Yanga SC 4-0 Pamba Jiji | Highlights | NBC Premier League 03/10/2024

  Рет қаралды 27,814

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Chuma nne zimeingia, Yanga ikiipiga 4-0 Pamba Jiji, mchezo wa ligi kuu ya NBC kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Wa kwanza kuingia nyavuni alikuwa ni Ibrahim Abdulla Bacca dakika ya 5, kisha Stephen Aziz Ki kwa penati dakika ya 45, halafu Maxi Nzengeli dakika ya 55, na Kennedy Musonda kutoka benchi akapiga la nne dakika ya 85.

Пікірлер: 83
@StevenPhilipo19998
@StevenPhilipo19998 3 сағат бұрын
Mie Nina Imani xana na Yanga na mungu alishaibaliki xana kwa sababu Yanga ndo Nchi hii ndo Tanzania hii kitambo xana Wana Yanga wenzangu
@amosyjohn3120
@amosyjohn3120 2 сағат бұрын
Dube mungu akusaidie ufunge kaka
@saidabdullah4878
@saidabdullah4878 3 сағат бұрын
Yanga raha💥💥🔥🔥
@Evnce007
@Evnce007 3 сағат бұрын
Yanga bingwa🏆🏆🏆🏆🏆💪💪💪
@MerryGodyfrey
@MerryGodyfrey 3 сағат бұрын
Yanga siwezi kuiiacha kamwe iko kwenye damu
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 49 минут бұрын
Alhamndulilah namshukuru sn M/Mungu kwakutujaalia Neema na mafanikio Kheir nyingi ziwaendee Viongozi wetu na banch la ufundi na wachezaji wetu Inshaallah
@gastorygama
@gastorygama 3 сағат бұрын
Wakati unapigwa 5G mzamini wako alijua nani😅😅😅😅😅😅😅😅?
@khairatsaleh2231
@khairatsaleh2231 3 сағат бұрын
Tumekubaliana bacca anabeba kiatu sasa 😅 let's go ⚽️
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 сағат бұрын
Tarehe 19 ndo mwisho wa mdomo wa makolo je ? Mtasema mmefadhiliwa na GSM
@MTUMZIMADAWA
@MTUMZIMADAWA 3 сағат бұрын
Yanga african 💚💚💚💚💚💚
@elipidtesha5466
@elipidtesha5466 3 сағат бұрын
Mahasd wa yanga humu mnataka nini Sibirin 3 wiki mbili zijazo😊
@GraceErnest-t1y
@GraceErnest-t1y 2 сағат бұрын
Jamn yanga inanimate rahaa❤❤
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r 3 сағат бұрын
Huyu alie pewa kadi nyekundu nibhaki yake anacheza mpira kwa hasira zisizo kuwa na faida🍿
@feisalibrahim892
@feisalibrahim892 Сағат бұрын
Akili hana yule jamaa ile foul ya pili yenyewe kam yenyew tu ni red card ya moj kw moja
@GhayaAbdallah
@GhayaAbdallah 2 сағат бұрын
Yanga bingwaa banaa tusifuni acheni roho mbaya😂🤗
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Сағат бұрын
Siyo mnunue mechi halafu mseme mmeshinda tuko nyuma yenu chunga saana kabla ya kumalizika ligi vidhibiti vyote vitatolewa uchochoro umeanza kwa Pamba mtazitema points ziba masikio funga midomo mikono yenu itayasema madhambi ya GSM safari hii
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Сағат бұрын
Ila kiukwel hii timu ni mbovu sana wallah yani ukiangalia magoli yote ni papatu papatu... Lkn pia angalia goli la4 yani mpira unepigwa cross ukatoka nje kabisa lkn refa wa pemben kaminya Lkn vile vile bacca alimchezea faulo mbaya sana kwenye Box mchezaj wa Pamba ile ilipaswa kua penalty dhahiri kabisa
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw Сағат бұрын
Na magoli yenu ya offside kazi kuwahonga marefa.... ..tukutane tareh 19
@VannyNkana
@VannyNkana 2 сағат бұрын
Haters hapo bado Mpaka kieleweke Sie ndo yangaaa
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Сағат бұрын
You know what....if you hate Yanga you just hurt yourself 😂😂😂😂😂 Na bado, let them go to hell!
@adventinalukiko9933
@adventinalukiko9933 3 сағат бұрын
Kumbe na wew ni mbwa unaongea na mbwaa 😅😅😅
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 3 сағат бұрын
Mmeamua kumnunua mpenja kuwatangazia mechi zote za YANGA mhhhhh haya
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 сағат бұрын
Sisi tunataka mzinga atangaze mechi zetu wanayanga
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 30 минут бұрын
GSM vs GSM
@cngeze
@cngeze 3 сағат бұрын
😂😂😂mmoja ana GSM kwenye tumbo mwingine GSM kwenye titi mpira wa africa shughuli 😂
@KhalidHashim-y4n
@KhalidHashim-y4n 3 сағат бұрын
Mamelod sundowns timu ya rais wa caf
@ChingaNamwandu
@ChingaNamwandu 3 сағат бұрын
@@KhalidHashim-y4n pole sana Kwa maumivu unayoyapata
@MariaCharz
@MariaCharz 3 сағат бұрын
Tarehe 19 sio mbali sana @cngeze punguza mdomo😂😂😂
@DaudiIpyana
@DaudiIpyana 3 сағат бұрын
Alafu tena kingine
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 3 сағат бұрын
Kolo Unateseka ukiwa wapi😅
@MathayoChizenga-vt4qd
@MathayoChizenga-vt4qd 14 минут бұрын
Wanaungishana wenyewe kwa wenyew
@PeterJohn-d2r
@PeterJohn-d2r 42 минут бұрын
Jaman kama ww nimwana yanga 2muombee mshambuliaji wetu dube
@ally-g4k
@ally-g4k 2 сағат бұрын
jaman ile ya baka s penat nayo au refa alikuwa mbali ????😁😁😁😁😁😷😷😷
@JumaMoses-l3e
@JumaMoses-l3e 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂ki vumbi tarehe 19
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 3 сағат бұрын
Goli la nne mpira ulitoka nyie mbwa
@KaungaDori
@KaungaDori 3 сағат бұрын
Nenda kalirudishe paka
@AbasOmari-p5g
@AbasOmari-p5g 2 сағат бұрын
GSM daby
@sifuelmamuya457
@sifuelmamuya457 2 сағат бұрын
Aliyeona golikipa wakati wagoli la zengelii🤣😂😂🤣 tujuane hapa
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Сағат бұрын
Umeona pekeyakooo
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Сағат бұрын
​@@saidymbagalla6622kolokwinyo hilo limerukwa na akili 😂😂😂
@KaresiamosiMwanjari
@KaresiamosiMwanjari Сағат бұрын
Kumamaye zenu mlitumwa kutuumizia wachenzaji mbwa nyie
@ezekielmwakyagi9330
@ezekielmwakyagi9330 50 минут бұрын
MPIRA UMETOKA
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga Сағат бұрын
Kweli mpira pesa kama makolo walivyopewa penat ya mchongo eti mhamed husein kafanyiwa faulo, aibu.
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 сағат бұрын
Kweli mpira pesa😂😂
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 3 сағат бұрын
Acha upumbavu wewe. Kwani hujaona kama Yanga amecheza mpira mzuri?!😮
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 сағат бұрын
@@jamesmartin7026 kwenye pesa kila kitu uwa kizuri, umeshasahau goli lenu lililokataliwa kule South Africa
@dennissamora729
@dennissamora729 2 сағат бұрын
Yaani we kolo kwa akili yako ulitazamia pamba amfunge yanga?! Nyie na magoli yenu ya offside na penalty za michongo hamuoni?
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 2 сағат бұрын
@@dennissamora729 Kweli kikosi kipana wachezaji wa gharama mnatoka 1 - 0 na KenGold..!!!? Pamba kwa nni wasiwafunge😂😂😂
@dennissamora729
@dennissamora729 Сағат бұрын
@@GeorgeElias-p5o sasa 1:0 ndio kufungwa? Mbona hoja yako haina mashiko!
@tunungajilo2214
@tunungajilo2214 3 сағат бұрын
unyama
@davidchabonga2792
@davidchabonga2792 3 сағат бұрын
😂😂
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Сағат бұрын
Mtakosaje kumfunga mengi si kwenye timu zinazothaminiwa na GSM mnanunua magoli na point mbona KMC mliambulia kamoja tumeanza kukuhesabu tutapeleka mashtaka kwenye board na mbele zaidi ya bodi bado coastal, namungo, Tabor, singida, na zinazofuatia safari hii ubingwa kwa kuchukuwa mchukuwe kwa halali
@MsubiMageme-p5g
@MsubiMageme-p5g Сағат бұрын
Mamaee we
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw Сағат бұрын
Hata na nyie tulivowapiga zile 5 mlikuwa na nembo ya Gsm kwenye komwe😂😂😂
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Сағат бұрын
Unateseka mno kolokwinyo hadi akili yako imeruka. Mkisikia tu jina la Yanga mnaumia 😂😂😂😂😂 na bado tutaendelea kuwatesa wazee wa kono la nyani 🖐️😂😂😂
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 3 сағат бұрын
SIJAONA goli lolote YOTE ni ya kununuliwa
@winifridarugayana7312
@winifridarugayana7312 3 сағат бұрын
Kafunge la kwako
@MwajumaLuta
@MwajumaLuta 3 сағат бұрын
Unateseka ukiwa Kijiji gani
@KaungaDori
@KaungaDori 3 сағат бұрын
Nanyie tutawanunua subiria kibunda sihuwa mnaamini hivyo😂
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 2 сағат бұрын
Na wewe njoo ununue
@Aphrodite_1122
@Aphrodite_1122 2 сағат бұрын
Sema boka 😂😂 bongo movie
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Сағат бұрын
Jamaa alikuwa anamuingia sana akaona bora amtengenezee mazingira ya kadi 😂😂😂
@Aphrodite_1122
@Aphrodite_1122 Сағат бұрын
@@rayisadesigns2646 😂😂😂
@MerryGodyfrey
@MerryGodyfrey 3 сағат бұрын
Wako vizur kimpira
@AlbertNyemba-r5k
@AlbertNyemba-r5k 2 сағат бұрын
Na wewe una foundation kwenye tako.
Jua Kali Leo Alhamisi Usiku 03-10-2027
20:05
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 28 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 26 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 23 МЛН
Oliver Kahn will never forget this humiliating performance by Ronaldinho
10:07
She Recognizes Death (Incredible Acting) | Meet Joe Black
5:54
Popcorn Picks
Рет қаралды 2,7 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 26 МЛН