YANGA INAWEKA KAMBI WAPI?/MSIKIE ALLY KAMWE AKITOA RIPOTI KAMILI.

  Рет қаралды 94,790

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 216
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 2 ай бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@malietamaliet
@malietamaliet 2 ай бұрын
Khee mwenyezi Mungu bariki timu yetu msimu ujao inshallah ikawe kheri kwetu wajalie uzima afya njema wachezaji wetu bench la ufundi piah tuweze kufanya vzr
@ommyhatib7331
@ommyhatib7331 2 ай бұрын
Mwakahuu mungu akipenda kombe mapema xan
@sumaiyyaelias
@sumaiyyaelias 2 ай бұрын
nikwel chama yupo yanga mbn tutakuwa vzr sana tusichenze tanzania si mabingwa champion jaman yanga❤
@AmaniMnzava-c3c
@AmaniMnzava-c3c 2 ай бұрын
Hongera sana kwakweli mnafanya kazi kubwa inayotufurahisha sana wana Yanga
@FabiolaSommy
@FabiolaSommy 2 ай бұрын
🎉🎉🎉 Mungu akupe maisha marefu semaji letu
@ChenchiKing
@ChenchiKing 2 ай бұрын
Mwenyekiti Wa Wasemaji Barani Africa#Ally Kamwe# Daima Mbele Nyuma Mwiko💚🇹🇿🇹🇿
@patridabernard9148
@patridabernard9148 2 ай бұрын
Yaan Yanga Bora tena sana
@GMHOTELMOROGORO
@GMHOTELMOROGORO 2 ай бұрын
yanga borta
@magangamasansa4160
@magangamasansa4160 2 ай бұрын
Mimi Aziz hanipi presha hata asipolizia wa muache aende, alienda mayele lakini tulipambana, kwahiyo Aziz K uwenda amepata Dau kwingine ni Sawa tu
@amanikaduma237
@amanikaduma237 2 ай бұрын
Na ndo maana wakamsajili chama
@RamseykingGenius
@RamseykingGenius 2 ай бұрын
Muache ndo anaenda kupotea maxima walahi 🤔 yanga timu kubwa kuliko timu hizo😮😮😮🤪🤪💚🤲🏻🔜🏆🏆🏆🏆💚💚🤲🏻
@BasuleBasule
@BasuleBasule 2 ай бұрын
Yanga Inabidi Tupate Winga 1 Na Kiungo Mkabaji Mwengne Hapo Aje Yeyotee
@kyflavour
@kyflavour 2 ай бұрын
Nakubali Chama langu
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 ай бұрын
Mwenyekiti wa wasemaji wote safi sana 🎉🎉🎉
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 2 ай бұрын
Safi Sana ila tujiandae kisaikorojia kuhusu Aziz ki maana ata sielewi
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 ай бұрын
Mchezaji akitaka changamoto sehemu nyengine hafai kuzuiwa
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 2 ай бұрын
Mm Sina hofu na timu km Aziz hajasain bac kocha atajua nn afanye
@RajabuBojo-j2l
@RajabuBojo-j2l 2 ай бұрын
Wacha was was wewe ki yupo
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 2 ай бұрын
Kuwa na amani kabsaaa
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 2 ай бұрын
@@RajabuBojo-j2l mbona mpaka saiv mara hajasain mara tayr Kwakweli hatujui tubakie na lip
@MonicaSimon-py3nx
@MonicaSimon-py3nx 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu wabariki wachezaji wetu
@dullamuso6955
@dullamuso6955 2 ай бұрын
Mungu Ibariki Young African Sports Club, Tupe nguvu na Utimamu zaidi Hakika Tukateteee Ubingwa na Hatimaye Kombe la Africa likaje Tanzania 🇹🇿
@kalingavictor7068
@kalingavictor7068 2 ай бұрын
Ally , mwambie injinia apambane tusimpoteze Azizi
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 ай бұрын
Aziz yupo Yanga na wiki ijayo anakuja
@kalingavictor7068
@kalingavictor7068 2 ай бұрын
@@muddymuzungu4357 Itakuwa furaha kubwa kwa wanayanga wote
@salahtv5591
@salahtv5591 2 ай бұрын
Lipia kadi aziz ki lzm atabaki
@kalingavictor7068
@kalingavictor7068 2 ай бұрын
@@salahtv5591 hiyo tu siyo shida
@ZuenaMashauri
@ZuenaMashauri 2 ай бұрын
Azizi ki yupo yanga jamani
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 2 ай бұрын
🤗🤗🤗🤗🤗🇹🇿🇹🇿🇹🇿🕺🕺🕺🕺 yanga bingwa 2024 adi 30
@mudylipawaga5362
@mudylipawaga5362 2 ай бұрын
Yanga bingwa tena inshaALLAH🙏🏼
@vaxminja9053
@vaxminja9053 2 ай бұрын
Aziz K alishasaini muda mrefu sanaaaaa
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Wajihi wa ally kamwe unamaana sana kuhusu Azz k Sina tumaini
@RamadhanMabwabwa
@RamadhanMabwabwa 2 ай бұрын
Kweli dogo kapoa sana
@careemdulla1629
@careemdulla1629 2 ай бұрын
We Aziz Ki tufanye tuwezavyo tumbakishe Aziz K ni mchezaji muhimu sana na hatari pamoja na Pacome Hawa kwa sasa ndio nembo ya Yanga Africa
@kaseja
@kaseja 2 ай бұрын
Alhamdullilah furaha imerudi sasa.
@amanisanatu3889
@amanisanatu3889 2 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko Big team
@roseurio4983
@roseurio4983 2 ай бұрын
Na hivi eng Aris alishafunguaka mlango wa magoli kuleee moro .Mungu ibariki yanga
@Samalextz
@Samalextz 2 ай бұрын
Hongera sana viongozi wetu🎉🎉🎉🎉🎉, I l o v e y o u Y a n g a
@ThomasDonard
@ThomasDonard 2 ай бұрын
Wa kwanz jamani
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 2 ай бұрын
❤❤❤❤kila la kheri
@Chichamiles
@Chichamiles 2 ай бұрын
All kiungo mkabaji mwenye ROHO MBAYA 😠 anahitajika coz kuna timu zimeanza kujisahau sana
@Shadia544
@Shadia544 2 ай бұрын
Sina raha miee 😢😢😢 azizi ki hayupo yanga 😢😢😢 Jamaniii 😢
@samclaud
@samclaud 2 ай бұрын
Keep going champion 🏆🏆🏆🏆
@alishaplate6290
@alishaplate6290 2 ай бұрын
Jmn yote Tisa kumi Azz k yupo wp jmn mbn mnatuumiza roho hivi 😢
@Godfrey-j8b
@Godfrey-j8b 2 ай бұрын
Mungu atusaidie tu maana kila kitu Mungu ndo muweza wa yote
@AgnesRobert-q1i
@AgnesRobert-q1i 2 ай бұрын
Mungu ibariki yanga🎉 hatuna muda wapinzan😂😂
@LavenEliasy
@LavenEliasy 2 ай бұрын
💚💚
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Aziz k wapi bwana !mnatuchanganya
@futurecarefamily5454
@futurecarefamily5454 2 ай бұрын
Friji lipooo 😂😂😂Naijua hiyooo....😅😅😂😂😂kehee....Azizi ki yupo paleee amekaa🤣🤣🤣🙌
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe 2 ай бұрын
Azizi ki vp mbona mnatuweka roho juu
@khadijabakari9092
@khadijabakari9092 2 ай бұрын
Aziz k tujiandae kisaikolojia au
@farajamfaume7545
@farajamfaume7545 2 ай бұрын
Kama huyk azizi ki anadengua yupo azizi yule wa dreams ya ghana yupo vizuri pia
@happysanga6846
@happysanga6846 2 ай бұрын
Imeenda hiyo hatuna mdaaa🔥🙏🙏
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Kwani aziz k ndo anaibeba yanga nzima? Akienda aende tu watakuja wengine
@BADAWY575
@BADAWY575 2 ай бұрын
Oyaa al watana punguza kucheka cheka alafu kuweni serious leteni vitu kwa raha data .punguzeni utani kwenye kuongea na watu wengi si munajua yanga ni kubwa nazani mutakua mumenifahamu kamwe na mwenzako al watan
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 2 ай бұрын
Mashaallah
@badimfinanga
@badimfinanga 2 ай бұрын
Kennedy Msonda Bado ni mchezaji mzuri asiachwe please
@sabrinakassimu
@sabrinakassimu 2 ай бұрын
😅😅😅 ila Ali kamwe 😅😅
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 2 ай бұрын
Mmetisha yanga
@ShakiraMasoud-ox5tj
@ShakiraMasoud-ox5tj 2 ай бұрын
Oya mbadala wa aucho mbona hamjamsajil 😢
@Izzoh2021
@Izzoh2021 2 ай бұрын
Wachezaji ndio kwanza wameaza kureport kwaiyo embu wanayanga tutulie kidogo,wachezaji ambao hatuwaoni wapo subra kwanza na mtambue huo ni mpango maalumu mwenye D mbili atakuwa kanielewa hohoho.
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 2 ай бұрын
Mashabiki wapambane Azizi abaki
@SufianeAssumaneAssumane
@SufianeAssumaneAssumane 2 ай бұрын
Bom dia. Mimi ni shabiki wa yanga. From Palma Moçambique. Jee Aziz ki tinae ama?
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 2 ай бұрын
💚💚💛💛💚💚💛💛💛
@KhamisKaju
@KhamisKaju 2 ай бұрын
Aliy bdo tuna muhitaji k Aziz by kaju
@happysanga6846
@happysanga6846 2 ай бұрын
Jaman Aziz atuelewi uku tuweken waz
@joojombi2341
@joojombi2341 2 ай бұрын
Kazi Iendelee akhui mapambano bado yaendelea
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 2 ай бұрын
Alwatan ameanza kuzeeka...
@blairmangani2341
@blairmangani2341 2 ай бұрын
Mm nilishajiandaa toka mda,azizi key hatutakuwa nae huo ndo ukweli,ndo maana wamemsajili chama
@YeremiaErro
@YeremiaErro 2 ай бұрын
Yangu ni kubwa kuliko mchezaji kuondoka kwa mchezaji ni kwamba kapata fursa mahali hivo tusihofu kuondoka kwa mchezaji tuna kikosi kipana
@dicksonmzao8376
@dicksonmzao8376 2 ай бұрын
Naomba aziz abaki piga ua garagaza
@iddfundikira2817
@iddfundikira2817 2 ай бұрын
Aziz ki tumchangie wananchi wote hili tumbakishe
@AbdulAthumni
@AbdulAthumni 2 ай бұрын
azizi abaki ili ligi yetu izid kunoga na iwe juu zaid
@humphreyjosephat5002
@humphreyjosephat5002 2 ай бұрын
Wa pili leo
@BenjaminiMkapa
@BenjaminiMkapa 2 ай бұрын
Nakubali
@Hgd-jk6lh
@Hgd-jk6lh 2 ай бұрын
Furaha yangu itarudi azizi akisain😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@pilimohammedy7592
@pilimohammedy7592 2 ай бұрын
Huyu alyi kamwe hana tisheti nyingine maana aspovaa jezi bs a 1:55 tavaa hiyo tsht
@SalimRamadhan-o7l
@SalimRamadhan-o7l 2 ай бұрын
Ally wew nibora koliko yule mchenz
@Emanuelimiyonjo
@Emanuelimiyonjo 2 ай бұрын
Safi
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 2 ай бұрын
Azizi k hatumuoni No 10 wetu jamani.
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 2 ай бұрын
Yaani Hapo Kwenye Kuongea kamwe Inazihilishaa Kuwaa azizi Kiki anasepaaa
@felixsitta1139
@felixsitta1139 2 ай бұрын
Jaman Azizi k hatumuoni yukowapi?
@rehemawamwarami3854
@rehemawamwarami3854 2 ай бұрын
Azizi ki mbona haonekani hazungumzwi wiy!! Jamani.
@CharlesDanielnyanda
@CharlesDanielnyanda 2 ай бұрын
Napenda yanga damu damu
@carrenbenson2111
@carrenbenson2111 2 ай бұрын
Wengine wako wapi?
@patridabernard9148
@patridabernard9148 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ibrahimrashid887
@ibrahimrashid887 2 ай бұрын
Viongozi wanajitahidi kuhusu azizi kama itashindikana aende atuachie timu yetu asiwachanganye viongozi wetu wana mambo mengi ya kufanya
@ains1122
@ains1122 2 ай бұрын
Nineina player moya wa yanga princess
@FrankMwingira-ip5us
@FrankMwingira-ip5us 2 ай бұрын
Ni kwel aliyee shuka airport ni ki Aziz jamn
@athumaninyituki7011
@athumaninyituki7011 2 ай бұрын
Yanga rahaaaaaa kabsa
@KrispinMhagama
@KrispinMhagama 2 ай бұрын
Presha sana kuhusu Azizi ki
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 2 ай бұрын
Mtambulisheni Azizi Ki jamani 😢
@Muna-en4yq
@Muna-en4yq 2 ай бұрын
Monday Na bacca vip
@jimmymungai522
@jimmymungai522 2 ай бұрын
Nani anaondoka, nani anakuja(tumeona baadhi), wengine wanaobaki wanaingia lini na kambi imeshaanza? Namna gani hii???
@immatheboy7994
@immatheboy7994 2 ай бұрын
Jezi mpya tynazindua lin
@AishaAlly-l1d
@AishaAlly-l1d 2 ай бұрын
yanga ushindi tu makolo kucheza tu ila makombe aaaaa!
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 2 ай бұрын
🔥🔥
@ObediNekiissa
@ObediNekiissa 2 ай бұрын
Bado azizi ni muhimu kwa wanayanga
@ZahariaKassimu
@ZahariaKassimu 2 ай бұрын
Jamni mbona kama tunaumia kuusu azz ki mna hatuelewi mra kasaini injinia kasema hajasaini Yani furaha imepotea sana leo
@tamariamisi3540
@tamariamisi3540 2 ай бұрын
Sijaona aucho Nikiwa uganda
@daudlubugwa4696
@daudlubugwa4696 2 ай бұрын
Azizi ki yupo au mbona hamujasema
@willysimyemba102
@willysimyemba102 2 ай бұрын
😂😂😂
@samweledward7664
@samweledward7664 2 ай бұрын
Yanga bingwa
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 2 ай бұрын
Semaji la dunia
@mbarakasaidi2654
@mbarakasaidi2654 2 ай бұрын
Saf sana
@zuhuraabdulrahman1515
@zuhuraabdulrahman1515 2 ай бұрын
Sms loading.......
@SaidyKigoda
@SaidyKigoda 2 ай бұрын
Ally Azizi ki vp tuwekeni wazi
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 2 ай бұрын
Nafrai kumuona mpomelelo dube
@MtashobyaJosia-wt9jq
@MtashobyaJosia-wt9jq 2 ай бұрын
mtashobya josia nikiwa Kenya isibania nawapata ongera sana yanga tuko pamoja
@MwinjumaShaban
@MwinjumaShaban 2 ай бұрын
Vp azizi kii yupo au vp
@DelillahMbwela
@DelillahMbwela 2 ай бұрын
Aziz ki jamani😢
@KhamisHamad-v7f
@KhamisHamad-v7f 2 ай бұрын
Msitufiche tuambieni ukweli Aziz kiiiiiiiiiiiiii yupo msimu huu jangwani ama hayupo au mmeshindwa kumpata anachotaka ?
@JumaMtolilo
@JumaMtolilo 2 ай бұрын
Friji linajizuia😂😂😂😂
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 21 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН
ALICHOSEMA ALI KAMWE MSEMAJI WA YANGA FC
12:47
DUNIALEO
Рет қаралды 2,9 М.
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН