Pole sana dadangu! Ukiwa na Imani thabiti lawama ya binadamu haitakupeleka kokote kwa kuwa hawana uwezo wa kumruzuku wala kukufanyia chochote hapa duniani,nakuomba umtegemee Mola na umwombe pekee yake ukisubiri malipo yake wala usitege masikio kwa maneno ya watu kwani watu wana maneno mengi wakiwa duniani.
@mbarakadau734524 күн бұрын
Ana story nzuri. Anahitaji apewe moyo asiyumbe tena
@suleymanali43124 күн бұрын
Mashaalah mungu awazidishiye, salim tunataka pia kisa chako vile ulisilimu na changa moto gani ulipitia. na tuana taka kujua fidback ya yule mama mulimpeka madrasa ako aje sahizi ame maliza madrasa.
@MustafaKarama-k3q24 күн бұрын
Assalamu Alykum Masha Allah Nimefurahi kusikikia Dada zetu na Allah atawafungulua kila la Kheir na jambo muhimu ni Subira kwa kila jambo na pia nitafurahi siku niraona clip ya Sheikh Salim vipi aliupata uislam tunakuomva Sheikh wetu tunaekupenda navwote ulioko nao Sheikh Hassan na Sheikh Ali na wengine Shukran
@salimdaawah12322 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh coming soon inn shaa Allah
@HusseinAli-fx1ld24 күн бұрын
Part 2 ustadh😢
@HusseinAli-fx1ld24 күн бұрын
😊Ustadh Salim hapo kuruka na kujazwa na raha ndio kumenibamba😅
@salimdaawah12322 күн бұрын
Ndio hivyo balaa ya wakristo ila Mwenyezi Mungu alimuongoza alhamdulillah