Amen mtumishi umenikumbusha ata Ivi nilivo Kuna wengine awaki Kama mm mungu nisamehee pale ninapo lahumu
@belegeselestin93195 ай бұрын
Nmepitia maisha ya uyatima nikiwa na miaka 6 mpka sasa Mungu mwema sna nina familia yangu na nmefanikiwa kusoma japo changamoto ni nying sna lakn Mungu mwema aseee watoto yatima kupata raha kwenye maisha yao n ngumu sna
@SofiaMangq Жыл бұрын
Nakumbuka vitu ambovyo siwezi kusahau umeimba vizur San barikiwa San mungu akubarki San
inakuwa ngumu kidogo kuelewa maisha ya yatima ukiwa kijijini. Utaelewa maswahibu wanayokutana nayo mayatima ukitembelea mijini.... Huu umekua wimbo wangu Bora wa wakati wote natamani kila mmoja ausikilize
@erickgadson16173 жыл бұрын
Huu wimbo hautaondoka kichwani mwangu 😭😭😭 MUNGU zidi kukutumia kwaviwango vya juu sana naupate wepesi wakuendelea pasiwepo mtu wakuku strees ukaishia njiani
@radislauspetrowilbard87638 ай бұрын
Amina😊❤
@osmanimnkondya Жыл бұрын
watoto yatima, ukijaribu kuvaa viatu vyao UTASEMA MUNGU NITOE DUNIANI, jamani tuwakumbuke😩😩😩
@GladnessKomba-z4m7 ай бұрын
Ni kweli kabisa du inaumiza sana
@jumannemwakalinga2586 Жыл бұрын
Mtoto yatima hakutaka awe hivyo, hivyo kila mtu afunuliwe kuwalea watoto yatima, barikiwa Ambwene
@stellaowden9069 Жыл бұрын
Eee Mungu. Wakumbuke Na kuwafariji wafiwa popote wasikilizapo huu wimbo. Namba MUNGu uwakumbuke
@nkungujackson7092 Жыл бұрын
2023 like Kwangu please
@mariamJoseph-en8mt7 ай бұрын
Hii nyimbo jmn inanitoaga machozi
@kenethmauki67732 жыл бұрын
Nimeguswa Sana na wimbo huu Mungu akubariki brother Ambwene
@geahmayala2122 жыл бұрын
The song on repeat...Ee Mungu wasaidie watoto yatima😭😭
@ReonardBushiri9 ай бұрын
Eeh Mungu daima usimame na watoto yatima, hakika wapo wanaoteseka na kuumia sana kwenye maisha yao😢
@Salmaramso8 ай бұрын
😅
@TEDY-MTEMY242 ай бұрын
Sasa wewe unacheka nini@@Salmaramso
@MamaGod-sl6hm Жыл бұрын
Nimebarikiwa na nyimbo hizi sana mungu akubariki
@lenardmwakyelu78268 ай бұрын
Daa ambwene anajua sana
@jonasiarex8914 Жыл бұрын
Balikiwa sana mtumishi abwene mwasongwe
@NEYSIWALE Жыл бұрын
😢😢😢😢 Mungu yupo!!
@gabrielywilliummbega65772 жыл бұрын
Kuna Maisha na duni Barikiwa Sana mtumishi🤲
@jumannemwakalinga25862 жыл бұрын
Ambwene, barikiwa sana kwa wimbo huu! Unagusa sana moyoni!