✅
@wesky232 жыл бұрын
TANZANIA will forever be Kenya's sister & family cz we share almost everything ,we even speak the same language,i just LOVE TZ 4 life.
@benoseaone7 ай бұрын
Why not brother's? We are all Africans and should be Africans.
@rosepeter89962 жыл бұрын
Kama.MKENYA nawapenda sana wakenya wenzangu kwanza,na pia tanzania nimeitembea sana sehemu tofauti,na sijawai ona wala kupata ubaya wa watanzania.nawapenda sana tena sana kama majirani,ma ndugu zetu,......TANZANIA love you.😂🙏
@louissaganira20512 жыл бұрын
Yes Kenyans we are proud of our Country, Culture and our own.. however we are very friendly just cheeky😁. We love you Tanzania 🇹🇿
@ShaherHamid Жыл бұрын
I’m Tanzanian. I have family in both countries, Kenyans are aggressive, Tanzanians are peacefully. Kenyans are more culturally conservative, Tanzanians are anti-tribalism and more open to the world. Kenyans work smarter, Tanzanians work hard. Kenya is more advanced than Tanzania, we both East Africans, love each other. God bless Kenya 🇰🇪 and Tanzania 🇹🇿
@stephenmusembi21762 жыл бұрын
Watanzania mungu awabariki, sisi tunapenda ukarimu wenu, heshima, kishwahili na zaidi ya yote sisi na nyinyi marafiki tangu wakati wa Kenyatta na Nyerere
@abrahammnjama79622 жыл бұрын
Am a Kenyan and love the fact am a kenyan.i view the borders between us and our neighbors as imaginary, we are on pple. I love tanzanian as really you wouldn't find a more suitable brother than you guys. I love your Swahili, choirs you are the best.
@tideone972 жыл бұрын
💪💪🇹🇿🇰🇪👍
@langatronald41302 жыл бұрын
Hawaelewi kingereza
@abrahammnjama79622 жыл бұрын
@ langat Ronald, obviously you are not talking of tz we all know. We talk much English doesn't mean we do not know kiswahili.they speak much Swahili doesn't mean they don't know English. Tembea tz boss,hii ni Karne ya ishirini na Moja naona tumekuacha nyuma sana kumi na Tisa.
@DrTony-tk2rh2 жыл бұрын
@@abrahammnjama7962 true
@sashoright82132 жыл бұрын
Tunawapenda Sanaa pia
@evonrn2000 Жыл бұрын
We Love our Tanzanian brothers and sisters...From 🇰🇪.
@fridajeremy64452 жыл бұрын
I love Tanzania ni wazalendo & wanapenda hawana ukabila they normally call each other mswahili mwenzangu so fluent in swahili & they are proud of swahili unlike Kenyans
@sashoright82132 жыл бұрын
Nakubali yani sie uku ad ujui mtu kabila lake ad uulize na itokee uulize na akiongea kikabila xhao ata Kama anakusema inaweza ukajua usihangaike nae au ukamjibu kiswahil au kikwao kabsaa Yan baadhi ya makabila unawajua kwa sura na anakua kachanganyika makabila mawil baba kabila jingine kaoa mwanamke kabila jingine ndo Mana Amna kubaguana Sanaa huku kwasabb tunaona mchanganyiko unakuta mumeo mzigua wewe mkwele mama yako mchaga na baba yako mkwele lkn kamuoa mchaga na baba wa mama yako unakuta mpare na mama wa baba yako unakuta mzalamo kwahyo makabila Kama manne mnachanganyika mtabaguana vip
@twinkle_yara10 ай бұрын
Even I being Somali kenyan I love Swahili sm am always proud of it ❤️
@twinkle_yara10 ай бұрын
Sasa nimeenda nchi ingine, mara mara najisahau natumia Swahili that's how much I love it❤️
@gommezmaggiez18692 жыл бұрын
I love Tanzanians alot I always admire their Swahili accent and I pray that they remove the boundary we be one nation🥰🤗🇰🇪💞🇹🇿
@mlionea2 жыл бұрын
First comment since the last one year I read how Kenyans love Tanzanians and I do too. They never cause any troubles in Kenya. Am Kenyan love Tanzanians
@MauMauMwangi12 жыл бұрын
Boundaries are just imaginary and manmade
@kevinkihima83902 жыл бұрын
Cap
@gommezmaggiez18692 жыл бұрын
@@mlionea Kenyan too here🥰
@gommezmaggiez18692 жыл бұрын
@@kevinkihima8390 🙄🙄😂
@troidsken2 жыл бұрын
Wow that market is clean
@CriticalInsights2 жыл бұрын
Kenyans are aggressive in nature, but they love and respect other cultures. Watanzania, Karibu Kenya. Mimi mkenya na nakipenda sana Kiswahili chenu. I would like to meet other East Africans, especially tech people, visionaries, leaders, developers, and entrepreneurs. We Kenyans are going for the top seat in development. Njooni watanzania twende kilele pamoja.
@jeniferemmanuel42512 жыл бұрын
Amen
@lightnesselirehema14642 жыл бұрын
Unaona sasa? Sisi twaenda down?
@kaisarimbisso5011 Жыл бұрын
Yaani mtanzania amfuate mkenya? Hapana. Unless unamwambia ajiunge kwemye maisha ya shida. I love my Kenyan brothers and sisters though
@reubentv29482 жыл бұрын
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
@tideone972 жыл бұрын
One love 💪💪🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
@theelephant59742 жыл бұрын
I'm Kenyan. Last time I was in TZ I had so much fun I can't wait to go back. Plus the alcohol and food is super cheap compared to Kenya. The food is good too. As for the Tanzanians themselves, they are cool people, very chill, their women are super fine and the language is ❤️. Kwanza hao waschana wakiongea hiyo kiswahili, super hot
@peternassari763410 ай бұрын
😂
@jonhwamaratv6 ай бұрын
Enjoy service 😂🇹🇿🇹🇿 karibu tena
@judychepkirui53134 ай бұрын
Appreciated customer
@heavenlightfrank62033 күн бұрын
😂😂
@sultanmswahilitv48642 жыл бұрын
Love from kenya.I love tanzanians too
@tideone972 жыл бұрын
🇹🇿🇰🇪 💪🙏
@anythingaboutkenya59152 жыл бұрын
We are one... Love from Kenya 🇰🇪
@tideone972 жыл бұрын
One love 🙏💪
@rasmorgan97202 жыл бұрын
We are one?????
@ritawanjiru88272 жыл бұрын
Mamangu mzazi Mtanzania...Nawapenda sana Ndugu zetu.
@TarimoMangi5 ай бұрын
Wow! Bwana YESU awabariki sana watu wangu watanzania na kenya, HAPO KENYA KUNA WATU WENGI SANA KUTOKA TANZANIA IDADI KUBWA NI KUTOKA KABILA LA WACHAGA WANAISHI HAPO NA CJASIKIA MALALAMIKO YA MANYANYASO KUTOKA KWAO KWA KWELI.
@eliudmuchiri53612 жыл бұрын
Kenyans we also love tanzania our brothers ....the reactions are true what they say about us Kenyans..tuko first kuteta about anything especially bei ikipandishwa ..
@zaddysenemy22912 жыл бұрын
Nawapenda sana ndugu na dada zangu wa Tanzania
@bernardomondi26322 жыл бұрын
Tanzanian we love you Brothers and Sisters we are one in one may The ALMIGHTY GOD Blessed Tanzania and Kenya
@tideone972 жыл бұрын
🙏🇹🇿🇰🇪🥀
@Trishahbeby3 ай бұрын
We love Tanzania much love from Nairobi Kenya 🇰🇪
@hammerQ9542 жыл бұрын
Wakenya ni ndugu zetu tena watu saafi kabisa karibuni Zanzibar ❤❤❤❤
@muneneb8992 жыл бұрын
Tutakuja👊
@tamarablack2542 жыл бұрын
Shukran..twapendaga nyie pia...
@johnmwendwa98484 ай бұрын
Thanks,, we're coming soon.
@MosesDanielGitonga3 ай бұрын
tunawapenda sanaa pia,,,karibu pwani
@jacksonakwenda78382 жыл бұрын
Thank you my fellow African and my East African colleague, happy with your comments.
@progamerkiller642 жыл бұрын
Am from Kenya 🇰🇪 And I am proud to say Thank for this video it really makes us Kenyans proud of our selfs it's amazing
@tideone972 жыл бұрын
💪💪🇹🇿🇰🇪
@Gatua-t4c2 жыл бұрын
it"s I'm not am
@progamerkiller642 жыл бұрын
@@Gatua-t4c your amazing
@progamerkiller642 жыл бұрын
@@tideone97 no thank u
@nafuesaidi73872 жыл бұрын
Me mtanzania...very proud of my beautiful country, very jamani ila ukweli ni kwamba roots zangu zinonesha kuwa ukoo wetu tuli migrate kutokea Kenya sasa sjui Kabla tulikuwa wap tena...but I have that Kenyan spirit yakukipenda cha kwangu na iyo hulka ya ubishiii ndo too much.one love 🇹🇿 +🇰🇪
@bensonmugambi7002 жыл бұрын
I really love Tanzanians,can i get a friend from Tz
@annegruvy2 жыл бұрын
🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪 1 love
@kisiara89462 жыл бұрын
God bless Kenya🇰🇪❤️
@elsermita18192 жыл бұрын
We are very friendly and personally I have Tanzania friends. 😊
@einotilarashi61782 жыл бұрын
I do have friends too from kenya😊
@amukoaletshavefun88592 жыл бұрын
Hapa Mombasa huwezi tofautisha mkenya na mtanzania i feel like Kenya and tz is one county
@husseinchea55242 жыл бұрын
Kiswahili cha Mombasa kinakaribiana na cha TZ
@andromedagalaxy86272 жыл бұрын
@@husseinchea5524 mbona Mimi naweza kutofautisha Kiswahili cha Mombasa na tz. Wala hatuna Tabia sawa.
@filbao81132 жыл бұрын
@@andromedagalaxy8627 ni vigumu
@andromedagalaxy86272 жыл бұрын
@@filbao8113 ni rahisi tu. Wala hakuna ugumu wowote. Watanzania hawana lafudhi kama ya Mombasa. Mtu wa mombasa akifika tu Tanzania anajulikana ni wa Mombasa. Lafudhi na lahaja za Mombasa zinataka kufanana na kwa kiasi fulani za maeneo ya tanga. Na sio Tanzania nzima.
@mariamhassan17232 жыл бұрын
So mtaani kwetu tuliishi na wapare wakaolewa huku mashaAllah miaka kumi na. Hadi kiswahili chao chaanza kuwa cha mtelezo kama vile sisi wamombasa
@baizoboy17195 ай бұрын
Wakenya nawakubali sana na ninashukuru kupata 1St born wangu toka kwa Mmeru huko Embu county... You are good people ❤
@anotherkenyan54522 жыл бұрын
Yours truly says "Tunawapenda" Kuna utofauti lakini yote tisa,tukifa sote twanuka.. Upendo Upendo Upendo
@venuchepyala9346 Жыл бұрын
Very good to see if all African peoples begin talking in the languages of their own soils
@alialmaawy88652 жыл бұрын
I love the competition between the nations.But the competition is just for fun and nothing serious.
@ibrahimkiptoo84692 жыл бұрын
From kenya we love you too
@tideone972 жыл бұрын
🙏🙏💪💪
@malopemaliyamungu52432 жыл бұрын
Peace brother...
@amani98232 жыл бұрын
We love Tanzanians very much,in Kenya we have freedom of speech...hapo ni ukweli
@davidkariuki73602 жыл бұрын
They're very right wakenya ni wabishi sana na pia tunajipenda infact Kenyans are the only African u can't bully online thanks kwa ujuaji wetu, alafu mmoja amenichekesha kusema tunapenda kuteta sana ata kitu ikipanda na cent moja, ningemwambia sio kupenda kwetu ni haki zetu tunajua sana 😁
@bsamohamed1222 жыл бұрын
Ehee kariuki take me to karuwa to give us our Rights 🤣
@cptheactress16602 жыл бұрын
Manzee....we really love ourselves and its our right kujidifend during this economy times juu nyi hamjui yale tunapitia
@tamarablack2542 жыл бұрын
Wakenya ukituzogoa tunakuletea ma chafuzi...ila twawapenda wa Tz
@heraldloshi18642 жыл бұрын
Afrika ya Mashariki hoyee 🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇷🇼🇸🇸🇹🇿🇨🇩
@tideone972 жыл бұрын
🌍 💪💪✅
@patriciaa44512 жыл бұрын
The unga comment made me laugh because it's so true. Tunapenda ugali sana. 😂
@AKCRop-be8hq2 жыл бұрын
😅😅👏
@mercyodiyo77762 жыл бұрын
My best friend here in Mombasa is tanzanian and I can say akuna siku tushawai koseana heshima..she's such a nice lady.
@jamesalvin8615 Жыл бұрын
We love Tanzania ❤🇹🇿but we're rivals still 😂,one love 🤞
@ngashjr2 жыл бұрын
Kile kilichonipendeza vile nilizuru Tanzania ni vile hawaharakishi maisha kama hapa Kenya. Wadau! It is a miracle that blood pressure has not killed all of us in Kenya..... Nikikafunga ntanunua jumba pale Tanga!
@sashoright82132 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nmexhekaa mpaka bas et miracle that blood pressure has not kill us loh😂😂
@naturelle10978 ай бұрын
Wewe ulikua Tanga.. Tanga hawana haraka hata ya kula.. go to the, bigger cities Dsm, A town, Moshi and Mwanza
@BoniemmugendiАй бұрын
Tanzania we love you its just sibling rivalry tunawapenda kama ndugu na majirani
@listoneoloch68142 жыл бұрын
I like how Tanzanians speak Swahili... Wakiongea u can't imagine if they could lie.. they look too innocent and I love listening to them
@julianwanyama41602 жыл бұрын
Aky tu ww
@shakaganda Жыл бұрын
😂😂😂😂
@Boj8423 ай бұрын
Its funny fact cz I always watched Kenyan tamithilia jct to listen to the swahili honestly I loved lt am Tanzanian
@austinekihara76202 жыл бұрын
wah Kiswahili imeenda shule
@tideone972 жыл бұрын
✅👍
@robbyamani66012 жыл бұрын
Napenda marafiki wa kenya any one guy can be my friend,,,,, from Tanzania
@maggiekui3012 жыл бұрын
Kenyans and tanzanians feels like family 🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤
@Don.Aw67525 ай бұрын
Kwa ground ni tofauti
@jefmweds2 жыл бұрын
Kwangu binafsi Sina tofauti zozote na mtanzania. Nawaona kama ndugu wangu nikiwa mahali nilipo ambapo ni mbali na Afrika. Kwa kweli nimetembea Tanzania na hiyo safari ilikuwa ina kumbukumbu mingi...thank you guys. I used my all Swahili 🤣🤣🤣
@tideone972 жыл бұрын
Worry not, Kiswahili chako kipo Poa 👍 | 🇹🇿🇰🇪
@husseinchea55242 жыл бұрын
*correction...ndungu zangu na kumbukumbu nyingi
@sashoright82132 жыл бұрын
Umeongea vizuri tuu mbona💕💕
@magdalenembithe66752 жыл бұрын
Tunawapenda watanzania pia ❤️❤️
@rexmajoong51452 жыл бұрын
I like Tanzania's ladies ❤💙🇰🇪
@jackson7422 жыл бұрын
We love you 🇹🇿, salute from 🇰🇪.
@tideone972 жыл бұрын
🇹🇿🇰🇪💪💪
@malopemaliyamungu52432 жыл бұрын
Hata sisi tunawapenda nyie ndugu zetu.. Hapa Kilimanjaro Tanzania 🇹🇿 tumechanganyika na wakenya...Wakenya Wapo miaka mingi. wameolewa hapa. Wengine wameoa hapa wamejenga hapa. Mama zetu wadogo na Dada zetu nao wapo Kenya wana familia zao huko. Krismas wanakuja au tunakwenda.. ni family
@alimungirimohamed8034 Жыл бұрын
Tuna wapenda Sanaa you are our brother. Mpaka iliwekwa na wazungu lakini we are one
@nassirrajab73922 жыл бұрын
Mimi mkenya lakini napenda ndugu zetu watanzania kushinda waganda more love mashemeji zetu nawapenda🇰🇪❤️🇹🇿
@tideone972 жыл бұрын
💪💪👍
@samutykuntathebantu84022 жыл бұрын
Am new here we need more of this
@tideone972 жыл бұрын
💪💪 soon
@bloggtalk50852 жыл бұрын
Actually on 1952 the British was preparing to merge the 3 nations Kenya Uganda Tanzania into one country but the colonial settlers in Kenya resisted that because they were outnumbered already in Kenya.
@kibetkeiyo2 жыл бұрын
Ingework kweli hiyo 52
@njihiamark69262 жыл бұрын
@@kibetkeiyo yup ingework, our politicians should be working towards this, but they won't
@kibetkeiyo2 жыл бұрын
@@njihiamark6926 sahii ni ngumu juu tuko na different systems maybe an economic federation na open borders lakini political ni ngumu
@bloggtalk50852 жыл бұрын
@@kibetkeiyo yes. remember whatever systems they had were duplicated in sister nations with kenya as the center. it was also to be a multiracial democracy like SA. mau mau scuttled their plan
@andromedagalaxy86272 жыл бұрын
There was no tanzania back in 1952.
@doriskuria67612 жыл бұрын
Am glad hearing that guy saying "kenya ni wabishi" that's true we love tanzania 🥰🥰😘
@naturelle10978 ай бұрын
Sio ubishi hata Biblia inatuasa tuwe na upole kiasi sio uliopitiliza
@vincentmochana41542 жыл бұрын
I fell in love with Tanzania just after hearing them speak kiswahili back then when I was in class 1 plus your ladies😍😍😍😍😍😍
@gulledahmed29549 ай бұрын
❤❤
@Victoria2K Жыл бұрын
My dad is Kenyan and my mom is Tanzanian.
@tideone97 Жыл бұрын
Karibu sana Tanzania
@paulinewangila-cs6ys Жыл бұрын
Woow nice❤
@wasilwajames48802 жыл бұрын
Whatever anyone thinks of us.....is none of our business,,we live our way
@royb30242 жыл бұрын
😂😂😂😂
@marccreations40452 жыл бұрын
😅 😅 😅 Wajidinye
@sashoright82132 жыл бұрын
Nimexhekaa mswahili atabaki kua mswahili🤦😂😂😂
@esthernaini49612 жыл бұрын
Hatupangwingwi😂😂
@gmacmachuri12172 жыл бұрын
@marc creations ati waji dish sio hehe
@ronald_terer2 жыл бұрын
waondoe mpaka tuwe nchi moja jaman
@alfredwanga78502 жыл бұрын
We love you too tanzanian
@brianlimo16862 жыл бұрын
am Kenyan n have leaved with some tz brothers we are one ..... The thing that separate us is the border
@estarkerubo93802 жыл бұрын
God bless Kenya
@wagudeopany7052 жыл бұрын
the last person was true about our demeanor. we are a little unfriendly.😢
@nafuesaidi73872 жыл бұрын
Its just a protective/defensive mechanism i guess..but ukifahamiana vizuri na mkenya talking from experience u are genuine and nice too..one continent,one love from 🇹🇿.
@wagudeopany7052 жыл бұрын
@@nafuesaidi7387 thank you so much ❤️❤️from 🇰🇪
@snownfire2 жыл бұрын
We sound unfriendly, but we are genuine once we learn to trust. Look at all the foreign nationals living in our midst. We are the least xenophobic country on earth.
@jmugo90102 жыл бұрын
Respect 😍 from 🇰🇪🇰🇪
@tideone972 жыл бұрын
✅✅🇹🇿🇰🇪 💪💪
@denisouncho25132 жыл бұрын
Big up to the second guy🤝🤝
@WillisManyura4 ай бұрын
Tanzania....are great neighbors we are one
@1Marasa2 жыл бұрын
One love 🇹🇿🇰🇪 EAF
@tideone972 жыл бұрын
💪💪🇹🇿🇰🇪 let’s Shine our Africa
@joshuajoel1075 Жыл бұрын
We love you Tz people ❤
@eliuskamwelwe10186 ай бұрын
Kenya is my second home,japo sijawah kufika❤❤
@tideone976 ай бұрын
Yeah
@stephenstevo57992 жыл бұрын
Twawapenda pia
@bryankibet15872 жыл бұрын
kenya ni country poa but mwenye anakaa kujua wakenya vipoa ni huyo amesema wakenya ni wabishi....thats true
@tideone972 жыл бұрын
💪💪 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
@amaliamia90822 жыл бұрын
What is the meaning of wabichi...muniambiani tafadhali
@bryankibet15872 жыл бұрын
@@amaliamia9082 wabishi..watu wa kubishana .an argumentative person or people...kubishana
@veeJesus2 жыл бұрын
@@amaliamia9082 Stubborn people
@jackson7429 ай бұрын
We love you tanzania 🇹🇿 ❤️ from 🇰🇪
@tideone979 ай бұрын
👍👍👍
@maddemadetv4452 жыл бұрын
am kenyan and i must say this guys speak very well wow,and anyway we are friendly.
@DavidSalano Жыл бұрын
To me Tanzania and Kenya are one , children of the same mother.
@duaneorwasa95932 жыл бұрын
Good Job
@dresilad42012 жыл бұрын
Lakini, unga ipandishwe hata kwa Centi moja, Why???? Tutaandamana kwelikweli 😂😂😂🇰🇪🇰🇪
@tideone972 жыл бұрын
😂😂🙏
@ngashjr2 жыл бұрын
Haki yetu! Haki yetu!
@thisandthat15232 жыл бұрын
Kali.. nimecheka ajab😝
@animalx83465 ай бұрын
We Tanzanians @🇹🇿loves you guys(Kenyans)🇰🇪 trust me
@jamesmuthangia22872 жыл бұрын
We love tz people we are brother we marry each other and we like tz people
@milka18278 ай бұрын
Kenyan in the house 🏠, I just subscribed
@tideone978 ай бұрын
Yah 🙏
@ronaldosiomi76982 жыл бұрын
We are proud of Africa that's our motto
@tideone972 жыл бұрын
✅✅
@millicentayangokunting37282 жыл бұрын
Wooow thank u our brother
@tideone972 жыл бұрын
🙏🙏
@jerimotieno65012 жыл бұрын
Tz and Kenya we are one
@tideone972 жыл бұрын
💪💪🇹🇿🇰🇪👍
@dylankanyubi37002 жыл бұрын
Ondoa mipaka hii, sisi ni ndugu mmoja... Upendo kutoka 🇰🇪
@tideone972 жыл бұрын
One blood 🩸🇹🇿🇰🇪 🙏
@estahadassah94702 жыл бұрын
Hiyo soko ni safi sana, kuliko kwetu Kenya 😂🤣
@AKCRop-be8hq2 жыл бұрын
Wacha 😅
@evonrn20007 ай бұрын
We Love our Tanzanian bros and sisters.....ALWAYS! Ukweli sisi Wakenya tuko Serious Sana, yaani business minded tu! Upuuzi Wakenya hatupendi mostly! Tuafananishwa na Wajerumani🇩🇪 kitabia...na our Tanzania bros wako too nice....Unaweza wafananisha Austrians🇦🇹 kitabia! 😊
@tideone977 ай бұрын
Yeah
@peterbore12952 жыл бұрын
One love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SONVLOG4262 жыл бұрын
Nice content. Will support and will be following.
@tideone972 жыл бұрын
🙏🙏
@kinyuanjeri2 жыл бұрын
1:50 FACT: Wakenya ni Wabishi sana. Especially on Twitter, Kenyans love (un)necessary argument!😅
@tideone972 жыл бұрын
😂💪
@kinyuanjeri2 жыл бұрын
@@tideone97 true
@itgamingke2 жыл бұрын
😂😂tunawapenda sana 🇹🇿🇰🇪
@teejayangel66382 жыл бұрын
Kenyans know who they are and that's a very good thing, they can't be bullied or put down. That's a very good thing.
@Lamittanfelix5 ай бұрын
I'm amazed by how our siblings in Tanzania know us this much. I love Tanzanians because they are visionary people and they don't waste money on useless means. I tend to believe that corruption is lower in Tz as compared to here in Kenya. Moreover, Tanzanians are truly loving.
@gladysnabwana66904 ай бұрын
TANZANIA 🇹🇿 🇹🇿 NI HOME WE R ONE FAMILY 👨👩👧👨👩👧👧👨👩👦👦👨👩👧👦
@mykremy982 жыл бұрын
East African love ♥✌
@afrakanaswahilitv55202 жыл бұрын
Sisi na watanzania ni jamii moja kutokana na nasaba moja. Huku ughaibuni nikikutana na mtazania au ndugu yeyote kutoka Afrika mashariki nikama nimekutana na ndugu wa damu, yaani toka ni toke. Pamoja ndugu zangu!