💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@tanzaniamycountry93083 ай бұрын
Hii inch tuna watu saf Sana na akil nying lakn serikal haiwatumii Inatumia watu baadh wenye akil ndogo na hizo akili ndogo znajaribiu kuongoza akili kubwa ndo maana baadh ya mambo yanabak kuwa kichekesho ktk jamii. Hongera Sana Jaj
Jaji umetisha sana very nice speach northing to hide only the truth spoken 🎉🎉🎉
@TibihikaGerad3 ай бұрын
Mtu wa maana sana kabisa mh Jaj♥️💯
@umturianiwabhoesese6573 ай бұрын
Nimekupenda bure mzee wangu nimekufatilia kwa kina Sana umenifundisha kitu mzee wangu
@christopherhaule9083 ай бұрын
Jaji mstaafu upo vizuri sana
@sammymdemeka79373 ай бұрын
Asante Mwabukusi umemleta mtu sahihi natamani awe Rais wa Tanganyika yetu
@babuloliondo74Ай бұрын
Ulaisi sio mchezo
@Alinda-ot4no3 ай бұрын
Daa kusoma raha sana Mzee unamuelewa mpakanunapitiliza daa kumbe hii nch inawatu vichwa sana da mungu tusaidie mijitu ipo serikalini lakini haina ufahamu kabisa
@FrankGavana-q6o3 ай бұрын
😂😂lecture huyo kama janabi tuuu
@ndenengomwende49153 ай бұрын
Sio kwamba hawana ufahamu, wanao lakini saa hizo wanachumia tumbo, hujasikia amesema amewafundisha watu wazito tu kwenye system na anashangaa kama walielewa...kwa hiyo wanayajua hayo lakini hawatekelezi maana litatupa kitumbua mchangani!!
@DicksonJaphet-fq7ov3 ай бұрын
Hongera Sana 🙏 Wakili msitafu Uko vizuri
@omarimsangi40753 ай бұрын
VERY MUCH INFORMATIVE FOR PUBLIC THANK YOU VERY MUCH YOUR BUILDING A NATION
@lwitikomaclean14073 ай бұрын
Nice speech Hon.judge
@joachimedifon99193 ай бұрын
Namuelewa sana jaji mstaafu huyu.
@ShekySwai3 ай бұрын
Jaji hongera sanaa
@chesconkwera20053 ай бұрын
Jaii Mungu akupe maisha marefu sana
@Kitova-h8r3 ай бұрын
Jaji yuko vizuri ndio raha ya kuwa mwalimu yaani watu lazima tuelewe tu.
@AdamuAthumani-c3d3 ай бұрын
Huyu jaji safii Sana
@EmerecianaWumbe3 ай бұрын
Mwabuksi kakuibua wapi jamani .......BWANA YESU akupe maisha marefu Jaji mstaafu pamoja Mwabukusi
@msafiri20122 ай бұрын
Mwalimu wa Tulia na Muliro..anawapa madini na kuwakumbusha shule
@meshack39103 ай бұрын
Hogera sana na pongezi nyingi kwa wasomi wote wa sheria Mungu awe nanyi kusimamia haki ya watu na ukombozi wa Nchi yetu.
@ghalibelghanim11513 ай бұрын
Thanks very nice speech.
@jovinbikongoro34693 ай бұрын
Asante jaji kwakweli mungu akubaliki
@fredyjeremia70743 ай бұрын
Mzee msomi🙏🙏
@MiriamAziz-z5t3 ай бұрын
BRAVO MH. JAJI....HIYO NI ELIMU TOSHA KWA MH. RAIS SAMIA BINAFSI NA SERIKALI YA CCM....MTANZANIA MZALENDO MSEMA UKWELI BILA KUMUNG'UNYA MANENO AU KUSIFIASIFIA WATAWALA.
@tanzaniasafariadventure36353 ай бұрын
Umeeleweka jaji 🫡 Nice speech
@chezariboy3 ай бұрын
Haleluuuujah,, very good man of gliving God.
@kilianngailo32693 ай бұрын
Daaah Tanzania tuna watu wazuri sana mentally lakini shida ya wanaotuongoza ni either wamewekwa au darasa la Saba waganga wa jadi.
@AnaniaIsaya-z9g3 ай бұрын
Asante sana baba Nimekuita baba kwa namna ulivyonifurahisha katika kuzichakata changamoto zinazoikabili nchi yangu kwa sababu ya wahuni wachache serikalini. Nimependa sana ulivyomuonya mlilo kuwa yeye siyo yesu kutabiri mandamano ya chadema kuwa yangekuwa ya kuvunja amani na badae kuyazuia na kuwakamata viongozi wa CHADEMA. So painful brother Mulilo🎉🎉🎉
@Lundege_Hips3 ай бұрын
Thx jaji kwa kuwaambia ukweli nchi ili iwe na haki lazma ifate utawala wa kisheria hata kuku anahaki ya kuishi
@MashakaMagesa3 ай бұрын
Rais aliapa kuilinda Katiba na kuandamana ni haki ya kikatiba lakini kuandamana wanazuiliwa hiyo katiba ya Nini Sasa
@abuukarata96533 ай бұрын
Hama
@abuukarata96533 ай бұрын
@@MashakaMagesa andamana na mkeo
@HamisMghuna-fj3vz3 ай бұрын
KATIBA imekanyagw, ndiomaana KATIBA mpy hawataki ili wasojulikana ndoo kila kitu hp TZ, awamu y 5 ili ondolewa na MUNGU palitulia kdg likn wameanza tena, watekaji lbda Allah atusaidie wafe kw Ajali ndenge vx wapinduke,hivhiv hatuwawezi haw wasojulikana,n akina pilato na Farao Firaun,hp Tz, Allah atusaidie KWANZA watekaji wafe kw Ajali, HP Tz,@@MashakaMagesa
@HamisMghuna-fj3vz3 ай бұрын
Hili la kamanda mriro kujua kua kesho maandamano yatakua na vrgu je akua YESSU ISSA BN MARIAMU au nn, Asante kw hilo, tunakishuru sana head master,lkn wao hua wasema unapigwa mwingi, jiulize w Tanganyika, watekaji jamaa, Tatizo shule Tz tumelogw wp jamani TZ
@dorahy15793 ай бұрын
Very interesting speech
@2050bydesign3 ай бұрын
Watu kama hawa hawapewi air time wanapewa kina steve nyerere ni aibu
@GodfreyOsward3 ай бұрын
@@2050bydesign Akina kora wa bible hua wana wafuasi wengi.
@omaryirro92853 ай бұрын
Hahahhhh 😅😅😅😅😅
@christopherhaule9083 ай бұрын
Kazi kweli kweli
@MarselShirima3 ай бұрын
Jaji mungu akulinde umetufinguaacho
@GosberthMlish3 ай бұрын
Jaji mstaafu upo vzr isipokuwa tu lugha yet ya kiswahili umeisahau
@MaryamMuhammed-s9p3 ай бұрын
Watu wa Sheria wanaongea nusu nusu kiswahili na kiengreza nusu,❤
@ibnnjoka48083 ай бұрын
Hapo anaongea kisheria
@japhetmayige34103 ай бұрын
Nilichojifunza, Tanzania ina watu wenye uwezo sana. Kinachotakiwa tuu ni PLATFORM zinazowapa nafasi ya kujenga hoja zao na kufundisha jamii. Taratibu kunakucha!
@Settledmanrise80833 ай бұрын
Ahsante sana jaji kw uweledi mkubwa sana na kuambia ukweli viongozi wasio jua namna ya kusimamia majukum yao in fact kumbukeni taifa hili ni letu wote na sote tuna haki ya kulitumia vyema taifa na sio kuwapoteza watu
@IbrahimJaphet-g1i3 ай бұрын
Sawa kabisa
@victorjames37303 ай бұрын
Jaji sio chawa, anapiga kwenye mshono k-style sana
@NokukhanyaKula3 ай бұрын
Jaji nakukubali sana
@charlesmoshi65813 ай бұрын
Wafungue masikio ili wajielewe na wananchi tujitambue mh Jaji
@Backtvtz3 ай бұрын
True
@mbuyaelyaoni62663 ай бұрын
Excellent, Wasomi ndio hawa, hajala GMO, Memory safi kabisa, contents safi kabisa. Natamani angekuwa mwl wangu, mkekiona chamtemakuni, wote mliofundishwa na huyu jaji mnatakiwa muwe na adabu sana, fanyeni kwa weledi wa hali ya juu. Very bright man. ❤❤
@salomeshongola16973 ай бұрын
Kweli kabsa.
@WilfredMfuru3 ай бұрын
Tanzania tuna vichwa lakini vimewekwa nyuma majinga mbele
@godfreymanzi33023 ай бұрын
Jaji 🙌🙌🙌🙌🙌🙏✌️
@caroltarimo58133 ай бұрын
Lst🎉
@DAUDMiHAYO3 ай бұрын
Duuuh huyo Jani nihatari mnoo anajua Sheria pia nimejufunza mengi toka kwake,mungu akuweke hai duniiani ueendlee kutufundisha haki y kila binadamu pia akubariki na akuondole maradhi ktk mwili na familia yako
@EmmanuelKazimili-ky1ss3 ай бұрын
makin sana jaj mkuu
@fredyjeremia70743 ай бұрын
Aise!! 🤔,,ok sawa.wenye kazi Yao sasa tunasubiri majibu Yao,,maana ni majibu SAHIHI haya.
@HamisMghuna-fj3vz3 ай бұрын
Asante jaji kuwaelimisha w Tanganyika Tatizo shule,yan kamanda mriro kujua kua kesho maandamano yatakua na vrgu je amekua YESSU ISSA BN MARIAMU Asante,sana Jaji, tumelogw wp jamani TZ
@isaacmwaseba99723 ай бұрын
Acheni siasa yaani wewe mwenyewe huwezi jua kesho mke au mtoto atachepuka na kumuepusha na hiyo hatari kwa kumuonya umekuwa yesu na wewe.
@HamisMghuna-fj3vz3 ай бұрын
@@isaacmwaseba9972 kibao katekw kwenye basi we unataka hatari ip cruzer mbili hazioneka mpaka leo akina Lissu risasi alipigwa wasojulikana we unataka hatari ip maandamano unambiw itakua hatari ye n YESSU ISSA BN in au ye n nabbi anamaono kesho kuna hatari hata MUNGU hauogopi,
@ayshasaid15473 ай бұрын
Mdaharo nzuri sana❤
@suleimanjokoro3 ай бұрын
Umenikumbusha mbali Hon.judge,,, Habeas Corpus ""🙏
@michaelmahatara30073 ай бұрын
Kazi kazini
@renatusdeogratias21083 ай бұрын
Hii nchi Ina watu wenye akili
@chellususnkungu43333 ай бұрын
Huyu jaji kiboko kweli
@MichaelKibona-p9m3 ай бұрын
Tanzania,watu kama hawa hawawezi kupewa nafasi, wanataka wale wa ndio tu
@godwinmwakibibi2743 ай бұрын
Mulilo 🛠👍🏼
@DeoglasYangaza3 ай бұрын
Bukinafaso, Tunisia and Senegal have been criminalized
Authoritarian regimes hulazimisha agenda yao kupenyezwa, htr!
@marykennedymarwa16413 ай бұрын
Haya watanzania mmefinguliwa macho , muache kuogopa kutetea haki zenu.
@josephatemmanuel4583 ай бұрын
Watu kawa hawa ndio wanatakiwa kuongoza nchi,ili kuwavusha kimaendeleo yetu
@yusufmohamed88743 ай бұрын
Huyu mstaafu yupo vyema sana
@MaxCharles-wj5dg3 ай бұрын
mzee huyuu yupo vzr
@Gwa-Kayaga3 ай бұрын
Ni kwasababu Yuko ndani ya jamiii😢
@jamesmwamakula66843 ай бұрын
Jaji mstaafu Usingekuwa mchaga baba ningeshauri uchukue Urais 🤣TBH nchi inatakiwa iendeshwe na watu wa aina hii👏
@emmanuelmziray10733 ай бұрын
Muliro ameloa leo
@alexmatt95043 ай бұрын
The big brain 🦾
@SaikoMkumbwa3 ай бұрын
Sichoki kumsikiliza uyu Mzee daaa
@mwajabumussa10723 ай бұрын
Mwalim mzuri
@fatmaahmed86373 ай бұрын
NIKWELI WATU WOTE WANAFAMILI & WATOTO.MAJIRANI..NA HAO WAIOJULIKANA NI RAIA
@MgonjaFide3 ай бұрын
Sasa mbna alistafu kumbe bado ni mwalim mzuri ti sana uyu mwamba
@RobertMachenga-tz3re3 ай бұрын
Huyu Jaji kweli kweli na ni watu wachache sana wenye uelewa kama wa huyu jaji Makaramba. kwani ni mtu ambaye hana kitu cha kulembalemba kwa hiyo tumtambue kwa sasa hivi kuliko tunavyofikiria kwa sasa hivi. ni mtu muhimu sana.
@edsonpetro37543 ай бұрын
uko vzr
@EmmanuelJacobo-l3s3 ай бұрын
Jaji ni mtu mwenye elimu gani jmn maana nimependa huyu mzee wetu
@chesconkwera20053 ай бұрын
Jaji kachagua Kulinda Heshma na Utu wake no matter how and who ???
@WestonMbuba-ff4jk3 ай бұрын
Kwa hiyo utawala huu ni wa kidikteta?
@rehema9713 ай бұрын
Baba mungu akitunze
@Lake_zone3 ай бұрын
Haw ndo maspika wa bunge sasa na mamakam wa rais mixa mambo ya ndani😢
@philemonnestory42393 ай бұрын
Tunakwanda vizuri
@frankpeter41783 ай бұрын
Tumepata full lecture tulizoacha shule leo
@AbuuRamadhani-o7k3 ай бұрын
Muliro tunamuelewa san cc wakaz wa Dar es salaam
@secundawabura79023 ай бұрын
Mmh Jaji Mstaafu tunakufuatilia kwa makini ila lugha inatupiga chenga je unaweza kurudi kwenye lugha ya taifa tupate kuelewa na kupata elimu naona una elimu hapo tunayopaswa kuijua
@marykennedymarwa16413 ай бұрын
Ulaya mtu akipotea ndani ya masaa 24 anaanza kutafutwa kila kona na ma mbwa na kila kitu. Na asipopatikana bado anatafutwa sasa ki aina nyingine . Baada ya wakati fulani majibu yanaletwa na uhakika na watuhumiwa kukamatwa . Tanzania kila kitu serikali inadharau aibu sana aisee, ulaya mpaka mnyama akitoweka anatafutwa yaani sibanduki ulaya aiseee. Tanzania serikali haina akili very sad.
@jamesmassamakeri24183 ай бұрын
Section 4
@hamiltonmzee61203 ай бұрын
Mzee umepiga panakostahili 0:45
@christianmwabukusi81323 ай бұрын
Ni kweli kabisa! Tunazaliwa kiholela na tunakufa kiholela
@Thomasmwaluanda3 ай бұрын
INGEFAA SANA KAMA MGOMBEA URAIS NCHI HII, AWE MWANASHELIA PENGINE UTAWALA NA MAMBO YANGEKUWA VIZURI.
@emmanueljohanes11183 ай бұрын
Tanzania tuna watu smart sana lakin wamewekwa pending
@FrankFredrick-c4q3 ай бұрын
Watanganyika tunajua polis na vyombovingine vya usalama ndio wa wahusika kupoteza raia
@dorahy15793 ай бұрын
Kenya iko juu zaidi kuliko Tanzania
@KasubiArexander3 ай бұрын
Mwambukusi ni Raise alafu jaji makamo wake mnaonaje
@emmanuelmziray10733 ай бұрын
Huyu Judge alikuwa mwalimu wa Mawakili wengi sanaa pamoja na Afande Muliro na makamanda wengine wengi wa Police na mawakili kibao. Heshima kwako Judge from Michigan USA
@evansdecaprio81963 ай бұрын
Mbona hawa watu wa maana hawapewi madalaka
@HonestLMsoffe3 ай бұрын
Hii ni elimu kubwa, inahitajika sana Kwa wananchi.
@JoyceKabula-in1sh3 ай бұрын
Ndiyo
@mwajabumussa10723 ай бұрын
Nimejifunza mengi
@TerevaelPeter3 ай бұрын
Namuomba rais watafute wazee wa aina hii jambo likija gumu warushie walichakate
@elisantemrita94903 ай бұрын
Nimependa sana mafunzo ya jaji mstaafu ila swalli langu kwann akiwa kazini hajawahi kusema haya
@Jaydendecor0073 ай бұрын
kweli kabisa
@FucianeBulemo-nd4wc3 ай бұрын
Hawa jamaa ndivyo walivyo
@MabelKaaya-hl2je3 ай бұрын
Hakupewa nafasi
@NtamamiloGibson3 ай бұрын
Hata angesema hakuna msaada kutokana na sisi wenyewe Wananchi hatuwaungi mkono tunaishia kusema hiki ni kichwa au jamaa amejilipua. Pumbavu kabisa sisi. Mfano hata sasa akina Mwambukusi wamesema mengi lakini tunachati tu. Kwahiyo tusitoe lawama kuwa hakusema haya mpo Watz.😂😂😂
@SaidYusuphu3 ай бұрын
Daaa jamanii hatarii sanaa ndio maana Sheria hatufundishwi shuleni
@saidiabdallah52083 ай бұрын
Maneno yanayoishi
@vedastorwangisa11133 ай бұрын
Nahukura.baba.nmekuerewa.san
@vincentkatabalo2863 ай бұрын
Nilikuwa lecture room
@clotildatarimo78473 ай бұрын
Tanzania tunahitaji aina hii ya elimu, waandishi wa habari muwe mnaandaa mambo kama haya ili kuelimisha wananchi