when u think it's over!Kevo alipiga mganga rungu ya kichwa akidai anataka mtoto wake.kumbe ni..🙆🏿‍♂️

  Рет қаралды 4,646

Thee Raf Show

Thee Raf Show

Күн бұрын

Пікірлер: 103
@LLBOnline
@LLBOnline 3 күн бұрын
Wacha nicheke kevo wewe dio utawesa wangaga kevo vita sa wangaga sio sa kimwili pika hawa kiroho yani maombi wacha mungu awaprotec
@Nasebe4b
@Nasebe4b 3 күн бұрын
Hiyi vita ni vya maombi
@RuthKerubo-s5s
@RuthKerubo-s5s 3 күн бұрын
Lakini anaeza mpata moja ya offgurd...
@ShakoKalama
@ShakoKalama 14 сағат бұрын
Kenye mambo sana achawi tu muogope mungu
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 3 күн бұрын
Kevo ubaya wake anabishana na mtume ako na hasira za ujinga sana atulie asaidiwe kupata mtoto
@sheilameg7038
@sheilameg7038 3 күн бұрын
True
@ajellicaihugo8268
@ajellicaihugo8268 2 күн бұрын
Ukweli maombi yasaidia pakubwa, kevo na mwenzako binai ombeni sasa, kila mara kabla kuanzia jambo lolote maombi, kama hivi mganga ametokezea angusheni maombi, mkimuona mtoto maombi kwa wingi na kazi yenu itakua rahisi kwa jina la yesu twaoba na hata kuamini Amen 🙏🙏
@dorcaswairimu697
@dorcaswairimu697 3 күн бұрын
Kevo vita sio ya kimwili ni spiritual
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 3 күн бұрын
Shida ya Kevo yuko na hasira ya haraka na vita za mwili Kevo plz punguza mdomo hii si vita vile unafikiria but hio kiburi yako iko juu sana kumbuka hata pia umehangaisha watoi wa watu sana ni must pia wewe upitie mapito na uwache hio hasira yako iko juu sana
@PhilisKundu
@PhilisKundu 3 күн бұрын
Utamubanda kua na iman mungu yuko
@KarenusNafula
@KarenusNafula 2 күн бұрын
Nani amenotice ezemwone ni handsome 😂😂😂😂😂😂😂
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 3 күн бұрын
Kua na imani kevo na upunguze hansila sio vizuri na usikilize mtume anacho kwambia mungu atasaidia atakupa mtoto
@JanetKenyatta
@JanetKenyatta 3 күн бұрын
Binai na kevo plz jifunze kuomba ndio mpee mtume kz raisi😢😢
@SusanSuzzy-dz8bm
@SusanSuzzy-dz8bm 3 күн бұрын
Kevo take heart sir l NO its not easy bt GOD ako sir🖐
@بارتشيبارتشي
@بارتشيبارتشي 3 күн бұрын
Beatrice odhiambo. Mungu wa mbinguni. Awasaidie kwa hii mission pasipo yy hamwezi. Amini mungu Amini mungu Amini mungu
@SarahMasinde-i1m
@SarahMasinde-i1m 3 күн бұрын
😭😭😭😭kevo pole utampata mtoto kuwa na strong faith
@hawahawa8441
@hawahawa8441 3 күн бұрын
Kevoo ❤❤❤ mungu akubariki upate mtoto wako🙏🏽
@KamikaziSalma
@KamikaziSalma 3 күн бұрын
Kevo punguza hasira usikize unacho ambiwa ili umfikiye mwanawo.ujuwe uyo mganga alishaga kufa anatumikisha mwili wamtu mungine.
@centrineomar5958
@centrineomar5958 3 күн бұрын
Kevo always start with a word of prayer God above all
@JusterKarimi-v9i
@JusterKarimi-v9i 3 күн бұрын
Kevo hata hamuombi,this is spiritual war si physical.may God lead u and go ahead of you
@marionnanjala1806
@marionnanjala1806 3 күн бұрын
Kevo kua na imani, utapata mtoto napia make sure family zenu,ziko sawa
@gozakoth8466
@gozakoth8466 3 күн бұрын
mungu awalinde uwezepata mtoto
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 3 күн бұрын
😂😂😂😂 kevo piga maliza kabisa
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 3 күн бұрын
introduction😂😂,poleni SI kwa ubaya,Kevo jinyekekeze na uombe msaada kwa mtume,usipigane vita kimwili si juu ya damu na nyama ila juu ya mamlaka ya pepo wabaya na giza la ulimwengu huu.Weka Mungu na maombi mbele utapata mtoto,Mlindwe na Mungu pamoja na familia zenyu.
@fozfoziya9317
@fozfoziya9317 3 күн бұрын
Okiona hiki kimganga kinatokelezea huko ndiko ako mtoto
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov Күн бұрын
MUNGU awabariki kevo mtampata mtoto usiokoke
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov Күн бұрын
Usiokope MUNGU atamuokowa
@Judithmacheso
@Judithmacheso 3 күн бұрын
Iyo ni spirit the person is just inoscent
@gozakoth8466
@gozakoth8466 3 күн бұрын
uko karibu kupata mtoto mganga ana uweza
@cynthiaburundi5116
@cynthiaburundi5116 3 күн бұрын
Maombikevo. Niyamuhimu
@MwangalaEverlyneNelima
@MwangalaEverlyneNelima 2 күн бұрын
Unaketa hadira hapa na ma feelings na ni wewe ulipeana mtoto badala ya kuzikiza vile unaambia shem on you,vile ulikuwa ukitumiwa mamillioni ya pesa ulikulanga na nani bro,wee tuliza boli usaidiwe na uwache ufala kevo,eish!
@sarahngige1589
@sarahngige1589 3 күн бұрын
Kevo apewe Holly water n Holly cloth atakambiliana na huyu mmiliki visima visipo Sawa sawa
@MonicaAtieno-u9i
@MonicaAtieno-u9i 3 күн бұрын
Kevo Acha vita na usikize mtume
@CathelineKarumbi
@CathelineKarumbi 3 күн бұрын
Mungu atakusai dia kevo, don't loose hope
@irene3696
@irene3696 3 күн бұрын
Wanaume penda watoto kama kevo
@زواديكاريسي
@زواديكاريسي 3 күн бұрын
Zawadi karisa mungu tenda jambo kwa watu wako
@Sarasara-fi9zp
@Sarasara-fi9zp 3 күн бұрын
Kevo msikize mtume
@gozakoth8466
@gozakoth8466 3 күн бұрын
nisetani inawachanganya plz mukokaribu nfio mana mganga anakuja
@paulinamunyugi2291
@paulinamunyugi2291 3 күн бұрын
Kwani ni Peter huyu
@Zuuh107
@Zuuh107 3 күн бұрын
Msimuogope kabsa hana lolote anaogopa mtume olumu yuko za mbio ajieleze yeye mjinga
@PhilesOngono
@PhilesOngono 3 күн бұрын
Kevo anaboo walah hukumbuki umeangamiza wangapi n hukisaidiwa hausikii
@ruthkwamboka-e6y
@ruthkwamboka-e6y 3 күн бұрын
Ukiona iki kmganga kinajitokeza apo ndo mtoto ako
@userkemmy
@userkemmy 3 күн бұрын
Mtume kevo apewe viboko😂
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 3 күн бұрын
Kevo omba kma mama sarah
@lennyfrank
@lennyfrank 3 күн бұрын
Mmeamua kunivunja mbavu leo😂😂😂😂😂😂😂
@Sarah-iw6cg
@Sarah-iw6cg 3 күн бұрын
This spiritual war kevo pliz msibishane😢
@cynthiaburundi5116
@cynthiaburundi5116 3 күн бұрын
Kevo. Pore. Utamupata. Ombasana. Mwenyezimugu. Atagusaidia🙌👏👏🙏🙏🙏🤲🤲maombi. Niyamuhimu. Kevo
@CarolKemei
@CarolKemei 3 күн бұрын
Kevo kevo kevo nimekuita mara ngapi
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 3 күн бұрын
Plz Binai na Kevo mjifunze kuomba plz
@gozakoth8466
@gozakoth8466 3 күн бұрын
kilakitu kitakua sawa venue umewacha hiyo mambo at Bibi atarudi
@floramumbua3393
@floramumbua3393 3 күн бұрын
Haka kamganga kanasumbua sana
@MaryamMaryam-k9f
@MaryamMaryam-k9f 3 күн бұрын
Huyu Mgaga kila sehem yupo binafsi nimemuchoka shetani hili😢
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 3 күн бұрын
Hata mi namchukia
@SharonCheptolo-h8i
@SharonCheptolo-h8i 3 күн бұрын
Kevo acha nicheke😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 3 күн бұрын
Mbona amuombi kabla ya mission😊
@LadykenyaNandigaa-eh9hi
@LadykenyaNandigaa-eh9hi 3 күн бұрын
Uyu ni kevoo mwenye alimwambia mama sifuna asijinyonge amalize deni lake kwanza😂
@maulnejumba1128
@maulnejumba1128 10 сағат бұрын
Ni yeye no wonder they said ahadi atimize
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti 3 күн бұрын
Woi Kevo aki i feel your pain😢😢😢 but whatsoever the case learn to humble before Mtume's instructions uwe salama🙌🙌🙌 hatutaki tena ibilisi apate nafasi ndani yako🙏🙏🙏
@gozakoth8466
@gozakoth8466 3 күн бұрын
ombeni ama imbeni nja ifunguke plz
@eunicefaida8977
@eunicefaida8977 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂binai ulipasuka nyungu ya mababu
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 3 күн бұрын
Hasira hasara kuwa mpole kevo uwe na lmani
@ZolufaMas-ie4un
@ZolufaMas-ie4un 3 күн бұрын
Pole kevo
@JecintaWaweru-n3n
@JecintaWaweru-n3n 3 күн бұрын
KEVO KEVO USIKUWE NA HASIRA AKI OMBA, MUNGU AKUPE NGUVU 😢😢.
@KaranjaGladys-b3i
@KaranjaGladys-b3i 3 күн бұрын
Huyu mganga ashaa ona watu wametoloka kwake wote
@sellyraps2057
@sellyraps2057 3 күн бұрын
Kevo ambia mtume akupatie holy water ya na pia maombi muhimu
@Zipporah-x1i
@Zipporah-x1i 3 күн бұрын
Kevo anafikiria Mtume ni mwanadamu kaa yeye
@ropmercy5980
@ropmercy5980 3 күн бұрын
Poor innocent body used by mganga 😢huyo ni wa spiritual war juu ni spirit
@hffalkurbi3812
@hffalkurbi3812 3 күн бұрын
Waaah Jesus christ
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 3 күн бұрын
Kevo acha ujinga mama Sarah alihangaika mpaka akapata abigeil atumia maombi sio hasira
@hellenngala-o2l
@hellenngala-o2l 3 күн бұрын
Kevoo hasira hasara na mtaka cha mvunguni kuinama ni lazima,kua mpole mtume atakusaidia.
@PhilesOngono
@PhilesOngono 3 күн бұрын
Kevo kusikia ndio shida mbona hasifuate maagizo
@cateug2450
@cateug2450 3 күн бұрын
Kevo it's now u ve seen that it's painful wen u lose achild or relative but wen u were killing for other's u had no mercy on them
@MaryamMaryam-k9f
@MaryamMaryam-k9f 3 күн бұрын
Kevo kuwa naaimani mtoto utampata acha pressure
@joycewafula935
@joycewafula935 3 күн бұрын
Hi ya Kevin nayo ndio inapamba, aki n hazira😢😢
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 3 күн бұрын
May God protect you guys
@joycemu9257
@joycemu9257 3 күн бұрын
Pia ukishikiliwa pia wewe uombe ni uache kugonbanisha mtume tafadhali pole pole ndio mwendo shaelewa
@eunicefaida8977
@eunicefaida8977 3 күн бұрын
Waah kumechemka Mungu saidia watumishi wako
@T.mayasfamiliys
@T.mayasfamiliys 3 күн бұрын
Na siz ya kevo ako wapi
@JacklineNimaro
@JacklineNimaro 3 күн бұрын
Kevo should learn to be polite wen talking to mtume being rude to him will lead you no where, mtume will help u get the kid ,and with it wife u will get ur own.
@gozakoth8466
@gozakoth8466 3 күн бұрын
mbona amuna bibilia na holi water
@jedidawambui6817
@jedidawambui6817 3 күн бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@اسماءاحمد-غ2ح2ث
@اسماءاحمد-غ2ح2ث 3 күн бұрын
Siku hizi hamuombi?
@ZuniraSalim-jo5zv
@ZuniraSalim-jo5zv 3 күн бұрын
Huyu hauliwe tumechoka wallahi yeye Ni kusumbua watu tu tushachoka nae
@AshuraAa-k6j
@AshuraAa-k6j 3 күн бұрын
🤝🤝🤝🤔🤔👍🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@eunicefaida8977
@eunicefaida8977 3 күн бұрын
Kwani mganga huwa anapewa habari nanani jameni
@SaidaAwour
@SaidaAwour 3 күн бұрын
Mizimu
@DorisWanje
@DorisWanje 3 күн бұрын
Sikila mtu unaye muona ni hadui..... wengine wanataka kukusaidia
@LINETmideva
@LINETmideva 3 күн бұрын
Kevo punguza mdomo na umsikize mtume
@bty880
@bty880 3 күн бұрын
INAKULA DATA ZA WATU
@sellyraps2057
@sellyraps2057 3 күн бұрын
Kevo wacha hazira mtume atakusaidia kupata mtoyo jinsi mlipata Raff jiwrke kwa msombi hizi vita ni za kiroho sio kimwili naukumbuke imani na mambi sikia yenye mtume anakwambia
@norahmorebi4605
@norahmorebi4605 3 күн бұрын
Mtume pea yeye displain kiasi
@Marys-h9k
@Marys-h9k 3 күн бұрын
😂😂😂😂kabisa
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 3 күн бұрын
Kivo maliza mganga
@T.mayasfamiliys
@T.mayasfamiliys 3 күн бұрын
Aki huyu mganga ataki kubadilika kazi no kuchange maguo za giza usiku na mchana
@agathashiongo-fi4hv
@agathashiongo-fi4hv 3 күн бұрын
Kevo apewe Bible
@MaryVick210
@MaryVick210 3 күн бұрын
Kevo shush a hazira kwa hizi war utaumia
@SusanJuma-o9k
@SusanJuma-o9k 3 күн бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔😮
@gabrielowino7355
@gabrielowino7355 3 күн бұрын
Hiyo siyo vita ya kimwili..it's spiritual
@bty880
@bty880 3 күн бұрын
BADILISHENI MOVIE YENU INSVYOANZA NI NDEFU SANA
@FadzYassh
@FadzYassh 3 күн бұрын
Good enough unawatch ubwa wewe 😂😂😂
@aishadaba7045
@aishadaba7045 3 күн бұрын
Kevo b4 muende mission ombeni yawa na uwache jazba usibishane na mtume cool down japo inauma bt kuwa na imani you'll find your kid.
@sarahngige1589
@sarahngige1589 3 күн бұрын
Itieni huyu mnjinga kinyambizi anamuweza nil kwa kumi
@SilviaChepkemoi
@SilviaChepkemoi 3 күн бұрын
may God protect you guys
Agreement with the U.S. / Ukraine’s Statement on Ending the War
13:26
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Heavy Stormy Night with Torrential Rainstorm & Very Huge Thunder ⚡⛈ Thunderstorm Sounds for Sleeping
3:39:03
Luhya Nation, Tell Ruto the truth
16:09
Herman Manyora
Рет қаралды 38 М.