Kweli kabisa kina mwanzo Niko na nwisho najipa moyo
@LydiaMuriongo-nu8nr4 ай бұрын
Naomba Mungu Aliyeniumba Afute Machozi Yangu Kupitia Kwa wimbo huu Naishi maisha ya kulia usiku na Mchana Majaribu ni Mengi Mbele yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@PaulynKarani6 ай бұрын
💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭I won't stop praying until God do his best for me 😭😭😭😭😭💔💔💔💔🙏🙏stand by my side God 🙏🙏💔💔
@jamesosodo626110 ай бұрын
Kuuza nothing frm morning hadi jioni ilhali jirani wangu auza kama nini.Naamini litapita in jesus name
@VastPhiri-l3sАй бұрын
❤❤❤❤be blessed man of God kwa huu wimbo mzuri kwani nilipopitia changamoto ya ndoa ,ndoa yangu ilitaka kuvunjika niliposikia huu wimbo nilipata faraja kuu nikajua ya kwamba nijaribu tu it was September 16 ,2024
@linetaidi47234 жыл бұрын
Nakumbuka nikifukuzwa sababu yakuzaa watoto mapacha ooh mungu wangu mungu amenishikilia kilaupande
@charityethan2542 жыл бұрын
Ushawahi fika mahali hauna hata kitu unaweza pikia mtoto hadi unampea maji anywe alale? Umekopa hadi hauna pa kukopa tena. Madeni chungu nzima, sijui vile nitalipa, ufukara umenimaliza hadi nimeshindwa kumsaidia mamangu mgonjwa hawezi jitoa point A to Point B mguu umelemaa kabisa 😭😭. Mungu, ulimtumania Elijah mikate na Nyama pia mimi nitumanie msaidizi wa hatima ya maisha yangu ibandilike Mungu wangu nakutumainia hadi mwisho
@DorothyMakena-xy4yv6 ай бұрын
Mungu akutendee
@jackidan50473 ай бұрын
Hii ilikua story of my life 2022 but mungu ninani ali turn the table my life ilichange now naweza lipa my bill's hii wimbo ilikua inafariji 2022 until today bado nibaraka kwangu nikitafari umbali mungu amenitoa
@luciamakau2433 жыл бұрын
Japo napitia kwenye mangumu ya maisha kamwe sitampa shetani nafasi ya kuivunja nafsi yangu.. Mungu yupo Nami❣️
@eathermutuah2 жыл бұрын
Amen.
@andrewsirengo-ju2fb Жыл бұрын
Amen 🙏
@DorothyMakena-xy4yv6 ай бұрын
Amen and Amen
@EstherFrancis-gc3jx6 ай бұрын
Amen
@carolineteddy45644 жыл бұрын
Barikiwa hata hlii Corona litapita na mimi usiniacha aa mungu🙏🙏🙏
@mikemuzeelwanzo29825 жыл бұрын
Wimbo huu unanitia moyo najua hili jaribu lililo mbele yangu litapita nikipindi tu, Mungu akubariki ngugu William
@janetanyiso16493 жыл бұрын
Nimebarikiwa
@PhilisKabarika3 ай бұрын
MUNGU hili jaribu ambolo limesimama mbele yangu nzito sana pekeyangu sitaweza njoo unishindie BWANA WA MAJESHI NILISHINDE KWA UTUKUFU WAKO AMEN
@Mishenlihavi Жыл бұрын
Almost giving up.but this man of God William really rescued me from this negativity.
@calistusedupu36655 жыл бұрын
mtumishi wacha mwenyezi mungu akuzidishie neema na hekima.kweli nyimbo zako ni za kufariji na kutia moyo.
@sabihchacha42243 жыл бұрын
I listen to this again and again, tears are never drying coz it reminds me of my hubby's burial, it was played there. His images never get out of my mind.😭😭😭 Rest in peace darling till we meet again
@scoviaokaronon43053 жыл бұрын
So sorry 😭😭😭
@edwardgoodluck44843 жыл бұрын
I'm very sorry to hear of your loss... God's your comforter 😪
@nyotawauniquem74623 жыл бұрын
Sorry for the loss
@monicahmwangi66523 жыл бұрын
Sorry God will wipe away your tears
@marynasyieki37832 жыл бұрын
Sorry it's so painful to lose your beloved one.
@gracesangie41073 жыл бұрын
I just read a testimony from fb of a woman who's son was unwell, visited many hospitals in vain, she listened to this song n went on her knees, the son was healed. Thanks to her ave known this great servant of God 🙏🙏🙏
@benoulo51153 жыл бұрын
Rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
@ajweraemanuel41373 жыл бұрын
Loo
@elizabethmumo90703 жыл бұрын
True
@jeremiahmunala77013 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@morrismwangangi35053 жыл бұрын
Wahoo 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@MillySainah Жыл бұрын
I have financial issues bt I trust in God I know I will make it 😢😢😢😢
@abelwanjala11575 ай бұрын
Japo napitia kwa magumu najua itajipa naamini mungu wangu awezi niaibisha
@janefferkenny77344 жыл бұрын
Ata ili nalipitia linapita eeh MUNGU tembea nami moyo wangu ni mzito nipangunze machozi asante MUNGU mbarikiwa sana mtumishi wa MUNGU na aendelee kukuinua kwa huduma yake
@damarischepkorir264 жыл бұрын
atahili linapita ninayo yapitiya nitashinda naibenda nyimbo zako zinanibariki sana mungu hakutie nguvu uendelee kutubariki ata corona hinahisha Amen tutashinda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ttuhgtygyyygg2374 жыл бұрын
Nipe likes napenda huu wimbo
@fabiolasilyvain88803 жыл бұрын
Amen amen
@saharadam59013 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana mungu akutie nguvu
@monicaelias77625 жыл бұрын
Amina kubwa hata Mimi bado namwamini Mungu katika hatari ya kugharimu uhai wangu kwani Mungu bado in msaada,wangu naamini hats hili linamwisho wake na mlango wakutokea Mungu ameuandaa anaushusha ili nipite salama ooh haleluya EeMungu nivushe salama nizidi kujipa moyo mkuu hatimaye nitashind kwa Jina laYesu aliye hai AMEN.BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU WETU ALIYE HAI
@honoryajuna91066 жыл бұрын
Asnte Kila jambo na wakati wake jambo kuu ni kumtumaini Mungu
@joygakiim36535 жыл бұрын
Mungu nipee uvumilivu hii kazi ya nyumba ni ngumu Sana. .. lakini najua linapita t Nina imani na mungu wangu 😍.
@hawaamohammed66875 жыл бұрын
Kabisaaaaa litapitaaa tuuu
@wanyamaanita80584 жыл бұрын
Mungu nipe uvumilivu, yote yatapita tu
@mnyetikulwa50396 жыл бұрын
Huyu Jamaa anaupeo sana w kufikir nyimbo za kukusa jamii,, Endele kaka mungu yu pamoja nawe
@lantalanta72445 жыл бұрын
Mungu blessed you my bro
@labsonmwakasegule18695 жыл бұрын
asante sana kaka yangu
@slmass8685 жыл бұрын
Ameen
@valentinenzomo17304 жыл бұрын
Touching one
@antonykambona72424 жыл бұрын
Nyimbo zinagusa sana hz
@lawmaina784 жыл бұрын
Litapita tu, simameni hapo msiondoke mtaona wokovu wa Bwana Yesu....litaondoka hili, litapita tu. Hata ukishambuliwa kama mpira wa kona, wewe komalia papo hapo tu.
@carolinegatwiri1763 жыл бұрын
Ata hili lina mwisho Mungu nipee nguvu ya kuvumilia Amen
@mohameddiawara94 жыл бұрын
Na mimi nitavumiliya mpaka mwisho. Ingawa jaribu ni mingi kwangu
@victorpeter1824 жыл бұрын
Hata Corona litapita kwa ueza waa mwenyezi mungu tusichoke kumuomba mungu wetu..
@stellaj67334 жыл бұрын
Amen and God bles you
@faithkoome38064 жыл бұрын
Amen
@carolineoginda83624 жыл бұрын
@@stellaj6733 zzs
@hamisialimzara83624 жыл бұрын
Ameen
@mildredmuhanji48033 жыл бұрын
Am At that point at the moment. Just telling my soul same words. "Vumilia moyo wangu hatimaye utashinda. Usiogope" Barikiwa sana bratha
@winnihendri31306 жыл бұрын
Ni kweli Kila kitu kina mwisho katika hii duniani. Kaka God bless you
@sabihchacha42244 жыл бұрын
God sent u to comfort me. This was played at my hubby's burial and a've found my self listening to it daily and it really comforts me. God bless you
@elizabathh62704 жыл бұрын
@joyce nyaira ameeen
@ambitiousvillagegirl3 жыл бұрын
Hugs mum
@ndutandei14293 жыл бұрын
l
@emmanuelmwanyika16533 жыл бұрын
@joyce nyaira vp
@lucymutton Жыл бұрын
I feel blessed when I listen William rylima songs
@marthamarthakambona94446 жыл бұрын
Amina hata hili litapita!Japo napita katika magumu
@cresenciagaspary23043 жыл бұрын
Amen
@perisabuti83795 жыл бұрын
I love ua songs whichever song i listen to it's like u know what I'm going through 🙆🙆🙆"Uko wapi song melted my heart in 2017 i saw God in action when i wanted to give up in life....... I'm blessed by ua inspiration messages to our souls...... big up n be blessed
@asantekwahuuwimbozubeda8734 жыл бұрын
Namini majaribu yote yatapita kwa jina la yesu kristu
@joylinechebett50523 жыл бұрын
Your songs are very touching, especially uko wapi?and yesu nitie nguvu nimalize mwendo salmaaa
@janepherokome58322 жыл бұрын
@@asantekwahuuwimbozubeda873 . ...... ..... asante sana pastor kwa nyimbo zako Mungu alibariki sana , amen
@BeatriceOdhiambo-km1xl3 ай бұрын
Hata katika uchungu huu na machozi haya Mungu yuko
@stellanduku38975 жыл бұрын
Najua majaribu yatapita kwa Jina la Yesu Kristo✋✋
@marymagdalinengala15674 жыл бұрын
AMEN 🙏🙏
@ochiengsaul2265 күн бұрын
Ni kweli Kila jaribu Lina mwisho wake there's no situation that is permanent.tusiogope wapendwa Mungu yupo
@fatmahchambo31316 жыл бұрын
Ahsante kaka...hii nyimbo imenipa nguvu mpya.
@mbnnbm12353 жыл бұрын
Wherever i feel like giving up this song encourages me. Be blessed Yillima for the good songs that lift up my soul
@puritynelima69723 жыл бұрын
Wiliam a love your songs
@phillipkamau86265 жыл бұрын
mwimbanji hodari kabisa kabisa iwanted to hear that today .We all have challenges in our lives but with God everything is possible
@elizabathh62704 жыл бұрын
Ameeen
@davidwafula43304 жыл бұрын
God has answers to the situations that seems to be difficult let us keep praying for his intervention be blessed man of God
@gladyskarimimwambia20414 жыл бұрын
Up
@fezalulacha52054 жыл бұрын
Aa
@joelkisembo44354 жыл бұрын
Merci beaucoup
@elizabathh62704 жыл бұрын
@@gladyskarimimwambia2041 ameeen
@elizabathh62704 жыл бұрын
@@fezalulacha5205 ameeen muumba wetu ni mwaminifu
@goldennice55446 жыл бұрын
kweli ata hii kazi ya nyumba nafanya ya kudharauliwa itapita nipe uvumilivu mungu maana hii maisha niko nayo Leo itapita
@anithaavitson12334 жыл бұрын
Amina hata haya majaribu ninayopitia yanapita kwa Jina la Yesu naomba bwana ufungue milango ya furaha na amani katika maisha yangu n familia yangu !!!! Mungu akubariki akutie nguvu zaidi mtumishi
@johnchales9005 жыл бұрын
Wana sumbawanga mubarikiwe kwakipaji hicho
@VastPhiri-l3sАй бұрын
❤❤❤❤❤❤ Amen continue to encourage them
@eunicenyamawi29393 жыл бұрын
Mungu awabariki ,kupitia wimbo huu Huwa unanitia nguvu sana ata hujikuta nnatubu n kumliliya Mungu Kila wakati ,acha Mungu awajaaliye katika wiimbaji wenu nmepesa xan nyimbo hii🙏🙏🙏🙏
@pendofelix77846 жыл бұрын
Ameeeeen. Na Mimi naamini hili jaribu lililo mbele yangu naamini litapita. Wimbo huu unabariki Sana.
Naamini machozi ninayolia Mungu atanipanguza siku moja🙏🙏
@vincentonyango98014 жыл бұрын
I feel blessed every time I listen to Yilima's songs
@kahasojamhuri3 ай бұрын
Kila jaribu Lina mwisho wake Acha niendelee kukutumaini wewe Mungu wangu maana najua yote Nia muda kidogo yataisha tu.
@gentrixnyongesa32533 жыл бұрын
I really feel so encourage and blessed when i listen to this song of servant of God thank u so much be blessed also pray for my family
@peninahjuma17024 жыл бұрын
This man is blessed, his songs are in another level.
@elizabathh62704 жыл бұрын
Ameeen
@dr.kulundeng36503 жыл бұрын
@Mohammed Abram shindwe pepo.
@saromechaina77723 жыл бұрын
Kwa kweli hata mi namkubali mnooo
@verrah404453 жыл бұрын
His songs are indeed blessing
@eunicewairimu84973 жыл бұрын
For sure aki
@salmasaidi44915 жыл бұрын
Hata hili lina mwishoo ehee mwenyezi mungu utuongoze katika hili jaribu
@angelamarlow5104 жыл бұрын
Hakika hukukosea kuimba wimbo huu unamtia mtu faraja na nguvu anapofikwa na jambo gumu namm kwa wakati huu niliyopo now wakatiupo yatapita tuu Kwa yeye anitiae nguvu! Amin
@fadhilidisanula12395 жыл бұрын
Amina barikiwa sana nyimbo ni nzuri, 2020 Hata hili litapita..
😢hapo napitia katika magumu ya maisha eee Baba shetani Naye ananifuata mungu pigana na wale wanapigana nami
@nicolausmugabe92955 жыл бұрын
Amen majaribu hayana budi yaje ili tuimarike katika imani .Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa uinjilishaji
@carolinjohn31895 жыл бұрын
Litapita hili jaribu mungu atutie nguv ktk kipind hich kigum nabarikiwa xna na nyimbo zako pastor
@salomejoseph67955 жыл бұрын
Amina naami hili nalo litapita maana najua Mungu yu pamoja nami...Asante kwa wimbo mzuri
@rebecamarcondilla83515 жыл бұрын
Salome Joseph by prisca mahangi barikiwa rafiki yangu Salome msalimie na Suzi mwaya
@PendoMariam3 ай бұрын
Mungu wangu kwa kupitia wimbo basi baba nifute machoz yangu nimekuwa wakulia kila cku mungu wangu nipiganie
@lorinejelimo99813 жыл бұрын
Ata hili litapiata💕🥰love songs of this man of God my heart melt each and every time I hear your songs may God be with you 🙏🙏
@FrankGeofrey-g5r9 ай бұрын
barikiwa mtumish wa hwana kwa kazi nzuri
@fanuelbilly64864 жыл бұрын
Eeeeee God bless u keep on comforting me brother
@annbonareri8 ай бұрын
Hallelujah 🙌 mungu mwaminifu kila wakati,nampenda sana yesu wangu❤
@mwelumutisya33026 жыл бұрын
Kweli Mungu hawezi kukuacha siku hata moja niliyapita mangumu Sana lakini namshukuru Mungu sababu yote yalishapita Jina la Mungu libarikiwe.
@tonymutunga31856 жыл бұрын
amen
@samnewbornm4685 жыл бұрын
Niwo mwah
@esthermwangi67075 жыл бұрын
Yiii mwa ngai niwe utonya
@lantalanta72445 жыл бұрын
Pole awoooh uzidi kumtgemea Mungu
@ericorando51465 жыл бұрын
Kweli mungu haweza yote
@FlorenceObenda6 ай бұрын
Hata kama naona ni manitowoc, lakini na jua yatapita, hiking kikombe nikizito baba nisaidie yesu in you l believe
@okellobenson75002 жыл бұрын
The message in the song is amazing God should continue blessing William with good health
@christinmulongo84834 жыл бұрын
I am watching from Bahrain country my name christin mulongo mimi ni m kenya kwa kweli ndugu huu wimbo unanitia nguvu Sana mungu akubariki katika Jina LA yesu cristo Amen ninaamini Yale yote napitia yataisha katika Jina LA yesu cristo Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@erickbagiti6 жыл бұрын
Surely your songs are encouraging.... God bless you abundantly
@Dolphine-ck1sd8 ай бұрын
Mungu yupo,basi sitaacha shetani atawale ndani ya maisha yangu
@jamesmangeti3965 жыл бұрын
kweli kaka unakipaji cha kuelekeza viumbe vya Maulana kwa njia ya kutambua Mungu kupitia kwa mwanake Yesu,aki be blessed Ameni.
@happiek5743 жыл бұрын
Asante kaka Kwa wimbo mzuri nabarikiwa moyo wangu vumilia haya yatapitatu ndani ya kitambo kidogo this 2021 lord help me to overcome this!🙏
@LilyNashela6 ай бұрын
Eeee mungu wangu nitetee mwenye mambo mangumu mwenye maisha yangu🙏🙏🙏🙏
@janekwahada5806 жыл бұрын
Sitaongopa mungu ako nami ahallelujhy AMEN
@StacyLatasha Жыл бұрын
Hakika huu wimbo umenitia moyo sana na unapojaribiwa jipe Imani utashinda kwa sababu mungu yko na atakushika mkono
@simbagerrald59633 жыл бұрын
May God keep Yilima for us.His songs have passed the test of time. They are in another realm
@winfredkurui93123 жыл бұрын
Truuueee
@dorotheakumbi43745 жыл бұрын
Ubarkiwe kaka yangu huu wimbo umenipa tumaini jipya mungu azd kukuongoza
@KoelnerTagblatt5 жыл бұрын
My future kenia wife Ann loves his songs and I'm happy. Thx for all.