nani anasikiliza 2020 wimbo huu likes maisha marefu mama angu upendo nkone hakika nyimbo zako zimekua zikinijenga sana na kunitia moyo
@MzamiruMathayo-nf7hc10 ай бұрын
Hata sasa umenisaidia, Bwana Mungu wa majeshi. amen.
@faithfulmbise76364 жыл бұрын
Hata Sasa umenisaidia, Umenihurumia Umenirehemu Wewe ni Mungu wangu Kwako Hakuna kinachoshindikana, Asante Sana malkia pendo kwa neno la faraja ulilotumwa nalo Ubarikiwe Mama
@anneloved4 жыл бұрын
Likes za 2020...this song lifted me
@monicachaula22895 жыл бұрын
Mama Mungu azidi kukuinua napenda sana nyimbo zako zinanibariki sana ninapokuwa napitia majaribu naona kabisa Mungu ananigusa nakunitoa kwenye hilo jaribu kupitia nyimbo zako mama Mungu akubariki
@lilianpraise61334 жыл бұрын
Kweli hata saasa amenihurumia...baraka kwa huu wimbo...Lilian kenya
@rosemollel62045 жыл бұрын
Upendo mama unanifariji sana katika maisha yangu nabarikiwa sana naposikiliza nyimbo zako mungu akuzidishie miaka ya kuishi mamangu.
@jacksonmuli43107 жыл бұрын
mama UPENDO wewe ni mamangu nakuheshimu nakupenda MUNGU akuhifadhi na akubariki kwa nyimbo zaidi napenda nyimbo zako kwa moyo wangu wote
@vumiliasaimon18915 жыл бұрын
Jackson Muli unaugusa moyo wa mungu bwana akutendee
@neemachitanda6555 жыл бұрын
Mungunimwema
@bonnyamusalaofficial2354 жыл бұрын
You are a blessing toy ministry great work
@emmycharles84634 жыл бұрын
Hata sasa ninauona mkono wako 2020
@lilianjulius13755 жыл бұрын
Mungu azidi kujifua kwako mama angu ili nasi tuzidi kupokea uponyaji kupitia nyimbo zako. mungu akubariki mno
@florahkimbage95715 жыл бұрын
Upendo nyimbo zako zinanibariki sana Dada yangu Mungu akulinde popote ulipo
@ikupakanemela41796 жыл бұрын
Mamaangu barikiwa mnooo, kweli hata sasa Yesu amenisaidia nmeguswa kuliko kwaida
@pstisaacshumamwangaza98975 жыл бұрын
Hats sasa umenisaidia.Ubarikiwe sana
@victoriamatola65508 жыл бұрын
Nimependa sana wimbo huu umenifundisha kubeba msalaba kwa ajili ya mwingine
@silamunuo49353 жыл бұрын
Oooh my favourite song...real like it
@annasembatwa74925 жыл бұрын
One of my favorite song, it’s surely uplifting 👌👌 Pokea Sifa Bwanaaaaaa Umenitendeeee It makes us reflect on all that God had done and how far he has taken us. We appreciate u Jehova, hata sasa umetusaidia🙌🙌
@girosbaragi28928 жыл бұрын
nabarikiwa sana na wimbo huu dada yangu UPENDO .karibu sana AKUZAMU INTERNATIONAL CHURCH tumekumc sana
@gracelori50296 жыл бұрын
mama mungu akubariki sana napenda sana u wimbo ata sasa umenisaidia ni neema ya mungu tu yatosha
@lyidiakapapa76795 жыл бұрын
Hata sasa uninidaia Bwana Yesu beyond my expactation oooo thank you Jesus Iam so blessed with the song
@sintashiraga64926 жыл бұрын
Nyimbo zako zinaniongezea nguv na kunifanya niwe imara zaid. Mungu azidi kukuinua mama
@imanimemirieki10276 жыл бұрын
Upendo nkone Mungu akusaisie huishi miaka mingi,nyimbo zko znanifariji sana
@moss639710 жыл бұрын
Mkubwa wangu Mungu wa mbinguni akubariki kwa kuyatafakari mema ya Mungu huyu wetu
@teddyleonard30686 жыл бұрын
nyimbo nzur Sana hua siichoki kuickiliza
@mamapekupekupilipilimuwash90167 жыл бұрын
mungu aku bariki nyimbo zako zina fariji na kulia kwa kumuomba mungu
@MultiPRETTIE10 жыл бұрын
I don't think people realize just how much Upendo Nkone is talented....she has very encouraging and spirit filled songs....may God continue blessing you....ubarikiwe sana
@imelda4jesus10 жыл бұрын
lol, erm ..we DO realise honey... trust me she's got fans.
@dismasmungai16098 жыл бұрын
hongera sana upendo nkone
@karenlema47364 жыл бұрын
November 2019, this song still uplifts my soul. Thank you Jesus 🙏🏻
@titomwinuka24713 жыл бұрын
5
@zuberysaidy89495 жыл бұрын
ubarikiwe mama unanibariki saan sichoki kusikikiza nyimbo ziko,
@santaelbajuta21247 жыл бұрын
hata sasa ninauona mkono wako...hata sasa umenirehemu....barikiwa xn
@martinebugingo79168 жыл бұрын
hata sasa umenisaidia bwana..Amen
@rhinaregina58068 жыл бұрын
I am so blessing for your songs upendo.God bless you Mom
@stellalema45169 жыл бұрын
nabarikiwa na nyimbo zako mungu aendelee kukupigania
@shanteljmasambaga13376 жыл бұрын
Upendo wimbo zako zinaninguza,Mungu akubariki
@camilajay25514 жыл бұрын
2020 bado wimbo unanibariki
@nesterchunga45768 жыл бұрын
Amen, nakupenda Sana na nabarikiwa na nyimbo zako
@alvinkelvotov23045 жыл бұрын
Now and forever you faithful God.
@clemencemwasaru59567 жыл бұрын
Wadaful in the eyes of the Lord. Mungu akubariki
@joshuaeliakim21578 жыл бұрын
BE BLESSED IN THE NAME OF JESUS...
@fredrickswai32339 жыл бұрын
Mungu akubrki;Sasa twamwabudu Mungu pamoja nawe
@annajumanne88127 жыл бұрын
atanami na penda nyimbo zako
@asajilekajuki6907 жыл бұрын
stay blessed by our hevnly father god
@violethogoya42408 жыл бұрын
nabalikiwa mama kupitia nyimbo zako 👏👏
@emmakanyi15967 жыл бұрын
mungu akubarikiye mama your songs are so salvation, ,,
@christabelmachisu2755 жыл бұрын
Hata Sasa umenihurumia😭😭😭😭
@salomewekhomba37979 жыл бұрын
The song uplifts a dying soul higher. Be blessed Dear Sister for the good work
@rozeeroz25156 жыл бұрын
Hata sasa umesaidia hata sasa umenirehemu amina
@eunykaali49948 жыл бұрын
barikiwa sana watumishi wa mungu
@mssgres32808 жыл бұрын
hata sasa umenihurumia God bless you for that song
@barakabahati59866 жыл бұрын
hakika Bwana amenihurumia hata sasa.
@Anti-socialSocialClub8 жыл бұрын
Love you,love you!
@jelagatvalerie10668 жыл бұрын
Ever blessed with this songs
@winnieminyalla94307 жыл бұрын
pokea sifa bwanaa..umetendea
@elizabethlukas85537 жыл бұрын
mungu azid kukuona mama
@scolacticajustiny56598 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako
@saidkaoneka26486 жыл бұрын
Asante mungu kwa kutuletea mama huyu tunsbarikiwa sana kwani hata sasa umenisaidia we mungu kwa nae katika wokovu wake azidi kutufaliji na kubsrikiwa na nyimbo
@marcelinesimire7 жыл бұрын
thanx my sister love you so much
@mercymercy33558 жыл бұрын
nabarikiwa sana na wimbo huu
@glorymsira85744 жыл бұрын
🙌
@fridaahid27006 жыл бұрын
Amen nibarikiwa sana
@mariamichael51655 жыл бұрын
ata sasa umenisaidia💯🙏🙏🙏
@verolinejane26846 жыл бұрын
Every time I listening your song I get new power
@marthawanja99619 жыл бұрын
Ua music generally lifts my spirit n I always make sure am singing almost like u. Help mr how I can be connected to u.pliiz 4 GOd sake.
@toyiecciba51146 жыл бұрын
Hata sasa nauona mkono wako baba wa mbinguni
@innocentlekule72448 жыл бұрын
Is the good son i appreciate it and all other songs
@pascaltweve51436 жыл бұрын
innocent lekule thanks momy for that u did
@collinskisala46508 жыл бұрын
nime barikiwa na hizi songs
@mariamichael51655 жыл бұрын
asante YESU WANGU 🙏🙏
@allymombo98789 жыл бұрын
nakupenda sana (mrs mwaipaja
@itsngaki45078 жыл бұрын
Thanks Lord for your bless
@thomasally43768 жыл бұрын
sawa
@janeeliason27056 жыл бұрын
barikiwa sana mama
@dvjshiddodvj46696 жыл бұрын
Ameni
@everlyjoseph33588 жыл бұрын
be blessed Dada
@neemaprimus28888 жыл бұрын
mamy nabarikiwa sana
@janethjepkosgei37048 жыл бұрын
thanks dada nkone nimebarikiwa sana
@mangakaiyemanueliy66004 жыл бұрын
Love u mama
@tumainiisaac65578 жыл бұрын
Napenda uwimbaji Wako mumy
@evanssikamanga50796 жыл бұрын
Nice song so incouraging
@lemymasele73068 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana
@rusianatumbe67147 жыл бұрын
Lemy Masele ubarikiwe mama
@elvidajustine18029 жыл бұрын
really the songs are spiritually i like them. Be blessed
@deboramoffat63014 жыл бұрын
Wimbo unanifariji mno Ubarikiwe mno Mama
@charitykilonzo59886 жыл бұрын
I love the song
@agnessdavid71807 жыл бұрын
namkubal xn huyu mwimbaj
@asajilekajuki6907 жыл бұрын
good coz I'm blessed by mama song
@happynesasamwel1195 жыл бұрын
Nakupendasana
@reginarhina68377 жыл бұрын
Amen
@angelfaustine13104 жыл бұрын
upo vizur mama mungu akupe maisha marefu nabarikiwa na nyimbo zako
@tumainilyimo25924 жыл бұрын
Be blessed
@robinsonkombe8989 жыл бұрын
Simamiwa na roho mtakatifu
@pst.archangelmurungi94288 жыл бұрын
ni wimbo wa kujiga kiroho
@johnomukhweso3906 Жыл бұрын
I would like to down loan and listen off line how do it
@alexngira53648 жыл бұрын
Thankx lords
@bramwelwafula196710 жыл бұрын
Your songs r touching. Where can I get these album Zipo faida?
@cosmaschuwa29888 жыл бұрын
tumuabudu yeye pekee muumba wetu
@phognespetro21688 жыл бұрын
good song big up upendo nkone
@josephmaundu37636 жыл бұрын
hHata sasa naona mkono wako,a
@orenisrael8235 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@lemymasele73068 жыл бұрын
hata sasa umenihurumia
@hustonbalagaya68376 жыл бұрын
Lemy Masele haleluya
@elishaedson50426 жыл бұрын
Ni nzuri
@yunismaguhwa56525 жыл бұрын
nyimb zako zinan balki San amenn mungu azdi kuwa nawe
@astridwangaja18427 жыл бұрын
NAKUPENDA SANA NA BARIKIWA NA NYIMBO ZAKO GOD BLESS YOU
@liliankhasoha11837 жыл бұрын
heko mama.
@selinamlowe28996 жыл бұрын
💞💞💞💞💕
@marcelinesimire7 жыл бұрын
good
@eliamagoha7905 жыл бұрын
Do
@amonrop508211 жыл бұрын
Where is this song by Zedekia Fanuel
@rusianatumbe67147 жыл бұрын
Amon Rop atasasa umeniurumiya
@amonrop50827 жыл бұрын
Rusia Natumbe I found it.It is Bwana umenitenda by Sedekia Fanuel
@getrudapoul3855 жыл бұрын
Hata sasa ninauona mkono wako
@thomasally43768 жыл бұрын
hakika nyimbo ni nzuri sana
@bramwelwafula196710 жыл бұрын
Your songs r touching. Where can I get these album Zipo faida?