CBE SA 0-1 Yanga SC | Highlights | CAF CL 14/09/2024

  Рет қаралды 253,363

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Goli pekee la Prince Dube limeipa Yanga ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya CBE SA ya nchini Ethiopia, mchezo wa raundi ya pili, Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Abebe Bikila, nchini Ethiopia....

Пікірлер: 264
@henrynyanswi2132
@henrynyanswi2132 4 күн бұрын
Selfishness of players cost Young Africans in this game
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 4 күн бұрын
Safi sana yanga mmejituma ila mwalimu atayafanyia kazi mapungufu 💚🖤💛
@jabiriramadhani3692
@jabiriramadhani3692 4 күн бұрын
Ni ishu ya psycholojia tu
@ahmedsalehe9489
@ahmedsalehe9489 4 күн бұрын
@@mwajumampokileomckapela7541 psychology mechi mbili mfululizo nna ukiangalia vzuri sio psychologia ya wachezaji utaona ni mpango wa wachezaji na benchi la ufundi
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 4 күн бұрын
Hongera sana kwa Ushindi 💚💛💚💛💚💛💚 japo mumekosa magoli mengi mno, hao walipaswa kuoga Magoli Lukuki kwao, ili wakija huku muwe mnateleza tu na mpira
@Kenmy-k6d
@Kenmy-k6d 2 күн бұрын
Ila yanga 😢 izo nafasi zooote dah
@Vidor_jr
@Vidor_jr 4 күн бұрын
First view Azam✌️
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 4 күн бұрын
Ila jaman..ukweli usemwe, tuachilie mbali sijui kuchoka...kuna kitu hakipo sawa hap Hata kama ungekuwa uchovu wa aina gani ndio sio kwa kukosa nafasi karibia 7..😢😢😢...Mungu awasaidie tu yanga...maybe kuna vita kubwa sana kwenye ulimwengu wa roho 😢😢... haiingii akilin kabisa.. there's something not normal here
@ahmedsalehe9489
@ahmedsalehe9489 4 күн бұрын
@@frida-oi6kw sio vita huo ndo tafsiri ya Sportpesa kwenye jezi ya yanga. Kuna wakati wana amua kumfaidisha mdhamini wao. Yanga amefanya hivi mechi 2 mfululizo
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 3 күн бұрын
@@frida-oi6kw Kweli kabisa Yamekoswa Magoli mengi ya Wazi mno, Kulikoni? Na Pochi ya Mama ilikuwa inasubiri kwa hamu
@marystambuli8045
@marystambuli8045 3 күн бұрын
@@frida-oi6kw uko sahihi. Inabidi hili lifanyiwe kazi mapema sana. Tunakoelekea ni kubaya. Ikiwa hii CBE imewatoa jasho hivi je wakikutana na timu kama Al ahaly itakuwaje? Hapa hata NBC ligi itakuwa shida na Champions ligi ndio kbs. Tuzidishe kuomba na wachezaji wajitafakari zaidi. Hii siyo Yanga ya msimu uliopita, kulikoni?
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 3 күн бұрын
@@ahmedsalehe9489 hata kama still haingii akilini hata kidogo..shida yetu sisi tunaangalia kwa macho tu juujuu and we don't know that there's something behind
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 3 күн бұрын
@@marystambuli8045 sio kila mtu anapenda mafanikio yako😅😅
@BenjaminJaphet-m4x
@BenjaminJaphet-m4x 4 күн бұрын
Wa kwanza mm like ❤❤
@KontawKontaw
@KontawKontaw 4 күн бұрын
Ubaya ubwelili jamani❤
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 3 күн бұрын
Angekuwa Guede hizo nafasi angeziweka zote.
@agapitymavunde7371
@agapitymavunde7371 4 күн бұрын
Hawa Wachezaji wasichekewe technical staff muwaweke chini. Kwenye mpira kuna kukosa ila sio kukosa kwa kiwango hiki kila mtu uwanjani... Hapo tutasingizia uchovu. Hapana wachezaji wasi-undermine game.. hizi ndo game za kutengeneza hofu kwa team tunanzoenda kutana nazo mbeleni ili wawe na attention itatusaidia hata style ya uchezaji WA mpinzani utachange kuhofia attack yetu. Ila kwa jinsi hii sio ishara nzuri. Kwenye Nafasi tano team kama Yanga club bingwa inabidi Nafasi 3/2 ziwe goal. Mechi kama na Al ahly Nafasi kama hizo unazipata mbili au tatu ukitokea hicho kinachoonekana hapo hatujapoteza game.
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 күн бұрын
@@agapitymavunde7371 Nipo na wewe kwa hili haina kuwachekea wachea aji kwa nafasi zile za wazi zilizokoswa hii sio poa kabisa
@ahmedsalehe9489
@ahmedsalehe9489 4 күн бұрын
@@agapitymavunde7371 sio vita hiyo ndo tafsiri ya Sportpesa kwenye jezi ya yanga. Kuna wakati wana amua kumfaidisha mdhamini wao. Yanga amefanya hivi mechi 2 mfululizo
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 4 күн бұрын
Yanga Ongera sana japo mumetuzowesha magoti mengi Dubeeeeeee Allah anyoosheye Mukowake wabalakaaaaaa💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽👊👊👊💐💐💐wenimucezaji kabisa💐💐💐💐🇧🇮
@LailaNgozi
@LailaNgozi 3 күн бұрын
Yanga bigwaa daima mbele nyuma mwiko ❤❤❤❤ilove yangaqq 5:36
@LailaNgozi
@LailaNgozi 3 күн бұрын
Yanga bigwaa daima mbele nyuma mwiko ❤❤❤❤ilove yangaqq
@sadahamad6158
@sadahamad6158 4 күн бұрын
Yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa ww huogopi 💃💃💛💛💚💚💪💪
@kadmc9124
@kadmc9124 4 күн бұрын
CBE ni underdog to young africans, that why yanga wamefungA bila hata kushangili
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 4 күн бұрын
Jamani Tulicho Kipata Tumshukuru Mwenyeez Mungu KL Mechi Tunafunga Magoli Mengi Leo Leo Sio Sk Yy Ni Sikuoni Ya Wengine Tujue Tumshukuru Mungu Kwa Alicho Turuzuku
@barikitvshow
@barikitvshow 4 күн бұрын
Third comment
@SamuelKuto-e6j
@SamuelKuto-e6j 4 күн бұрын
Yaan mbayaa Leo chance zote nje wakenya tuko nyuma yenu pia
@MagdalineMambo
@MagdalineMambo 4 күн бұрын
Wanayanga tuwaombee wachezaji.Maombi ni muhimu sana, tusianze kuwalaumu. Si mambo ya kawaida leo.Mungu awapiganie kuna nguvu za kiza zimetumwa.tuombeni sana
@GracePaul-k2l
@GracePaul-k2l 4 күн бұрын
Bila d mbili mtu awezi elewa tuna vita mno na wanachotaka ni kutuhaibisha
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 күн бұрын
Sio kuwalaumu leo kuwasema ni wakuwasema lazima wamepoteza nafasi nyingi safu ya ushambulia aji nyingi sana lazima wasemwe
@HajiAbdullah-yy6yd
@HajiAbdullah-yy6yd 4 күн бұрын
Nakupongeza dada kwa muono wako,hata mimi nimeliona hilo, sio bure! Lzm kuna nguvu za giza zimetawala.
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 4 күн бұрын
Inawezekana aisee 😢😢...Yesu tulindie yanga yetu
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 күн бұрын
@@frida-oi6kw Yesu wako usimuingize hapo ameshindwa kujiokoa kwa walimsulubu ataiokoa Yanga wacha hizo bidada Allah pekee ndie wa kuombwa na sio yesu .
@ceciliaathanas3135
@ceciliaathanas3135 4 күн бұрын
Wa kwanza leo.naombeni likes zangu
@BarakaMremy
@BarakaMremy 2 күн бұрын
kweli yanga tm kubw
@albertlambert2810
@albertlambert2810 4 күн бұрын
Yani hawa. Had na wa onea uruma mechi ya marudiano
@abednegomawalla8747
@abednegomawalla8747 4 күн бұрын
Azizi ki arudi kazini kwake.
@edisondiokeresy2306
@edisondiokeresy2306 4 күн бұрын
Siku ya Leo aikua nzuli Kwa. Wachezaji wote sio Kwa dube tu maana wote wamekosa magoli ya wazi kabisa ila Cha msingi tumeshinda ugenini Yanga mbele nyuma mwiko 💚💚💚💚🟩🟩
@jayBabakaila9883
@jayBabakaila9883 4 күн бұрын
Sema tu yanga imecheza but nivile kilamtu alikuwa anataka kufunga
@FrenkHowi
@FrenkHowi 3 күн бұрын
Ndio kawaida za yanga wanapoteza nafasi 10 alaf wanapata Moja tuu
@hazjay4671
@hazjay4671 4 күн бұрын
Nafasi Saba Za Wazi Kabisaaaa....!!
@dennissamora729
@dennissamora729 3 күн бұрын
Mie nalia na Azam tv. Highlights ni mbovu sana. Matukio hamyarudii vizuri kwenye angle tofauti tofauti. Tafuteni professional cameramen wazuri! Hamjifunzi tu kwa wenzenu ulaya?
@godwillrichard7017
@godwillrichard7017 3 күн бұрын
Azamtv hawajarusha hii mechi kwa mitambo yao direct ni feeds kutoka channel nyingine
@user-bf5uw2je2n
@user-bf5uw2je2n 3 күн бұрын
Hakikaa umejibuu vemaa
@dennissamora729
@dennissamora729 3 күн бұрын
@@godwillrichard7017 hata kama wangekuwa wao bado highlights zao ni mbovu
@barakakaduma4395
@barakakaduma4395 3 күн бұрын
Mi siwezi laumu ivi viwanja vya ugenini mambo ni mengi mana haiwezekani wachezaji karibu ote wamekosa nafasi nyingi za wapi wazi sasa utalaumu vipi, Chama, Nzengeli, Dube, Mzize, tushukuru kwa point 3 za ugenini ukilaumu coach ua wachezaji basi jua tu wewe hujui mpira.
@frankmsisi149
@frankmsisi149 3 күн бұрын
Hapa issue ni magoli sio points
@gaudencemaumba7594
@gaudencemaumba7594 3 күн бұрын
Umeongea ukwel ambao watu hawataki kuusema, watu wanajiandaa nje na ndan ya uwanja, siwez kushangaa ii ugenin
@MonicaSimon-py3nx
@MonicaSimon-py3nx 4 күн бұрын
Kweli mmecheza natumepata ushindi mzuri lakini kwaleo hamkutufurahisha mmetuzoesha magoli mengi lakini leo mmekosa magoli mengi sana nawaomba mashujaa wangu tarehe 21 musirudie tena makosa malambili pleasea tunaitaji ushindi wagoli nyingi zaidi nawapenda sana
@AnastaziaAnton
@AnastaziaAnton 4 күн бұрын
aaaah kweri sku Leo mbaya
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 4 күн бұрын
Tusipende Kulaumu Wachezaji Nao Pia Binaadam Sio Malaika Tulichokipata Tuseme Alhamdulillah Tuombe Mungu Mechi Ijayo Tupate Ushindi
@HalimaShaban-p4s
@HalimaShaban-p4s 4 күн бұрын
💯
@benjaminchristopher219
@benjaminchristopher219 3 күн бұрын
Kweli tuwe na shukran hata Kwa kidog
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 4 күн бұрын
Dube hashindi sipitali siku hizi anashinda kwenye nyavu😂😂😂❤❤❤
@hermitclassic9656
@hermitclassic9656 4 күн бұрын
Wakwanz me npeni like👍
@EliyaKudaga-u4q
@EliyaKudaga-u4q 4 күн бұрын
Yanga tunabahat sana tunapitia mteremko
@HamisaKassim-d2s
@HamisaKassim-d2s 3 күн бұрын
Hatar
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 4 күн бұрын
Wafungaji wa Yanga inabidi wabadilike sana bana. Tulikuwa na goli karibu tano leo sema umakini haukuwepo.
@MathiasSanjo
@MathiasSanjo 2 күн бұрын
Kweli yanga washamba nafas nyingi wanapata Ila wanachezea😊😊🎉
@ip_header
@ip_header 3 күн бұрын
Points 3 ndio jambo la msingi, mpira mzuri utapigwa nyumbani(TZ) Mungu akipenda
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 3 күн бұрын
Nilikua na matumaini na dube lnjinia anakosea lli chotakiwa mchezaji aonyeshe uwezo
@ahmedsalehe9489
@ahmedsalehe9489 4 күн бұрын
Hivi ni strategy ya Team kutokufunga magoli mengi au sportpesa ina uza fixed odds?!
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 3 күн бұрын
Hivi nafasi zoote za wazi Yanga wamecheza hovyo sana
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 4 күн бұрын
Dube aanze kuwekwa benchi,maana hii ni mechi ya pili anakosa magori mengi,Baleke yuko wapi?
@JastinOchola
@JastinOchola 4 күн бұрын
Tuliza mshono wew unajua kuliko mwalimu
@SamweliMohamed-g6q
@SamweliMohamed-g6q 4 күн бұрын
YANG AFRIKA FOREVER
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 4 күн бұрын
UmaliIaji yanga nishida wanapoteza sana nafasi shida lyo kwamasjindanomakubwa
@EdwinRutunda
@EdwinRutunda 4 күн бұрын
Hii ni Club bingwa au bonanza😂
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 3 күн бұрын
Nzengeli bhana😮
@Mbilizi-c5l
@Mbilizi-c5l 4 күн бұрын
ufike wakati kocha ampe kwanza baleke nafasi ya dube mana mana dube anatunyima magoli ya wazi atokee sub ili ajifunze kuongeza umakunu mana raha ya namba tisa magoli
@NaimaSaid-r6c
@NaimaSaid-r6c 4 күн бұрын
Dah kama Yanga mtaendelea kucheza hivi hivi hakika mtatolewa mapema sana kazeni Vishundu ivyo
@Fine-BoY
@Fine-BoY 4 күн бұрын
Hao watu wameroga sio bure
@johnwankyo2889
@johnwankyo2889 4 күн бұрын
Siyo kawaida hiyo,tunajipanga wakija huku kwetuu
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 3 күн бұрын
Kwenye swala la kufunga saizi ni ziro
@UshindiMinistry
@UshindiMinistry Күн бұрын
Tz sasa tunaanza kukaa vizuri kimichezo . Yanga , Simba , mnatuheshimisha
@IssaNdelwa-pz3zl
@IssaNdelwa-pz3zl 4 күн бұрын
Tunaimani na yanga afrika
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 4 күн бұрын
Hawa wa Ethiopia wskija kucheza na nyuki huku ndo watajua hawajui
@SmartTz-y5z
@SmartTz-y5z 4 күн бұрын
Kwaoo Kama kwetubtu
@Fazldonjr
@Fazldonjr 4 күн бұрын
Duh kweli
@shabanhafidhu1951
@shabanhafidhu1951 3 күн бұрын
Hapo yanga Kuna watu wanakosa sana nafasi za wazi Halafu Co Poa kabisa
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 2 күн бұрын
Huyu boca ni shughuri nyingine sio kwa macross hayo
@asasiame500
@asasiame500 2 күн бұрын
Bora hao walifunguka wakawa na shot on target siyo Makolo hata shot on target hamna
@LowassaLobulu
@LowassaLobulu 4 күн бұрын
Duh mmejitahdi lakn tulizeni mpira kwa mnakuwa na para kubwa
@fredyelifuraha2553
@fredyelifuraha2553 4 күн бұрын
Max naye mapepe ya kutafuta Umaarufu nafasi nzuri kama ile..
@LailaNgozi
@LailaNgozi 3 күн бұрын
Yanga yanga yanga kunawatu wanateseka huku jamani
@colonelmustafa7213
@colonelmustafa7213 4 күн бұрын
Yanga hii ndio itachukua kombe la club Bingwa??wachezaji wanakosa magoli,hii timu ya ehopia ni mbovu haifai kuwa uwanjani..
@Panuakuma
@Panuakuma 4 күн бұрын
Kama mbovu imeendaje club bingwa?
@kipetasingo2774
@kipetasingo2774 3 күн бұрын
kwa hii game yanga wakirudi hawatakiwi kupata ata jero la mama
@ElishaWilliam-g9u
@ElishaWilliam-g9u 3 күн бұрын
Simba kaza buti muweke heshima nyumani
@MosesKaaya
@MosesKaaya 4 күн бұрын
Leo ilikuwa mbaya kwa Yanga, ila point 3 wanazo cyo mbaya
@kurwamussa3154
@kurwamussa3154 3 күн бұрын
Wachezaji wanamachofu ya safar hawajapa mda hata wakupumzika😊
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 3 күн бұрын
Huyu dube washamroga teyari atakaosa magoli sana tu
@benjaminchristopher219
@benjaminchristopher219 3 күн бұрын
Iman yako ww cc hamuamin hayo
@marystambuli8045
@marystambuli8045 4 күн бұрын
Wachezaji wetu mbona kila mara wanakosa magoli mengi hivyo? Hawana confidence au ubinafsi? Wasisubiri kila goli afunge Dube, yeyote akipata chance afunge lasivyo itakuwa shida kwetu.
@vallencymacdonalds
@vallencymacdonalds 4 күн бұрын
Ni kweli ...
@DeusdeditBimbalirwa-js6dk
@DeusdeditBimbalirwa-js6dk 2 күн бұрын
Ubinafsi/uchoyo nao umechangia. Kila mchezaji anatamani kufunga goli la champions league. Mchezaji badala ya kutanguliza timu, anajitanguliza mwenyewe. Badala ya kutoa pasi kwa mwenzake aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga, analazimisha kufunga, anakosa hatimaye anaigharimu timu nzima. Uongozi, benchi la ufundi tafadhali sana ingilia kati kabla mambo hayajaharibika sana. Si mnaona Dunduka linavyokuja kwa kasi!?😂😂😂
@malietamaliet
@malietamaliet 3 күн бұрын
😢😢😢😢siwarahumu wachezaji wetu mmechoka na safari piah hali ya hewa ya uko ila mechi ijayo walau nafasi 4 funga 2 jmn sio kukosa zote tutakutana na ahly ama mamelodi nafasi ni moja na unatakiwa umalize game😢 kwa iyo nafasi
@GraceMhoja-bu3ce
@GraceMhoja-bu3ce 3 күн бұрын
huu sio uchezi wa yanga
@godlivedanda3228
@godlivedanda3228 4 күн бұрын
Inabd ufike wakati pesa za bonus wawe wanatafuta wenyewe kupitia goli la mama ili wazitafute kwa uchu zaidi
@herymageta
@herymageta 4 күн бұрын
Kocha wetu wa yanga lazima achukuwe taadhari kwa jinsi wachezaji wetu wanavyo cheza wamepoteza umakini kabisa, Natapata ushindi bac2 wanakatisha tamaa. Dube kusakosa kibao,Pacome ustaaa umezidi anakaa sana na mpira
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 4 күн бұрын
Wachezaji wote wambele wacheza chini ya kiwango
@oscarmwailubi5078
@oscarmwailubi5078 4 күн бұрын
YANGA timu yangu Leo japo tumeshinda lkn spiral haukuwa mzuri wa kuinjoy kama mtoko inside mlivotuzoesha washabiki wetu. Sijui Leo tatizo lilikuwa nn?
@BrazaVille-we1hs
@BrazaVille-we1hs 4 күн бұрын
Hamna mfungaji nafasi 5 anatumi Moja na zote za wazii 😂😂😂
@MauBonde
@MauBonde 4 күн бұрын
Dube na mzize Mimi naenda na mzize
@BeatriceMsonge-jv1mz
@BeatriceMsonge-jv1mz 4 күн бұрын
@@MauBondehivi nyie si ndo mlisema mzize hamn kitu kwann mnapenda kuwasema wachezaj vbaya wakikosa nafas mbona hamn shukuran nyie mashabiki dah ad mtu amelia kisa nyie mashabiki msio na uvumilivu mzize mlimsema hivyo hivyo leo eti naenda na mzize mbona ata uyo mzize kakosa mbona aziz k hamumsemi anapoteza mipira🚮🚮🚮
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 4 күн бұрын
Hapa Yanga wanefanya makosa makubwa.wangetoka na magoli si chini ya manne.tuombe mjngu mechi itakayofuata yasitokee yaliyotokea kwani kesho yake tunaweza kujikuta tupo nje ya mashindano.Asikwazike mtu.
@MrMujwahuki
@MrMujwahuki 4 күн бұрын
INUKAAAAA, Yanga mnatuwakilisha vyema!!
@JumaUdoba
@JumaUdoba 4 күн бұрын
Jaman naipenda yanga😃😃😃😃🤣🤣🤣
@omega-gl9wt
@omega-gl9wt Күн бұрын
Yanga ktk mchezo wa pili wanapaswa kucheza pasi ndefu mipira nyuma ya defence sababu wao wanacheza pass fupi fupi
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 күн бұрын
Wapambana aji leo mmekera sana timu imetengeneza nafasi nyingi za kufunga why simekoswa ?na kupatikana moja tu why?hili kosa lisijirudie tena wana wa nchi please chonde chonde nafasi zinapotengenezwa zinahitaji umalizia aji mzuri ,na umalizia aji mzuri ni kuzitumia kwa kufunga anyway well done wana wa nchi kwa point 3 muhimu...
@johnwankyo2889
@johnwankyo2889 4 күн бұрын
Siku hazilingn jmn tuwaombee tuuuu
@ahmedsalehe9489
@ahmedsalehe9489 4 күн бұрын
@@R10_Rajab sio vita hiyo ndo tafsiri ya Sportpesa kwenye jezi ya yanga. Kuna wakati wana amua kumfaidisha mdhamini wao. Yanga amefanya hivi mechi 2 mfululizo
@scopy0428
@scopy0428 4 күн бұрын
Ivi hawa wachezaji wa Yanga walikuwa wanajua kweli kila goli linathamani ya 5million?
@user-qj7ci5cs9i
@user-qj7ci5cs9i 4 күн бұрын
Mmmh pira gimbi hili
@charlesjohannes5989
@charlesjohannes5989 4 күн бұрын
Subir ya kwako kesho
@omarfadhil7554
@omarfadhil7554 4 күн бұрын
Wachezaji wetu wengine either ni ubinafsi walio nao mbele ya golikipa au ni pupa ya kutaka kuingia katika daftari la wafungaji....
@MauBonde
@MauBonde 4 күн бұрын
Ifike time kocha amuamini mzize.
@Gdjn974
@Gdjn974 4 күн бұрын
Binafs nmeshukuru tulicho pata ila naimani tutakuwa zaid ya hapa
@PeterSevere
@PeterSevere 4 күн бұрын
Nataka kuona baleke ktk mechi za ligi apewe nafasi
@AbdillahChia
@AbdillahChia 4 күн бұрын
Yanga Bingwa ndo nnaloweza kusema mm
@ahmedsalehe9489
@ahmedsalehe9489 4 күн бұрын
watu wengi wanaweza laumu na kujiuliza maswali juu ya kilicho tokea kwenye mechi mbili mfululizo ila ukweli ni kwamba hii ndo tafsiri ya Sportpesa kwenye jezi ya yanga. Kuna wakati wana amua kumfaidisha mdhamini wao. Yanga amefanya hivi mechi 2 mfululizo baada ya kushinda magoli mengi mechi 2 mfululizo. Mechi inayo fuata itakua na magoli mengi
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 4 күн бұрын
Yani hz timu zinazocheza na yanga daa et hawa ndio wamefuzuu club bingwa jaman
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 4 күн бұрын
😂😂ko unamaanisha YaNGa n kubwa kulko hiz team qnazo pangiwa et😂 ata kwa mameimliongea Sana yanga atafungwa nyng leo Tena kubali tu yanga n Bora
@kwamefidel736
@kwamefidel736 4 күн бұрын
Wachezaji wamechoka wametoka kwenye mechi za timu za taifa
@jabiriramadhani3692
@jabiriramadhani3692 4 күн бұрын
Ndio ubaki na goli upige juu au pembeni
@omega-gl9wt
@omega-gl9wt 2 күн бұрын
Nyuma ya mabeki
@abeela19
@abeela19 13 сағат бұрын
So shameful media, you are only showing yanga trials 👎🏼👎🏼👎🏼
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 4 күн бұрын
Wachezaji,warudishemoto wao waliokuwa nao,msimu,uliopita sasa,Hivi Kuna makosa mengi,wanafanya🌎wanapoteza,pasi wanakosa magori ya,wazi yaani,Hadi,Azizi kii wanamsubsitute ajabu.. kama tutaendelea Hivi ,tutakosa ubngwa msimu,huu
@Lucia-hx3ch
@Lucia-hx3ch 4 күн бұрын
Wanayanga msiumie sana...hiki n kiwango chetu 2017😂😂subr waje 2024 waone😂😂😂
@mweyoms5548
@mweyoms5548 3 күн бұрын
Hii mechi ilitakiwa golikipa aokote mpira kwenye kamba si chini ya mara kumi
@ManiragabaAlphonse-y9h
@ManiragabaAlphonse-y9h 4 күн бұрын
Like ❤my friends
@KhalifaHussein-d7c
@KhalifaHussein-d7c 4 күн бұрын
mashabk kam ujui mpra kaa kimy
@NaftaryMgoye
@NaftaryMgoye 2 күн бұрын
Yanga wamecheza kimataifa wameshinda
@chinashao4679
@chinashao4679 4 күн бұрын
Wachezaji wamechoka na game za kimataifa tuwage na fadhila mashabiki
@jamaicaevakeyz3737
@jamaicaevakeyz3737 4 күн бұрын
huwanja mbovu sana huo
@ruxryjames
@ruxryjames 4 күн бұрын
😢😢😢
Real Madrid vs VFB Stuggart 3 - 1 EXTENDED HIGHLIGHTS
9:41
BlazeScore
Рет қаралды 999 М.
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 93 МЛН
KISA KASOMA NAE
10:57
Joti TV
Рет қаралды 142 М.
Jua Kali Leo Jumatano Full HD video
24:14
hh555
Рет қаралды 23 М.