Nakubali saaana mkalaboko"shida sio kocha shida ni wachezaji wazee
@SurprisedFullMoon-gg9vuСағат бұрын
Pamekucha pamekucha"😂😂😂😂😂 hyo ndo maana ya ubaya ubwelaaa
@SilvesterKazimoto-yk7hp38 минут бұрын
Aludi nabi
@bulanyakidenya9165Сағат бұрын
Hahaha 😂 ila nimeamini wachambuzi wetu ni Ndumila kuwili , Mkalaboko akiongoza mjadala majuzi tuu kua Gamondi kaishiwa mbinu Ajitasmini, Leo Kaondolewa Injinia Ajitafakali, Sasa tuwaelewe vipi
@bernardmboma14612 сағат бұрын
😂😂😂umeumia sana ndugu yangu maana ww yanga damu nauchambuzi kama salamba tu
@jozackmisanya1516Сағат бұрын
Kwa nn msiongelee athari za kocha kutoka kuliko kujikita mambo ya uongozi
@HdhdhdhdhJdhdhd-o6c42 минут бұрын
kwamtazamo wangu mm nahisi gamond wamemfukuza kwa sababu hataki kuhusiswa kwenye uchawi kubebeswa matunguli
@JosephJumbe-w6h12 минут бұрын
Atamjibu kwamba mbinu zake wapinzani wamezibaini na kudhibiti. Yanga inachohitaji ni mbinu mpya.
@JosephJumbe-w6h16 минут бұрын
Timu ilishapoteza mvuto kwa mashabiki. Pasi nyingi eneo lao la ulinzi magoli hakuna!!! Yanga ilikuwa inakabia juu na kushambulia kwa kasi, magoli mengi. Aondoke!!!
@kabhikachambala33922 сағат бұрын
Decision making, planning, balance yote haya ni maneno yenye msamiati wa kiswahili
@SurprisedFullMoon-gg9vu39 минут бұрын
Kwel utopolo ni manyumbu"yanapenda kudanganywa danganywaaaa saaana"shida sio kocha ni wachezaji wazee
@AdamuGaya2 сағат бұрын
Ama kweli Kuna wachambuzi wengi ni washabiki wa timu z
@lydiathomas290553 минут бұрын
Walikuwa wanasema kocha wa Simba afiki mwezi wa 12, leo wao wanapoteana😂😂
@MilajiHaji-f8f24 минут бұрын
Kwani roman abramovic ilikuaje kwana msitutishe bwana ile yanga kaitengeneza nabi pale hata akisimama kamwe tunanyoosha tu
@selemansaid56422 сағат бұрын
Hamujui kitu nyinyi kwaza ata hamupo sehemu ya yanga
@MalulaMgasaСағат бұрын
Mashabiki wa yanga wote wanatakiwa kupimwa akili zao zimepungua na zimeathiriwa na madawa wanayotumia wachezaji.
@marthajosephdihimbwa232947 минут бұрын
Kumfukuza kocha sio sahihi kitakacho wakuta hawata amini oia kuwa mbali na bugati nayo pia itagalimu timu
@kolosii43512 сағат бұрын
Hii nchi bila kuiongelea yanga wachambuzi watalala na njaa.
@bernardmboma14612 сағат бұрын
Salamba na ww wote yanga tu
@ErastoChilanza2 сағат бұрын
Wamezingua nini timu ya kwako hiyo waachie wenye timu wewe hujui lolote kabisa
@LinusKyando3 сағат бұрын
NYIE WACHAMBUZI wenye mapenzi na SIMBA mnamatatizo mnapaswa kupimwa AKILI! Akiondoka MAYELE YANGA imezingua,akiondoka Nabi YANGA imezingua,Akija Gamondi Yanga imezingua,AKIONDOKA GAMOND YANGA IMEZINGUA,OO CEO YANGA KAKALIA KUTI KAVU,WAKATI CEO NDIO KAANDIKA BARUA,MKAPIMWE AKILI
@MichaelKapunde2 сағат бұрын
nikweli siwaelewi hata mimi wanazingua kiufup
@SurprisedFullMoon-gg9vuСағат бұрын
Yaaan wew akili zako ndo ziko matakon"gamond ndo aliwaambia msajili wazee??kwa hyo timu yenu mtafukuza sana makochaa