Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1

  Рет қаралды 179,590

YahStoneTown

YahStoneTown

Күн бұрын

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
MSAFIRI HUFIKIRI
Moja ya jambo ambalo nimejifunza kuhusu maisha na kufanikiwa ni KUTOKATA TAMAA wakati unatafuta ila kubwa kuliko ni wajibu wetu kutojiona tuko JUU zaidi ya wengine na kuamini kwamba pale ulipo hakuna siku ambayo utakuja KUTETEREKA. Katika makosa ambayo unaweza kuyafanya ni kuamini hilo jambo KUBWA.
Hillary Daudi ni Kaka yangu na Rafiki yangu, mimi nilianza kwa kumuona yeye kwenye TV kabla sijakutana naye rasmi kwenye mwanzo kwa miaka ya 2013 kupitia Rafiki yangu mwengine aneyeitwa Mussa Hussein, Mussa na Zembwela ni washkaji ambao wali click tu mara ya kwanza walivyoonana na Mussa alipomsikia tu Zembwela aliona atamfaa sana kama atakua partner wake kwenye kile kipindi alichokua akifanya cha kuanzia saa tatu asubuhi pale EA Radio.
Zembwela alikua mmoja wa waanzilishi wa kipindi cha vichekesho pale ITV akiwa na Rafiki yake Marehemu Max, na jambo ambalo mimi nilikua silijui ni kwamba Zembwela yeye ndiye aliyekua muandishi wa yale maigizo mafupi mafupi waliyokua wanafanya, na hilo swali nilimuuliza baada ya kusikia tetesi mtaani kwamba toka Max atangulie mbele ya haki yeye Zembwela amepoteza kabisa ile ladha na kwamba sasa si yule wa zamani. Ki kawaida tu kwanza hawezi kuwa kama yule wa zamani na zaidi ni kweli ladha pengine lazima ipotee maana sasa hivi yuko peke yake, ila je kipaji? Binafsi nadhani Zembwela ana kipaji na utashi wa hali ya juu ambao unamfanya aendelee kuwepo pale alipo na sasa akiwa anasimama kama Ndimu kwenye Radio ya Wasafi FM pale asubuhi anapokua anachambua magazeti.
Mwanzo nilikuambia Zembwela alianzia EA Radio baada ya kuvutwa na Mussa pale, na alikaa kwa kipindi hata baada ya Mussa kuondoka yeye aliendelea kuzungusha gurudumu la Super Mix ila baadae mambo yakabadilika na ikambidi aende kutafuta ustaarabu mwengine na sehemu nyengine. Maisha yako wakati mwengine yanaweza kukupeleka sehemu ambayo wala ulikua huitarajii.
Sasa pia amerudi kwenye TV na kaniibia siri pia kwamba hivi karibuni anatarajia kuanza series ambayo wao kama Wasafi TV wamekua wakiipika kwa kipindi sasa. Naamini hii itakua habari njema kwa wengi ambao wamekua wakiisubiria kwa hamu.
Na pia kasema itaanza hivi karibuni.
Mimi na Zembwela pia tumeongelea maisha yake binafsi, kuondoa kwa Max, kazi za kileo na mustakabali wa Siasa na wana Siasa na mengine tele. Moja kubwa ambalo naweza kukuahidi ni enjoyment na kucheka, hakika haya UTAYAPATA.
Tafadhali enjoy,
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪KZbin Link bit.ly/KZbinS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 234
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 жыл бұрын
Afya ya Akili, afya ya kinywa na Afya ya Mwili...So Powerful. ✊🏾💯
@davidnchoji
@davidnchoji 2 жыл бұрын
Poor Me😥, namfahamu Zembwela lakini sikuwahi kutenga muda wa kumfuatilia zaidi, na kumbe nimekuwa nikikosa maneno ya busara kutoka kwa mtu mwenyewe busara na akili pana sana. Keep it up Da Salama kwa kutuletea mtu wa aina ya Zembwela...😍❤️
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 2 жыл бұрын
Mali iliyotafutwa na mtu, na wale wasioitafuta kuja kuihitaji hata kama hawahusiki nayo... KInywa, afya ya akili na mwili. Dah.... karibu kila neno la Zembwera ni msumali wa mabadiliko kwa hata kwa wanaozipata simulizi kwa walisikiliza wenyewe. Asante Salama na....Natamani kipindi kisiishe maana hawa hakika marafiki kufa kupona, maaana si kwa cheko na furaha hizo
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 жыл бұрын
Nimefurai sana Leo kumuona zembwela na nimejifunza mengi toka kwako. Big up salama toto ya zenji. Unajua kuliza maswali na yenye mahana. Awa wandishi wengine wajifunze kutoka kwako.
@echolude
@echolude 2 жыл бұрын
finally someone who treats Swahili with proper respect and depth
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
Una maanisha nini??
@universitylink
@universitylink 2 жыл бұрын
Asante sana brother zembwela ya kwanza gonga kwnza kisha ya pili ndio u act, nimependa hiyo uko very honest bro, na sister salama nakusalimia sana napenda sana kipindi chako uko juu sana sister keep it up
@jonahbirgen6946
@jonahbirgen6946 2 жыл бұрын
I use to enjoy his show at East Africa radio sometimes back from Kenya cheers
@josephngowoambroce418
@josephngowoambroce418 2 жыл бұрын
Hapo salama hajaolewa....sema mume wangu
@mnenedrogba1218
@mnenedrogba1218 2 жыл бұрын
Now I get the reason or reasons as to why Diamond keep mentioning Zembwela babu, this man is very wise and he is on point in almost everything question sent.respect big bro 🤝🙏💯
@emmanuelkiyovu5175
@emmanuelkiyovu5175 2 жыл бұрын
L
@emmanuelkiyovu5175
@emmanuelkiyovu5175 2 жыл бұрын
0l Ppl
@emmanuelkiyovu5175
@emmanuelkiyovu5175 2 жыл бұрын
P
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 жыл бұрын
Zembwella na Gabo wakikaa meza moja wanaweza fanya kitu fulani kikapendwa na watanzania wote
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 2 жыл бұрын
ZEMBWELA NA SALAMA MNAITENDEA HAKI LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI KUNA LADHA YAKIPEKEE SANA
@AlesiusAndrea1991
@AlesiusAndrea1991 2 жыл бұрын
Babu Zembwera beberuuuu 👍🙏💪
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 жыл бұрын
Penda sana Zembwela❤❤❤👊👊👊
@lilianmmbaga7373
@lilianmmbaga7373 11 ай бұрын
Nimefurahia sana hii meeting ni ya kiakil sana imeongelewa na watu makini saana❤
@richardfaustine8802
@richardfaustine8802 2 жыл бұрын
Salama nakukubali sana. Yaan hivyo tu. You are the best.
@saedymkomwa7866
@saedymkomwa7866 2 жыл бұрын
I wish Salam Uwe Mke wang Tukiwa Ndan Tupige Mastory yaniii... Una Madini Mengi Sana
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
Upige nae story au umpelekee MOTO....!
@mjkinyonga38
@mjkinyonga38 2 жыл бұрын
Mahojiano bora zaidi 2022
@antonykimario5764
@antonykimario5764 2 жыл бұрын
Nakubal sana Salama na Zembwela
@mangisenya4012
@mangisenya4012 2 жыл бұрын
Zembwela uko vizuri sana kwenye kujieleza
@sevelinamartin7752
@sevelinamartin7752 2 жыл бұрын
Namuelewa Zembwela nakupenda salama,so nimeinjoi sn
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 2 жыл бұрын
From 🇰🇪Huyu bro nilianza kumcheki zamani na maxi kwa comedy flani alikuwa mpangaji mkorofi 😅🤣
@hawasaid7151
@hawasaid7151 6 күн бұрын
😅😅😅
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 6 күн бұрын
@@hawasaid7151 😅😂
@floramlowe7078
@floramlowe7078 2 жыл бұрын
Hiyo nimeipenda hilo nichaguo sahihi John pombe magufuli apumzike kwa amani mzee wetu tulimpenda sana hata kama alikuwa anaogopwa.
@ditrickhinju9684
@ditrickhinju9684 2 жыл бұрын
Good interview ujawai kukosea kwahilo interview killer u sister nice
@marcoemanuel6892
@marcoemanuel6892 2 жыл бұрын
Kari sanaaa hii interview
@hilarymark7583
@hilarymark7583 2 жыл бұрын
Naona sio vizuri chakula au kinywaji kukatiza mtiririko wa stori. Director angeweza kupiga pozi kidogo mpaka mnenaji aweke nukta
@makantaafrika
@makantaafrika 2 жыл бұрын
Nime enjoy sana hii episode 🙌🏿🙌🏿 Blessings
@jameskimei5438
@jameskimei5438 2 жыл бұрын
Nice one l love it
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Жыл бұрын
Zembwela nakukubali sana brother nakupenda huzarau maskini
@pachamalota4455
@pachamalota4455 2 жыл бұрын
Umetisha kaka mkuu
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 2 жыл бұрын
Zembwela Una Madini Mengi Sanaaa
@loiceamugune6711
@loiceamugune6711 2 жыл бұрын
I love what you are doing my gal. I would love to do just like you are doing
@lovenessselemani4949
@lovenessselemani4949 2 жыл бұрын
Bonge moja ya interview
@rashidomar1558
@rashidomar1558 2 жыл бұрын
Lessons zinapatikana kwa kufanya interview za maana kama hizi
@mustaphareginald3264
@mustaphareginald3264 2 жыл бұрын
Big up sister salama...Mungu akuweke sana
@kassimoludara4746
@kassimoludara4746 2 жыл бұрын
very informative kudos
@stevenasunga3917
@stevenasunga3917 2 жыл бұрын
Umeongea point sana
@rachelkristellagodlove2404
@rachelkristellagodlove2404 Жыл бұрын
Best episode kwa mwaka huo zembwela ana madini mengi sana
@mbakomileakim1783
@mbakomileakim1783 2 жыл бұрын
Iyo background music ni ngoma ya nan anaejua please
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 жыл бұрын
Great mind zembwela
@christophertemba6915
@christophertemba6915 2 жыл бұрын
huyu mwamba zembwela ni fundi sana wa maneno mpka salama anabaki kucheka tu.
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Good interview salama u do in your life big up
@thomaslyimo1729
@thomaslyimo1729 2 жыл бұрын
Nashtuka tu muda umeisha bila kuchoka nadhani hii ni moja ya Interview bora kwangu
@Tysumafrica
@Tysumafrica 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Kabisa maongezi matam ile mbaya
@edenngiluke8493
@edenngiluke8493 2 жыл бұрын
Interview Kali Sana.. One Of The Best
@iddyrashidi8961
@iddyrashidi8961 2 жыл бұрын
hongereni sana kwa hichi kipindi kinatuelimisha sana 🙏
@dayocha1855
@dayocha1855 2 жыл бұрын
Hii interview ya leo bomba sana ila zembwela katisha sana bila kumsahau salama kwa maswali yake mazuri
@shd12m55
@shd12m55 2 жыл бұрын
Juice ya awamu ya kwanza kwa zembwela 🔥🔥
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@hendrycomonsiwenga1128
@hendrycomonsiwenga1128 2 жыл бұрын
Dah! Endelea kupumzika kwa Amani Baba JPM ( Zembwera Angetamani Kula Chakula Na Wwe Kweny Meza Moja )
@theresiatarimo3616
@theresiatarimo3616 2 жыл бұрын
Hapo kwa maguful nimemuelewa...hongera zmbwela...
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aXjcdaptqM2JqaM
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 2 жыл бұрын
Mambo - Matamu 😁
@alfonsisimoni3080
@alfonsisimoni3080 2 жыл бұрын
Sharp sana istafrika
@gashugibruno2122
@gashugibruno2122 2 жыл бұрын
Zembwela nakupenda sana apo umemzungumzia Magufuri, kila mtu angependa kuchangiya na Magufuri ili tumpe habari za wasaliti, alikuwa nao karibu. Amewaamini. Tanzaniya imerudi nyuma kabisa
@lazarobituro8644
@lazarobituro8644 2 жыл бұрын
utakuwa umemiss point mkuu 😂
@msusasandali5833
@msusasandali5833 2 жыл бұрын
Ni moja ya interview niliyokuwa naisubiri kwa hamu kubwa Sana.... ☺️
@dankirunda3368
@dankirunda3368 2 жыл бұрын
Mimi pia ✌❤
@husseinpogwa9954
@husseinpogwa9954 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@rashidomar1558
@rashidomar1558 2 жыл бұрын
Good interview
@floramlowe7078
@floramlowe7078 2 жыл бұрын
Mpuuzi kweli anamasiala mengi sana
@tuliadamson3422
@tuliadamson3422 2 жыл бұрын
Nmejifunzaaa....👍👍👍
@yohanayohana199
@yohanayohana199 2 жыл бұрын
Zebwera wewe ni mkweli sana nakumbuka uliwahi kuomba mkombozi wa Tanzania ulipiga magoti ktk redio
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 жыл бұрын
Zembwela ❤❤❤❤
@dilipdab3714
@dilipdab3714 2 жыл бұрын
Salamaa.nakupenda.sanaa
@ilhamsalum6815
@ilhamsalum6815 2 жыл бұрын
😂😂😂ninavompenda salama nataman ata apate copy yake💞 mtoto ,akiondoka awepo atakae chukua muonekan na tabia zake NAKUPENDAA😣😩🥰
@tuladavid4223
@tuladavid4223 2 жыл бұрын
Ana mtoto mkubwa
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 2 жыл бұрын
@@tuladavid4223 uongo
@farhatkhamis4401
@farhatkhamis4401 2 жыл бұрын
@@edwinmbugua7738 kweli anae wa kiume
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 2 жыл бұрын
@@farhatkhamis4401 mapya hayo. Kazaa lini na nani?
@khamissasita4559
@khamissasita4559 2 жыл бұрын
Joseph John Pombe Magufuri daaaah!!. R.I.P daddy 👨....
@hijazhija316
@hijazhija316 2 жыл бұрын
Pole sana
@brendachibura6040
@brendachibura6040 2 жыл бұрын
I love this man ana busara mno
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aXjcdaptqM2JqaM
@bazlsamyo954
@bazlsamyo954 2 жыл бұрын
Hapo kitelevision au nilivyozoea 😅😅😅😅
@uzungupoint
@uzungupoint 2 жыл бұрын
UMENIUA KWA JPM TU 🔥🔥🙌
@majidypapeny1527
@majidypapeny1527 2 жыл бұрын
Na bonge la fumbo ambalo m2 wakawaida hawezi kulijua kwa haraka R.I.P magufur
@uzungupoint
@uzungupoint 2 жыл бұрын
@@majidypapeny1527 Kabisa kaka
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Majambazi na wezi wa mali zetu ndo tunawashangilia..
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 2 жыл бұрын
Salama ni hatari sana....,
@flavianchuwa4370
@flavianchuwa4370 2 жыл бұрын
Zembwela akili Mingi sana🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@TemuTV
@TemuTV 2 жыл бұрын
💯💯💯🙌🙌
@ballisticsound4796
@ballisticsound4796 2 жыл бұрын
Bila kupindisha Maneno IPP Media imetoa mchango mkubwa sana kwenye tasnia ya Habari ahapa TZ... pamoja na kutoa vichwa mahiri kabisa
@rukiaasnawi9134
@rukiaasnawi9134 2 жыл бұрын
San sana Sanaa lazima tuwe na fadhira tuseme ukweli IPP🔥
@elizagichogo3881
@elizagichogo3881 Жыл бұрын
Hyo haina mbishi mbona
@buberwajohn1312
@buberwajohn1312 2 жыл бұрын
Daaaah!! Popcorn 🍿 zimeishaaa.
@didomanyota5344
@didomanyota5344 2 жыл бұрын
Kuna legendary mmoja umemsahau hapo Mwamba wa kaskazini
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 жыл бұрын
Glas ya kwanza ilivyonyongwa nilipause ⏸️ kwa kucheka kwanza🤣🤣🤣
@kweka14l35
@kweka14l35 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ya Pili amesema imekuja ya Kuektia 😂
@neemaokechi1729
@neemaokechi1729 10 ай бұрын
Nlikuwa namtafuta mwenzang mwenye hii comments yan nmecheka saana 😅😅😅
@eliakimeliakim7082
@eliakimeliakim7082 Жыл бұрын
Interview nzur sana .
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana Babu, nakuelewa sana 😀😀😀
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
Zembwela Babu Mswahili 🔥
@akkidume8312
@akkidume8312 2 жыл бұрын
Hahahahahaha nimeipenda
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Hahaha nimecheka Zembwela alivyoangalia chakula 🤣🤣
@shd12m55
@shd12m55 2 жыл бұрын
😀
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aXjcdaptqM2JqaM
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 2 жыл бұрын
SALAMA KIUKWELI KIPINDI HIKI UMEJIKAZA SANA ILA KATIKA KIPINDI CHAKO CHA MAHOJIANO NA KAKA ZEMBWELA KABALIAO ALA 1 HALIKAI PANGA 2UNACHEK NA
@lotilazaro8845
@lotilazaro8845 2 жыл бұрын
Zimbwera Madini mengi xaaana kwa kichwa chako
@omariathuman9998
@omariathuman9998 2 жыл бұрын
i just comparing mkasi na hii show guest zembwela aisee zembwela ananifanya nisome nje ya syllabus ....salama nakuona kama ellen wa ellen show america
@hamzakamaze5532
@hamzakamaze5532 28 күн бұрын
Chuma cha puaaaaa❤
@nelsoncosmas5639
@nelsoncosmas5639 2 жыл бұрын
Salama tuletee helisi rais wa wananchi
@jacobmsigwa383
@jacobmsigwa383 2 жыл бұрын
"Gari bovu huvutwa gari zima" ha ha ha
@tresorkabongo8758
@tresorkabongo8758 2 жыл бұрын
Mpaka leo kipindi mlichokifanya cha mkasi 😂😂
@thedygeorge4548
@thedygeorge4548 2 жыл бұрын
Kwa kufupisha angesema tu anawapenda wasanii wote maana bila kukatishwa angewataja wote...🤣🤣🤣
@josephngowoambroce418
@josephngowoambroce418 2 жыл бұрын
Salamaaa
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 жыл бұрын
Jouniowe babu
@BongoCryptos
@BongoCryptos 2 жыл бұрын
JPM! SAFI SANA ZEMBWELA
@sharmallamossi7856
@sharmallamossi7856 2 жыл бұрын
😆😆😆 wallah uyu kka namependag saan anamaneno ni muwazi mashaallah Allah akubariki
@laylapagae6324
@laylapagae6324 2 жыл бұрын
Amiin
@2116-n
@2116-n 2 жыл бұрын
Nimeisubiri Sana hii muda mrefu
@tricemollel6739
@tricemollel6739 Жыл бұрын
Zembwela very big up men!!!
@rosegideon336
@rosegideon336 2 жыл бұрын
Nawakubali sanaaaaaa
@kisamogoodservicesTv
@kisamogoodservicesTv 2 жыл бұрын
The big show in town, big up kwa team yote. #SalamaNaZembwela
@josephngowoambroce418
@josephngowoambroce418 2 жыл бұрын
Kwenye juice noma saaaana bro
@salomecomedyofficial
@salomecomedyofficial 2 жыл бұрын
Zembwela tunaomba kwa heshima umrudishe kwenye game Mr 20%, ni mwandishi na mwimbaji mwenye mziki wa kuelimisha
@nkwabitz233
@nkwabitz233 2 жыл бұрын
BEBERUUU👍👍👍
@allyomary8264
@allyomary8264 2 жыл бұрын
Good interview keep it up
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Duh Zembwela ni mtu na nusu aseee
@UlimeA
@UlimeA 2 жыл бұрын
Hilo fumbo la jpm ni zito sana
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 2 жыл бұрын
Hapo kwa Twent aisee tupo wote
@karimabdoul7619
@karimabdoul7619 2 жыл бұрын
Iyo kali : Salam :Mambo Zembwela : Matamu 🤣🤣🤣🤣 Akili nying sana na maneno ya Busara
@nyamarasapeter4302
@nyamarasapeter4302 2 жыл бұрын
Mazungumzo na Hayati Magufuli yamenenwa kwa hekima na ufundi mkubwa.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 83 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 4,2 МЛН
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba
26:51
MkasiTV
Рет қаралды 1,3 МЛН