Amina dada yangu mpendwa,Mungu akubariki sana. Tunashukuru kwa maombi yenu
@DottoBazil-nx2cd2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mpendwa,tunahitaji nyimbo nyingi kama hizi.
@bonyezaplay2 ай бұрын
Amina ndugu yangu mpendwa. Mungu akubariki sana, tunashukuru kwa maombi yenu
@FridaKiula-u5p2 ай бұрын
Amina ndugu
@bonyezaplay2 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki. Ndugu yangu mpendwa
@marychidahe-jz2xw2 ай бұрын
Amina Bro. Umejua kutubariki. Thank you ❤
@bonyezaplay2 ай бұрын
Mungu akubariki sana dada yangu mpendwa
@bonyezaplay2 ай бұрын
Huu ni Wimbo wa Ujumbe wa wakati huu. Ishara ya Wakati. Umeimbwa na Ndugu Leonard, wa Mwanza Tanzania. Mungu awabariki nyote. Hakika Neno limetimia mbele ya Macho Yetu. Ahadi ya Luka 17:30, Ufunuo 10:1-7, Malaki 4:5-6 na mengine mengi... Mungu hakika Ametuzuru tena, katika majira ya jioni ya mataifa. Hii ndio Ishara ya Mwisho kwa mataifa kabla ya ulimwengu kuangamizwa, ni Mungu katika Mwili wa mwanadamu tena katika wakati wa jioni kwa mataifa akijua siri za mioyo kama alivyofanya kule kwa Ibrahimu wakati wa Sodoma na Gomora kwa uzao mteule kabla Sodoma haijaangamizwa kwa moto. Sauti yake iko kwenye Kanda, hivyo Unaweza Kubonyeza Play kwa kidole kimoja tu, kujifanya mwenyewe tayari kwa Unyakuo. Sauti ya Mungu kwa ajili ya Bibi-arusi leo hii ni William Marrion Branham. MSIKIENI YEYE!