Kila la kher Mungu awatanguliye Kila hatua,,na Kila hatua Dua ishaalaah hakuna kubwa mbele ya ALLAAH,
@mwajayhaxxan550715 күн бұрын
Kila la kheri jeshi Allah awe nanyi turudi na alama 3 In shaa Allah
@MpoleJuta5815 күн бұрын
Alhamdulillah mungu atungoze safari njema naikawe heri kwetu young African dhidi ya Al hilal
@Dizzoboy-u2c15 күн бұрын
Kila la kheri team yang pendwa Mungu awajalie muwez kupata alam 3 muhim inshaallah
@BeaSHAYANAHunterson15 күн бұрын
MUNGU wetu ni mwema kila wakati Tunamshukuru kwa kufika salama.maombi yetu kwa Mungu ni ushindi wa points tatu Kazi ya wachezaji isiwe ya Bure....uzima ** ushindi Amina
@PriscaMaswaga15 күн бұрын
Kila la kheri chama langu pendwa mungu awatangulie Mkapate ushindi💪💪
@marystambuli804515 күн бұрын
Mungu awasimamie Young Africans. Waafrica vijana!! All the best
@KizaNahano15 күн бұрын
Merci beaucoup Allah mungu awatangulie yanga Africa clubs time yangu kwakweli from France 🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱 apa bocha ochu
@muhamedsuleiman784315 күн бұрын
But this is not Franc flag pleas say the truth where you are
@Tarent-o8f15 күн бұрын
Utopolo bwana sa iyo bendera ni ya ufaransa
@PriscaMaswaga15 күн бұрын
@@Tarent-o8f😂😂😂🙌🙌🙌 ila hii nchii
@salmamlokela198715 күн бұрын
@@muhamedsuleiman7843france ya buza😅😅
@chrisantusnditi867014 күн бұрын
Uongo tu 😂😂😂
@kolosii435115 күн бұрын
Umakini na kujitoa ndio siri ya kusonga mbele. Mkacheze kana kwamba hamtacheza tena. Fighting spirit is needed. We pray for you.
@maximillianmubashi732815 күн бұрын
Bravo Hanga Africa's players!
@gabapentin807015 күн бұрын
🤲🏽 mwenyezi Mungu simama upande wetu🟢
@deodatangereza96015 күн бұрын
All the best to you our beloved and the only team,Dar Young African. We all pray Allah for You!!!!
@rehemamahendeka-rm2ek15 күн бұрын
InshaAllah USHINDI kwa Yanga yetu,inawezekana vjn wetu tunawaamini kisawa sawa !. Kila la heri + Dua'a njm toka kwa cc Wananchi huku home Tz. Ushindi upo kabisa !
@jumakuchele362415 күн бұрын
Kwa uwezo wa mungu kwenye club bingwa YANGA msimu huu tutafika mbali pamoja na magumu tunayo pitia inshallah
@suziedward832415 күн бұрын
Asante Mungu,tunakuomba Mungu utujalie wanao turudi na ushindi.
@fatmasuleiman388515 күн бұрын
Allahamdulillah km mmetua salama na mzifi kufika muendako salama Amiin
@malietamaliet15 күн бұрын
Ikawe kheri kwetu point 3 muhimu ata kama ni nusu goal💛💚🇹🇿🙏🥰
@fatmasuleiman388515 күн бұрын
Mwenyezimungu awalinde kwa kila hatua Amiin💛💛🤲
@mitinjemaziku15 күн бұрын
God bless yanga wanainchi warudi na ushindi
@jairatu68815 күн бұрын
Kila la khery kwenu....Allah awatangulie mfike salama
@Chunja-m2g15 күн бұрын
🔥🔥
@yasrikomba787415 күн бұрын
Nawatakia kheri timu yangu ❤dah young African
@GodfreyKarino15 күн бұрын
Ee baba mungu tuna kuomba mechi hii tushinde kivyovyote vile
@fatmaomar833515 күн бұрын
Kila la kheri insha Allah nawatakia safari njema na mafanikio mema
@HawaAlznezbar15 күн бұрын
Allalh awatangulie ktk safr yenu dua tunawaombea🎉🎉🎉
@SwaibaKinenge-g7x15 күн бұрын
Nendeni mkacheze vizur mjiamn twawaombea du'a mtashinda Inshaa Allah
@PekweIddy15 күн бұрын
Kila la kher my timu Mungu awe nanyi💚💚💛💛
@christianjohnmwalugaja809015 күн бұрын
Mungu awaongo na kuwabariki mtuletee ushindi mnono.
@MalinoKadwame-u1c15 күн бұрын
Bravo
@EvaNdayishimiye-n5o15 күн бұрын
Mungu aweke wepesi jama langu mrundi na points 3 tu💚💚💚💚
@RehemaRajabu-i4g15 күн бұрын
Kila la kheri chama langu💛💚
@ShabaniDagila-d3r15 күн бұрын
Mungu ibariki yanga❤❤
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
Maestro clement mzize🎉🎉
@MwaniPh15 күн бұрын
all the best wananchi
@francisletara431615 күн бұрын
Kusema ukweli, huyu mjukuu wangu na msemaji Wa Yangu nampenda. Ningependa nikutane nae. Sio yeye tu, pia engineer na Raising Wa ya Yanga. Hongereni sana
@BenjaminigervasMkuchu15 күн бұрын
All the best ma team
@hassanparamana221515 күн бұрын
Alhamdulillah Mungu ni mkubwa niwatakieni kila la kheri ktk mchezo wetu huu ambao mimi nauita fainali ni jukumu lenu nyie wachezaji kutupa furaha sisi wapenzi wa timu ya Yanga fungueni macho yenu yawe na umakini utimamu wa khali ya juu kabisa zone ya ulinzi Diara,Bacca,Job,Yao, Boka Aucho baba Aucho please kati hapo kata umeme jahazi lifikishe salama ilo nchi kavu Mudathiri peleka mashambulizi mbele 🔥 Ki, Pacome, Mzize na Dube hizo nyavu mapema tu zitikisike ili muwapunguzie mzigo wakina Job nyuma kule ok Inshallah kila la kheri 🤲🤝🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@AgenesMugema15 күн бұрын
Mungu ni mwema mmefika Uturuki salama.
@erickbenjamini815415 күн бұрын
Mungu wa mbingu na nchi awe nanyi
@mkombozimella843615 күн бұрын
Kila la kheri mabingwa 💪
@maryfides59115 күн бұрын
Mwenyezi mungu hawatangulie katika safali yenu
@AndrewKagete-o6t15 күн бұрын
Much blessings 🙌 wana Chama letu
@FaidhaCledo-j1c15 күн бұрын
Kila laheritimu yangu ya yanga munguatutangulie tupate matokeo mazuriii yanga hoyeeeeeeeeee💚💛💚💛
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
Dr aucho🎉🎉
@GwamakaAmosi15 күн бұрын
Mungu awawezeshe katika ushindi
@JohnJuma-xg4iq15 күн бұрын
Kila lakheri Wananchi Mungu awatangulie mkafanye vyema
@YoelLameck-b9i15 күн бұрын
Mungu baba wa mbinguni akawe kinga na baraka kwa timu yetu pendwa yanga africa tuweze kushinda mechi hii ili kufufua imani iliyotoweka. Mungu akiwa upande wetu, ni nani aliyejuu yetu? Kwa imani tutapata points tatu muhimu
@LucasJackson-mc7wv15 күн бұрын
mungu awajarie uzima na heri kwenye mchezo wa juma 2 huko ugenni
@HeryethIzack-ck8bu15 күн бұрын
Allah awajaalie mkifik mcheze vizur na 2pate ushind
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
Magicians ki Stephanie 🎉🎉
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
El professor pacome zouzoua🎉
@DullahIweni15 күн бұрын
Wananchi hawa hapa💚💚💚🔥🔥🔥
@CollinsBiko-y9v15 күн бұрын
Mungu awatangulie wanajeshi wetu mtuletee zawadi ya point 3
@maryamm776515 күн бұрын
Kila la kher 💚💛💚🙏
@yusrakinoge407015 күн бұрын
Kila la kheri timu yangu mungu atutangulie
@tegemeakyangenyenka611115 күн бұрын
Mungu awakumbatie kwa kila jambo
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
Ibrahim carnavalo bacca🎉🎉 Chuma💯
@shaibusaady242015 күн бұрын
Allaah Akbar
@MohamediSleyum15 күн бұрын
Kila la kheri Young Afrika InshaAllah Mtashinda 2-1
Mtuletee alama 3 muhimu inshaallah kwa uwezo wa Allah tutafanikiwa
@hatibbaraka395614 күн бұрын
Vijana kapambaneni kwa hakika maandalizi na hadi safari ipo vizuri na wachezaji mna kila sababu ya kujituma ili mupate matokeo.
@BetordYusuph15 күн бұрын
Geographical kutoka turkey kwenda hizo nchi ni karibu sana kuliko adis abab
@muddymuzungu435715 күн бұрын
Ila aucho ni mwambaaaaa af Bishoooo sana
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
Tripple C🎉🎉
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
Princi dube💪💯🎉
@EunicePaulo-l2t15 күн бұрын
Mungu awenanyi
@siphifahashimu972315 күн бұрын
❤❤❤❤
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
Matambo wa maboa mudathir yahya abasi🎉🎉
@radhiamussa162915 күн бұрын
Point 3 muhimu wapambanaji wetu msimdharau mpinzani wenu na tumieni nafasi mnazozipata kwa usahihi na kujilinda kwa wakati sahihi
@omaryamiri317515 күн бұрын
Niwatakie ushindi kwenye mchezo wenu
@kasojohn15 күн бұрын
Pamoja nyumba mwiko
@SissoBtoz15 күн бұрын
Kwan mpaka uturuki kuna NBC?😮
@chidyziddy422615 күн бұрын
Point 3+InshaAllah
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
GSM🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@msowamhokole502815 күн бұрын
Hapa bongo newborn ya nbc inaonekana
@emanuelkailas365315 күн бұрын
Kila lenye kheri kwenu na mkarudi na shangwe lenye kutoisha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
@Kidumerashid-b9j15 күн бұрын
Kila la heri tunategemea murudi na ushindi na salama
@michaelbucga15 күн бұрын
Kila la kheri chama letu
@pacomezouzoua917515 күн бұрын
BBD🎉🎉
@MuslihiShafii15 күн бұрын
Ushindi lazima kwa uwezo wake allah
@jacksonmaximilian749514 күн бұрын
🙏🙏🙏
@MarryIdabu15 күн бұрын
Kila la heri safari yenu ikawe ya mafanikio❤
@allytigana402415 күн бұрын
Inshaallah tutashinda 1 bira
@NAFTALIMUNDANGA15 күн бұрын
Jaman .. Uturuki kuna nembo za NBC? Acheni kuwa waongo tutaanza kuwadharau na nyie pia
@omariaman781815 күн бұрын
Waambie wamsalimie alpaslan
@HusseinkwasaKwassa15 күн бұрын
Jamn max vp mbona hayupo kwenye kikos
@Joseph-5715 күн бұрын
Kila lakheri tutarudi na point 3 inshallah 🙏🏿
@DhahabuSafi15 күн бұрын
Daima mbele.
@haidarysalehe905615 күн бұрын
YANGA ikaingia robot final
@BeatriceJoseph-b4u15 күн бұрын
Yanga inaenda kushinda 2-1
@OmaryomaryOmaryomary15 күн бұрын
Kila kher wapambanaji wetu
@beatricejoseph234715 күн бұрын
Kuwa mchezaji wa timu kubwa raha sana ,wewe unafanya tour nchi nyingi kuliko maelezo!
@frida-oi6kw15 күн бұрын
Tena sana ❤❤❤
@robertmchembe264915 күн бұрын
Kila la kheri chama langu pendwa
@rajabukimosa337715 күн бұрын
Ikawe heri Tupate ushindi wowote ili mradi points 3
@sanoureyaliwadoakaroyo169615 күн бұрын
JAMANI NAULIZA ANAE JUA ANIJIBU IV KWANIN YANGA INAPO TANGA KWENDA KUCHEZA NA NCHII KMA ALGERIAN, TUNISIAN, MAURITANIA 🇲🇷 NA MALI KWANIN LAZIMA ZIFIKE TURKEY 🇹🇷 KWANZA NDIO ZIANZE SAFARI ZA KWENDA SEHEMU USIKA IV KWANIN AKIFIKA ADIS ABAB ASICHUKUE NDEGE YA MOJA KWA MOJA ADI MAURITANIA 🇲🇷 NAULIZA TU
@alishaplate629015 күн бұрын
Hatuna jb ss tunajua Yanga anaenda kushinda huko hilo swali kamuuliza heris. Kwann