YANGA TV 26/07/2024 | Moto wa Yanga kwenye 'pre-season' Afrika Kusini

  Рет қаралды 34,669

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

PRE SEASON TOUR | Yanga iko nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao, na imeshacheza mechi mbili ngumu za kirafiki katika michuano ya Mpumalanga Premier International.
Yanga imecheza na Augsburg ya Ujerumani na kupoteza kwa 2-1, kisha ikacheza na TS Galaxy na kushinda 1-0... Lakini pia kupitia kwa Ally Kamwe, Yanga imefungua tawi jipya Yanga Durban, na usajili wa wanachama ukafanywa na NBC Bank.
Haya yote unayapata humu....
#YangaTV ni kila Ijumaa saa 4:00 usiku.

Пікірлер: 19
@stevensosipita
@stevensosipita 2 ай бұрын
YANGA YAMOTO SANA
@OctaJohn-ov9gc
@OctaJohn-ov9gc 2 ай бұрын
My team
@HawaSaid-ru4zq
@HawaSaid-ru4zq 2 ай бұрын
0n love my team
@KayungiloRangimbili
@KayungiloRangimbili 2 ай бұрын
Young ni mardid ya Africa
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 2 ай бұрын
Kwa aliesikia vizuri anisaidie coz sijui sijaskia vizuri kasema billion mbili na nusu kwa mwaka au nmeskia vby
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 ай бұрын
Duke abuya fundi kweli kweli 🎉
@sulevevo
@sulevevo 2 ай бұрын
My time
@mpuyashows3826
@mpuyashows3826 2 ай бұрын
Wakwanza Mimi nipewe maua yangu
@godlizenbraison6300
@godlizenbraison6300 2 ай бұрын
Very nice
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove 2 ай бұрын
Timu tunayooo
@sadahamad6158
@sadahamad6158 2 ай бұрын
Eti tabu iko palepale 😂😂😂😂😂
@nicodemusmemba1402
@nicodemusmemba1402 2 ай бұрын
Hakuna kitu chochote,kitachoizuia, Young Africans kutwaa ubingwa wa CAF champions league
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 2 ай бұрын
🙏🙏🙏💚💚💛💛🔰🔰🔥🔥🔥
@Hilalimalidayi-qs6sw
@Hilalimalidayi-qs6sw 2 ай бұрын
Wa nne mm
@faharihakikazi
@faharihakikazi 2 ай бұрын
Hivi kama hawa ni wazungu wamepelekeshwa hivi itakuaje tarehe 8? wana simba fc toeni comments zenu hapa........💚💚💛💛💛💛
@MasudMasud-q4e
@MasudMasud-q4e 2 ай бұрын
Ndo mtu wa kwanza ulie comment bila kuomba like
@st.jamese.r6941
@st.jamese.r6941 2 ай бұрын
​@@MasudMasud-q4e😂😂😂
@st.jamese.r6941
@st.jamese.r6941 2 ай бұрын
Mm km shabiki lia lia wa kolozdad nasema hiv, hatulet tim uwanjan cku hyo 😢
@MudyAlly-q7d
@MudyAlly-q7d 2 ай бұрын
Naona kabisa tareh 8 mtu atakula 8😅
Rwanda 2-1 Benin | AFCON 2025 Qualifiers Highlights
14:01
E M Sports TV
Рет қаралды 100 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,1 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 4,7 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 19 МЛН
Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023
9:40
Lamine Yamal will never forget Endrick's performance in this match
14:22
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,1 МЛН