Yanga yawajibu Vital'O kuelekea mechi yao ya Jumamosi

  Рет қаралды 15,169

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

“Mnautaka na mtaupata” maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akijibu mapigo ya tambo za Vital’O ya Burundi kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hapo Jumamosi Agosti 17, 2024 katika dimba la Azam Complex.
#YangaSC

Пікірлер: 10
@amaniomar1755
@amaniomar1755 26 күн бұрын
Safi sana mwenyekiti endlea kupambania nembo ya Yanga SC
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 26 күн бұрын
Pamoja sana #SEMAJI
@AbdulKassim-y4f
@AbdulKassim-y4f 25 күн бұрын
Safi sana umejibu vizuri upewe maua yako
@EdinaMabundo
@EdinaMabundo 26 күн бұрын
Hayo ni maneno ya uoga wampirw
@Saidesonspecial
@Saidesonspecial 26 күн бұрын
Mtoto kautaaa
@Deadskytz
@Deadskytz 26 күн бұрын
Manara wangemtafutia kingine cha kufanya jamani me naona Alikamwe anafit sana kwenye hii eneo
@JanethMathias-cs1gz
@JanethMathias-cs1gz 26 күн бұрын
Mtoto kauta
@Keithmkwatia
@Keithmkwatia 26 күн бұрын
Mwenye kiranga haliliwi na wala halaliwi matanga kalilia. Wembe mpeni
@maxjofrey70
@maxjofrey70 25 күн бұрын
Mnautaka mtaupata " Kwani kuna shido?
@checkchannel3876
@checkchannel3876 26 күн бұрын
Yanga inakuhudumia kwa kadri unavyokuja. Kazi nyingine ya Yanga huwa ni KUPIGA MIDOMO. Huyo msemaji wa Vital'O atalipia bill ya maneno yake!
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 52 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 5 МЛН
HOUSE GIRL EP 56 | S2 | Love Story 💕💞
21:45
BUSATI TV
Рет қаралды 13 М.
FUJO za Mange kim@mbi Leo kwa Raisi
4:26
Mashwishwi Tv
Рет қаралды 184
KILLAMAN PART 568:MY HEART 447:HAKOMEJE gushya
50:24
KILLAMAN EMPIRE
Рет қаралды 7 М.