Mashabiki wa Yanga wamelalamika baada ya kutangazwa mechi ya Watani wa Jadi imesogezwa muda mpaka saa 1:00 usiku badala ya muda ule uliyopangwa hapo awali wa saa 11:00
Пікірлер: 30
@pilisadiki19723 жыл бұрын
Waooooo yanga💚💚💚💚💚💛💛💛💚💛💚
@rithakuyala99513 жыл бұрын
Simba wababaifu sana,YANGA chama kubwa
@mohammedmkapanda56463 жыл бұрын
we miss u jpm
@ramadhanimtema42513 жыл бұрын
Yanga tik tok
@juliethmbawi4023 жыл бұрын
Hiyo kali jmn ila ila inaumiza sana kwa kweli wtu wamepoteza mda wao wengine wametoka mikoa na nchi mbalimbali kiukweli acha watu waongee tu jmn inauma kweli
@strongkiller16853 жыл бұрын
Wananchi wamecharuka ni haki yao
@unclesaleh32573 жыл бұрын
Simba kaelekea kibla.
@eliasvirgiliovirgilio36623 жыл бұрын
Tena watolewe kazi wa TFF
@suleymandachi55963 жыл бұрын
Mtu hupanga muda, Mungu hupanga muda wake, wamenywea uchawi wa vikamba vyamkonge kwishaaa
Kwani muda wameahirisha simba jmn, mbona simba hawaongei
@aloycesteven59983 жыл бұрын
Wachawi mtakomaaaaaaa
@thakibuiddi18573 жыл бұрын
Yanga wamepata kisingizio 🤣🤣
@sorenlandon71653 жыл бұрын
you prolly dont care but if you are stoned like me atm you can stream all the latest movies and series on instaflixxer. Have been binge watching with my brother for the last months xD
@finnforest93613 жыл бұрын
@Soren Landon yup, I have been watching on instaflixxer for months myself :)
@alfonsoarcher31063 жыл бұрын
@Soren Landon Yup, I've been using InstaFlixxer for years myself :D
@mudie8063 жыл бұрын
Sasa malalamiko ya nini?
@shamtealmas32903 жыл бұрын
Hi I'm all boo boo yuvvhgy no l fun hi it's ok
@gottaboy41783 жыл бұрын
Hofu ya Nini sasa??
@labanakyoo41773 жыл бұрын
Pumbavu Sana nyie utopolo, hakuna cha maana mnachosema, uoga unawasumbua