JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 10
@errydeo886520 күн бұрын
Umeziona wapi mil 95! Tuonyeshe source! Sio mnaongea tu kujifurahisha
@stellamboya867320 күн бұрын
Hapa kazi ipo simba tutawasubiri yaani ikifika dakika 70 ndio tunawasha moto maana wazee ikifika dakika hizo pumzi inakata naipongeza sana simba
@reonardchatanda637120 күн бұрын
Wazee wako wangapi yanga? Mohamed Husein na kapombe wanamiaka mingapi?Fabrice Ngoma je? Acha kujifariji wewe. Tabu Iko pale pale.
@nabiimgongolwa872820 күн бұрын
MAFISI WALIFIKIRI AZIZI KI ATANYAKULIWA.....HEHEHEHEHEEEE.....INJINIA HERSI NI MTAALAMU SANA.....AMEMBRANDI AZIZI KI KIBIASHARA ILI 2026 AKITOKA AWE NI LEGEND WA UHAKIKA
@abdallahakida790820 күн бұрын
Mbona yanga kama mnajipigia ngoma na mnacheza wenyewe huu nimpira hakuna tena kununua goal tano .yalipita hayo mtakuja fungwa kwa uwezo wa mungu mshindwe kutoka uwanjani acheni madharau wapuuzi nununua mechi kama mchicha achegi yetu ipendeze africa
@zeddymourice424920 күн бұрын
Mkipigwa mechi imenunuliwa mkishinda nyie niuwezo wenu,achaneni na hizo maneno tengenezeni timu yenye ushindani sio mnaleta wachezaji wamafungu mafungu😂😂
@omarymwenebatu20 күн бұрын
AZIZ ulikuwa ni uongo alikuwa ahana ofa yoyote zilikuwa ni promotu.
@user-fe8gq8dy1g20 күн бұрын
Isikuumize kichwa hayakuhusu ndugu
@mirajiali392615 күн бұрын
Makolo akili zao kweli mabumbumbu ahmed ally si alisema wanamtaka aziz k
@errydeo886520 күн бұрын
Hizi OFFER mnazozizungumzia,nazisikia Tanzania tu! Watu tunafatilia mpira wa Afrika from outlets za nguvu! Hakuna popote Ki kapewa hizo offer,hizo timu zina wachezaji kama AZIZ au zaid!Mli 95 ,tuambie source! Tusome wote! AZIZ sio mpumbavu,ana ana wanasheria,ana mawakala, ana financial advisors na ana Mamake ambaaye ndo muhusika mkuu ktk maisha yake! Akatae hizi ela? Yanga wamempa OFFER KUBWA kuliko! Mikataba ya ni siri hasa PERSONAL TERMS AND CONDITIONS! MNAJUA GSM KAMPA NINI ! ?