LEMA AMKAANGA MBOWE "USITAMBE KUWA UMETUJENGA BANA"

  Рет қаралды 30,085

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 114
@nehemiahmguluka1996
@nehemiahmguluka1996 12 күн бұрын
Hiki Chumaa kweli kweli, bado watu wenye maono makubwa wapo Tanzania na duniani kwa Ujumla. Lema is one of them ❤
@fredymwengela6763
@fredymwengela6763 8 күн бұрын
Umeongea vzr sana ilabumeharobu mwishi kusema kwamba kwenye ubunge hamna hela. Ukiwa unaonge tafakali kwamba ss watanzania ukiongea maneno tunayatafakali ...Mungu akubariki.
@KijangaIbrahim
@KijangaIbrahim 12 күн бұрын
Upo sawa kaka
@barryrioba3934
@barryrioba3934 12 күн бұрын
LISSU ☑️ HECHE ☑️ LEMA ☑️ MBOWE ❌ WENJE ❌
@himiduhkweka3234
@himiduhkweka3234 5 күн бұрын
Duuh Ila binaadam wanajisahau Sana lema muogope mungu wee mwenyewe kwa mdomo wko ulisema ulijengwa na mbowe Ila leo unamkana duuh ubinadam kz sana
@norbethaule9564
@norbethaule9564 11 күн бұрын
Nabii lema🎉
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 11 күн бұрын
Lema 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@MteaMwase
@MteaMwase 12 күн бұрын
Nakuelewa nabii wetu
@mussarukigwa3453
@mussarukigwa3453 12 күн бұрын
Lema uko sawa kabisa MUNGU akubariki sana
@AyyanJambau
@AyyanJambau 12 күн бұрын
Mbowe anaiua chadema fungu alilopewa hajali kabsa kujishusha kujenga chama p1 anataka aonekane Mungu mtu kwamba asiyeguswa ndio maana siasa ya Tanzania inakatisha sana tamaa
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 9 күн бұрын
Kapewa na nani? Acheni siasa zisizo na ushahidi?
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 12 күн бұрын
Mbowe must go😂
@BichongolaInvestment
@BichongolaInvestment 12 күн бұрын
UKO SAHIHI
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 11 күн бұрын
Mwanaharakat muelewa sana🫡
@HezronSangam
@HezronSangam 11 күн бұрын
Kiongoz Imara mda wwt Yesu akulinde tu
@puritybariki8529
@puritybariki8529 8 күн бұрын
Nakukubali sana lema bay baba Johnson wa chekern arusha
@oltetiangaroya8489
@oltetiangaroya8489 10 күн бұрын
Nakubali lema mbowe must go
@MainethWella-zl9ux
@MainethWella-zl9ux 7 күн бұрын
Nabii lema tisha sanaaa
@drankskhally7019
@drankskhally7019 12 күн бұрын
Lema lema nakuita Mara 2 unajielewa sana lema unasema ukweli sana mbowe hatufai kabisa yupo kwa masilahi binafsi Kama kumpokea loasa
@RobyJoachim-y2k
@RobyJoachim-y2k 7 күн бұрын
Jamaa anajua kipangilia point sana
@kilelamniko9678
@kilelamniko9678 11 күн бұрын
Dah huyu jamaa nimetokea kumwelewa sana.
@victorernest7702
@victorernest7702 11 күн бұрын
Bravo lema 🎉🎉🎉
@danieltairo6827
@danieltairo6827 10 күн бұрын
Karibu Ccm.
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 9 күн бұрын
nachokukubar uko real sana bro
@OnesmoParesso-z2h
@OnesmoParesso-z2h 10 күн бұрын
Lema much respect
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt 11 күн бұрын
Lema Kuna maisha baada ya uchaguzi
@TadeiMwende
@TadeiMwende 11 күн бұрын
Kamanda kama Kamanda
@EmanuelMinja-m5o
@EmanuelMinja-m5o 10 күн бұрын
Mwanadam anasahau mazur kwa haraka sana mbowe pambana
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 7 күн бұрын
Aya ndo kapambana na katolewa😂😂😂😂
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 12 күн бұрын
Ma ccm yanataka nini humu fuatilien uteuzi wenu huko dodoma
@kabangoamini8431
@kabangoamini8431 12 күн бұрын
Muumbea unawakatisha tamaa wanachama
@NoelMazengo-y2l
@NoelMazengo-y2l 10 күн бұрын
Hapo kwenye muuza vitumbua na mshahara wa mbunge bro lema umetupiga, brother kitumbua kinauzwa mia 2
@MwakaHappy
@MwakaHappy 11 күн бұрын
Tutannyoosha hatumtaki tunamtaka tundu lisiu
@ZachariaIsack-e5g
@ZachariaIsack-e5g 11 күн бұрын
Imara sana
@emmanuelmndeme9740
@emmanuelmndeme9740 9 күн бұрын
Usitudanganye kwenye ubunge iko pesa acha kutudanganya lema
@prosperthomas8864
@prosperthomas8864 9 күн бұрын
lema ww ni zaidi ya nabii ni kipawa Cha MUNGU hicho
@dismastesha2505
@dismastesha2505 10 күн бұрын
apunguze maneno huyu lema anaharibu chama chao siyo anamharibia mbowe
@geraldmassawe2663
@geraldmassawe2663 11 күн бұрын
Lema aksante kwa historia yako ila nawashauri muache kuumbuana
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 11 күн бұрын
Safi mkuu wachane wachane wanafki hawa
@allyiddi5866
@allyiddi5866 11 күн бұрын
We lema mshukuru mbowe kakufanya ukaacha biashara zako ulizokuwa unazifanya zilikuwa zikikuweka karibu na gereza
@ChristopherK4
@ChristopherK4 7 күн бұрын
Wanachofanya ni kutafuta tenshen kwa watu
@MwakaHappy
@MwakaHappy 11 күн бұрын
Anajifanya mungu mtu anasema kawajenga je kawasomesha na mngekuwa mambumbumbu angewatafuta akwende huko tunamtaka lisu lema umekijenga chama navshelembi atasema kamjenga yeye hahahaaa
@HellenLemilya
@HellenLemilya 12 күн бұрын
Duu mbona unamsema sana ndugu ako, mengine nyamizia
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 11 күн бұрын
🫡🫡🫡 kaaa lema kanyooka
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 11 күн бұрын
Hekima kubwa sana hii ,Mbowe usipotafakari vzr utaaibika mno,jitafakari wanachadema wote wanasema tunaheshimu kz kubwa uliyoitendea chadema sasa inatosha.Tafadhali jiengue ktk kinyang'anyiro cha uchaguzi huu na kumuachia Kamanda Lissu kwani uwezo wake Lissu ana uwezo mkubwa kwa sasa kuliongoza jahazi hili la Chadema, kaa pembeni utunze heshima yako
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 11 күн бұрын
Nyie watu hamna siri kwakweli hamtafika mbali
@dianasamson9311
@dianasamson9311 9 күн бұрын
Kweli kabisa... uroho unawasumbua.
@JohnyKivuyo
@JohnyKivuyo 9 күн бұрын
M nahis lichadema ndo hilooooo
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 12 күн бұрын
Mara ubunge umenipa heshima mimi na family yangu leo leo ubunge hauna faida
@HellenLemilya
@HellenLemilya 12 күн бұрын
Lema umesema uwongo we ulipatia ela siasa ya ubunge ,ila mengine nakuunga mkono
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 12 күн бұрын
Lema alikuwa na gari za biashara 2 na maduka
@SleepyChefHat-oq9ji
@SleepyChefHat-oq9ji 4 күн бұрын
Lema huna akili mbona mapovu yanakutoka
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 10 күн бұрын
Kwanza wewe huna nidhamu na mwenyekiti wako, hakuna aliekuwa anakutambua hapo TLP, Chadema ndiko tumekutambua ulimwengu wa kisiasa,, tawi tu linakufukuza usijisahau kwenye misingi yenu, hapo Kukimbia nchi ndio inaonesha hamuwezi kabisa kuja kukabiliana na magharamia wa nchi
@prosperthomas8864
@prosperthomas8864 9 күн бұрын
kamanda kaza buti huyo mbowe kazama tayari anatapatapa huyo
@RaphaelMachinda-ih5we
@RaphaelMachinda-ih5we 11 күн бұрын
Hunaadabuwewe lema wewe nimwanachama wa Tawi Huna cheo atajimbo
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 12 күн бұрын
Lema ww ni mchonganishi
@dianasamson9311
@dianasamson9311 9 күн бұрын
Kweli kabisa😂😂😂
@CalvinKweka-q5s
@CalvinKweka-q5s 6 күн бұрын
Sioni kama kulikua na haja ya kuongea hayo yete wewe kama mtu mzima kwani jina umelipatia wap kama siyo chadema?
@NdomaSamwel
@NdomaSamwel 8 күн бұрын
Lema kipiganie chama
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 11 күн бұрын
Usiwe mpuuzi Lema dingi kakulea acha uzwazwa usilewe umaarufu jamaa kaku brand sasa unamnyea. . Mmepanda mabegani mwake sasa mnasauti mnapiga kelele. . Ovyo kabisa .. fadhila ni kitu chema fala wewe. .
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 11 күн бұрын
Kama hao wa kumi na tisa njaa tupu hawana faida yeyote
@heriel2002
@heriel2002 11 күн бұрын
Katika hatua mbaya kuliko zote CHADEMA mmewahi kupitia na mtaijutia ni hii ya uchaguzi wa Mwenyekiti. Kauli mnazoongea kwenye vyombo vya habari kuanzia Lissu, Heche, Lema na kila mtu aliye kwenye team Lissu ni Msiba mkubwa kwa chama mnaandaa. Kuna mambo mlipaswa kuyaongea kwenye mikutano ya ndani tu ya chama na sio majukwaani maana hayajengi chama ila yanabomoa. Kwa mtizamo wangu mimi mnachokifanya sio kumharibia Mbowe ila mnakiharibu chama na mnavuana nguo sokoni mchana kweupe. Hamwezi kutoboa jahazi kwa mbele alikokaa nahodha afu nyie mjisifie kwamba mko salama kwa sababu mmekaa nyuma maana chombo kitazama na wote mtakufa na maji. kwa kupayuka payuka kwenu huku nawaambia mnachosubiria sasa ni kifo cha kisiasa tu (sio kimwili) na ndio mwisho wa umaarufu wenu ndani na nje ya CHADEMA. Huwezi pinga chama na muundo wake wote wa uongozi na bado uko ndani yake. Kama mnaona chama hakiwafai ondokeni mkipinge mkiwa nje. Wengi wenu mnalalamika saa hizi mlikuwa viongozi na wengine bado ni viongozi hamkuona kama mnakata matawi mliyokuwa mmekalia na mtaanguka nayo? Kwa sasa nawatabiria kabisa ikitokea Lissu kashindwa Uchaguzi kwa uchafu huu mliosambaza na mpasuko mkubwa mliotengeneza nyie wote mtaishia ACT au CCM na kule hamtakuwa na dhamani yoyote maana ushawishi wenu ndio utakuwa umepungua sana kama sio kuisha. Sijawahi kuona mtu aliyemfumania mkewe akamtangaza kila mahali akiwa na lengo la kurudiana naye. Ukishamtangaza basi umeamua kuachana naye. sasa Mbowe Lissu akishindwa ndoa yenu na CHADEMA imeisha. Pili kama Lissu akishinda basi mtakuwa na kazi kubwa sana ya kukijenga tena chama upya na kuwaaminisha wanachama wenu kwamba nyie ni viongozi genuine na hii itawachukua karne nzima kujenga. Mmepoteza kabisa mwelekeo na sijui ni nani mshauri wenu mpaka mnaropoka ropoka hivi kila majukwaani na kuwayumbisha wanachama wenu kiasi hiki. Mmepoteza kabisa mvuto kwa wananchi na hamweleweki hatima yenu kama litatoka jambo jema tena kwenu. Nimesikitika sana!
@DavdNassary
@DavdNassary 7 күн бұрын
Amupati kitu
@ElizabethSteve-dc1sh
@ElizabethSteve-dc1sh 12 күн бұрын
Hauna heshima kabisa acha kudanganya.Wewe kama nani akatae kwa matamusi Yako acha kujiona wewe ni mjuachi sana kuliko wengine.
@JohnyKivuyo
@JohnyKivuyo 9 күн бұрын
Karbu ccm
@charlessimon9502
@charlessimon9502 12 күн бұрын
tunataka hoja zako sio kuongea mambo ya mtu
@HamisLeo
@HamisLeo 12 күн бұрын
Hv 2010 mwenzio toka 2000 yuko bungen, shukuru ata kwa kidogo
@JohnZakayo-p6p
@JohnZakayo-p6p 11 күн бұрын
Haujamwelewa naona
@YusufDuale-eq4kl
@YusufDuale-eq4kl 11 күн бұрын
Mkweli jamaa
@halidmahundi1841
@halidmahundi1841 11 күн бұрын
Kama mtu anayepokea milioni tisa kwa mwezi ni masikini😂 je sisi tunaopokea laki tatu kwa mwezi😢. Wanasiasa 😊
@mackjr5291
@mackjr5291 11 күн бұрын
Poor
@yomseyyomsey5114
@yomseyyomsey5114 11 күн бұрын
Lema upo Vizuri Sana Kaka nakukubali Sana na MBOWE Akabiliwe kwa Hoja na MBOWE Anadhani chama ni Mali Yake na Wana-Chadema Wajue MBOWE anavuruga CHAMA na KUHARIBU CHAMA Na watu Walijue Hilo.
@dr.topmanyotasundayrutasho5205
@dr.topmanyotasundayrutasho5205 11 күн бұрын
Lema huna akili amekulea sana huyo
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 11 күн бұрын
Uzeni basi vitumbua tuone.
@EdsonMbuza
@EdsonMbuza 11 күн бұрын
Utoto kabisa wote hamjuwi mnachofanya ni kukialibu chama
@ShabaniMustafa-n8h
@ShabaniMustafa-n8h 12 күн бұрын
Huna adabu
@liberatvalence1510
@liberatvalence1510 10 күн бұрын
Maskin akipata mako ulia mbwataaaa
@AlfanMwiru
@AlfanMwiru 12 күн бұрын
Hawa wasenge tu hakuna kitu hapa
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 12 күн бұрын
Lisu kabla ulikuwa unaiba, ulikuwa mwizi wa magari
@pascalvirgilio7208
@pascalvirgilio7208 11 күн бұрын
Magufuli haliwakomesha nyie 😂
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 11 күн бұрын
Lema mpumbavu kweli, huna utashi wowote
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 7 күн бұрын
Mpumbavu katolewa co lema
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 11 күн бұрын
Lema na Lisu akili zao zina fanana na nyie kwakuwa ni vibaraka wa mabwana zenu mmetumwa kuja kutuletea virugu hapa TZ na mijitu mijinga Iko nyuma yenu pumbavuuu kabisa
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 11 күн бұрын
Lema kachafukwa mamake
@MatandiMatandi
@MatandiMatandi 12 күн бұрын
Chadema ni chama cha wahuni sana.Kila siku munatupiana maneno tu.Siasa haipo hivyo.Kila jambo lina siri,chama chenu lazima kiwe na siri.Ninyi siri zenu zipo hadharani tu.Ndio maana hichi chama watu hawakielewi.
@dianasamson9311
@dianasamson9311 9 күн бұрын
Kweli kabisa.... na uhuni ndio huu.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 12 күн бұрын
Huyu ni nyoka wa vichwa viwili! Hata siamini macho na masikio yangu!
@T_Darius
@T_Darius 12 күн бұрын
toa ukabila wako jina lako Msuya mchaga wewe inakuuma mbowe kutolewa mchaga mwenzako😂😂😂
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 12 күн бұрын
@T_Darius Hainiumi hata kidole! Acha wafu wazikane! Mimi ni Mpare og! Huyo mbowe ananihusu nini! S.S.H.Ndio mpango mzima!
@LucasGoliath
@LucasGoliath 10 күн бұрын
​@@dorothmsuya1686Tanzania wengi hawajuwi siasa..Ukisikia kinachoongelewa hapo ni bifu walizo nazo ndani ya chama...Wanaugomvi...Makundi haya mawili yamegawanyika kwaajili ya ugomvi..Sasa wanatoleana Siri
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 10 күн бұрын
@LucasGoliath Subiri tuone baada ya huo uchaguzi wao nini kitaendelea! Hata siku moja mukishagawanyika hamuwezi kusimama kirahisi! Umoja ndio ushindi! Yetu macho!
@yustodonald9772
@yustodonald9772 12 күн бұрын
Mbowe umeishiwa unataka huruma ya watu
@NdomaSamwel
@NdomaSamwel 8 күн бұрын
Wapambanaji pambaneni mungu awaongoze
@marymremi1051
@marymremi1051 11 күн бұрын
lema nilijua wewe mcha Mungu mbona umbea wacha upumbavu kwani kasema yeye mlokole piwa lisu alipohutubia taifa mbona ulinyamaza kila mtu anahutubia taifa wajinga mnatafuta huruma kwa nani wajinga mwacheni mbowe kabisa heshimuni mchango wake.nani asiekujua tim lisu utafikiri huu uchaguzi wa kuingia peponi mmemjengea chuki mnahubiri ni mbaya kila mahali
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 12 күн бұрын
Yamechoka haya matakataka hata ccm msiwapokee
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 12 күн бұрын
Huko ccm wanaenda kufanya nini
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 12 күн бұрын
Rema na wewe nani amechoka wewe ni takakataka mara tano
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 12 күн бұрын
@mbwanahasan2971 eti rema hivi wewe sio mjinga kweli
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 12 күн бұрын
@mbwanahasan2971 lema ni Nani kwangu mpuuzi hiyo anaakili ya ngedere na wewe .Hamataka mtawale milele makenge
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 12 күн бұрын
@samwelmatemu8873 kwa mropoko wako tu unaonekana wewe kuposongwa laisi sana na nina wasiwasi kuwa wewe una mambo ya kichoochoko choko yeyote ni mtu wa wivu wivu wee ni haridi chokolaa kabisa
@HamisLeo
@HamisLeo 12 күн бұрын
Uzuri tunajua bila mbowe musingejulikana
@charlessimon9502
@charlessimon9502 12 күн бұрын
akili ya huyu jamaa kumbe hamna kitu ziro brain
@HezronSangam
@HezronSangam 11 күн бұрын
Masikin WA akili na Mali
@AwardHakimu
@AwardHakimu 11 күн бұрын
Kumbe ukiongea ukweli unakua huna akili
@liberatvalence1510
@liberatvalence1510 10 күн бұрын
Alikuwa mwanaseheria marufu mbona tulikuwa atu mjui , alivyo ingia chadema nbdo tuka mjua
@JohnyKivuyo
@JohnyKivuyo 9 күн бұрын
Karbu ccm
@dianasamson9311
@dianasamson9311 9 күн бұрын
Hatutaki mamluki
"Sina chuki hata moja na Lissu, hata nikikutana naye nitamkumbatia"
20:30
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
CRUMBLING DOWN: Ruto will be OUT before 2027!
52:27
Herman Manyora
Рет қаралды 16 М.
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН