WIFI KARIBU MT DON BOSCO NZOVWE PARISH

  Рет қаралды 101,670

CSM-Kroup

CSM-Kroup

Күн бұрын

Kwaya Mt.Don Bosco Nzvwe Mbeya.Wimbo huu unafaa sana nyakati za Harusi.Melodia yake inavutia na ya kufurahisha ukiitazama na kuisikiliza.Mtunzi Kamugisha anatukumbusha kuwapokea maharusi kwa furaha na kudumisha upendo huo nyakati zote za uhai wa Maharusi.Sio siku ya harusi tuu bali hadi watakapotenganishwa na kiapo walichoapa mbele ya Madhabahu.Karibu uangalie na kusikiliza utaalam wa kucheza,Kinanda na kuimba.

Пікірлер: 30
@omarmuhimpundu
@omarmuhimpundu 4 ай бұрын
Nice song.nahitaji nota za hii nyimbo nzuri
@patricknguya-jt2kz
@patricknguya-jt2kz 11 ай бұрын
Shemej karibu karibu nyumbani dah ngoma naipenda cn mbarikiwe sana
@DjTijay254
@DjTijay254 7 ай бұрын
@creativityninnovative Nmefika hapa kwa sababu yako.... Wimbo mtamu kweli. Mbarikiwe nyote
@johnmiltone147
@johnmiltone147 Жыл бұрын
Mnacheza matusi mungu awasaidie mbn mnakata maunooo
@bernadomolo5161
@bernadomolo5161 5 жыл бұрын
huu lazima nitaucheza kwenye harusi yangu...naomba tu Uzima
@fibraboypr16fibraboy20
@fibraboypr16fibraboy20 2 жыл бұрын
Aisee kazi nzuri sana mngu awabaliki
@godfreymwariki7923
@godfreymwariki7923 5 жыл бұрын
wimbo mzuri hongereni
@agathanswila8737
@agathanswila8737 2 ай бұрын
Nice
@noelbarnabas8988
@noelbarnabas8988 2 жыл бұрын
Nimeupenda sana huo wimbo uko vizuli
@danieliselemba5482
@danieliselemba5482 4 жыл бұрын
Ase uko poa sana wimbo huu
@rugboy7431
@rugboy7431 4 жыл бұрын
Mapendoo nimependa sana
@jameskabalega3905
@jameskabalega3905 5 жыл бұрын
Naupenda sna huu wmbo
@mussaalphonce6841
@mussaalphonce6841 5 жыл бұрын
Duuuh amazing song.
@mmangaali4402
@mmangaali4402 5 жыл бұрын
sanaaaaa mmetisha
@maryamsi6588
@maryamsi6588 5 жыл бұрын
so niceeee mmetisha
@mchaudehjunior3132
@mchaudehjunior3132 5 жыл бұрын
nic song
@chengelugomela9405
@chengelugomela9405 5 жыл бұрын
Baba paroko fungia kwaya hii uimbaji wa kukata mauno si wa katoliki
@maryemmanuel3356
@maryemmanuel3356 5 жыл бұрын
Nami nashangaa mpendwa wimbo Mzuli ila sasa wamejisahau palokia inabidi iiangalie ili ni ukiukaji Wa nyimbo katoriki
@marthaemmanuel3323
@marthaemmanuel3323 4 жыл бұрын
kweli kabisa nyimbo zao n nzur Ila wanakatika sana mpaka mvuto unakosekana
@catherinemtei3479
@catherinemtei3479 3 жыл бұрын
Ni wimbo was kuimba kwenye sherehe za harusi hivyo acha watu wafurahi. Ingekuwa madhabahuni hapo sawa. Nimeupenda sana
@agathanswila8737
@agathanswila8737 2 ай бұрын
Amechelewa
@agathanswila8737
@agathanswila8737 2 ай бұрын
​@@marthaemmanuel3323wimbo wa sherehe ulitaka wanune
@patricklaulenti5850
@patricklaulenti5850 5 жыл бұрын
Safiiiiiiiiiiiiii Xan
@anoldsadiki6455
@anoldsadiki6455 4 жыл бұрын
Sanaaaaaaa
@georgerwebangira1129
@georgerwebangira1129 5 жыл бұрын
Good
@franknindi6246
@franknindi6246 5 жыл бұрын
Safi
@georgesheshahu7124
@georgesheshahu7124 3 жыл бұрын
waha kasulu
@akiikilongo5691
@akiikilongo5691 5 жыл бұрын
Du mpiga kinanda shikamo
@peterfordlameck4837
@peterfordlameck4837 3 жыл бұрын
marahaba dogo
@charlesmbwilo7654
@charlesmbwilo7654 5 жыл бұрын
mbona maisha magumu siupati
Mt DON BOSCO NZOVWE- MBEYA
6:02
KWAYA YA MT. DONBOSCO - KALOBE
Рет қаралды 104 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 6 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 8 МЛН
Wifi - KWAYA YA Mt. John Bosco(Official Music Video)
6:52
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 24 М.
MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha
7:53
Iyelele
6:49
Gabby M
Рет қаралды 309 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
Christina mbilinyi   NASUBIRI BARAKA zangu... Official Video
7:38
Christina Mbilinyi
Рет қаралды 49 М.
TWONANE MILELE (New Video). dinuzeno. 0625954315
5:41
Dinu Zeno
Рет қаралды 2,2 МЛН
Mt DON BOSCO NZOVWE-MBEYA
8:43
KWAYA YA MT. DONBOSCO - KALOBE
Рет қаралды 108 М.
MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
5:42
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 27 МЛН