Yanga yatua Afrika Kusini, yakutana na wapinzani wao Augsburg

  Рет қаралды 75,847

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

“Mmekuja mmependeza lakini mnakuja kucheza na Yanga” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akielezea maneno aliyowaambia Augsburg baada ya kukutana nao uwanja wa ndege nchini Afrika Kusini.
Kamwe pia amesema mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC, ni mechi ya kwenda kuwashona midomo.
Yanga ipo Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya Mpumalanga Premier’s International Cup 2024 na Toyota Cup.
Julai 20, Yanga itacheza dhidi ya Augsburg kwenye Mpumalanga Premier’s International Cup 2024,
#YangaSC #Augsburg

Пікірлер: 137
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 3 ай бұрын
Asante baba kwa wema wako,twakuomba uwapatie wanayanga ulinzi wako mzazi mtakatifu popote pale walipo, kawalinda na kuwasimamia uko waliko, twakukabidi kwako baba aminaaaaaaaaa
@nasanrich
@nasanrich 3 ай бұрын
Amen
@dominamushi7171
@dominamushi7171 3 ай бұрын
Mungu ibariki yanga 💚🧡💛
@KELVINBOKILE
@KELVINBOKILE 3 ай бұрын
Kila la heri wananchiiii👍🔥
@francepaul7711
@francepaul7711 3 ай бұрын
Mwenyekiti 🙌🙌🙌🙌
@abubakarjuma443
@abubakarjuma443 3 ай бұрын
Mungu wetu sote Wacha inyeshe
@Said13Mashakaog
@Said13Mashakaog 3 ай бұрын
Msemaji tupe raha baba jitahidi kuyafunika yanyuma urudi kwenye uhalisia wako kiongozi tunalikumbuka TABASAMU lako💛💚💚💛💚
@NtibankizaDismas
@NtibankizaDismas 3 ай бұрын
Hongera chama langu kutua kwa madiba.
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 3 ай бұрын
Mungu awatiye nguvu ushindi lazima majembe daima mbele nyuma mwiko
@AdrianJeremiah-j6c
@AdrianJeremiah-j6c 3 ай бұрын
Ally wewe ndio maana ukawa semaji la timu yetu pendwa Mungu akubariki kaka.
@JumaAhmada
@JumaAhmada 3 ай бұрын
YANGA. BIG. UP
@FesterSibain
@FesterSibain 3 ай бұрын
Pole na safari wananchi
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 3 ай бұрын
Ally waelezeni hao wachezaji wetu hiyo timu ya ujerumani ni nzuri sana. Hivyo, wawe wepesi na makini na Moto huo wake nao kwenye Ngao ya Jamii
@eduardogodian6861
@eduardogodian6861 3 ай бұрын
Club above All,,Viva Yanga
@monicalucas3738
@monicalucas3738 3 ай бұрын
Big Brain msemaji 🎉🎉🎉🎉
@PastorChuwa
@PastorChuwa 3 ай бұрын
simba kazi wanayo atakama wangesajuli yanga atujali
@MakondaSittandalahwa
@MakondaSittandalahwa 3 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤nampenda sn pakome
@mariajames5558
@mariajames5558 3 ай бұрын
💚💚💚 yanga
@SelemanKaisi-y2w
@SelemanKaisi-y2w 3 ай бұрын
Yanga oeeeeeeee
@eliateacher3241
@eliateacher3241 3 ай бұрын
Ali kamwe kumbe ni simba dah mzee magoma noma
@linnahcasmir5275
@linnahcasmir5275 3 ай бұрын
Gonga like km unamuona msemaji wetu Hana Raha kivilee km tulivyomzoea 💚💛Ila magoma magoma tutakunyooshaa mshenz yulee 🔥🔥🔥👈🏃 anamfanya msemaji acwe kweny ubora wake
@lesikalemunaya
@lesikalemunaya 3 ай бұрын
samahan ndugu yangu naomba wambie kina ali wafanye juu chini wazindue jersey huko south Africa please
@SalimAl-mahrooqi
@SalimAl-mahrooqi 3 ай бұрын
Yanga tutaechapa mbao vibaya mnoo wataona. Ali kaa tayari tuombe Allah siku efike tunakifunga
@Dully_star
@Dully_star 3 ай бұрын
Kwan kwenu mpaka mkaweke nuksi nchi za watu😂😂😂
@marcobulili4341
@marcobulili4341 3 ай бұрын
Hao mashabiki wapeni jezi mpya kwani wanawapenda sana wananchi, Itapendeza!
@PetroAnatory-u3g
@PetroAnatory-u3g 3 ай бұрын
Jamani mechi saa ngapi kesho
@akrajackson854
@akrajackson854 3 ай бұрын
Zindueni jersey mechi ya KAIZER CHIEF....!!
@othumanally4529
@othumanally4529 3 ай бұрын
Yanga....Yanga..... pigeni pira babu kubwa sisi tuko nyuma yenu always.
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 3 ай бұрын
💚💛💚💛💚💛💚💛
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 3 ай бұрын
Nimeskia duke abuya
@Brince-ls6pv
@Brince-ls6pv 3 ай бұрын
Hasanati hauna account ya Twitter
@ErastoMeela
@ErastoMeela 3 ай бұрын
Y chama first
@StevenKapugi
@StevenKapugi 3 ай бұрын
Mingu mwemaaaa
@lahmukunga
@lahmukunga 3 ай бұрын
Wanacheza xaa ngap
@MaulidRajab
@MaulidRajab 3 ай бұрын
Wanacheza saa 10
@begumisachristopher4697
@begumisachristopher4697 3 ай бұрын
Umakolo sawa
@Daudipita
@Daudipita 3 ай бұрын
Usindi lazima
@MwanahamisiHabibu-c8v
@MwanahamisiHabibu-c8v 3 ай бұрын
🎉
@StevenKapugi
@StevenKapugi 3 ай бұрын
Hiyo jens ya kitambo
@VoiceLions-xu7uf
@VoiceLions-xu7uf 3 ай бұрын
Jamani kwanini plofesa pakome hajaenda
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 3 ай бұрын
Namipia sijamuona paccome amoja na bareke
@mussamoshi7868
@mussamoshi7868 3 ай бұрын
Simba Wana warubun wachezaj wa Tim ndogo tyuu
@MohamediSleyum
@MohamediSleyum 3 ай бұрын
Mi sijamuona Pacome
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 ай бұрын
Pale club na hizi zipo mimi mwenyewe nazitaka tena ilə yakijani
@jumamarco-mh1hg
@jumamarco-mh1hg 3 ай бұрын
bonge la mechi
@SlyvesterLeonard-zk9fs
@SlyvesterLeonard-zk9fs 3 ай бұрын
Mbona Aly kamwe amepowa sana
@EssauGabriel-fy8pu
@EssauGabriel-fy8pu 3 ай бұрын
Anza na kaizer,,, hiyo ya ujerumani yenyewe tunajua ni mazoezi afu uje upakatwe na mapopo wa mnyama
@eliakibona8959
@eliakibona8959 3 ай бұрын
😂😅😅 Yanga ni tim bwana. Kazi iendeleee.
@johnpetro378
@johnpetro378 3 ай бұрын
Simuoni pacome zizu why
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 3 ай бұрын
Nenda kwenye app
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 3 ай бұрын
Ushindi muhimu
@mussamoshi7868
@mussamoshi7868 3 ай бұрын
Makoloo Wana Hali ngum
@SalimAl-mahrooqi
@SalimAl-mahrooqi 3 ай бұрын
Tuna WA chapa yanga mpaka watalia uwanjani
@priscamboya3091
@priscamboya3091 3 ай бұрын
Kama kunamtu anaona semaji letu halina mvuto kwann anamsikiliza..kamsikilizeni magoma wenu mnae msapot ujinga wake mtuachie msemaji wetu ajidai anakila sababu ya kujimwaga mana Hana mpinzani Kwa msemaji yeyote TZ
@masharifusharifu476
@masharifusharifu476 3 ай бұрын
JAMANI HIZO TISHETI ZIRUDIWE UMEZIKUBALI SANAAAAA
@EssauGabriel-fy8pu
@EssauGabriel-fy8pu 3 ай бұрын
Kichwa kinazidi mwili.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 ай бұрын
Simba alifungwa na savrra bao 3 dk 8 za mwisho na mchezaji wao salamba aliwaomba viatu wazungu.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 ай бұрын
Pacome amentoa nywele, inawezekana yupo au ataongozana na baadhi ya viongozi maana hata Herse simwoni.
@IssaTamba-qh1gi
@IssaTamba-qh1gi 3 ай бұрын
Yuko na baleke kwa hiyo video haiwezi kwenda hewani
@chollejr_
@chollejr_ 3 ай бұрын
Mzee wa unyo Kwa unyo vp bhanaaaa
@MirfatyRasheed
@MirfatyRasheed 3 ай бұрын
Kumbe nanyie mnaifatilia yanga ndo maana mnaiangalia
@josephgalandu128
@josephgalandu128 3 ай бұрын
Makasiriko Fc endeleeni kubwana,mtapigwa 11Yanga sio level yenu😂
@josephgalandu128
@josephgalandu128 3 ай бұрын
Debora fc msilete timu
@omarympangwe
@omarympangwe 3 ай бұрын
Pakome je
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 3 ай бұрын
Pita kwenye app
@EmmanuelMihangwa
@EmmanuelMihangwa 3 ай бұрын
Ali kabwe unaongea kweli kabisa yanga no timu kubwa Sana no wakimataifa leo hao makolotu
@rebmannminja3671
@rebmannminja3671 3 ай бұрын
Labda refer atakayechezesha tarehe 08 naye atakataa magoli ya Young Africans
@HamediKiza
@HamediKiza 3 ай бұрын
*
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 3 ай бұрын
AZAM mtatuonyesha mechiii?
@chollejr_
@chollejr_ 3 ай бұрын
Mbona shangwee na kipigo😂😂😂😂
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Pita huku
@chollejr_
@chollejr_ 3 ай бұрын
@@Abuu-gs1yi kufanyaj
@BOSCOBALAGOMWA-di4ml
@BOSCOBALAGOMWA-di4ml 3 ай бұрын
Hata Mimi sijamuona pacome sijui tatizo ni nini
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 3 ай бұрын
Nenda app
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 3 ай бұрын
Nenda kwenye app
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 3 ай бұрын
RECORD HII YANGA WANAIWEKA TENA KWA MARA YA KWANZA TIMU TOKA TZ INAKUWA NA MATAWI NJE YA NCHI KAMA S.AFRIKA,CONGO.RWANDA. MIKIA IGENI NA MJIFUNZE SIO DHAMBI
@Hapygideon
@Hapygideon 3 ай бұрын
Wachezaji wengi hawajasafiri
@MkuchiThedoni
@MkuchiThedoni 3 ай бұрын
Ujerumani umeyakanyaga nenda kabla ya yote mshilikishe na England ndo ukabe
@AstaricoMwita
@AstaricoMwita 3 ай бұрын
Haitotokea nishabikie utopolo 🤣
@asasiame500
@asasiame500 3 ай бұрын
Kwani wamekuomba?
@ElishaKitomari-uz3on
@ElishaKitomari-uz3on 3 ай бұрын
Peleka usuKUMA wako uko umeombwa
@StevenMianje
@StevenMianje 3 ай бұрын
Waache wajizuuke na magoma hao simba tarehe 8 watakula 8
@MirfatyRasheed
@MirfatyRasheed 3 ай бұрын
Ww ni Simba yanga inakuuma nini
@unjuboy
@unjuboy 3 ай бұрын
Mchezo mwema
@MtashobyaJosia-wt9jq
@MtashobyaJosia-wt9jq 3 ай бұрын
tunashuru mugu mmefika sarama tuko pamoja mpaka mwisho
@alexmottielitetv361
@alexmottielitetv361 3 ай бұрын
Sevilla
@goldmansun5859
@goldmansun5859 3 ай бұрын
Sevilla walikuja kutalii man,yanga imealikwa na ni michuano hyo, kuna kombe hapo,na team zinazoshirik ni yanga waalikwa, mamelod sundown,mdogo wake Bayern Munich(osburg) Na team moja imenitoka, kisha itashiriki michuano mwingine nao una kombe dhidi ya keizer Hii michuano usifananishe na simba watu wamekuja kutalii mkawaomba mazoez
@mohamedrashidi4172
@mohamedrashidi4172 3 ай бұрын
We ni Koro sana tena San unaongea hujielew kbx huna akili ww😊
@VictorBugobola
@VictorBugobola 3 ай бұрын
😂😂 punguza miemko bs 😂
@RashidiAhmad-ow5fb
@RashidiAhmad-ow5fb 3 ай бұрын
Sisi na ausbug tunacheza mashindano nyie na sevila ilikuwa mechi ya wapenda nao tu kaeni kwa kutulia makolo
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 3 ай бұрын
Albu njema
@abduljabal2532
@abduljabal2532 3 ай бұрын
Hivi sisi yanga na ujerumani tutacheza saa ngapi?
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 3 ай бұрын
SAA 10 jioni azam live
@EssauGabriel-fy8pu
@EssauGabriel-fy8pu 3 ай бұрын
Orlando yeye kamukanda sevilla goli mbili
@SebastianDaniel-mb4nl
@SebastianDaniel-mb4nl 3 ай бұрын
​@@ahmednoor1412tareh ngap kaka
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 3 ай бұрын
@@SebastianDaniel-mb4nl kesho tar 20/7/2024 SAA 10 jioni azam sports na wameshatangaza wataonesha hata ile ya tar 28 wataonesha pia Toyota cup dhidi ya kaizer chief
@wilfredlucas-nf6yo
@wilfredlucas-nf6yo 3 ай бұрын
Angalia usije wewe ndo ukashonwa mdomo
@josephgalandu128
@josephgalandu128 3 ай бұрын
Ukishakuwa Mkubwa unafanya mamabo ya kikubwa na kutarajia makubwa sanaa,Simba mtappigwa 11mwaka huuu😂😂😂😂
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 3 ай бұрын
Si ukubwa tuliupata zamani nyie ndo leo
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 3 ай бұрын
Mbona mmemwacha mwenye timu yake Mzee Magoma?
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 3 ай бұрын
Hajaenda kupokea Fungus za Ofisi, mwanaye anamtafuta hamuoni,
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Yupo na Deborah
@HajiAliSaid
@HajiAliSaid 3 ай бұрын
Nenda kamchukuwe umpeke misili kolokwinyooooo wewe kimy 😊😊😊😊😊
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 3 ай бұрын
NDIYOOOOOOOO MSEMAJI, TAREHE 8/8/2024 HAKUNA MBAMBAMBA, TENA JUMA MAGOMA AWE UPANDE WAO, WAJEE WAMEVALIA JERSEY ZAO NYEKUNDU ( DANGER )
@EssauGabriel-fy8pu
@EssauGabriel-fy8pu 3 ай бұрын
Acha ujinga wewe msemo wakukanda uliuleta wewe afu kibu akakukanda, ngao ya jamii ukakandwa timu ukiwa bora sana ila uliambulia kikandwo,
@petercostakisoka
@petercostakisoka 3 ай бұрын
Acha mkwaraa unaweza siku iyo ukakimbia wandishi wa habari
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 3 ай бұрын
Huyu cjui msemaj sjui shabk wa utopolo hanag hata mvuto wa kumckiliza😂
@AbdulMaulid-mq6mf
@AbdulMaulid-mq6mf 3 ай бұрын
Utashonaje nani Asa ebu ongea vitu vyakueleweka acha ujinga ww
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 3 ай бұрын
Ana anlolijua mtoto mdogo facts gani unaongea.magoma kiboko yenu.msipotoa rushwa ngoma ngumu.wapigaj wakubwa .ubaya ubwela safar hiii
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 ай бұрын
Tuone kama ataacha kuitaja simba
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 3 ай бұрын
Si mwandishi amemchokoza inategemea nini?
@ibrahimsarai9638
@ibrahimsarai9638 3 ай бұрын
Sasa mtu ameulizwa kuhusu Simba asijbu
@mwanangusana
@mwanangusana 3 ай бұрын
Km wewe ulivyotulia kumsikiliza habar nzuri za yanga 😂😂😂
@SalimAl-mahrooqi
@SalimAl-mahrooqi 3 ай бұрын
Hawazi lazima ataje simba. Lakini tuombe Allah siku efike hiyu tarehe 8
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 3 ай бұрын
Kwani wewe umeitwa mbona uko hapa na haikuhusu
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 3 ай бұрын
Hhhhhh simba ilishacheza na csk moscova..sevila
@goldmansun5859
@goldmansun5859 3 ай бұрын
Walikuja kutembea, ila yanga imealikwa br,tofautisha imealikwa na ni mashindano kuna kombe hapo, siyo mechi za watu wanapita wanaenda kutalii
@petercostakisoka
@petercostakisoka 3 ай бұрын
Hahahahaha unajisaulisha mnyama sevilla na cska Moscow
@goldmansun5859
@goldmansun5859 3 ай бұрын
Sevilla walikuj kutalii, yanga imealikwa kweny michuano yeny kombe, ina osburg, yanga, mamelod na team lusben ka sikosei, kuna kombe hapo Then itashiriki michuano mingine dhid ya keizer, nako pia kuna kombe Simba haijawah hii kitu kutokea babu
@MaarufuAmani-bq6qc
@MaarufuAmani-bq6qc 3 ай бұрын
Kama nawew hujamuona paccome gonga like
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 3 ай бұрын
Pumbafu, tutagonga dislike pia
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 3 ай бұрын
Nenda kwenye app
@Veni584
@Veni584 3 ай бұрын
Pacome hana nywele nyeupe tena
@isakanovath140
@isakanovath140 3 ай бұрын
Asante maana alikuwa hajui​@@Veni584
@Shaha-d1i
@Shaha-d1i 3 ай бұрын
Kongore kwa kumjuza anae angalia nywele ​@@Veni584
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 ай бұрын
Augustburg timu ndogo Simba imecheza na sevila sports itakuwa hao vibonde wa ujerumani
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 72 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 13 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 21/10/2024
51:32
Azam TV
Рет қаралды 2,4 М.
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56