No video

MR MONEY_EP 01

  Рет қаралды 295,986

LIKOMA

LIKOMA

Ай бұрын

#mzeelikoma#mrmoney#kpnazebuu

Пікірлер: 770
@user-ex6tg6di7r
@user-ex6tg6di7r Ай бұрын
Kp na zebuu mnapendeza , hii movie 🔥🔥🔥🔥👏👏🇰🇪
@user-sy9cu5ef5q
@user-sy9cu5ef5q Ай бұрын
Yani nkiona mzee likoma na Mr dibozi nacheka taar bila hata kujua inahusu nini jamani 😂😂😂 nawapenda sana nikiwa Kenya 🇰🇪
@simbeyrugata8745
@simbeyrugata8745 Ай бұрын
The best movie, congratulations to you all actors, especially kp,zebu,diboz and likoma
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 Ай бұрын
Kp nilikua naumia kuona move yen ni moja tu nilitamani kuona kil kipindi cha wamangush mzee wagiza na dada ,yaani hongeren sana 🎉🎉🎉🎉kwa kuongeza move
@AnithaStiven
@AnithaStiven Ай бұрын
Jamani sijapenda mashabiki wa kp hamutendi haki kwa likoma kumbukeni likoma kafanya tumujue zaidi lakini video za likoma eti watu mupo 78 kweli sio sawa like zipo 691 sio saw😢
@rozeyousef9823
@rozeyousef9823 Ай бұрын
Jitaidi kushea link na kuhamasisha wengine ili tufike kiwango kwa sapoti zaidi😊
@christinamethod2364
@christinamethod2364 Ай бұрын
Muwe mnaniita mapema😁
@AmosBudoya
@AmosBudoya Ай бұрын
Kabisa jaman let's support likoma
@josephluomba8807
@josephluomba8807 Ай бұрын
Hatukuwa tiyari 😅😅😅
@user-sc7sn6ux2v
@user-sc7sn6ux2v Ай бұрын
together
@nasorohusein-uz4hv
@nasorohusein-uz4hv Ай бұрын
Mzee likoma KAZI nzuri mungu akuongezee maarifa zaidi utazidi kufanikiwa
@NipherKwamboka
@NipherKwamboka Ай бұрын
Kutka Kenya Leo nimekufa number 5 nipeeni like hata kumi jamani
@Zainab_salat
@Zainab_salat Ай бұрын
Umekufa? Mbona una comment😂😂❤😂😂
@purityneema218
@purityneema218 Ай бұрын
Kufa tena ?😂😂
@PendoRobert-ph6ux
@PendoRobert-ph6ux Ай бұрын
Umekufa namba 5😂😂😂😂
@Laxy_Talent
@Laxy_Talent Ай бұрын
aya bwn
@PoliceNdizeye-rt2ml
@PoliceNdizeye-rt2ml Ай бұрын
Musalimie yesu 😂😂😂
@madymag6926
@madymag6926 Ай бұрын
Likoma na dibozi wow Nawependa bure kazi nzuri sana❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@tobiaschirwa9364
@tobiaschirwa9364 Ай бұрын
Unyama Sana Mzee Likoma & Dibozi nawapenda kutoka malawi tuko pamoja tutasubiri mwendeleo 😂😂 mumependeza Kp na Zebuu ❤❤❤❤❤
@ruth1377
@ruth1377 Ай бұрын
Wow hii nzuri nimeipenda ad raha🔥🔥🔥🔥❤️❤️💯💯💯💯
@modostar
@modostar Ай бұрын
Kazi nzuri na mm ni msanii natamani kufanya ksz na nynyi
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 25 күн бұрын
Why message kama hii huwa hawaijibuu
@user-xd8qy1cx2b
@user-xd8qy1cx2b Ай бұрын
Jamani move nzuri sana likoma big up 💪💪
@JohariJohari-rv5js
@JohariJohari-rv5js Ай бұрын
Nguo zashule zimewapendeza
@MauaroseMauarose
@MauaroseMauarose Ай бұрын
Hahaha haaaa jamani jamani mpaka tumbo linaniuma
@bakariomari6735
@bakariomari6735 18 күн бұрын
Kwann likuume❤
@Mariamjaromedevu
@Mariamjaromedevu 9 күн бұрын
Mzee likoma na kibozi mnanifurahishag san❤❤
@NishimweDeo-th6qw
@NishimweDeo-th6qw 8 күн бұрын
Nabapenda sana kabisa.kebi na zébu narikokoma.napenda muvie zébu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤
@OUTLAWDRILLERS
@OUTLAWDRILLERS Ай бұрын
Sijachelewa pia mm kutoka kenya,,likes kwangu
@SamuelAloo-qv3kg
@SamuelAloo-qv3kg Ай бұрын
Mfuasi wa mzee likoma na dibozi manuva kutoka kenya 🇰🇪
@WardaMohhamed-xx9mv
@WardaMohhamed-xx9mv 16 күн бұрын
Nimeipendasana
@ZitoAntonioNhanga-ms6uj
@ZitoAntonioNhanga-ms6uj Ай бұрын
Nampenda sana mze likoma❤
@yohanemwanzalima2777
@yohanemwanzalima2777 Ай бұрын
Kp na zebuu napenda kazi zenu zote nzuri
@JanetSanga-b6p
@JanetSanga-b6p Ай бұрын
Kazi nzuri nawapenda nyote
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga Ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa likoma tupia like zangu apo
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 29 күн бұрын
This is love from Mozambique 🇲🇿❤
@user-md2ct5fl7h
@user-md2ct5fl7h Ай бұрын
Mzee likoma unauwa sababu ya dhahabu kali sana
@ShanBaby-dy4db
@ShanBaby-dy4db Ай бұрын
Samahani am from Kenya the capital city of Africa nipeni like zangu❤❤❤
@EdwardTz.
@EdwardTz. Ай бұрын
Hatari sana itanoga kuliko mzee wa giza ❤❤❤❤
@lucyrif-np8ik
@lucyrif-np8ik Ай бұрын
Nimebaki tu nikicheka yaan likoma wewe et tumbo linahifadhi vyakula vingi😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@user-su5oi5wb6c
@user-su5oi5wb6c Ай бұрын
Nawakubali sana kp na zebuu mumerudi shule na mumependeza 😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@MalakiKapesa
@MalakiKapesa 14 күн бұрын
Kazi nzr Sana likoma nakubali sana
@MayengDulu
@MayengDulu Ай бұрын
Kazi poa sana mzee likoma na dibosi na wanafuzi dodosha vitu Kali kaka❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 Ай бұрын
Wanafuzi??
@jacksonminani9782
@jacksonminani9782 Ай бұрын
Kazi nzuri sana likoma Suraj yupo wapi kwenye plan b??love kutoka burundi
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 Ай бұрын
Haya ndo maswali ya kuulza suraji toka sonaa haonekani lakini watu kuomba like tu kuchangia vitu vya musingi aaaaaaah 😮
@mary-lx3hr
@mary-lx3hr Ай бұрын
😂😂pia mm nlikua nataka kuuuliza hivyo suraji Yuko wap
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 Ай бұрын
@@mary-lx3hr si ndo hàpo sasa lakini watu kila anayecomment anaomba like utadhani zinapunguza ugumu wa maisha😏
@jacklinefatma6263
@jacklinefatma6263 29 күн бұрын
​@@joycemaregesi18wa kuomba like waulize wapost nn
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 29 күн бұрын
@@jacklinefatma6263 nawaulzaga wanaomba like kwa kipi wamefanya😏dalili moja wapo ya ushogha ni kuomba like ambazo hujafanyia kazi
@MbataMbataa
@MbataMbataa 27 күн бұрын
Mzee rikoma nooma❤❤❤ namuelewa sana
@LinetOpio-uj2eb
@LinetOpio-uj2eb Ай бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣 likoma acha uzembe ukalime bana na venye nilikua nmekufia hivi, ucfanye nchange mind🙆🙆🙆🙆🙆
@user-rl5zb1jc9k
@user-rl5zb1jc9k Ай бұрын
Unyama mwingi 🔥 much love from Kenya 🇰🇪😘
@user-op7tg4wq2g
@user-op7tg4wq2g Ай бұрын
Nakubali wapi like za mzee likoma
@EdalyDaud
@EdalyDaud Ай бұрын
Dog sele
@AmaniAnda
@AmaniAnda 5 күн бұрын
Kp na zebuu mnapendeza sana hiv hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 13 күн бұрын
Likoma ume perform vzur ktk senior yko good
@user-dy2zp2iw6z
@user-dy2zp2iw6z Ай бұрын
Jmn zebuu Hilo shangazi kaja 😂😂😂
@user-yg7dy8ls9e
@user-yg7dy8ls9e 20 күн бұрын
😅😅😅😅aisee nmecheka mpaka nmepaliwa
@TantineZuzu
@TantineZuzu Ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri sana 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮
@user-xm4uu7he9c
@user-xm4uu7he9c Ай бұрын
Kazi nzuri sana likoma n kundi lako❤❤❤
@ThumahSalush
@ThumahSalush 18 күн бұрын
Mambo napenda movie zenu mnajua kuakti wow ❤😅😅 mwaaaa
@CarolinePeter-gc8fp
@CarolinePeter-gc8fp Ай бұрын
Kiukweli mmejua kutusuprise but hongereni sana kwa kazi nzuri be blessed guys
@DicksonBukon
@DicksonBukon 2 күн бұрын
We mzee hatari san big up
@user-lf5ud8vb5j
@user-lf5ud8vb5j Ай бұрын
Samaani nipeni like zangu from 🇨🇩 nakupenda sana likoma
@furahandalu4765
@furahandalu4765 Ай бұрын
Mko vzr sana aiseee maua yenu❤❤
@user-jd9jb3ri4u
@user-jd9jb3ri4u Ай бұрын
Shangazi kaja inakimo kuzidi mbebaji,,,,,,,si kwa kukwea hko jaamaan. 😍😍😍
@MwanaidiAmanzi
@MwanaidiAmanzi Ай бұрын
Safi saana sio kila siku mke na mume
@EstherwakioWukanda
@EstherwakioWukanda Ай бұрын
😂😂😂😂jamani Likoma na Dibozi huwa mwanifurahisha sana,nawapenda bure❤
@MohamedKibanda
@MohamedKibanda 3 күн бұрын
Napenda sana movie zenu
@MaryamSafi-vm6or
@MaryamSafi-vm6or Ай бұрын
Jmn chukuen maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Kaz nzuri
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez Ай бұрын
Wow nimeipenda nzuri sana Kp na zebuu mmpendeza sana❤❤ aaaa had raha nawapenda nyote 😅😅😅😅🎉❤
@Chebaibaiever
@Chebaibaiever 26 күн бұрын
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉
@JerryGebiyr-dv6jp
@JerryGebiyr-dv6jp Ай бұрын
From south africa tujuwane apa kwa safari hii ya Mr Money 🔥🇿🇦
@DianaKatyetye
@DianaKatyetye Ай бұрын
Kazi nzur vipenzi nimewapenda bule
@user-nw6jl2uw1q
@user-nw6jl2uw1q 29 күн бұрын
Nzuri jmn hongeren sana
@janepaul-pu3ds
@janepaul-pu3ds Ай бұрын
Likoma kwa hii mnanoga sana hongereni sana Kp na Zebuu nimependa hizo sare 😍😊🎉🎉🎉🎉 msikawie sana bac kutuletea ep 2
@GentilKakule-rd2pz
@GentilKakule-rd2pz Ай бұрын
Hii inaonekana itakua kali sana 🔥🔥🔥 ongera sana mzee likoma kwaku tuletea kitu kikali
@user-gg5ed4wt2v
@user-gg5ed4wt2v Ай бұрын
Nimefurahi,sana liko na dibozi❤❤
@isabellahchuma
@isabellahchuma 29 күн бұрын
Ety zebuu darasa la pili,alaf nimekuama hapa kwa a e i o u😅😅😅😅😅😅kazi nzuri sana timu likoma na timu yako🎉🎉🎉❤
@user-qq4zr3sk2g
@user-qq4zr3sk2g Ай бұрын
Eti mzee mwenzangu tumetajirika 😂😂😂 anavyojishirikisha😂😂😂
@RebeccaMasinjisa
@RebeccaMasinjisa 4 күн бұрын
Kp ,zebuuu na likoma mmetisha😊😅❤
@user-zw7nz4nh6d
@user-zw7nz4nh6d 22 күн бұрын
Mashabaki wa kp tumo❤❤ likoma tuko pamoja🎉🎉😂 kwanza hongera kwa likoma
@philohmutua2968
@philohmutua2968 Ай бұрын
Naipenda sana likoma amekuwa Nigerian walai
@LebonAlliance
@LebonAlliance 3 күн бұрын
Kazi zuri sana
@AbdulBushiri-b6o
@AbdulBushiri-b6o 12 күн бұрын
Ninawapenda sana hawa watu kifupi nina iipenda group lao 😅 kutoka tanzania dare ssalaamh
@aishalovesesibe
@aishalovesesibe 25 күн бұрын
Mwendo wa Rikoma unanivunjaga mbavu😂😂😂🇧🇮🇧🇮🥰🥰
@user-bc5zw3jn2x
@user-bc5zw3jn2x 29 күн бұрын
Jamani Mzee likoma ayo majibu yako tuh 😂😂😂Sina usemi
@DicksonBukon
@DicksonBukon 2 күн бұрын
We mzee likoma kitu ya mzamiaji uimalizie
@NAOMICOM-my4ql
@NAOMICOM-my4ql Ай бұрын
Heheeeeeee mnanipa Sana raha mm nawaombea mdumu wote msitengane
@EvaSimpson-m4t
@EvaSimpson-m4t 23 күн бұрын
Of course likoma anafanya vizurii sana
@tommroverdose1242
@tommroverdose1242 Ай бұрын
mzeee likoma ana vituko kweli nampenda lakn bona ukorome
@SophiaMabula
@SophiaMabula 24 күн бұрын
Jmn jmn ay bn hongera zenu❤❤
@benedictepimaki4170
@benedictepimaki4170 24 күн бұрын
Kazi ikopwa sana
@josephatludibuka
@josephatludibuka Ай бұрын
Nawapenda sana kp na zebuu
@AmosBudoya
@AmosBudoya Ай бұрын
Jaman from Tanzania nipen likes zang
@JuliaAyuma-z5w
@JuliaAyuma-z5w Ай бұрын
Natoka kenya siku moja natamani sana niwaone macho kwa macho nyie ndugu zangu watanzania
@AnoriteMungusa
@AnoriteMungusa Ай бұрын
Nawakubali sana ❤💪
@AyubuMalando
@AyubuMalando Ай бұрын
Nakuaminia sana mzee kijana, fanyakaz😊
@wirozaBisimwa
@wirozaBisimwa Сағат бұрын
Hawa wazee, shidaaa
@beatricechiro9772
@beatricechiro9772 29 күн бұрын
Mob love from Kenya
@PendoSamwel-k5c
@PendoSamwel-k5c Күн бұрын
Wako vzr sana
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 Ай бұрын
Kazi safi sana mzee likoma🎉🎉
@johnfilbert5915
@johnfilbert5915 Ай бұрын
Kumbe ndo maana plan b inachelewa ,,kina seasin nyingine
@JumanneMhaya
@JumanneMhaya 28 күн бұрын
Mzee likoma noma by matthias amos
@floramacheva5855
@floramacheva5855 Ай бұрын
Jamani Mzee likoma, 😂😂😂😂 unamfanyaje dibosi....
@evasoli7428
@evasoli7428 Ай бұрын
Nawapenda sana hawa jamaa
@neemamichael-iv3jp
@neemamichael-iv3jp Ай бұрын
Jamm honger kaka b kazi nzur😘😘
@JamesSamweli-p8s
@JamesSamweli-p8s 2 күн бұрын
Nakubali San likoma
@gershomchallo
@gershomchallo 27 күн бұрын
Likoma upo juuuuu saaaana ❤️
@user-ck7fi3bh3i
@user-ck7fi3bh3i Ай бұрын
Mi nmependa iyo shangaz kaja ya zebuu🤣🤣🤣
@Stardinyo
@Stardinyo Ай бұрын
Yaan mi ntalitafut shangaz kaja
@EmmyMo
@EmmyMo Ай бұрын
Imenzidi umrii😂😂😂
@CharlesMashaka-gv7mo
@CharlesMashaka-gv7mo Ай бұрын
Nyie noma sana nawakubali
@NoelaKirwegye-bc5rw
@NoelaKirwegye-bc5rw 26 күн бұрын
❤❤kazi nzuri sana 👍🎉
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Ай бұрын
Likoma na dibozi nawapenda sana halafu dibozi unajua kulima sana
@GentilKakule-rd2pz
@GentilKakule-rd2pz Ай бұрын
Likoma mtu hatari sana hii nimeipenda sana 😂😂 leteni mwendelezo haraka basi😅 Ila kifutu mwenzio kasha kua tajiri tayari😂😂
@zainzain1163
@zainzain1163 Ай бұрын
Haaaa mzee na team yako nawapenda kutoka kenya 🇰🇪😍😢😆❤❤❤❤kazi nzuri
@user-tb3rj7yg6h
@user-tb3rj7yg6h 25 күн бұрын
Jamani kazi muli sana❤
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 28 күн бұрын
Kwanzia kesho mnaenda shule😂😂 aya MR MONEY❤ hatutaki haibu nenda shule KP na Zebuu🤝
@KalistusNjogopa
@KalistusNjogopa Күн бұрын
@likoma keep doing best
@Asia-dq3rt
@Asia-dq3rt Ай бұрын
Aki nmecheka kwa saut so kwa hayo masomo 😂😂😂😂😂
@abednegomsomba8972
@abednegomsomba8972 Ай бұрын
Nakubari hii Kari sana
MR MONEY_EP 02
21:43
LIKOMA
Рет қаралды 199 М.
MR MONEY_EP05
23:27
LIKOMA
Рет қаралды 98 М.
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 10 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 29 МЛН
EXCLUSIVE NA MZEE LIKOMA
26:37
Kp&Zebuu Media
Рет қаралды 43 М.
HOUSE GIRL EP 22  | S2 | love story💞💕
24:59
BUSATI TV
Рет қаралды 39 М.
KOSA LA MOYO episode 1
19:53
Nong'a Comedy
Рет қаралды 4,7 М.
Kp Na Zebuu | MZUSHI.
19:25
Zebuu
Рет қаралды 301 М.
MR MONEY_EP04
27:37
LIKOMA
Рет қаралды 148 М.
PLAN B _ Episode 1
40:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 318 М.
PENZI LA SHEMEJI LA MPONZA ALEX 😂😂
15:01
Mkongo Comedy..
Рет қаралды 550 М.
FEER WOMAN full episode
12:54
barakafilm tv
Рет қаралды 49 М.
UMBAYA NA UMBELA full episode
8:08
barakafilm tv
Рет қаралды 61 М.
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 10 МЛН