SEIF SIMBA: TTF INAIOGOPA YANGA | MO ANAHUJUMIWA KWENYE MCHAKATO | KARIA AMETENGENEZWA KUWA WAO.

  Рет қаралды 3,195

wispoti tv

wispoti tv

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@jofreymhagule7505
@jofreymhagule7505 17 сағат бұрын
Uwa unaongea point sana brother
@MedardAndrew-v3w
@MedardAndrew-v3w 14 сағат бұрын
Seif simba🎉
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 14 сағат бұрын
Wwe mwamba uwa nakuelewa sana unajuwa fct
@salymgaimale235
@salymgaimale235 15 сағат бұрын
MPIRA WA CAMARA ULITOKA NA PRIZONI NI UZEMBE WA KIPA
@Sherrymwinyi
@Sherrymwinyi 13 сағат бұрын
👏👏👏👏👏
@AsanteAnastazi
@AsanteAnastazi 16 сағат бұрын
Mo, ongea na tff Kuna tatizo gan kwenye lig yetu. Uhuni mtupu, mh, ongea na rahis w tff uone panapo vuja.
@MashakaTamsonMwashilindi-hu9tt
@MashakaTamsonMwashilindi-hu9tt 9 сағат бұрын
Simba ni timu ya Tanzania pia
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 18 сағат бұрын
Broo unaongea kwahisia sana inatuuma sana simbaetu inahujumiwa sana tff hatuna
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 14 сағат бұрын
Kwa maisha ya kawaida majumbani mwetu watoto wanaodekezwa kwenye malezi yao wanapata taabu Sana kwenye maisha yao baadae... Haya tunayolalamika vyombo vya Habari vinajitokeza nakusema timu yetu mbovu badala ya kujibu hoja za wale wazee... Timu mbovu inawezaje kuwafunga Al ahly tripoli ya Akina mabululu na mastaa lukuki Ndani yake? Awamu ya sita inatukosea wanasimba pakubwa Sana 😢
@JohnEugeni-f8m
@JohnEugeni-f8m 6 сағат бұрын
Ukitoka nje ya Tanzania yanga timu namba mbili Simba Moja jiulize Kagame Simba bingwa wa kihistoria Caf Simba namba Saba ya kumi na tatu Ni Simba tangia ianzishwe yanga hakuwahi kuizid Simba caf Lakin ndani hapa yanga hiko juu kuliko Simba jiulize Vyombo vya habar mpaka wachambuz wote wanamonitiwa kuiongelea yanga kihustarabu hata ikikosea Embu check goli la daby mpira uko nje kabisa Kuna mchambuz anayejaribu kusema kweli?
@jumaali9243
@jumaali9243 17 сағат бұрын
Yanga hata akichukuwa ubingwa feki na gms anaiharibu ligi
@ZahiruHamisi
@ZahiruHamisi 17 сағат бұрын
Kuisema timu ya Serikal😮,we uogopi?
@YusufuMwamlengaMwamlenga
@YusufuMwamlengaMwamlenga 19 сағат бұрын
Wamesema yanga ni timu ya serikali
@JosephMwaipopo-px4wi
@JosephMwaipopo-px4wi 16 сағат бұрын
Daaar!!!!! polen sana simba kumbe mnamaneno mengi namna hii,,
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 19 сағат бұрын
Nikweli KIKUNDI CHA WAHUNI WA TFF kina ibeba sana kikundi cha wahuni utopolo KUTOKANA na mkataba ule wa kihuni kati ya TFF NA GSM NDIO CHANZO CHA MPIRA WA TANZANIA KUHARIBIKA MIMI NDIO MAMA TFF WAME NI BLOCK KWENYE PAGE YAKO
@Eliyaphilipo
@Eliyaphilipo 13 сағат бұрын
Kama kosa ni la refa yanga anahusika vip? Kojoa ukalale
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 18 сағат бұрын
Tff na gsm walisaini mikataba hewa na wakasema wasiulizwe
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 19 сағат бұрын
Yule golikipa wa tz prison alimpa mpira mchezaji wa simba afunge, kwani hilo ni kosa la simba? Pia camora alidaka mpira na kuuacha max aka shot, je klsa ni la yanga?.
@nasseralshaibani6995
@nasseralshaibani6995 18 сағат бұрын
Acheni ujinga hampendi kuambiwa ukweli lakini yanga imezowea vya kunyonga
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47