Wako na utulivu sana hawana papala pindi wanapokuwa na mpira
@sosomacharles992010 күн бұрын
Baleke benchi litamuua,hadi mechi za kirafiki hapambani
@Abdulrahmanhassan188 күн бұрын
Wekeni utaratibu wa kuposti mechi ambazo zimeshachezwa full machi za ligi kuu na club bingwa hindio kazi ya KZbin channel . Alafu hii video sijui kwanini mmeingima sauti.