TIMA AFUNGUKA // MIMI NA GRACE TULIKUWA HATULEWANI KWENYE HUBA // WATU WALIDHANI KWELI KUMBE SIO..

  Рет қаралды 15,939

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@clarencemeena1628
@clarencemeena1628 Күн бұрын
Tima pole sana Dada, unachosema ni kweli kabisa kuwa sio rahisi kupata msanii wa Kariba ya Mama Tesa, nasema sio rahisi sababu Tesa alikuwa na kipaji Cha pekee
@Saripa234-u7g
@Saripa234-u7g 12 сағат бұрын
Pole cn tima wa Huba kwa kufiwa na msanii wetu mpendwa mfanyakazi mwenzio
@DorineKageha-nd8zi
@DorineKageha-nd8zi Күн бұрын
Polen sana wanafamilia na wanahuba nilikuwa nampenda sana Tesa lakin mungu akampenda sana pumzika kwa aman mama Tesa😭😭
@MourineIkhoni
@MourineIkhoni 3 сағат бұрын
Be strong sana tima inauma sana😢😢
@KeaSaid-q5u
@KeaSaid-q5u Күн бұрын
Anaongea sana huyu kweli hata kwenye huba yupo hivyo
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 Күн бұрын
Tima kivurugeee😂😂😂
@DeboraThomas-i4t
@DeboraThomas-i4t 23 сағат бұрын
Dah! mama Tima atupo nae tena pumzka kwa amani mama.yetu
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial Күн бұрын
Polen sana yaan msiba huu wetu sote pumzika kwa Aman mama yetu Tesa ❤
@DhuriatSururu
@DhuriatSururu Күн бұрын
Poleni sana😢😢
@AminaIssare-cd5wm
@AminaIssare-cd5wm Күн бұрын
Ila tima kumbe asili yake ni muongeajee kweli
@SalamaA-x6k
@SalamaA-x6k 21 сағат бұрын
Pole sana Tima kwa kumpoteza mama Tesa inauma sana 😭😭😭😭💔
@MiryamKiza
@MiryamKiza Күн бұрын
Pôle Sana tima kwa musiba
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha Күн бұрын
Duh kweli kizuri akikosi kasoro sio kwa mtiririko huo wa maneno😢kikubwa mungu ampumzishe mama yetu
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 Күн бұрын
Yupo kwenye shock
@TausiMwela
@TausiMwela Күн бұрын
Tima acha maigizo unaongea sana maadui wapi Ile nikazi acha kuongelea maigizo muongelee mazuri tu njee yakazi kwenye huba unaongea sana njee yahuba pia hivo mwanamke tuliza mdomo tesa alikua mama mzuri watabia mpk KAZI zake nampenda sn nimama mzur😂😂❤❤
@Fatimamedia255
@Fatimamedia255 Күн бұрын
Ww mbona uelewa wako mdogo, hebu msikilize vzuri
@DanielaKepha
@DanielaKepha 18 сағат бұрын
​@@Fatimamedia255hawa ndo wale walikua 9 wamwisho darasani
@MinaahOmary-wd8ls
@MinaahOmary-wd8ls 14 сағат бұрын
😂😂​@@DanielaKepha
@RehemaRumeza-ve4fs
@RehemaRumeza-ve4fs 3 сағат бұрын
Yaan ajaelewa ​@@Fatimamedia255
@JladyKadzo
@JladyKadzo 31 минут бұрын
Wewe endea school fees zako usafishiwe maskio na macho
@NurahMummy
@NurahMummy Күн бұрын
😢😢😢polen sanaa
@FaustaKessa
@FaustaKessa Күн бұрын
Amujamuelewa tima yeye na rihama ally wana bifu tangu atoke huba
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe Күн бұрын
Ha hahaha hahaha
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff Күн бұрын
@@KhadijazabronMwajombe kila mtu anayake. Mwacheni aongee the way yupo. Kila mtu anatabia zake!
@DianeManirakiza-vt5bl
@DianeManirakiza-vt5bl Күн бұрын
Mbona waimbaji wa gospel hawawagi wanauzulia misiba haswa ya wenzao wasanii kwani si wako game wote wangepaswa kuwa wanashilikiana kati ka vipindi kama hivi
@AplA-x9b
@AplA-x9b Күн бұрын
Pia me hilo swali najiulizaa
Car Bubble vs Lamborghini
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 28 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 19 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 37 МЛН
TAHADHARI, WADUDU hawa 6 Hutakiwi KUWAUA  ukiwaona nyumbani kwako
13:36
Car Bubble vs Lamborghini
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 28 МЛН