SHANGWE LA ALLY KAMWE AIRPORT WAKIWASUBIRI MABINGWA KUFANYA PARADE USIKU MNENE

  Рет қаралды 23,446

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@iqramawadh80
@iqramawadh80 2 ай бұрын
Kwani wao Hawaogopi kama wewe ni Yanga kweli na saa hii uko macho unasubiri timu yako weka like za kutosha
@edwardbenezeth8965
@edwardbenezeth8965 2 ай бұрын
KAMA NA WEWE UNATAZAMA VIDEO HII HUKU UKITABASAMU GONGA LIKE TWENDE PAMOJA 💚💛💪💪💪💪🔥🔥🔥
@Nope6e07
@Nope6e07 2 ай бұрын
Zaidi ya mara 3 kwan huogopi tupo na KAMWE 😂
@goldmansun5859
@goldmansun5859 2 ай бұрын
Kumbe kuna wanaume mnaomba likes, mi nilijua madada tu
@francepaul7711
@francepaul7711 2 ай бұрын
"ALLY SHABANI KAMWE" UNAFANYA KAZI KUBWA SANAAH 🙌🙌🙌🙌✨️✨️
@jivankulikwa24
@jivankulikwa24 2 ай бұрын
Huyu ni mwamba
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 ай бұрын
Appreciate brother Sure
@Rehemaponera
@Rehemaponera 2 ай бұрын
Ally kamwe nakupenda bure semaji letu, hujawahi kuchoka kaka. Mungu akutunze hongera sana kwa kuifanya team yetu kuwa moto
@MwajumaMasoud
@MwajumaMasoud 2 ай бұрын
Daaah kushangilia yanga raaha sana natamani name ningekwepo hapooooo💚💚💛💚💛💚
@ipyanamwaisekwa8209
@ipyanamwaisekwa8209 2 ай бұрын
Ila wananchiiiiii!!! 💚💛 Salute 🫡
@JosephKazungu-b7h
@JosephKazungu-b7h 2 ай бұрын
😅😅😅💚💚💚
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 2 ай бұрын
Asante. Sana. Mungu. Wetu. Wa. Mbinguni. Muumba. Ardhi. Na. Mbingu. Kwa. Kuwapeleka. Vijana. Wetu. Kwa. Madiba. Salama. Na. Kuwarudisha. Nyumbani. Tanzania. Salama. Ama. Wananchi. Hata. Mungu. Yupo. Na. Siisi. Kwa. Kuwa. Sisi. Tuna. Subra
@francepaul7711
@francepaul7711 2 ай бұрын
Mimi naona kwenye Swala la Uhamasishaji Viongozi Wetu Wamuachie Ally Kwasababu Bado kijana Ananguvu Saiv sa8 Usiku Daah Kijana Analambana Anakubalika sanaah na Mashabiki💛💚🙌🙌
@gideonchipepo8405
@gideonchipepo8405 2 ай бұрын
Ally baki yanga wewe unafanya mashabiki wawe karibu na timu God bless you ❤❤❤❤❤❤❤❤
@Tassyomy
@Tassyomy 2 ай бұрын
𝐌𝐀𝐍𝐀𝐑𝐀 𝐓𝐔𝐀𝐂𝐇𝐈𝐄 𝐀𝐋𝐈 𝐊𝐀𝐌𝐖𝐄 𝐖𝐄𝐓𝐔😂😂
@LeahMabula-sv8ij
@LeahMabula-sv8ij 2 ай бұрын
Gen z wetu kamwe tunakukubali xana ❤❤😅
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 2 ай бұрын
Machampion wamerudi twamshukuru mwenyezimungu
@Nope6e07
@Nope6e07 2 ай бұрын
We huogopi tupo na KAMWE
@radynnyagaly3692
@radynnyagaly3692 2 ай бұрын
Watuachie Kamwe wetu ajaenda a ma kasi ya Yanga na wanachama wake hata hiwe Usiku wamanane yupo nao sambambaa. Manara hawez mwacha twiga wake kitandani na kukesha na vijana kama hivi.
@Elifuraha-eo5ns
@Elifuraha-eo5ns 2 ай бұрын
Halafu ndo Kuna watu wanaitwa Magoma wanaomba wapewe timu!! Umh unadhani hii ni ya kitotoee
@nestorymalando3419
@nestorymalando3419 2 ай бұрын
Kusema kweli mm skuwahi kuwa mfatiliaji was mpira nawala skua natimu hapa tz ila kwasasa ninwanchi Tena naipenda sana yanga na huniambii kitu na alienisabishia haya yote ni ally kijana mpaka skuwaza kama nitakua mshabiki wa yanga namnahii asante ally
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 2 ай бұрын
Yanga Raha saaan jmnnhiyo ni saa tisa ninkm mchanaa
@henrycrey3421
@henrycrey3421 2 ай бұрын
Mnabalaaaaa yanga 😂😂😂😂
@dittosanga3358
@dittosanga3358 2 ай бұрын
Together this team Young African Africans 😂😂😂😂
@sideally35
@sideally35 2 ай бұрын
Ally kamwe wew ni kiongozi bora kwetu wanayanga...
@Bilikejr_12
@Bilikejr_12 2 ай бұрын
jamani namimi sijalala naomba likes kidogo tuu
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove 2 ай бұрын
Hakika tume tisha
@bennamush4616
@bennamush4616 2 ай бұрын
Nimetamali kulia siyo kwa upendo huu Wana yanga usiku huu lakin bado wananchi wamitokeza kiasi hiki Mungu azidi kutulinda sote😢
@josamkagaruki872
@josamkagaruki872 2 ай бұрын
NINYI HAMHOGOPIIIIIII
@mamuumamuu7743
@mamuumamuu7743 2 ай бұрын
Yanga rahaaa
@ValenceVeruli
@ValenceVeruli 2 ай бұрын
Jamani kwa raha hizi niende wapi mie
@BensamJunior10
@BensamJunior10 2 ай бұрын
Young african sc ni tim kubwa 😅😅😅😅😅
@Nope6e07
@Nope6e07 2 ай бұрын
Kamwe nusu uturushe roho😅😅
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 ай бұрын
Tutaona wenzetu watakuja na nini kutoka Misri😂😂😂
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 2 ай бұрын
Watakuja na misuziiii haaaaahaaaa
@kingveveadmire8412
@kingveveadmire8412 2 ай бұрын
❤Ali kamwe na manara,
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 2 ай бұрын
Yanga bingwa tena 🎉🎉🎉
@TatuHangwa
@TatuHangwa 2 ай бұрын
Kwan Hamuogopi
@ValenceVeruli
@ValenceVeruli 2 ай бұрын
Tupoooooo
@Daniyo-id4eh
@Daniyo-id4eh 2 ай бұрын
Ally baba 2ko pamoja💪💪💪
@floribertebalo5009
@floribertebalo5009 2 ай бұрын
Ukiwa YANGA Ni sawa na Kula Bata peponi Ndugu zangu.
@qaseemayoub6758
@qaseemayoub6758 2 ай бұрын
Hapana si kweli
@munirshabani8731
@munirshabani8731 2 ай бұрын
vibe la wananchi sio poa
@Mudathir-tx1md
@Mudathir-tx1md 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@anifamickidard4555
@anifamickidard4555 2 ай бұрын
Wananchi
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 ай бұрын
Ally kamwe atakua muhamasishaji ? Alafu haji manara atakua mwana habari full stop ✋️ 🫸 🫷
@JosephKazungu-b7h
@JosephKazungu-b7h 2 ай бұрын
𝑊𝑎𝑛𝑎𝑛𝑐ℎ𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖🎉😅😅😅😅🍏
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 2 ай бұрын
Yanga bingwa button ✅🔘✅✅✅✅✅✅✅✅🟢🟢🟢
@MwazambaMicrofinance
@MwazambaMicrofinance 2 ай бұрын
Hii YANGA inakuja kuwa tishio sana shikeni maneno yangu
@MashaMhangwa
@MashaMhangwa 2 ай бұрын
Yanga yangu 🎉🎉🎉🎉
@matendojumanne5823
@matendojumanne5823 2 ай бұрын
Wehauogopi yangalaha hakunakulala
@henrycrey3421
@henrycrey3421 2 ай бұрын
YANGA AMLALI 😅😅😅😅
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 2 ай бұрын
Hatulali💛💚😅
@JoshuaOlando-l1m
@JoshuaOlando-l1m 2 ай бұрын
Raha tupu kuna mtu anateseka ❤❤❤
@isiakaabby2179
@isiakaabby2179 2 ай бұрын
MI NDO NAANGALIA SAIVI SAA KUMI 04:01
@binsleyumonlinetv
@binsleyumonlinetv 2 ай бұрын
Ali kamwe ahudumu hio nafasi hata miaka 10 mengne na Manara tutampa japo kazi ya kuosha vyombo klabuni ila kamwe abaki ktk nafas yake
@johnleonard6802
@johnleonard6802 2 ай бұрын
Waoooo hatali
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 ай бұрын
Hii ni hatareeh na nusu 🎉🎉🎉
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
Mfumo wa raha ndo yanga ....limbic system
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 2 ай бұрын
Allaah Akbar
@WilliamStanley-m8u
@WilliamStanley-m8u 2 ай бұрын
Tumekubar kwa kutuwakilisha wananchi wa dodoma tuko pamoja
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 2 ай бұрын
😂hatuna dogo dadeki😂😂😂
@MandakaTv
@MandakaTv 2 ай бұрын
Hatari
@lucksmwamlima
@lucksmwamlima 2 ай бұрын
Safi sana wanajeshi wetu wa ndani ya uwanja na nnje ya uwanja mashabiki moto wachezaji moto
@marckdonarldkhalphan2429
@marckdonarldkhalphan2429 2 ай бұрын
Ije na kamwe day
@Nope6e07
@Nope6e07 2 ай бұрын
Kweli kabsa
@MjeuliTu
@MjeuliTu 2 ай бұрын
Mapopo tuyuane😂😂
@RubenIbrahim-st6dh
@RubenIbrahim-st6dh 2 ай бұрын
Timu kubw😮😮
@chrisantfredrick663
@chrisantfredrick663 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aishabakari8040
@aishabakari8040 2 ай бұрын
💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻🤩🤩🤩🔰
@EuniceRaphael-y1j
@EuniceRaphael-y1j 2 ай бұрын
Ham lali😅
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 2 ай бұрын
💛💚💪
@anicethalchardgoodboy2937
@anicethalchardgoodboy2937 2 ай бұрын
We yanga weee
@cottyadam
@cottyadam 2 ай бұрын
Hekaheka kama hizi manala anaziweza?
@IdrissMuhammad-g1r
@IdrissMuhammad-g1r 2 ай бұрын
😂😂😂❤
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 2 ай бұрын
😂😂 mnawwtisha Snnda SC
@solomonsigalah3277
@solomonsigalah3277 2 ай бұрын
Mshikamano wa maana kabisa
@shabaniseifu7095
@shabaniseifu7095 2 ай бұрын
Hawaogopi wanaogopa
@Daniyo-id4eh
@Daniyo-id4eh 2 ай бұрын
✅✅✅✅✅❤❤❤
@Frolafales-np5yu
@Frolafales-np5yu 2 ай бұрын
💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@IdrissMuhammad-g1r
@IdrissMuhammad-g1r 2 ай бұрын
Ninoma🎉
@Tunually
@Tunually 2 ай бұрын
😂😂
@MohamediSleyum
@MohamediSleyum 2 ай бұрын
😂
@mussahebuka1907
@mussahebuka1907 2 ай бұрын
Wazee wa popo tupo Tunasubiri kombe
@aishabakari8040
@aishabakari8040 2 ай бұрын
😂😂😂😂 hatulali usingizi umepotea
@Magdalena-lb4jn
@Magdalena-lb4jn 2 ай бұрын
0000
@JosephKazungu-b7h
@JosephKazungu-b7h 2 ай бұрын
𝐴𝑙𝑙𝑦💪💪💪💪 𝑛𝑖 𝑡𝑎𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑑𝑎𝑑𝑎💚💚💚💛💛💛
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Wananchi
@marckdonarldkhalphan2429
@marckdonarldkhalphan2429 2 ай бұрын
🎉🎉
@elinisafiminja3049
@elinisafiminja3049 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 30 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 61 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН