Karibu usikilize wimbo wangu mpya uuitwao Yehova. Mungu akubariki
Пікірлер: 339
@william-yilima2 жыл бұрын
Asanteni Sana wadau na wapenzi wa kazi zangu Mungu alizonipa,karibuni Sana
@niyotvshow516 Жыл бұрын
asante sana 🙏🇧🇮🇸🇦 Kaka wangu Mungu akubriki
@kalingasinjore6443 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu bwana yesu asifiwe Mungu akubariki sana akuinuwe kwa viwango vya juu sana mimi napenda nyimbo zako
@yothamujahheda4654 Жыл бұрын
MUNGU azidi kukuinua zaidi na zaid barikiwa sana
@evemikeojode1108 Жыл бұрын
🙏 🙏 🙏 nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa mungu
@benjaminkivuyo1515 Жыл бұрын
Mchungaji bwana yes u asifiwe
@william-yilima Жыл бұрын
Barikiweni Sana wapendwa na wapenzi wa kazi hii ambayo Mungu ameiweka ndani yangu,nimeona moyo wenu na upendo wenu hakika Mbingu ziwatendee mema
@scolachepkemoi3476 Жыл бұрын
amen
@phoebeadikinyi3441 Жыл бұрын
I started following your songs from the song uko wapo,they are a blessing to my daily live
@yvonnejoyce Жыл бұрын
Amen 🙏 pia nawe mungu azidi kukubariki sana Kwa kutubariki kupitia Kwa nyimbo zako
@carolynewere7143 Жыл бұрын
Amen, enable download please
@SashaLyker Жыл бұрын
Am blessed
@user-eh9jj8yl8q10 ай бұрын
Nice song hakika naona uwepo wa mungu Kwa nyumba zako
@PaulinaMlelwa-pv9fw2 ай бұрын
Amen hakika hakuna kama Mungu WETU jina lake litukuzwe daima 🙏🙏
@user-cc6mu8km7t11 ай бұрын
Hakuna na hatawai kua kama wewe mungu
@sirfortune.4444youngmeАй бұрын
It's 2024... I've really been searching for this song, hatimaye... Nimepata 🙏🙏🙏🙏
@dinahamunga7250 Жыл бұрын
Praise pastor unaninjenga kwa imani
@obiechinachukwuma159Ай бұрын
Hii nyimbo na Yesu Nitiye Nguvu zinakuwa nyimbo zangu za kupendwa sana wakati wote, na hata sielewi Kiswahili. Asante Willie kwa kazi zako.
@shinjekayuni81572 жыл бұрын
Na Mungu na asikupungukie Kwa kila hatua na akutunze siku zote na akubebeshe maono mapya🙌🙌🙌
@william-yilima Жыл бұрын
Amina amina,Asante sana
@william-yilima Жыл бұрын
Amina sana
@beritawambani5748 Жыл бұрын
Ameen kweli weww ni mungu hakuna kama wewe
@prodigalsaints2542 жыл бұрын
Hakika hakuna wakufananishwa na Mungu.. Anayotenda ni makuu na zaidi ya wote... Sifa zake zimrudie daima katika kiti chake cha enzii.... Barikiwa kwa wimbo mzuri
@william-yilima2 жыл бұрын
Amina sana
@priscarashidi952 Жыл бұрын
Barikiw san mtumish wa mung, god bless you
@william-yilima Жыл бұрын
Amina amina
@user-hs8dx4bs2g17 күн бұрын
Akika unanibariki sana na nyimbo sako waja mungu akuweke kiwango kingine
@fotunatusiMsongoleАй бұрын
Huuu wimbo nimerudiaa zaidii ya mara 10 ivi ninavyoandika hii sms upo kuimbaa,, umulunguu mwizaa kaka yilimaa ubarikiwee.
@sergddr9663 Жыл бұрын
Jehovah wewe ni mungu hakuna kama wewe mamlaka yote ni yako Asante mungu wangu
@isayanjasi3595 Жыл бұрын
Inuliwa zaidiiiiii 💅💅💅💅
@mayengamaduhu1833 Жыл бұрын
Safi sana nafjika kwa wimbo mzuri na mungu awe pamoja nawe ktk kulitangaza neno la bwana
@michaelkamtupe19702 жыл бұрын
HAKIKA JEHOVAH NI MUNGU ANATAWALA MILELE YOTE UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA BWANA
@william-yilima Жыл бұрын
Amina sana
@sarahmuinde4938 Жыл бұрын
I lack words to express on how I feel when I listen to this song..I find myself meditating the goodness of God in my life 😭😭😭😭🙏🙏this so is so powerful keep up man of God
@sharonbii5014 Жыл бұрын
Congrats nyimbo zako ilinifanya niimbe
@william-yilima Жыл бұрын
Amen amén!
@william-yilima Жыл бұрын
Amén amén!
@william-yilima Жыл бұрын
Amén amén!
@shantrylihanda7851 Жыл бұрын
😭😭😭😭🙏🙏🙏
@constancecon1209 Жыл бұрын
I like this song
@charlottemisago24 күн бұрын
Na wewe pia unatubariki sana mtumishi WA Mungu
@EvaMgaya-lu8vd Жыл бұрын
Mungu akuongoze Zaid maana wimbo huu hunifanya nijinyenyekeze mbele zake
@pacifiquebahati9245 Жыл бұрын
Tumefurai sana kwa wimbo huu mpya apa Bukavu, Mungu azidishe sana baba
@user-pv3nt6wd3y4 ай бұрын
all glory to God,i feeĺ the presence of God thank u ĺord no one like u jesus
@Iam_G.Arenze Жыл бұрын
Wimbo huu umebariki moyo wangu Sana mtumishi. We Ni was baraka sana
@francismasai159 Жыл бұрын
Kwa kweli Jehova wewe ni Mungu, akuna kama wewe
@MaggieMwangu-gf5sb5 ай бұрын
I really appreciate your songs,, nakupenda Sana Kwa maana nyimbo zako unibariki sana
@hagailumbwe91462 жыл бұрын
JEHOVAH NI MUNGU
@johnmizunguofficial Жыл бұрын
Waaaaao my lovely song from WILLIUM YIRIMA
@irenesilayo7318 Жыл бұрын
Hakuna kama JEHOVA. NICE SANAA. NIMEUPENDA MNOO. UNANIFANYA NIZIDI KUKUA KI HUDUMA.
@titusmutungi9407 Жыл бұрын
Hakuna kitu ninaweza sema ila Mungu akubariki sana mchunganji kwa huu wimbo umiguza sana
@doctorwanjala Жыл бұрын
Aleluya kweli ww ni Mungu akuna kama wewe ubarkiwe sana🙏🙏🙏🙏🙏
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp Жыл бұрын
Hakika umebarikiwa kwa uimbaji Mungu azidi tu kukuinua na kukuzungushia ulinzi wake.
@joycesichilima4009 Жыл бұрын
MUNGU akubariki sanaaaa unafanya mambo makubwaaaa mnooooo hongera sana tunajisikia vyema
@user-eu4fx1bc9y3 ай бұрын
Kweli hakuna kama Mungu, Ubarikiwe sana mtumishi, na neema yake Mungu iwe pamoja nawe
@wamalwaandrew-wt6wz Жыл бұрын
Mungu akubariki mpendwa tumebarikiwa Sana na nyimbo sako
@robertmwalutondwa4497 Жыл бұрын
nabalikiwa saaana na nyimbo zako mungu akuinuine zaidi na zaidi
@franksangaonlinetv85932 жыл бұрын
Hongera sana kamanda
@william-yilima2 жыл бұрын
Asante Sana
@priscarashidi952 Жыл бұрын
Piga kaz ya mung kamand
@monicahmwalozi Жыл бұрын
😭😭😭🙏🙏Jehovah wewe ni Mungu hakuna kama wewe.Jaribu lenye nimepita ni wewe umenivusha kwa mkono wako wa nguvu
@william-yilima Жыл бұрын
Amén amén!
@user-su5us2ke9v4 ай бұрын
Thanks so much for song this song is blessed my life and my work❤❤❤❤❤❤
@flozfavourwakasa82864 ай бұрын
Amen amen and amen am blessed true this song 😢😢😢nice song mtumishi be blessed ❤❤❤
@mnyakyusambunifu1432 жыл бұрын
Ongera saana Mtumishi wa Mungu wimbo mzuri saana Hakika nimeupenda saana tena saana
@william-yilima Жыл бұрын
Ooh Asante Sana,atukuzwe Mungu wetu mkuu mgawa vipawa nakutuwezesha
@joymasoni7662 Жыл бұрын
Akuna kama wewe nabarikiwa sana. Na wimbo wako amen
@gstv1193 Жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi Kweli wakufanana na Mungu katika jina la Yesu hakuna.
@maryamnaay4344 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi, sifa apewe Mungu kweli hakuna jina jingine chini ya jua
@tumainimgalla920 Жыл бұрын
Hongera Kaka MUNGU akuzidishie hapo umenibarika,,ni aidia moja kali
@mathiascheboi66102 жыл бұрын
Nimekuwa kwenye mkao wa subira nikitarajia filamu hii. Thanks a lot Mchungaji William Yilima and God bless you abundantly.
@william-yilima2 жыл бұрын
Amina. Sana rafiki yangu,Mungu nimwema hatimae ametuwezesha
@william-yilima Жыл бұрын
Ooh Hiyo umeipata Sasa,barikiwa sana
@rehemamshana8352 Жыл бұрын
Jaman natamani kuokoka nimtumikie mungu jaman barikiwe Sana.
@mosesdusengimana3263 Жыл бұрын
God blessed and god bless you William yilima you and Stephen kasolo keep up guys and god bless you guys are really doing great job keep going love you guys for guys Because of you guys job I don’t have a anything to give you but god know how much I really love for the job you guys are doing ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤and god know how much in American we love you guys
@mercymemoiyo6358 Жыл бұрын
surely what can i say, i just find myself crying when i listen to your songs,may GOD bless you and bless you sana.when i'm down i uplift myself with you songs,i keep telling myself HATA HILI LITAPITA TU.Watching from Kenya.
@LinetMmboga7 ай бұрын
Napenda nyimbo zako maana zinanitia moyo wakati nimeshushika
@erickwanjalaw94984 ай бұрын
Actually I am always blessed with your powerful songs, be blessed
AMINA mtumishi ubalikiwe napenda San nyimbo zako zinanibaliki san❤❤
@geoffreymogeni2104 Жыл бұрын
Nice song indeed let God continue using you to spread his gospel. 🙏🙏
@user-ew3ui6wv7w9 ай бұрын
Amina ubarikiwe Kwa kazi nzur mtumishi
@lucypaulo9238 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Kwa kazi nzr
@josephraphael9872 Жыл бұрын
Upo vizuri kaka yangu,karibu kigoma
@JoshuaKetikai4 ай бұрын
Hallelujah hallelujah more Grace upon you man of God
@julietmuhonja6363 Жыл бұрын
Kabisa hakuna kama yeye, amen.
@joshuaassumani75902 жыл бұрын
Hallelujah, mungu azidi kukujaza na upako baba uzidi kufariji nakubariki mioyo. Songa Mbele baba...!!
@william-yilima Жыл бұрын
Amina sana
@goodluckmakundi1685 Жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaa mtumishi wa Mungu aliye hai
@user-jh5mc3ne3k11 ай бұрын
May God give you life to contnue blessing other people just like am blessed its indeed a blessed song
@liliankeyabaraka8195 Жыл бұрын
Hallelujah powerful song MUNGU akubariki
@linetadiga1311 Жыл бұрын
Mungu akubariki ndugu ,unatuguza kwa nyimbo zako
@jeankasilembo5578 Жыл бұрын
Nimefurahi kwanyimbo nzuri.
@margretndolo1987 Жыл бұрын
Wewe ni mungu mkuu ,u bless me william
@elijahleshan56962 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi
@hopefulhope3963 Жыл бұрын
Sifa na utukufu zina wewe sasa ata milele,hallelujah such anice gospel 🙌 🙏
@jumazuberihomera6773 Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana ujumbe wa Mungu
@scholard.sulley67832 жыл бұрын
Hakika Jehovah ni MUNGU mkuu
@lilianshantelmugonyi9384 Жыл бұрын
Amen 🙏🙌🙌🙌 hakuna kama Mungu ,,, nimebarikiwa kupitia nyimbo zako mtumishi wa Mungu ,,,may God lift you higher in Jesus name ,,,, i have a wonderful testimonies through your song ya uko wapi ee Mungu wangu ,,,,sina haya ya kumshudia kwa makuu ambayo alinitendea kupitia huo wimbo ,,,najua kuna mtu anaona amesahulika na Mungu ,,, mpendwa kupitia nyimbo unaweza barikiwa hadi ushangae ,, be blessed man of God ,, napenda sana nyimbo zako zina uwepo wa Mungu ndani mwake
@chachamargaret787 Жыл бұрын
amina kakangu,uzidi kubarikiwa sana na bwana kwa huduma nzuri
@nikodemmwahangila3334 Жыл бұрын
Hongera kwa kufungua chaneri yako saaafi ubalikiwe
@emmanuelzumba3814 Жыл бұрын
Barikiwa Sana baba mungu azidi Sana kukuinua zaidi 🙏
@william-yilima Жыл бұрын
Amina sana
@joycenjoroge9707 Жыл бұрын
Powerful song and a blessing.B blsd as u bls God's pple
@MwendeVivian-sl2rl Жыл бұрын
Much love William mungu azidi kukubariki
@gorrettiajaah784 Жыл бұрын
Asante sana Kwa nyimbo zako nzuri n yenye upako🇰🇪
@nelsonbeywa4402 жыл бұрын
Mungu akuongozee na akutangulie William
@benjaminangenyi3134 Жыл бұрын
t thank you God bless you for your inspiration song
@lwichemedia8325 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana umenibariki
@carolynelaceymai71 Жыл бұрын
Nice song Mr William yilima God bless you
@priscillakatana6416 Жыл бұрын
Wowooo good song be bllsd MTUMISHI
@user-mh3xc8qp7d8 ай бұрын
An inspiring song, may God bless
@faridashabanifaridashabani59502 жыл бұрын
Amina sana ninebarikiwa🙏🙏🙏❤️❤️
@niyotvshow516 Жыл бұрын
Asante sana 🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇸🇦
@vmavindu3803 Жыл бұрын
Heard this song last Sunday on TV and I give God all the glory nmeipata.
@carolynelaceymai71 Жыл бұрын
So powerful it have really bless me
@user-gf2zb2qc7t Жыл бұрын
Siwezi kulala bila kusikiliza nyimbo zako
@ramsonmeshack1032 Жыл бұрын
Wimbo ni mzuri sana
@user-bc2cs5kp4m9 ай бұрын
Being encouraged by this song,🙏
@mathiastuva Жыл бұрын
Kazi njema sana kaka endelea na kazi njema
@freddysolobaraka56582 жыл бұрын
Baba heeeeeee wimbo wa rohokabisa
@william-yilima2 жыл бұрын
Asante Sana,utukufu kwa baba wa mbinguni atuwezeshaye
@geoffreyshijenje Жыл бұрын
Sweet song my brother you really bless me with your song.Hakuna ka JEHOVAH waauuu.