Hapa mmefel kwa swala sio mahali pa mzaha au kufanyia michezo msitufelishe tena hapa mrekebisheni nyinyi ni watu mwajua dini sana sijapenda
@suleimanmwadzendze3485Ай бұрын
Sawaaaa,,,ila kwa swala ,,jamani mzaha sio poa
@HalimaAbubakar-n6gАй бұрын
Ni mambo utokea kwa majumbo
@FASSALEHALIBАй бұрын
CHUNGENI MIPAKA YA ALLAH SUB HAANA WA TA'ALA.
@AtifaIslam-t6gАй бұрын
Haya mafunzo na ukumbusho aya twambia Allah akusema watu wakumbushane mbona muko ivi awa wako sawa sana@@FASSALEHALIB
@rahmasalim5252Ай бұрын
Kweli musifike uku
@A.shebyhdjdjdАй бұрын
Sunna huwa inakatika ila sijui kama mke akiwa ni mjamzito inafaa au vipi@@FASSALEHALIB
@FahadMasoud-io4mbАй бұрын
Hapo sio sawa kabisa,,,ni afadhali hata ungemaliza swala kwanza,,,na swala umevunja ww sio yeye
@YasminYasmin-vj5ihАй бұрын
Sijapenda msishirikishe swala na maigizo yenu mnapata dhambi
@richbird.123Ай бұрын
Hii sijapenda hata swala
@tumamwinyi402Ай бұрын
Subhanaallah hapo Kwa swala hapana sio mafunzo hata kidogo
@ZaytoonaKaramaАй бұрын
Hiyo makosa sn hata km n mimba lkn swala siyakufanyiwa mchezo
@Bahati47Ай бұрын
Kwenye swala hapana hapo umekosea sana nakuombea msaha kwa Allah
@Rukia-n1dАй бұрын
Wallah napenda movie zenu musifanye masihara na swala hilo jambo la MUNGU mwalichezea .musifanye matani na MUNGU .fanyeni vipindi venu lakini musifanye machezo na swala kabisa plz
@evelyneoresiАй бұрын
Heshima Kwa swala somoe
@hamisisalmah8764Ай бұрын
Siumuoe tu huyu ishe mnafaana wallai😂alafu nia haitajwi audiably ni kiroho I love utwo I always watch Alhamdhulilah
@AbdulazizathumanmwanoАй бұрын
hapaana hao wanasomesha siwao manaake kun watu kama hao
@HalimaRamadani4 күн бұрын
Sio vzr swala haitaniwi
@HalimaAbubakar-n6gАй бұрын
Ni mambo utokea kwenye majumba big up jambo
@ExcitedMountainVolcano-qp8rgАй бұрын
Tuheshimu dini hii ni dunia
@LeilaAbdi-p4iАй бұрын
Jini mahaba kweli 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@AbdulazizathumanmwanoАй бұрын
msiwalaum hilo soomo kwawenye kufanya hayo
@mejumaabaraza3989Ай бұрын
Rudi nyuma bi kidude😂😂😂
@MariamKaremboАй бұрын
Bi kidude kidogo😂😂😂😂huyu ashauramba mwiko sai mumewe ashakuwa mkunga ywamtukana na uzazi ungalipo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mejumaabaraza3989Ай бұрын
Somoe umenikumbusha mm na soda ya novida 😂😂😂mimba nyengine wallahy we acha tu
@atwowa638029 күн бұрын
Hii inawaelemisha watu kwa majumba yapo
@MwanasaadaAsha-es6ovАй бұрын
😂😂😂😂😂😂jaman nawapenda❤❤🎉🎉🎉
@Zainabuh-g6jАй бұрын
Sbuhanallah
@abubakarsaid7303Ай бұрын
Wa kwanza kutoka korea❤❤❤
@fardoshnassor7847Ай бұрын
💖
@izmamuizmamu6521Ай бұрын
Audhubillah
@iddimutua420Ай бұрын
A.alaikum Napenda video zenu ila kwa hili mumekosea sana please naomba mrekebishe.shukran
@WalkmwalkmАй бұрын
Mnakoelekea siko wacheni kuleta content kwa mambo ya dini
@JUSTxYAMMYАй бұрын
Hiyo swala ya Sunna sio Faradh
@SharleenLeahАй бұрын
mume. mzuri wamshugulikia mkeo
@lusupi29 күн бұрын
Njoo nawewe nikushulikie😍
@LeilaAbdi-p4iАй бұрын
Sijapenta hapo kwa swala jamani nonono
@YumnaBurhan-q6hАй бұрын
Yaan mimba hiyo ataaazaliwe huyo mtoto mume kakoma
@SakinaSakinat-qd9rsАй бұрын
Somoe yeo ankua aitwa bikidude 😂😂😂
@munirajackson2695Ай бұрын
Somoe ukizaa walai hutiwi mimba nyengine
@hassanhass172113 күн бұрын
Ahahahahahahahahhahahahahahah😂😂😂😂😂😂😂
@seemanishekiaoАй бұрын
Yeo munkosea
@SiaminiChanguАй бұрын
Ety bi kidude😂😂😂
@suleimanhare8395Ай бұрын
Utanitoa bokooko utanitoa bokooko😂😂😂
@FASSALEHALIBАй бұрын
Mwawafunza nini ndugu zetu kwa baba?
@oyay2821Ай бұрын
Hapa ni kiamu
@mohamedhassan117917 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@سعدياقوت-ت2خАй бұрын
😂😂😂😂😂pirmilenge😂😂😂
@AliAbdalla-f6iАй бұрын
Oya wee wapi bangabangaaaaa😅
@AMINABAKARI-h9yАй бұрын
Dereva ni bangabanga😂😂
@dalyat3537Ай бұрын
😂😂😂 biki dude
@shilingi-AhmadiАй бұрын
Swala ya peke yako huwezi kusema imaam wala maamuuman Imaam maana yake ni kwa kuongoza sasa ukiwa peke yako humuongozi mtu na ukisema maamuuman maana yake kwa kuongozwa sasa ikiwa uko peke yako huwezi.
@SakinaSakinat-qd9rsАй бұрын
Sasa si ungeeleza kabisa isemwe vp
@shilingi-AhmadiАй бұрын
@SakinaSakinat-qd9rs Hayo maneno yote mawili atayaacha.
@C9-002Ай бұрын
Ndio maana imewekwa hapa km funzo pia🎉 kilakitu n mafunzo yake