Clement mzize aisee what a player hii ni hazina kubwa sana ya taifa ur the magician bro unafanya mpira uonekane rahisi sana na kweli unakuwa rahisi🙌🙌🙌 Pambana sana mwanangu ww ndio unajua wapi uliko toka mpaka umefikia hapo✊
@OlivaMHANDOАй бұрын
MUNGU awabariki nyinyi nyote mulio enda congo, mwenyezi MUNGU awalinde na kuwasimamia aminaaaaaaaaa
@maximiliankadawiibalaja2198Ай бұрын
Nyakati Ngumu Kwenye Maisha huja na Kuondoka Tuipe Sapoti Timu Yetu Nyakati Nzuri zitarudi na Robo Final Tunaenda Kwa Namna yoyote 💚💛🔰🇹🇿⚽✝️🙏
@RoseMtei-z2xАй бұрын
Amina
@martinndayanse4489Ай бұрын
HONGERA sana wachezaji wetu. Na Mola wetu aendelee kuwalinda na woote walikwenda DEC erudi salama.Kwa msaada wa Mungu tutafuzu robot final.AMEN
@HamisIlungaАй бұрын
Turudi nyumbani tukajipange na ligi kutetea ubingwa.nbc daima mbeleee❤
@NasraMohamed-p1iАй бұрын
MZIZE,MZIZE, MZIZE UYU JAMAA ND FOWARD W YOUNG AFRICAN,ametusaidia san leo
@omegaanyitike3263Ай бұрын
Kwl kabadilisha mchezo🎉🎉
@GodwinMtungiАй бұрын
Mungu mwema nyumbani tutashinda mechi zilizobaki timu inahitaji beki 2 kiungo moj na strike 2
@GodwinMtungiАй бұрын
Mashabiki tp mazembe watakiona cha moto bongo
@EsterMjema-n8cАй бұрын
@@GodwinMtungimmmh yaan amna ktu
@MohamediSleyumАй бұрын
Ni mchezaji mzur sana alafu bado hajakaa sawa akipona ndo atakua hatar zaid
@isayarevelian9698Ай бұрын
Madereva waliokua congo support yenu ni kubwa sana
@fatmaomar8335Ай бұрын
Inshaallah kwa uwezo wake Allah kila mechi tutashinda 🎉🎉💛💛💚💚
@adrianorayner6551Ай бұрын
😂😂
@AbdulkhalilySeifomarАй бұрын
Naipenda yanga kinoma
@AbdulkhalilySeifomarАй бұрын
💚💚💚
@AgenesMugemaАй бұрын
Anaitwa Drogba wa Tanzania 👍👍👍👍👍
@WILLIAMMASALLA-x5xАй бұрын
Mungu akiombwa katika kweli na haki, yeye si mgum wa kusikia, tunakili wazi mbele yake na kuomba toba kwa yale yote ambayo pengine katika kuenenda kwetu kama mashabiki na wapenzi wakeleketwa tulikokosea aidha katika kujikweza zaidi Ee Mungu Mkuu uishie mahali pa juu utusamehe sana, sasa kwa haya tuliyopitia tumeelewa wazi kuwa wewe ndiye Mungu uruhusuye yaliyo ya heri kumpata mtu ama yasiyo na heri, jina lako lililo kuu tunalihimidi na kulitukuza, sasa tunaamini utakwenda kututendea mambo makuu na kila aliye na mapenzi mema na timu yetu hii basi na aseme tu neni fupi ..Amin, Amen, Amina na itakuwa hivyo 🙏
@matanokitwana3249Ай бұрын
Yanga Dalili njema mazembe Kwa mkapa hatoki
@kilulumtunyungu9369Ай бұрын
Daaah aisee hii timu naikubali sana
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Reapect MZIZE
@DenisndindaАй бұрын
Yanga ni yetu na tuliienda wenyew daima mbele nyuma mwiko ahsant wananchii❤❤
@SuleimanMohamed-kw4ghАй бұрын
Nilicho kipenda ni kwamba imani ndio inayo ondoa hofu ndani yetu napenda venye hatujachukia mtu yeyote yule letu moja tu kuunga mkono timu yetu one love wanainchi
@GodfreyKarinoАй бұрын
Asante wananchi this is football
@NaftaryMgoyeАй бұрын
❤❤❤ Asante Yanga kwakupendwa kote duniani 💛💚
@Rukaka_jrАй бұрын
Kocha wetu anajua kuvaa sana sema tu timu haimpi matokeo mazuri but anaonekana analo vibe
@Boniphacetz-w9xАй бұрын
Mzize drogba mtupu
@aishasaid6700Ай бұрын
This is Dar young Africa 😍😍
@EmanuelMiyonjoАй бұрын
Yanga daima mbele Nyuma mwiko💚💛
@meddyjr19Ай бұрын
wananchi bado tunaimani na timu yetu
@mrsab303Ай бұрын
InshaAllah ♻️♻️♻️♻️
@magrethyeremia2279Ай бұрын
Kabisaa Tena kubwaa
@RoseMtei-z2xАй бұрын
Ameen
@DaudSuleiman-k1zАй бұрын
💛💛💛💛💚💚💚💚
@alphonceathanas9045Ай бұрын
DUKE ABUYA MASTER
@Purity-l2vАй бұрын
💚💚💚💚💛💛💛💛🙏
@ZuhuraAwadhiАй бұрын
Amin mungu atatujaalia kurudi ktk bora wetu wapinzani hawatusemi kwa bahati mbaya bali wanaujua ubora na ukubwa wa young African
@shaibusaady2420Ай бұрын
Allaah Akbar
@MuslihiShafiiАй бұрын
Tuzidi kuomba allah atujaalie ushindi
@JosephatMganziАй бұрын
Ila bacca wa saiv mmh 😢
@AlmasAbdallah-r3gАй бұрын
Kuna namna kapoteza kujiamini
@AbubakarkatanaАй бұрын
@@AlmasAbdallah-r3g huwezi kuwa poa mda wote
@imraannassor1799Ай бұрын
Shda zote ni kibabage
@lydiadaudi4076Ай бұрын
Red card haijamtoka kichwani
@GodlistenSamwel-r8pАй бұрын
mchezaji nae sio mashne ndugu club yeye national team yeye atapumzika vp huoni ata max broo
@ChenchiKingАй бұрын
Kwa Uwez Wa Mungu Tunavuka Kweny Atuwa Hii❤🎉✊✅😊
@OmaryMajivunoАй бұрын
❤❤❤❤ good 👍👍 i
@andersonshimbi1378Ай бұрын
Yanga haipo kwenye wakati mgumu, ni sehemu tu ya matokeo, Yanga bado iko ya moto saaana. Ni vile tu kwa watu wenye mioyo myepesi, na wasiojua mpira. Kwao Yanga ni ushindi tu,
@Ashush-qm6lkАй бұрын
Ishallah
@siphifahashimu9723Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@mauricebaraka9119Ай бұрын
Yanga bado tunahitaji kuimprove zaidi, bado hatujafika katika level yetu
@angelkavishe5240Ай бұрын
Jaman ni macho yangu au maana nimeona wanasimba wanaimba GSM😔😔😔😔
@sullehtz9327Ай бұрын
#teamyawananchi🔰🏆🙏
@ameirzapy1318Ай бұрын
Upendo hauna chama namuona kolo katikati hapo😅
@Happynesi-d4kАй бұрын
Mungu ni mwema ajawai kutuacha ata tupite wapi yupo nasi atatupigania nasi tutanyamaza kimy sifa na utukufu ni kwa yesu
Hongera chama langu ila mashabiki mmeshangilia sana kama mko tz naona wenyeji wameduwa ni halili wawapige mana mmewatia hasira sana
@lydiadaudi4076Ай бұрын
😂😂😂😂
@SideSide-f3lАй бұрын
Yanga mbele daima nyuma mwiko
@MwajumaRamadhan-dn6blАй бұрын
Yanga oye
@mycaltzaАй бұрын
Kama kuna mwaka ambao mashabiki wa yanga walikuwa karibu na timu yao basi ni mwaka huu hususan kwenye kipnd hiki kigumu,hebu cheki vibe la pale kongo halafu niambie ni wap ulixhawah kuona kama hilo kwa mashabik wa yanga ugenini???
@SabihaDadiАй бұрын
Yaan mzize apewe maua yake anajituma sana
@AbuuAbubakar-j9tАй бұрын
Mm ndio nimejuwa kwann widadi club walikuwa wana mtaka walid mzize
@rukianakukubalikibamwakahu5719Ай бұрын
Chama pole sana
@EdwardChogeroАй бұрын
Kweri kabisa amna meanadamu asie pitia jaribu
@zubeydamahmoud-gq2hqАй бұрын
Tutavuka bila wasiwasi wowote. Muhim ni kushikamana na kuweka mipango thabit. Point 9 muhim tunaziitaji
@selemanmcharazoАй бұрын
Wananchi mmetisha sana mmetuwakilisha vema
@JosephChrisantАй бұрын
Wakongo walinywea kwelikweli mbele ya vibe la wananchi. Wakongo wamewafanyia vurungu ndugu zetu na kuwapora simu, fedha na viatu!.
@StellaNasonАй бұрын
💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💐💐💐💐
@GodfreyNyangaro-y5mАй бұрын
Clement mzize
@BenjaminSijilaАй бұрын
Maana halisi Timu ya wananchi
@selemanimagohe1774Ай бұрын
sasa ifke wakati dube anakitu cha kujifunza kwa mzize how to attack😅
@habibumdetele6530Ай бұрын
Kinachofurahisha hapa Kongo ni washabiki wa Simba kuishangilia Yanga.
@remidusmwanandenje-yy5gsАй бұрын
💚💚💚💚💚💚🤚🤚🤚🤚🙏🙏🙏🙇🙇
@imeldasoko6471Ай бұрын
i 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@ezekielwatson3141Ай бұрын
Wobongo na wakongo baba na mama tumechangia si kwa kujitokeza huko
@vincentkatonga6985Ай бұрын
kwl ynga tuna mashabiki wanaojua ball saf wananchiiii
@EsterFraterini29 күн бұрын
Ukiangalia mashabiki wa tp manzembe wamezeeka gafraa
@ChrisCharles-e5oАй бұрын
Pacome anazingua sana
@SaadIssa-c9oАй бұрын
Hawa wamesafirishwa na Ghalib😅😅😅
@LatifaCharlesАй бұрын
Na bqba yako
@DicksonKobeАй бұрын
Maajabu wageni kutawala ugenini
@SalumuRamadhani-y4yАй бұрын
Wakongo sisi tunaishi nao vizuli Alf kwao wanaleta ubaguzi
@ThayzarTsongaАй бұрын
Droo ushindi
@mathiasmushiАй бұрын
Good
@MAJIMOTOSDACHOIRАй бұрын
Rudisha jamani manara sehemu yake
@ZaiJumbeАй бұрын
We mkundu nin ulitaka tusishangilie matako wew
@NajimAllyАй бұрын
Babu kaju na mkude wacheze hao ni mafundi
@peterjeremiah7284Ай бұрын
Naona kuna shabik wa simba hapa nae anaimba gsm kwa nguvu kabisa
@NaharmusicrecordsАй бұрын
Nilipomuoma aucho hii game nilijua tu ishaisha
@She-m3pАй бұрын
Mashabiki wa yanga km vinyonga
@AllyJackson-sd6kgАй бұрын
Sasa naiyona yanga ina ludi kwenye ubara wake
@Ashush-qm6lkАй бұрын
Hakuna mwanadamu asie pitia magumu
@paullukanga-xn8prАй бұрын
waliocheza kpnd 2 ndy kiwe kikos 1
@JuliusMnkondo-fk9kvАй бұрын
Mechi zote ni do or die
@JonathanJackson-x7yАй бұрын
Ila kweli mjinga hawezi jitambua ujinga wake Kuna cha kushangilia hapo kweli 😂😂😂 amaa mmekuwa vichaaaa
Ko ww ukitaka tushhaangilie nn kende zako au umekuwa kichaa😮
@mwinyisarai-rm5ooАй бұрын
Wakongo kimyaa
@ShaulizSelemanАй бұрын
UTOPOLO HAOOOO😂😂😂😂😂SARE INASHANGILIA ALAF INABULUZA MKIA 😂😂😂😂😂JIPENI MOYO TIMU MBILI ZINARUD NYUMBAN KUCHAMBUA MCHELE, TIMU YA YANGA IMEOZA POINT 1 MECHI 3 NI SAWA NA BUYU
@LatifaCharlesАй бұрын
Ww hayakuhusu mkundu wwunashindwa kkuisemea simba yako eti utoporo utabakwa soon umesahau yanga ni bwanaako alikukalisha vitano ndani wiki nzima papuchi inawqka mpto😢
@ewaldambrose6136Ай бұрын
Aibu kushangilia droo
@jumamkoka2267Ай бұрын
Kapa hupati unacho kipenda basi penda unacho kipata.....Tembea na hii itakusaidia
@SalumMusa-f5lАй бұрын
@@jumamkoka2267muelimisha kolo kasaau yy alifungwa Gori Moja na yanga kafanya sherehe nchi nzima
@StawaIsmail-q9jАй бұрын
2namxhukur mung 2mepat bwet 3
@ShaulizSelemanАй бұрын
@@StawaIsmail-q9jPOINT 3 GANI UTOPOLO UMEPATA 😂😂😂, AU HUJUI KUTOA SARE NI POINT 1 NDO NYIE MSIOJUA MPIRA KAZI KELELE TU KUMANYOKO ZAKO
@thadeylyimo9772Ай бұрын
@@ShaulizSelemanhujui Mpira, huwez jua maana ya point 1..
@NassoroSipembaАй бұрын
Nani kaona simba wanashangilia drew ya yanga lugumbash nyumbani kwa mazembe.
@JuliethLughuyuАй бұрын
upumbavu tu yaana tunashangilia pont moja
@MosesKuboАй бұрын
Na mwarabu kachezea huko tushindwe wnyw kwenda robo
@pacomezouzoua9175Ай бұрын
Jana ibenge kamuuwa mwarabu koko uko uko kwake yanga tunaenda robo fainali amini
@AbdalaMohamedi-jk2ycАй бұрын
Mbona wanashangilia kama washida hawa vip
@karimkondo3449Ай бұрын
Badoooo
@salehwaziri5062Ай бұрын
Tunahitaji alama6 tuvuke
@radhiamussa1629Ай бұрын
Baca naye ajitathimin anafanya makosa ambayo hipo siku kadi nyekundu itamuhusu Ile morali ya dk 20 za mwisho kipindi Cha pili ndio tunayohitaji hiwepo kuanzia mwanzo wa mchezo kujituma nakucheza kitimi nakutokuwa wabinafsi ni muhimu sana pia ufanyaji wa mahamuzi ya haraka ndani ya lango la mpinzani na utulivu Bado na safu yaushambuliaji iongeze bidii sana
@twahaathuman-e7uАй бұрын
Passion ❤❤❤
@kassidpandu866Ай бұрын
wanashangilia sareeeeeeeee Mmekwishaa utoporo
@LatifaCharlesАй бұрын
Tutaamshangiria bibi ako aakiliwa uloda basi
@makutimalubuАй бұрын
Siku hizi Kwa Yanga Sare ni ushindi.. Wananchi tuhamie kwenye rede
@BussanaMillingaАй бұрын
Umeona inauma sana sana hiii kweli leo wanainchi tunashangilia sare tena nawatu wahovyo kabisa,Dunia inatushangaaaa
@PhilomenaSteven-x9hАй бұрын
Kolokwinyoooo FC pumbavuuuuu
@ZaiJumbeАй бұрын
Tahila mama ako
@ShaulizSelemanАй бұрын
ANGALIENI UCHIZ WA MASHABIKI WENU😂😂😂😂TIMU LINABURUZA MKIA POINT 1 ALAF MNASHANGILIA 😂😂😂😂UTAHIRA MWINGI
@gabapentin8070Ай бұрын
Mpaka kila mtu ajue unawashwa kk !?
@BussanaMillingaАй бұрын
Dunia imeisha ,ukiona maajabu ya musa ndio yamerudi mwaka huu,au tumerogwa
@luganomasebo6606Ай бұрын
Ko ulitaka tuiache timu peke yakee? Sisi sio nyie huku hutasikia matusi wala mtu kuoelekwa polisi na viongozi tunajielewa sana
@LatifaCharlesАй бұрын
@@gabapentin8070uyu anawashwa tena pere kimeiva linataka. Kupasuliwa
@BussanaMillingaАй бұрын
Hivi nyie yanga mnajitambua kweli inasikitisha sana kuona yanga tuijuayo inashangilia sare inauma sana
@ramadhaniOsujackiАй бұрын
Kwa kweli sasa ni kumwoomba mungu awabariki wote pamoja waungane inawezekana hata kupata matokeo mazuri kwa ibenge gundu linaweza ikawa limetuto kwa uwezo wake mungu asante mungu kwa hili
@LatifaCharlesАй бұрын
Kwahy ww ulittaaka. Waaishngilie simba ama
@triceyangaАй бұрын
we ndo hujitambui nyie ndo wale mashabiki wasenge wasenge timu ikiwa vibaya mna kazi ya kuropokaropoka usenge tu badala ya kuwatia moyo wachezaji na viongozi