NONGWA ZA ALLY KAMWE BAADA YA USHINDI DHIDI YA JKT TANZANIA | AKUMBUSHIA MECHI YA DERBY

  Рет қаралды 55,493

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 202
@RoidMkisi
@RoidMkisi 2 күн бұрын
Ally Kamwe saizi nakuelewa zaidi mwanzoni ulikuwa una na maneno ya huruma sana Kwa kolo ila Kwa sasa naona unawawasha vizurii ona wanavyotapatapa hapo mpaka kolo waseme yotee
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 Күн бұрын
Semaji la Ushindi hana Nuksi huyu Semaji Kila mchezo anaongelea Ushindi tu yule Semaji Gundu kule Ukoloni Shida tupu, Yanga ni Raha tu 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛🙏🙏
@BullahSambiga
@BullahSambiga Күн бұрын
Daima mbele nyuma mwikoooooo 💚💚💛💛
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 2 күн бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana kwenu nyote kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek 2 күн бұрын
Asante vjn mahiri ushindi mnono,hlf Ally Kamwe,pap ushatoa singo kupitia mirindimo ya Simba wa nyika,wee una hatari weye !!! Hongereni vjn mahiri
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 2 күн бұрын
Yanga bingwa inshaallah daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛🎉🤲🤲
@abuutrika8688
@abuutrika8688 Күн бұрын
Wew huogopi?? 😂😂😂 Yanga Bingwa
@leoninga-y8i
@leoninga-y8i 2 күн бұрын
Yanga tukovizuri daima mbele nyumamwiko
@vinny.morales
@vinny.morales 2 күн бұрын
Kuna watu wanaendelea kuumia😂... kufeni kabisa shwain
@abuutrika8688
@abuutrika8688 Күн бұрын
All the best kwenye safar ya ubingwa, Naipenda Yanga
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 2 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko wananchiiiiiiiii 💛💛
@monicalucas3738
@monicalucas3738 2 күн бұрын
Tunamshukuru MUNGU kwa ushindi huu wa point 3muhimu 🙏
@RoseRicharld-f8w
@RoseRicharld-f8w 2 күн бұрын
kama unaipenda yanga mtot wa jangwan gonga like hapa 💟
@OmaryMajivuno
@OmaryMajivuno 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤ good 👍👍👍
@betridakazimoto1291
@betridakazimoto1291 Күн бұрын
Yanga bigwaa
@BernadethaKamagi
@BernadethaKamagi 2 күн бұрын
Jkt ingecheza na simba ,simba ingekula nyingi
@mussaissa6796
@mussaissa6796 2 күн бұрын
HAKIKA KABISA
@PeterAgathon
@PeterAgathon 2 күн бұрын
Yanga Raha sanaaaaaaas
@ramadhanjamali
@ramadhanjamali Күн бұрын
Tatizo UBAYA UBWELA hamjitambui ndomana mnashinda goli mbili na zote zimerud apo ndo ujiulize je simba inaweza kumfunga yanga 💛💚⚽💚🇹🇿 yangaaaa oyeeeee daima mbele nyuma kwa ubaya ubwela
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂unajua; ukweli ni kwambq kolo kumfunga Yanga kihalali hivi uwanjani ni ngumu sana, ndio maana wanatafuta ushindi wa kimazabe ooo tumeonewq, mara tumemyimwa penati😂 (funga goli kihalali likataliwe mdio tuone kweli umeonewa) lkn lipigwe bato uwanjani kolo atafungwa mpak atakuwahaleti timu kwa hii Yanga ya sasa.ifikie kipind wawe na heshima ma kulir kwamba sasahiv Yanga iko vizur sn kuzid wao km sisi tulivyokiri kipind kolo anatumyanyasa miaka ile 4
@AgenesMugema
@AgenesMugema 2 күн бұрын
Kocha Yuko vizuri.
@HamisiMkangamo
@HamisiMkangamo 2 күн бұрын
Nice semaji la kikosi kipana
@leoninga-y8i
@leoninga-y8i 2 күн бұрын
Tatizo la Simba wanaongea Sana badala ya kutengeneza timuyao igeni mazuri kutoka yanga sio dhambi
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 2 күн бұрын
Wana sima hata mashabiki hamjui , hata kidogo😊
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 2 күн бұрын
Ali kuna digida mungu yupo daima mbele nyuma mwiko yanga bingwa tuhombe mungu2
@AbdallaAbdalla-i3f
@AbdallaAbdalla-i3f 2 күн бұрын
makolo ndo hamn tim
@JamesKamwela
@JamesKamwela 2 күн бұрын
Hongereni wanayanga wote
@brycesonmathias6112
@brycesonmathias6112 2 күн бұрын
Diarra aache visingizio vya wazi vya kuchelewesha mpira vinamgharimu kadi za njano
@rajabukamis9411
@rajabukamis9411 Күн бұрын
Timu ya wananchiii 💚🔰💛
@ManfaceFildoline-d9x
@ManfaceFildoline-d9x Күн бұрын
Kosha yupo vzr sanaaa
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 күн бұрын
Mwenyekiti mwaga madini huna baya kaka wewe ni msemaji halafu mchambuzi 🎉🎉🎉 Daima mbele nyuma mwiko pambaneni wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi
@LainaKanani
@LainaKanani 2 күн бұрын
Yanga Bingwa
@ashahamad1848
@ashahamad1848 2 күн бұрын
Ali Ali Ali nakupenda Sana kakaangu kiukweli yaani unatema madini yaani unamtafuna mnyama kwa nidhami kubwa dah weweeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@godyjafari6033
@godyjafari6033 2 күн бұрын
Amanizavala Akina Mbagula waliwapiga 2 wakiwa pungufu
@ManfaceFildoline-d9x
@ManfaceFildoline-d9x Күн бұрын
🎉🎉
@zuhuranasoro8923
@zuhuranasoro8923 Күн бұрын
Ila priva, kiingereza cha nn sasa. Yani kila kitu unataka kutoa 'r' ni BADGE na sio BARDGE
@AlexMbagata
@AlexMbagata 2 күн бұрын
Watu Bora wanaleta mawazo Bora na wanajenga taasisi Bora hongereni Sana utawala Bora mikakati Bora kabisa.
@EsterMartin-n5h
@EsterMartin-n5h Күн бұрын
Jaman Bora angenenepaa bas Kam timu ni Bora Badoo yupo kama njitii
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 2 күн бұрын
We yangawe umepigajehapo 😂
@AlexMwajanga
@AlexMwajanga 2 күн бұрын
Yanga wamesajiri marefe hamna timu ap 😅😅😅😅😅😅😅
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 2 күн бұрын
Allaah Akbar
@DavidLeonard-o4r
@DavidLeonard-o4r 2 күн бұрын
Kisema ukweli mm kama halima huwa nalipenda sana cheko la kamwe
@EmanuelMiyonjo
@EmanuelMiyonjo Күн бұрын
Yanga bigwa 💚💛
@Julius-e3o
@Julius-e3o 2 күн бұрын
Ali hilogoma ss mashabiki tutakupeleka studio bonge la goma chukiyanini mama
@yuzzosoloka1545
@yuzzosoloka1545 2 күн бұрын
Makini wakuu
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 2 күн бұрын
I love yangaaaaa 🎉🎉🎉🎉
@benedictkiteji3627
@benedictkiteji3627 2 күн бұрын
Aly ubalaaa😂😂😂
@LatiffahAbdulmalik
@LatiffahAbdulmalik 2 күн бұрын
𝐡𝐚𝐡𝐚 𝐢𝐥𝐚 𝐚𝐰𝐚 𝐚𝐤𝐢
@WemaKondo-e5z
@WemaKondo-e5z 2 күн бұрын
Kolo tuache na yanga yetu 😅😅😅😅
@rashidkweyunga5806
@rashidkweyunga5806 2 күн бұрын
We uko mbeya umeshindwa ngap
@vangraphixvan8320
@vangraphixvan8320 2 күн бұрын
AZIZ UNAZINGUA KIWANGO KINASHUKA SANA
@zawadielisikay
@zawadielisikay 2 күн бұрын
Kibwana Yuko wapi wapendwa mpambanaji sana
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 2 күн бұрын
😅😅Nyie wote mmekutana kwa masimango
@NakiMsangi
@NakiMsangi 2 күн бұрын
Cha msingi pont 3 ww
@JumaAthumani-bh5hp
@JumaAthumani-bh5hp 2 күн бұрын
Kama hatuna timu lete timu yako kolo
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 2 күн бұрын
Kolo ni kama semu tu ...ukitaka unaita ..Asha njoo chumbani 😂😂
@Jabiirjuma
@Jabiirjuma 14 сағат бұрын
👍
@AngelinaHassan-fe3jp
@AngelinaHassan-fe3jp Күн бұрын
💚💛💚💛
@monicalucas3738
@monicalucas3738 2 күн бұрын
Rawhide acahna na kolo wamechanganyikiwa hao, uko mneya kwenyewe nenda kaanalie goli lilofungwa la maajabu kipa anaporwa mpira mkononi ananyoshq mkono refa hana abari nae, naa kama umeshimfwa kuwafunga prison jkt utaweza timu.nzima imekaa ktk goli lao
@estherezekiel3196
@estherezekiel3196 Күн бұрын
Kolo hunaga uwezalo Kwa hivyox2
@MalinoKadwame-u1c
@MalinoKadwame-u1c 2 күн бұрын
❤❤❤❤
@RamaSinahela
@RamaSinahela 2 күн бұрын
😊😊😊😊😊😊
@mudykweka162
@mudykweka162 Күн бұрын
Tulipo wafunga madunduka piya walikua pungufu???
@SaidiMohamedMkude
@SaidiMohamedMkude 2 күн бұрын
Simba na time ya sudani walikuwa pungufu wasudani mkatoka 1-1
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 2 күн бұрын
😂😂tuna enda kubeba tena
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 2 күн бұрын
Kwa taarifa Yao wanaotaka kutukimbia Sisi hatukombiliki!hata mkienda Comoro Sisi tutawafuata huko huko
@DaudiKasese
@DaudiKasese 2 күн бұрын
Llingi haijawai kuwa rais
@damsonzabroni1224
@damsonzabroni1224 2 күн бұрын
We unaesema tume cheza na tim ye nye wat pungufu we tulikufunga 5 mkiwa nme kamilka ko JKT wazuri kuliko simba
@clementnyagawa329
@clementnyagawa329 Күн бұрын
Ww umeshinda ngapi
@mohamedimchungu5706
@mohamedimchungu5706 Күн бұрын
Hivi simba mnapata wapi ujasiri wa kuisema yanga?JKT kufungwa magoli kidogo ilihali walikuwa pungufu haimaanishi kuwa yanga ni 4:01 mbovu,gili hata nyie makolo mnalijua,ni game plan ya mwalimu tu.
@GroriaDhahabu
@GroriaDhahabu Күн бұрын
😅😅😅 Hawa madunduka Wana laani kweli yanga inashida naalama tatu tu
@LameckKulwa-u6d
@LameckKulwa-u6d 2 күн бұрын
Mtabak mna sema ss tutazid kuinuka
@DamianiItandula
@DamianiItandula 2 күн бұрын
Hamna lolote hao jkt wote nyie bos wenu mmojs
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 2 күн бұрын
Ubaya kijiri 💚💛💚💛😂
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 2 күн бұрын
Nakujibu kipa wa kwanza kafungwa gori inamaana hakuwepo? Kutojua Shelia kunawaponza timu hizo kipa anafanya makosa lazima madhiniwe
@MariaHussen
@MariaHussen 2 күн бұрын
Ety siwadai dabi iludiwe watakula tano bila mbulukenge hawa wananiudhi kwamidomo yao mbwa hawa
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 2 күн бұрын
😂Wimbo unaitwa Sina Makosa uliopigwa Simba wa nyikaaa😂😂😂 ha ha ha ha
@SalambaKapokolo
@SalambaKapokolo 2 күн бұрын
Yanga atalii
@ismailseleman2952
@ismailseleman2952 Күн бұрын
Kwaninyiyiubayaubwegembonsmmrfungwamojaa hamkurudishaa
@darialuhanga269
@darialuhanga269 Күн бұрын
Yaaani unatengeneza kwa wengine na kwako polomoka mnansema harsi wa watu yeye yupo kimnya hivi hamjioni kuwa ni wajinga sasa na gsm kawakosea nn na oneni aibu mnataka kuharibu mpira wetu ila mmeshidwa😅😅😅😅
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Күн бұрын
😂😂😂😂alikamwe anakela
@MariaPaschal-z1t
@MariaPaschal-z1t 2 күн бұрын
W kolo inaku huxu nn kw mfn tkixhinda 2 mech mechi zako dear unaumwa Kwan 😂😂😂😂😂😂😂
@MwanaishaMatajiri
@MwanaishaMatajiri 37 минут бұрын
Wewe ulivofungwa mlikua pungufu
@FrolahKamilius
@FrolahKamilius Күн бұрын
Utopolo nyie kimoj tu kinawalizaaaa nyooooo
@JosephkNtiga-ww8uz
@JosephkNtiga-ww8uz 2 күн бұрын
😅😅😅😅 ila ali kamwe
@jamesishimba
@jamesishimba 2 күн бұрын
yanga laha
@PeterJumla
@PeterJumla 2 күн бұрын
Huyo anasema eti tumeshinda mbili jkt wakiwa pungufu,Hebu tukuulize wewe kolo mashujaa walivyokuwa pungufu mliwafunga ngapi? Si ndiyo waliyowatoa kwenye FA au? Hawa jamaa vipi? Au mmelewa vichapo mfululizo kutoka kwa YANGA nini?😂😊
@Tassyomy
@Tassyomy 2 күн бұрын
Kuni Ya Akiba Popote Ulipo Kunywa Soda..😂😂
@Veronica-b2f2g
@Veronica-b2f2g 2 күн бұрын
♻️🫣🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💕
@TitusKihwili
@TitusKihwili Күн бұрын
Kalete timu Yako wewe kolo kama nzur
@NdalawaChiga
@NdalawaChiga Күн бұрын
Mda huo kolo kala ngapi!??😂😂😂😂😂 Jinga sana kolo!!
@VaiEliass
@VaiEliass 2 күн бұрын
Kuna wengine naona hata Shure hmjaenda wewe umeshinda ngapi mbwaa wewe
@NelsonMatambo-m3i
@NelsonMatambo-m3i 2 күн бұрын
Hahahaaha japo mojat2 ila ali
@danielsokoni6055
@danielsokoni6055 Күн бұрын
shinda ww bc mjinga Sana wewe nahisi utakuwa mchawi
@nikolausishillingi378
@nikolausishillingi378 Күн бұрын
Unae SEMA hakuna timu Kuma wewe
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 2 күн бұрын
Ya kuagana 😂😂😂
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 2 күн бұрын
Kwa kweli Mimi binafsi kama mwanachama wa Yanga sijafurahishwa na matokeo ya magoli machache. Kumbukeni mwaka huu Ligi itakuwa ngumu sana.
@catherineamiri9854
@catherineamiri9854 2 күн бұрын
😂😂😂we tutolee uchuro hapa hayo magi ni extra ukizingatia goal difference itatufavour cuz hatujaruhusu goli hebu tulia kikubwa 3pts timu itakayoingia kwenye mfumo itapigwa hizo nyingi msiwape presha wachezaji wetu
@gervaslukaya
@gervaslukaya 2 күн бұрын
We sio mwanachama hauwezi kusema ayo angalia timu zimetoka kwenye Darby na wao binadamu wanachoka kubwa point tatu
@benotayari5970
@benotayari5970 2 күн бұрын
Ungeenda kucheza wwe mpumbavu wwe
@dafrosamselle7935
@dafrosamselle7935 2 күн бұрын
🤣🤣🤣watakuloga eti
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 2 күн бұрын
timbu mbovu
@DaudiSimba-h7r
@DaudiSimba-h7r 2 күн бұрын
Mnabebwa mbwa nyie
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 2 күн бұрын
😂
@SaidAlly-mr5de
@SaidAlly-mr5de 2 күн бұрын
Weewe mwenye timu mbona umeshindwa kufunga mpaka bao la kupewa na refa na refa huyo awe mwamuzi wenu mukibadilisha siku hiyo mtahama nchi
@amanizavala
@amanizavala 2 күн бұрын
Utopolo hamna timu nyie mmeshinda goli mbili watu wakiwa pungufu
@yusuphally6420
@yusuphally6420 2 күн бұрын
Duh 😂😂😂
@josephwijengo8851
@josephwijengo8851 2 күн бұрын
We kolo Kaa kwakutulia msikimbie naona mnataka kwenda zambia
@catherineamiri9854
@catherineamiri9854 2 күн бұрын
😂😂nyinyi mlikuwa kamili na tukafunga tena dk za jiooooniii sasa nyie na hawa wapi wabovu
@promisetenson7258
@promisetenson7258 2 күн бұрын
Na tulipowafunga mara zote mfululizo mlikuwa pungufu wangp bwege ww?
@godfreysimoni4270
@godfreysimoni4270 2 күн бұрын
Una tatizo la afya ya akili kama hatna timu Lete timu Yako kolo ww
@SaraRobert-io8xv
@SaraRobert-io8xv 2 күн бұрын
Wewe ulizan ukiwa pungufu ndo kugunga kwanza hayo magor tumefunga wakiwemo wote moja ilikuwa faulo
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 83 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 25 МЛН
Instant karma  #edit #trollface #troll
0:19
WINARES EDITS
Рет қаралды 26 МЛН
Дал в лоб оппоненту в баре / Джейми Варди
0:57
Невиданный футбол
Рет қаралды 863 М.
The Reason Pep wants Haaland 😅 #LaLiga#football #youtubeshorts #soccer
0:24